EXCLUSIVE SHAMSA FORD: Nimepewa Talaka kwenye Watsapp/ Mume wangu alinidai DOLA MIA aliyowahi kunipa

  Рет қаралды 270,341

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Shamsa Ford ameweza kufunguka Mengi kuhusiana na sababu nyingi zilizosababisha ndoa yake kuvunjika, madhaifu yaliyokuwa kwenye ndoa, sababu zinazomfanya aseme hataki mime wa shida na raha, mahusiano ya mtoto wake na aliyekuwa mums wake, na mengi mengine kuhusu ndoa yake ambayo hakuwahi kuyaongea popote

Пікірлер: 1 300
@khadijaamani9807
@khadijaamani9807 4 жыл бұрын
Yamwenzako Sikia Huku Yasikupate.Ya Allah Nijalie Mme Mwema Kwangu.
@saifysaid7556
@saifysaid7556 4 жыл бұрын
Nipo Njoo tu
@muubruno5701
@muubruno5701 4 жыл бұрын
Inshallah
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 жыл бұрын
Wapo wachache sana mpenzi, we omba tu mwenye hela awe na tabia nzuri au mbaya, maana wakiwa hawana hela wanatulia, ila wakianza kupata utajuta, so bora umpate mwenye nazo kabisaa
@innallahmaaswabirin293
@innallahmaaswabirin293 4 жыл бұрын
I m not yet married but when I watch this I realize my mom was a very strong woman. Wanawake wanapitia mengi kweli!
@hustlerlady3652
@hustlerlady3652 4 жыл бұрын
Pole sana shamsa Ford umenikumbusha maisha nliopitia Kwenye ndoa yangu, mwenyezi mungu atupe subra wanawake wote na atufungulie yenye kheri na ss insha Allah
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 4 жыл бұрын
Ameen 🤲🤲🤲
@dorcasvivian8240
@dorcasvivian8240 4 жыл бұрын
Amen
@marymollel9319
@marymollel9319 4 жыл бұрын
Umenikumbusha mbl daaa😭😭😭😭 ee mungu tusaidie tusikose riziki👏👏👏
@Didah-hf4pw
@Didah-hf4pw 4 жыл бұрын
Pole sana shamsa Allah atakupa mume mwenye khery na wewe utasahau machungu yote nakupenda sana
@joycejohnson3394
@joycejohnson3394 4 жыл бұрын
Pole sana dada naumia sana. Hata mm nina mume wa aina hiyo ss wanawake tunapitia magumu sana.
@Didah-hf4pw
@Didah-hf4pw 4 жыл бұрын
@joyce Johnson Sana mungu yupo Kila mtu atasahau mitihani anayo pitia
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Ameen yarrab 🙏
@halimajuma7765
@halimajuma7765 4 жыл бұрын
@@joycejohnson3394 pole sana Dada umeongea kwa hisia, .mngu akupe subra atakupa many kher na ww
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Da!shamsa pole sana umenifanya nitoe machozi pole sana,mungu atakupa mume mwema inshallah,lakini pia namshukuru zamaradi kwa kipindi kizuri kinafundisha na hata mimi nimejifunza kitu kutoka kwa shamsa.🙏❤
@mkundemsuya2504
@mkundemsuya2504 4 жыл бұрын
Nimejifunza mambo makubwa Asante kwakipindi
@hassanearly2694
@hassanearly2694 4 жыл бұрын
Pole dada Shamsa,kila linalokuepuka linakheri nawe...inshallah Allah atakujaalia mume wa kheri nawe,Rashid atabaki na shari zake na afahamu malipo ni hapa hapa duniani...Love from +254🇰🇪....
@esterdanford5563
@esterdanford5563 4 жыл бұрын
Nimejifunza kuwa mke ni zaidi ya cheo...Mungu akupe kila lililo jema Shamsa.
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 4 жыл бұрын
Wallah iyi interview imeniliza😭😭😭😭😭. Ila pole Shamza Ford. Namungu kunasiku utapata mume sahihi kwako. You deserve to be happy again 😍😍😍😘. InshaaAllah
@dadaiareyamy8982
@dadaiareyamy8982 4 жыл бұрын
Shamsa dada angu ww ni mtu wa kuigwa kwa jinsi ya maisha yako ulivoishi na unavoishi kwa sasa,hakika ya ndoa kweli ni jambo la kustahamili nimehakiki kutoka kwako pia,kweli ww ni mwanmke unaejua kuishi kwa ndoa,Allah akuzidishie subra na uvumilivu akupe mwanaume anaestahiki kuwa na mke ww....Ameen
@swamyamani8247
@swamyamani8247 4 жыл бұрын
Uummhh da zama tunapata shida the voice iko chini mnooooooooooooo hatuenjoy tunafanya kuek cm kwa masikio
@mariondida1219
@mariondida1219 4 жыл бұрын
😀😀😀
@atkamushi
@atkamushi 4 жыл бұрын
Kweli
@queenofireland898
@queenofireland898 4 жыл бұрын
Mbona sauti inasikika Sana Tu
@fatoomefathima5307
@fatoomefathima5307 4 жыл бұрын
Umeonaee
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 4 жыл бұрын
Kweli na mie nilijua ni Simu yangu kumbe ni sauti ipo chini
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Pole...! Nilichogundua hawa watu maarufu wanaishi maisha ya shida mno kuliko tunavyowaona mtandaoni...! Na wengi wanajikaza ili tu kulinda lile Jina lkn wanapitia mengi mno....! Kwanzia kwenye maisha Yao mpka mashabiki wenyewe....! UMAARUFU NI ZIGO LA MIBA
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Kabisa yani bora sis tusiojulikan yetu yanaishia uswahilin hawa wasanii yanaishia katika mitandao
@sir-deogratiasclemencealib2271
@sir-deogratiasclemencealib2271 4 жыл бұрын
Hakika ni majanga tu
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 4 жыл бұрын
Kabisa
@marymollel9319
@marymollel9319 4 жыл бұрын
Wanateseka mno kuliko ata sisi mungu tusaidie👏👏
@alimashaban6318
@alimashaban6318 4 жыл бұрын
Ma sha Allah shamsa umestiri vizuri MUNGU akuzidishie stara Leo na kesho Qiyama,Ameen
@maryamthebosslady6935
@maryamthebosslady6935 4 жыл бұрын
Amiin ya Rabb
@akidasalim3859
@akidasalim3859 4 жыл бұрын
Kuolewa ni maisha magumu sana ukipata mume mpumbavu.Yaani ni janga kubwa .pole sana Shamsa
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 4 жыл бұрын
Nimependa sana maneno yako.kweli ukipata mume mpumbavu ni shida
@nuzlahkhalid2703
@nuzlahkhalid2703 4 жыл бұрын
Yani da shamsa umeongelea maisha yangu kabisa kumbe tuko wengi.mola Atatuwezesha inshallah.
@violethabel5548
@violethabel5548 4 жыл бұрын
Pole sana my dear changamoto tunapitia wengi sana ila furaha yetu ipo2 tuzidi kumuomba mungu
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 4 жыл бұрын
@@violethabel5548 Aamiin
@jaliasaidi7934
@jaliasaidi7934 4 жыл бұрын
Da chemsa yako na yangu yana fana na ni subra tu
@jaliasaidi7934
@jaliasaidi7934 4 жыл бұрын
Jamani wanaume mbona ivo muokopeni mungu
@christopherdonald2045
@christopherdonald2045 4 жыл бұрын
@@jaliasaidi7934 ninyi mnamuogopa mungu
@bahajajuma5947
@bahajajuma5947 4 жыл бұрын
Tujipongeze wanawake kwa uvumilivu tuliojaaliwa👏👏hy ni mmoja kati ya wanawake wengi wanaoteseka kwenye ndoa ama mahusiano!!....tuamke jamani asiekupenda usimpenda.
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 4 жыл бұрын
Huyu dada ana imani yadini ila hajapata mume wa kumtunza angekuwa mbali ishallah utapata mume mwengine mwenye hari na wewe
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 4 жыл бұрын
Kabisa
@swabrakaisary8960
@swabrakaisary8960 4 жыл бұрын
Kabisa walah
@leilamoses172
@leilamoses172 4 жыл бұрын
Fatma Mhamed amenii
@khaulatmohammed3765
@khaulatmohammed3765 4 жыл бұрын
Amin
@rosybalama1023
@rosybalama1023 4 жыл бұрын
mwatum saidi fact’s
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 4 жыл бұрын
Shamsa ni beautiful talented and hard working you don't need a man to be complete tafuta hela enjoy na mwanao
@susans4490
@susans4490 4 жыл бұрын
😳😳
@marianginaijuma4171
@marianginaijuma4171 4 жыл бұрын
Truly said,,,mm pia nimepitia nkaja ona c lazima mwanaume awepo ndio life isonge Mungu kama kakujalia mwana huyo mwana ndio atakupea furaha na ujasiri wa kuendelea na maisha
@daughterofgod9185
@daughterofgod9185 4 жыл бұрын
Jamani hamna ndoa ngumu Kama mme wako ana majibu ya mkato au makali hata akupe nini huwezi kuwa na furaha. Wengi wao huonekana wapole sana nje. I understand you Shamsa very well. Be strong 💪🏽 be happy.
@stellaiyamu5212
@stellaiyamu5212 4 жыл бұрын
It's so painful
@lilianleopold1181
@lilianleopold1181 4 жыл бұрын
Matilda Chilambo true
@salha.d5060
@salha.d5060 4 жыл бұрын
Aiseee sana tena huwezi wazania
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Yaani ni kweli kabisa
@victoriamkongwa2
@victoriamkongwa2 4 жыл бұрын
Pole dada shamsa mi huwa nakupenda na ninjivunia kukuona unapambana kwenye kazi
@neemajoel2392
@neemajoel2392 4 жыл бұрын
Mmmmh ndoa sio kitu cha mchezo u have to pray before kuingia huko
@noalphabetlorehatersonlyal5718
@noalphabetlorehatersonlyal5718 4 жыл бұрын
This guy wanawaita Narcisist in English. Shamsa alikuwa anaishi kwa ndoa ina domestic abuse.....emotional abuse, psychological abuse, financial abuse......I wish my swahili was good. Lakini uki google Narcisist utawatambuwa wanaume au wanawake design hii. Si lazima akupige lakini vtuko vyao!.... na hii tabia si ya kabila fulani, wa Afrika or what. Wako wazungu, wahindi....iko very common na nafurahi watu siku hizi wanakuwa wa wazi...watu walikuwa wakivumila mengi kwasababu kwa nje watu wanamuona kama mtu wa maana.... wanajua kuficha mabaya yao....inasilitisha .Thank you Shamsa for opening up...lesson tu many people. Men and women.
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 4 жыл бұрын
Kama unasikiliza uku unaona coment ka mimi gonga like twende sawa
@SadaSaidy
@SadaSaidy 2 ай бұрын
Tuko pamoja
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 4 жыл бұрын
Shamsa wew ni mvumilivu sana,sijawahi kukomenti kweny interview yeyte tang nimeanza kuftilia kipnd chako zamaradi ila hii ya shamsa kwakwel ni funzo kwangu
@samiraahmed8966
@samiraahmed8966 4 жыл бұрын
Nimelia sana nakuelewa sana maana uliyoyapitia ndio niliyoyapitia mimi wallah yaani mungu huyu umenikumbusha vingi Shamsa Allah atakupa mume mwema Inshaallah
@MA-kh2lr
@MA-kh2lr 4 жыл бұрын
98% ya ndoa wanaume ndio wanachangia ndoa kuvunjika.. Na wake zao kwenda nje sababu ni wao. Wanawake kuwa wajeuri wanachoka sababu ni wao. Wanawake wameumbwa na subra sana alhamdulilah... Lakini dah ni wanaume wachache sana wanaojua utamu wa ndoa.
@georgesteven447
@georgesteven447 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa, mwanaumu unaitaji kuwa na pesa au kipato ili uweze kumtuza mkeo. Lakini wanaume wengi asilimia 70 hawna kipato kizuri na ndio wenye mapenzi yakweli .Mwenye pesa tena umemkuta nazo huwezi mkakaa mpange au kushauriana lazima utakua kama mtumwa wa kila kitu.Nini chakufanya ili yasiwakute manyanyaso .tamaa tupa mbali Usiwe mwanamke wakuchagua sura Au mfupi au mnene . Kila jambo hapa chini ya jua tukimwomba Mwenyeezi Mungu atakukutanisha na mtu sahihi katika maisha yako
@conjetapierre8755
@conjetapierre8755 4 жыл бұрын
@@georgesteven447 hamna kitu tajiri wala maskini ni tabia ya mtu. Hapo shamsa alimkuta chidi na madeni kama yote na akayabeba yeye na anatunza familia yeye mpaka anauza vitu barabarani kama machinga. Wapo wenye utu atadhamini mlipotoka na wapo mashetani akipata ndo mtiririko wa michepuka unaanzia hapo.. Kila mtu apambane tu na hali yake ya uchumi tukutane kwa mapenzi, binadamu hawaeleweki
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 4 жыл бұрын
Kabisa Samiah El Busaidy
@lydiaakimana7988
@lydiaakimana7988 4 жыл бұрын
Nimejikunda nachukia kuolewa unaweza ukaolewa ukisema umechoka maisha ya kuishi single na kuonekana malaya bila hata kuufanya huo umalaya kumbe uko unakoenda ndo unaweza ukafanya hata zaidi ya ukahaba Allah awarahisie wanandoa wote kwa kweli mumelalia mengi pole saana daa shemsa Allah atakushindia kwa yote
@maimunaathman4664
@maimunaathman4664 4 жыл бұрын
Amiin
@mariamfranc8568
@mariamfranc8568 4 жыл бұрын
Lydia Akimana "
@tumujailani4578
@tumujailani4578 4 жыл бұрын
Lydia Akimana aipendez dear
@swaumukareemu9247
@swaumukareemu9247 4 жыл бұрын
Kwakeli wengi walio kwenye ndoa wanalia wanataka kutoka nje tulip nje tunataka kuingia... chamsingi m2 angalie furaha ya moyo wake maana moyo ndio unabeba maumivu na ma tam
@queenandchill91
@queenandchill91 4 жыл бұрын
Walioolewa wengi wanalia ndani kwa ndani....hakuna furaha....mi napenda furaha kwa kweli....naenjoy nikiwa single
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 4 жыл бұрын
You are more than a human Shamsa Mashaallah. You did the right thing Shamsa Mashaallah. Much love❤❤❤
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllah shamsa umependeza Sana, zama tuko pamoja sauti Leo ndogo Sana
@sashawambura
@sashawambura 4 жыл бұрын
Honestly your simply a good wife..you sacrificed alot for your husband and family..God bless you Shamsa..
@justinjoshua1059
@justinjoshua1059 4 жыл бұрын
Da zamaradi sauti imepunguwa saaana,pole Sana Dada kwakuvumilia mengi
@aminamodi8927
@aminamodi8927 4 жыл бұрын
Shamsa you look good napenda nguo yako imekupendeza saaaaaaana USIVAE VIGAUNI VYAKO VIFUPI YOUR VERY SPECIAL DEAR
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 жыл бұрын
Zamaradi yaweke yako wazi ndio uwahoji na wengine sio fair kuhoji wanawake wengine wakati ya kwako ni no comment,
@heriethkusigwa8469
@heriethkusigwa8469 4 жыл бұрын
Chozi la Mwanamke lenye maumivu linalaana kubwa san......Mungu ndo jibu..Ndo maana huwa sihukumu mtu mpk nipate ukweli🙋Shamsa move on gal😍
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 4 жыл бұрын
Hakika alienitenda atalaaniwa na Mungu tu not me
@saidamwambe5412
@saidamwambe5412 4 жыл бұрын
@@priscamlyuka5531 Na wanawake wanaoumiza sana wanaume wapo pia.
@mwanaidmohamed3321
@mwanaidmohamed3321 4 жыл бұрын
Fact
@happinesslyimo8675
@happinesslyimo8675 4 жыл бұрын
Herieth Kusigwa Sure...Halijadondoka bure-100%
@samiraahmed8966
@samiraahmed8966 4 жыл бұрын
Yaani sisi wanawake tunapitia mengi sana wallah ni kweli kabisa wengi wanaishi maisha ya uongo sana kwenye mitandao ila ndani kunawaka moto asikudanye mtu ndoa ni ngumu sana na ugumu hasa wanausababisha ni wanaume yaani mahusiano sasa hivi ni kusema mungu saidia tu.
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 4 жыл бұрын
Shamsa Ford pole sana kwa changamoto ulizopitia...naamini umejifunza kitu..usikurupuke tena,shukuru Mungu hujapata mtoto nae maana ungepata mzigo zaidi wa malezi,bado U have a chance ya kupata ndoa soon...ukituliza akili coz una sababu zote ya kuwa mke...Mwenyez Mungu akufanyie wepesi Inshaalah...Nakupenda sana#Shikamoo Mzee#RipKingMajuto.
