#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 47,217

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@oscaroscar2555
@oscaroscar2555 Жыл бұрын
Maua yangu nampa Shamsa ford🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 huyu dada hajivuni na hana skendo mbaya m namkubal anaishig maisha yake Ahsante
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 Жыл бұрын
Shamsa wangu mungu akubariki Sana uendelee kua juuuu ❤❤❤
@mamaa746
@mamaa746 Жыл бұрын
kila la kheri dada katika maisha yako ya ndoa
@joykanjadavid2617
@joykanjadavid2617 Жыл бұрын
My crush..... shamsa ford❤❤❤❤
@Mariamhellen-h7g
@Mariamhellen-h7g Жыл бұрын
Dada naomba unitafute jana nimechukua mzigo kutoka kwako ila sijaupata mimi ni mkazi wa kenya.....sijui labda nmekoniwa hata sielewi...tafadhali😢
@dorcasnsemwa411
@dorcasnsemwa411 Жыл бұрын
Nakupenda buree ShamsaFord
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 Жыл бұрын
Huyu dada ana akili sanaaa,anapambana,Anajiheshimu😍😍
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Жыл бұрын
Pia sio mdangaji
@leonardmdegela9999
@leonardmdegela9999 Жыл бұрын
Nakuombea kwa Mungu uwee hivyo ulivyo usiote mapende kwan mii nishabik yako kitambo sana🙏
@katotokazuri7412
@katotokazuri7412 Жыл бұрын
Ndomaana mm nakupendaga unajibugi mambo yako kwa ustarabu
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt Жыл бұрын
Shamsa Ford 🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@meryfrank5272
@meryfrank5272 Жыл бұрын
Umesema vzr sana
@Nicholas-pw8zn
@Nicholas-pw8zn Жыл бұрын
Nakupenda wewe dada
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Wow mpe hi Chidi Mapenzi
@hadijaabdallah8614
@hadijaabdallah8614 Жыл бұрын
Hiyo kudekeza na kufulia vina mda basiiii😂😂😂
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Havina muda
@shamsahasan2748
@shamsahasan2748 Жыл бұрын
Awapi 😂😂😂
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Chidy alikuwa hamdekezi mbona kaenda
@hadijaabdallah8614
@hadijaabdallah8614 Жыл бұрын
@@sarahgaula2220 hawa wanaume unampa mpka analia machozi akitoka hapo amesahau. Ye anaongelea kufulia nguo kitu ambacho mwenyewe anaweza kufanya😂😂😂
@maryamhassan7000
@maryamhassan7000 Жыл бұрын
😂😂😂 Acha wivu
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu Жыл бұрын
Hilo analokuuliza ha lina msingi kwakuw a pale ulivaa uhusik a tu Sasa atakuweje kama chausiku kwe li
@chechechechelove-ob2fw
@chechechechelove-ob2fw Жыл бұрын
💋💋💋💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@happinnesspius9854
@happinnesspius9854 Жыл бұрын
Uyu nae
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Mrs mlilo
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Kumbe shamsaford Ni mweusi!!!!!!!
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 Жыл бұрын
Ni mweusi kweli...
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Weimusi Africa ni asili yetu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Ulijua mwarabu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@user-nn5sq8ol4g mwarabu weusi sy asili yao asili yao ni weupe, hapo unasema mweusi ndy org hapana kwa maana hy ni km sisi waafrika tuseme asili yetu weupe
@priscajube4239
@priscajube4239 Жыл бұрын
Ndio kwani ulidhani ni mzungu? Ni mwafrika. Wewe ni mzungu?
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
😏😏
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Жыл бұрын
Mbona picha za harus hatujaona ao kukaa kihawara Ndo kuoana
@mmn7480
@mmn7480 Жыл бұрын
Uyu ana mimba
@arafaomari1832
@arafaomari1832 Жыл бұрын
Ndiooo
@JumapiliMfaume-gi6si
@JumapiliMfaume-gi6si Жыл бұрын
Hussen wa ujiji
@jamilahsakina1561
@jamilahsakina1561 Жыл бұрын
😅😅😂😂😂😂😂😂😂
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Kwani kuna MTU hafulii mume au mpenzi wake?
@Kikuyuluhya
@Kikuyuluhya Жыл бұрын
😂😂😂
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Utaachika tu kwasababu mtu ameacha familia yake
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@FatmaMwinyi-jt2rr
@FatmaMwinyi-jt2rr Жыл бұрын
Kuachika no kawaida dada
@FatmaMwinyi-jt2rr
@FatmaMwinyi-jt2rr Жыл бұрын
Kuachika no kawaida dada
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Una lolote mfuuu unafanya mwanamke mwezio analia unajishetua apo namuogesha namfuria nyoooo ata mshepuko pia anafua pia
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Wee mwanaume haibiwi huondoka mwenyew
@halimamvungi1
@halimamvungi1 Жыл бұрын
Una uhakika? Mtu akiachwa baadae akaona Ex zao wamependwa sana Tena wanaanza zengwe
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Punguza makasiriko sasa ulitaka afanyaje km kosa ni la mwanaume sy hy mbuzi ww au mtu mzm anaibiwaje
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣🤣 watu wali na vichaaa uzizi ndomnafurahia hahaha hahaha nimekaa pare Kuna aliyependwa kama wema Leo Yuko wapi hahaha hahaha hahaha dai alimpenda wema baadae imekuwa tambara la deki so atayeye uyo mashavu kushika pia alikuwa na ney akasema Ivo Kiko wapi adui wamwanamke ni mwanamke tu kaeni kwa kutulia msubiri kuchinjwa mbuzi ya itima
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
​@@lifeinmiddleeast8179kabisaa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😂🤣😂😂
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Cook with Wema Sepetu - S05E09 Shamsa Ford
8:06
Wema Sepetu
Рет қаралды 38 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН