Safi sana Zaka, Kengold walionewa kwenye mechi kati yao na Yanga.
@IsihakaYahaya5 күн бұрын
Nakubali zaka zaki umeongea fact kbx
@Khaleed57675 күн бұрын
Kama angu ( Zaka ) umeongea point ndogo lakini ni nzito sana... Big up ( Brother Zaka ) ... Big up sana...
@MohammedYassin-e3g5 күн бұрын
Ally kamwe atulize kipwinto mwaka huu ni mwendo wa kusebenza mpaka ubingwa❤❤❤🦁🦁🦁
@Esterkomba-ef7eb5 күн бұрын
Asante sana zaka
@wolfugangtesha57245 күн бұрын
Fact
@adudeswalehe87245 күн бұрын
Yanga wangekua nafasi ya 4. Mechi yao na kengold waliwanyima goli, mechi yao na coastal walifunga offside, mechi yao na simba waliwanyima simba penalty 3, mechi yao na.......
@InnocentMwakyange5 күн бұрын
Zaka kweli ww ni professional umeongea ukweli kabisa,Ally kamwe kalewa sifa mpaka hajitambui hakuna timu tz hii inayopendelewa kama yanga na inamauzauza mengi sana lkn tff wapo kimya tu ndo anajiropokea tu huyo Ally kamwe
@chrissantkaunda99585 күн бұрын
We fala kweli, iko wazi simba mnabebwa kifala kila mechi alafu unakuja kuongea upuuzi
@FatumaIbrahim-u5k5 күн бұрын
Mpuuzi mwenyewe kenge wewe kayoko alihongwa na Nan km siyo nyie mbwa kabisa.mtuache mwaka huu wetu
@hassanrashid-l3u5 күн бұрын
@@FatumaIbrahim-u5kbabaako mwenyew alihongwa na yanga mpaka wanayanga wakamfila tano
@HawaMkomwele5 күн бұрын
Kweli mechi 16 waamuzi 7 huoni kama Kuna ubebaji wa klabu hapo jamani Zaka unaongea ukweli
@BenardCostantine-sr8bn5 күн бұрын
Akapimwe malinda huenda ndiyo madhara yake yakikutoka .akahongwe simu nyingine na bosi mwingine
@nurugaspary46904 күн бұрын
Zaka UKO sahihi kabisa
@MossesNesho4 күн бұрын
is true brother
@WaziriKamba5 күн бұрын
Ally Kamwe, umesahau faida uliyoipewa na Kayoko? Wacha ujinga.
@LaurentSimoni-033 күн бұрын
Kweli bisa
@AdiaAbubakar-k3s5 күн бұрын
Alikamwe hana hoja kawa msemaji wa tabora
@FIDELISMfugale11 сағат бұрын
Hii radio ndo takataka ya gsm
@FIDELISMfugale11 сағат бұрын
Umesema kweli
@Orgy-go1gj3 күн бұрын
Zaka umenena facts,sio kamwe mropokaji wakat wote
@NyandaEndelea4 күн бұрын
Umeongea kweli zaka hizi media zinazungumzia simba na yanga tu
@JosephFortnatus-nv8sn5 күн бұрын
Zaka umeongea fact kabsa
@mahadshekh3985 күн бұрын
Simba walipolalamika kuhusu Kayoko mkapuuzia.Ubaya Ubwela.
@mishlay81645 күн бұрын
Zaka zakazi umeongea vizuri sana , Aly Kamwe yeye nani ongelee mechi za watu wengine ?? Inamhusu nini ? Basi akachezeshe yeye tuone ,
@HamzaKanuni-t7f4 күн бұрын
Uyo alliy mpumbavu😮
@jumammakoja53255 күн бұрын
Zak uko vzli sana
@loner_wolf5 күн бұрын
KILA MTANGAZAJI ANATAKA AWE MWANASOKA NDIO TATIZO . ISSUE YA TABORA UNITER VS SIMBA SC HAKUNA SIMBA ALIPOBEBWA . CS COSTANTINE AMEPIGWA HAPA REFA ALISADIA ? WATU WAMEPIGWA KWAO NJE YA NCHI ....SIMBA ILIENDA NA REFA
@MonicaMbossa5 күн бұрын
Yanga Lia lia
@kulwastima39935 күн бұрын
Marefa wanaenda kwa maelekezo
@MussaRqjqbu5 күн бұрын
Tushazoea watu wenye tabia za kina mama umbra ndio mwingi
@SalmonAbdul-b3i5 күн бұрын
Huo ndio ukweli zaka
@MonicaMbossa5 күн бұрын
Ssc akiwa anacheza na Yanga alinyimwa penalty ya wazi
@bukaone75074 күн бұрын
Kiualisia wa mpira wa Tanzania, yanga na simba zina bebwa sana, ata wao kwa wao, sasa kwa mamtiki hiyo, wasemaji wa timu izo awapaswi kulalamika sana, hali ya kuwa wote wanabebwa.
@SaidiNguyu-mx8er5 күн бұрын
Zakaria kazungumza kiutu uzima,kongole kwake.Yanga ni kawaida yao kulalamika na huko nyuma hata kukata rufaa katika mechi ambazo haikuhusika nazo ndio maana wanajiita mabingwa kihistoria kwasababu rufaa nyingi ndizo zilizoipa huo ubingwa kihistoria.mfano 2016/17 ilipokata rufaa kupitia kwa viongozi wake waliokuwa TFF Akina Malinzi kwa mchezo wa Simba na Kagera.
@anithawidambe75435 күн бұрын
ALI KAMWE NYIE MLIWAZURUMU GOLI LA KENGOLD WALIFUNGA REFA ALIKATAA JE KAMWE C MLIWAZURUMU HAO WENYE TIMU NDOGO?
@BakariAbdalla-e3y5 күн бұрын
hii ligi yetu mashaka kweliii
@Esterkomba-ef7eb5 күн бұрын
Waandishi Hawa wambeaa sana zaka umeongea ukweli
@SaidiAhmad-h6q5 күн бұрын
Waamuzi wa soka la Tanzania wataendelea kuwa na makosa mpaka Simba na yanga zitakapo toweka duniani
@philemornmutta15975 күн бұрын
Yaan waamzi kwa Simba 11 Alafu waamzi kwa yanga 7 Mechi kumi sita shida kubwa iko kwanani?
@kadirichannelonlinetv42584 күн бұрын
Uongo huo wataje
@RajabSingano4 күн бұрын
Ali kamwe ana matatizo ya kisaikorojia aende kwa daktari mech kafungwa mwingne unaumia ww huo ni ushamba katka mpira kama anaumia sana naajiuzulu mbona yanga hawasemi wamefunga magori ya ofside mara ngap naache ushamba
@bennieoswald81405 күн бұрын
Sasa Hilo kolo litazungumza nini kubwa jinga hilo
@AyubMdoe5 күн бұрын
Watu waache uswahili
@jamespeter21875 күн бұрын
Zaka ni choko kama machoka wengine two na timu yake yenye mifumo ya kidini
@DoreenMlay-e8g5 күн бұрын
na woote wanaosapoti utumbo wa zaka anaoongea ni kolo
@BarnabasAmlima-js1df5 күн бұрын
Hayupo sasa hivi 2 Simba na Azam ndio zinabebwa
@ZuhuraKilunga5 күн бұрын
Simpendikasuga
@abuumuhammad71335 күн бұрын
Sio kweli zaka yanga ndio wenye kulalamika baada takuona mwak unawaendea vibaya mbona hamuwi wakweli kuwq yanga ndio wakubwa wakulalamika
@faisaloaljabry64005 күн бұрын
Hao yanga waoga sana wanalalamika nini hawakumbuki kumdhulumu kengold ushindi wa wazi kabisa goal limeingia refa anakataa Simba ananyimwa penalty 3 za wazi kabisa refa anakubali goal lililofungwa mpira uliokua umetoka nje ya uwanja. Ndiyo maana wanakosa mafanikio wakichezeshwa ba marefa wa nje
@faisaloaljabry64005 күн бұрын
Zaka zakazi umepembua mchele umeutenga na pumba Daima kua mkweli hii pengine inaweza kusaidia
@JosephKulwa-rc7en5 күн бұрын
Brother unajua mpira alikamwe huyonikitoporopotu hana lolote
@amirlehao89455 күн бұрын
Kaka umepiga nondo kubwa saana
@hezrongeofrey14525 күн бұрын
Punguza makasiriko Mzee wa kukata Clip kila siku unaiwaza Yanga tu, Target Vikombe siyo Yanga utafanikiwa.
@aminahhuawei11334 күн бұрын
Na ilee ya kayoko jee alipewa faida nani wewe ali makundi tuliza kidunduuu hichooo badoo hujasema yaani mpaka usemeeee
@Esterkomba-ef7eb5 күн бұрын
Mtangazaji unaongea sana.