@arafampoma3399
@arafampoma3399 4 жыл бұрын
Ayo majina ya kina Rashid ni mtihani sio wanaume ni majanga... Shamsa mungu akuongoze sasa kwailo na nyingine
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 4 жыл бұрын
Wajinga sana pia wanamikosi,haananyota,akina Rashidi siyo
@verenabenjamin7893
@verenabenjamin7893 4 жыл бұрын
Kweli kibisa majina ya Rashid mh majanga tupu
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 4 жыл бұрын
Pole mwaya maisha hayo nishapitia mm tena na zaidi wallah inauma umenikumbusha mbali sana..Allah atakujalia mume wa kheri Inshaallah..usihuzunike sana kila likuepukalo mja lina kheri nawe
@mdmubrak8152
@mdmubrak8152 4 жыл бұрын
Duh ndoainamambo mengi ilamikilasiku namuomba mungu anipatie mume bora mwenyehofu yamungu inshallah
@khadijaamani9807
@khadijaamani9807 4 жыл бұрын
Amiin Yarrab
@nailatanzania7376
@nailatanzania7376 4 жыл бұрын
Amiin thumma amiin yarabil alamiin
@mariamichael6134
@mariamichael6134 4 жыл бұрын
😂😂😂hujajua wewe
@ummybashir6144
@ummybashir6144 4 жыл бұрын
Shamsa hawana shukrani hao wanaume hata uwafanyie nn na kamwe hawasemi ukweli ila nafsi zao ndani kwa ndani zinawasuta , story yk inafanana na yng nilipata mume kama wako tabia zake yani ni kichefu chefu , pole Dada pambana na Allah atakucmamia madhali nia yako anaijua.
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 4 жыл бұрын
Ni vzr mumuangalie Zamaradi maana yeye akiulizwa mahusiano yake na Ruge au mumewe mtishia bastola huwa hafunguki. Msimpe nafac hivyo ilhali yake kayafungia kwenye chumba cha ndani cha moyo wake
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 жыл бұрын
Ana akili zamaradi hatakagi kuweka mambo yake wazi
@beatricechristian9257
@beatricechristian9257 4 жыл бұрын
Belinda Giliard kweli kabisa 😂😂😂
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 4 жыл бұрын
kweli kabilsa, kabla hajamuinterview mwanamke mwengine yeyote inabidi aeleze story yrke na ruge, ili wasichana wajifunze, coz rumour had it, she had a real bad experience for younger gals to learn kwa kuwa eye ni kioo cha jamii, na pia anainfluence wasichana venga hapa tanzania.
@reyham1722
@reyham1722 4 жыл бұрын
@@janekikoti2179 kwahyo hao anaowahoji wanafunguka ni matairaaaaa
@jacquelinedesdery5990
@jacquelinedesdery5990 4 жыл бұрын
Nalo neno dear
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Ndoa ndoa ndoano ndoa ni doa ndoa ntaendelea kuziona kwa watu nimepitia magumu zaid ya shamsa pole dada
@annaamani9626
@annaamani9626 4 жыл бұрын
Sitamani kusikia neno ndoa kiukweli
@sadasaid4408
@sadasaid4408 4 жыл бұрын
Yani umesikitisha Shemsa,Ishallah upate mume wa kheri,maana huna skendo chafu mashallah
@catherinerothbletz6496
@catherinerothbletz6496 4 жыл бұрын
Jamani nywele za dada zama sijazifurahia sjui hazijabana vizuri
@veileronesmo9219
@veileronesmo9219 4 жыл бұрын
Ndo zake mbona huwa anachemka kidogo
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
@@veileronesmo9219 🤣🤣🤣🤣🤣
@nailengai7057
@nailengai7057 4 жыл бұрын
Hata mm hilo nimeliona she's not presentable kabisa