@davisbwatwa1155 күн бұрын
zaka anawambia ukweli uto akishinda ana chama,pacome,ki wana viwango kumbe wanatoa pesa ndo maana wamefeli caf
@davisbwatwa1155 күн бұрын
kwani wameonewa wapi hizo ni aibu kutofuzu caf,hata huko nyuma simba walilamika mkawa mnawasifia uto kuwa ni wazuri leo wanaibuka eti simba anapendelewa kila kona pesa ili mnyama ashindwe sasa wapagawa na wachambuzi wao
@noelwandera86175 күн бұрын
Swali langu, hawa waamzi.... hawaskilizi vilio vya mashabki, au mwendo wa kuziba maskio?😢
@aproniamasatu58105 күн бұрын
zaka ni kolo kitambo tu
@sadih53335 күн бұрын
Lakini kasema kwa haki ilivyo
@MDCISFORMALINYIPEOPLE-5 күн бұрын
Zakanyuko sahihi, Media mnaipambania kampeni haramu ya Yanga, game ya Tabora wao Yanga wanahusikaje kuisemea,lini Ahmed Ally lini ameingiza malalamiko haya kwa kampeni, kimsingi media mmenunuliwa na Yanga, pumbafu sanaaa
@OmaryRajabu-g7r5 күн бұрын
WEWE KASUGA NAWE KOLO HUNA LOLOTE UNAFOKEANA NA SHABIKI HUJUI KAMA WEWE HUTAKIWI KULALIA KWA MAKOLO WENZIO YAANI SIMBA ACHA HAYO WEWE NI MSIMAMIZI
@OthmanMwela5 күн бұрын
Zak unachuki nyanga acha chuku shuhulikia kipure pure chako
@FIDELISMfugale11 сағат бұрын
Othuman mwela Acha ushamba kashoga ww
@ABDULSWAIBU5 күн бұрын
Umeisikiahiyo dongo yakasuga eti msimukwamzimu
@anithawidambe75435 күн бұрын
SASA KAMWE ANAONGA KM NANI?TIMU YA SIMBA NA TABORA WALIACHA KUONGELEA TIMU ZAO WALIONGELEA SIMBA.
@eleteriushaule26935 күн бұрын
Dalili ya kwanza timu kupoteana ni marefa kulalamikiwa
@PROFESSIONAL7924 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/qV6soGqPd7mXisksi=zdnBLmwW7tw2ivY5 MAMBO YOTE HAYA HAPA UMALAYA WOTE WA KOCHA WA TIMU KUBWA
@chrissantkaunda99585 күн бұрын
Leo naonoa makolo yote yana msifia zaka ambaye ni kolo mwenzao, Zaka na para lake ishu ikiihusu YANGA ndo linajifanyaga kupiga simu hapo studio.Fala kweli hili jamaa
@AljuhaniAllyy-dg4ld5 күн бұрын
Tabora kakufunga wewe tu utopolo sio simba hii fala wewe mtu akiongea ukweli basi anaonekana wa timu nyingine mech kacheza tabora na siimba halafu wanaumia utopolo uzuzu kweli nyie utopolo
@SaidJumanne-j1e5 күн бұрын
Hapana mautopolo yote yanamsifia zaka
@chrissantkaunda99585 күн бұрын
Nyie makolo mpendelewe dhidi ya hoa wadogo wenzenu, siku mkikutana na sisi jueni kabisa hakuna hiyo nafasi ya kupendelewa, jiandaeni kwa milio
@AljuhaniAllyy-dg4ld5 күн бұрын
@@chrissantkaunda9958 wadogo wakati wewe wamekukaanga hao hao gori 3 fyuuuuuuu we utopolo huna timu wewe sindano zimeisha azam amefyatua uchawi wenu na camera utopolo mna timu ya kumfunga simba tu,na aziz k amemalizwa na hamisa mobeto
@chrissantkaunda99585 күн бұрын
Kasuga upo kishabiki sana, ukolo umekujaa
@SaidJumanne-j1e5 күн бұрын
Hapana utopolo umemjaa
@ibadymanyuka16114 күн бұрын
Simba wamezidi kubebwa Sana ukweli usemwe, wewe zaka unajulikana tu, kuwa wewe moyoni mwako ni Simba damu Tena ni Simba lialia, haujawahi kuiongelea Simba maovu Yao yoyote Yale. Wewe ni mfanyakazi wa azamu AmBAR rohoni mwako ni Simba damu