@emmilianamsagath5808
@emmilianamsagath5808 4 жыл бұрын
Catherine Rothbletz kwakweli sijui ni ant-makeup maana hizo nywele duh
@rosekingalu4403
@rosekingalu4403 4 жыл бұрын
Sie tunAetaka ndoa mungu atusaidie sanaa 🙏🏻🙏🏻
@saifysaid7556
@saifysaid7556 4 жыл бұрын
Vp
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
Rose awajalie tuu mmmmh
@fettymussa5932
@fettymussa5932 4 жыл бұрын
Hakika mamy
@aminasalum1954
@aminasalum1954 4 жыл бұрын
Abay tamuu Mashaa ALLAH umependeza,,ndoa bn km kitabu ukion hakisomeki funika tulia utapata kitachosomeka maisha yataendelea eeee
@christinaebiy3336
@christinaebiy3336 4 жыл бұрын
Nakupenda Zamarad Ina maswali ma'am sana na dada Shamsa umenifundisha kitu Wallah, wew ni Mke bora Dada Ila haikuwa Riski tu
@jamilaathumani7950
@jamilaathumani7950 4 жыл бұрын
Pole shemsa wewe uliolewa na mwanaume wa dar,,mim mwenzio sitakuja kumuamin mwanaume yeyote yule ata kama ni mume wng sitampa moyo wng wote hata iweje
@maryflorenceinvestment7532
@maryflorenceinvestment7532 4 жыл бұрын
Hahaaa, Daniel mgogo , aliwahi kusema usimpe binadamu 100% ,coz n zaid kinyonga
@daisybethpaschal7125
@daisybethpaschal7125 4 жыл бұрын
zama please weka tissues.. ziwe zinakaa tu hapo chini incase someone gets emotional.. please.. watu wamekuomba sana please reconsider this.
@agunwanyi6797
@agunwanyi6797 4 жыл бұрын
Daisybeth Paschal kila cku tunasema cjui hasomi coment
@beatricelema3244
@beatricelema3244 4 жыл бұрын
Alichojibu instagram ni kwamba hizi interviews alisharecord muda kidogo ndio maana hamuoni akifanyia kazi comment zenu. Alisema atafanya kwa interview mpya
@khairunmohamed3051
@khairunmohamed3051 4 жыл бұрын
Daisybeth Paschal sauti iko chini sana jaman
@daisybethpaschal7125
@daisybethpaschal7125 4 жыл бұрын
beatrice lema hapo sawa
@faithgeorge7058
@faithgeorge7058 4 жыл бұрын
Daisybeth Paschal hivi kwann haelewi na halifanyii kazi 🙄
@charityusia5897
@charityusia5897 4 жыл бұрын
Nimelia sana maisha yk kama mm tu ndoa hizi acha tu
@liliannahson949
@liliannahson949 4 жыл бұрын
Charity Usia pole sana sana yote yanamwishoooo
@barakarobert3284
@barakarobert3284 4 жыл бұрын
Mm nikiachika ndoa hii siolewi had nakufa kumbe matatizo yetu ni mamoja
@maryflorenceinvestment7532
@maryflorenceinvestment7532 4 жыл бұрын
Kwn nn ufe , ihali life lingne lipo? Toka tu
@fatumakinga7134
@fatumakinga7134 4 жыл бұрын
Pole sana dada, nimejipata nalia yani. Mungu atakupa mume unaestahili🥰🥰🥰🥰❤️
@shaurimfungoni1772
@shaurimfungoni1772 4 жыл бұрын
Pole daa shamsa Mola atakupa mwenye kheir na ww
@sarasalum4554
@sarasalum4554 4 жыл бұрын
Pole jamani asilimia kubwa ya ndoa nyingi khari ni mbaya wengine tunapambana kwa sababu ya watoto ila khari ni mbaya jamani
@luluothman2307
@luluothman2307 4 жыл бұрын
Ndoa za bongo muvi... Kuigana..na asili ya yote huyo chini mapenzi ..alifulia na kuwekwa ndani! Ila biashara iliyokuwa ikimpa pesa sasa imekat!
@marinnadaniel5916
@marinnadaniel5916 4 жыл бұрын
Siku zote olewa na mwanaume anayekupenda zaidi kuliko wewe unavyompenda.ndoa itadumu milele . Mark my words!!
@muubruno5701
@muubruno5701 4 жыл бұрын
Hakika
@helenshagembe8472
@helenshagembe8472 4 жыл бұрын
Fact
@halimanyasame2717
@halimanyasame2717 4 жыл бұрын
Maneno haya niliyasikia kwa shangazi yangu leo nimeyakuta youtube
@fatumamaganga5920
@fatumamaganga5920 4 жыл бұрын
Kabisaaaa
@victoriangalowoka1389
@victoriangalowoka1389 4 жыл бұрын
Haswaaaaa
@fatumaabbakari5951
@fatumaabbakari5951 4 жыл бұрын
Shamsa Leo umenifunza kitu nakupenda Dada angu
@rhodamkungu4237
@rhodamkungu4237 4 жыл бұрын
Pole Da Shamsa. Mungu yu mwema atakupigania. Ujue mtu huwa hajui km ana kitu kizuri mpk kiondoke ndio anashtuka kwamba nimepoteza kitu kizuri. Endelea kumuomba Mungu atakupa mume mwema tena utashangaa. Ili dhahabu ing'ae lazima ipite kwenye moto. Ndio maana ulikua ukisali, bado Mungu alikuonyesha mabaya yake, maana yake ili akubariki lazima utoke hapo, sio mumeo huyo. Atakutafutia mwingine. Hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu Luka 1:37. Mungu akuponye nafsi yako iliyoumizwa kwa Jina la Yesu. Amen. Love you always from USA. Navaa madera yako vipi. Nikija nitakuja kukusalimu, nikutie moyo, ht mm ni.mke na ni mama, kazi yangu ni kutia moyo wengine. Inshallah!!
@halimahassan176
@halimahassan176 4 жыл бұрын
Mashaallah Shamsi umependeza sana mavazi haya yanakupendeza sana. you are my choice Shamsa 😘😍
@suleimanahmed2464
@suleimanahmed2464 4 жыл бұрын
Shamsa waniliza wallah Maana Duuh!pole sana Dadangu ila Mungu yupo na ww.Strength Of Woman.ur the one of a kind wallah.Big up sis!
@aishamtela4413
@aishamtela4413 4 жыл бұрын
Interview hii ilikua Bomba Sana haikuboa imefundisha Sana kwa mwenye kutaka
@childofgod4412
@childofgod4412 4 жыл бұрын
Nawe Zama uweke history yako unaulizaga za wenzio tu sio vizuri
@myrarobert3003
@myrarobert3003 4 жыл бұрын
Duh shamsa maisha unayoyapitianiliyapitia .miaka 10.duh wanaume wacha tu.mimi nilikuwa nalala njaa nikaanza kupika chips.loh ndoa hizi mungu atupe subra.nashukuru lungi nilitoka na niliendelea na maisha yangu sasa nipo vizuri nalea watoto wangu 2
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Da Zama. Weka tissue na ata maji tu
@adefunmioluwadamilola605
@adefunmioluwadamilola605 4 жыл бұрын
Hongera love strong modher
@faridamohamed3561
@faridamohamed3561 4 жыл бұрын
Nakutaka unipe ujuzi
@myrarobert3003
@myrarobert3003 4 жыл бұрын
Njoo my dear nitakupa tu juzi
@xkingx8041
@xkingx8041 4 жыл бұрын
Songa mbele shamsa. Wanawake tunaweza💪💪💪💪
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 4 жыл бұрын
She look so beautiful MashaAllah and sounds so holy..I love Shamsa's level of honesty and boldness. Just a kind advice Zama,if somebody gets emotional you take a break immediately and provide him/her with a tissue coz personally I see every woman as a Mother. I lost mine some years ago so if I see any woman cry my heart always filled with grief. Much thanks for such programs and I wish all the best for Shamsa Insha'Allah. Love from Doha +974
@fatmahussein9642
@fatmahussein9642 4 жыл бұрын
Umejitahidi kadiri ya uwezo wa binaadam kuinusuru ndoa yako ALLAH ATAKUJAALIA MWENGINE MWENYE KHERI NA WEWE
@swaumumustaphamapondanga4707
@swaumumustaphamapondanga4707 4 жыл бұрын
Pole sn shamsa nimejifunza kitu kutoka kwako.....love you shamsa ford
@aishashaban7442
@aishashaban7442 4 жыл бұрын
Daaah shamsa ford uwa nampenda sana,jaman huyu dada n mzur aiseee hiv wanaume mnanin unamuacha mwanamke kama huyu aisee m ningekuw mwanaume ningekuoa
@pascalinasally7116
@pascalinasally7116 4 жыл бұрын
wanaume wengi wanajali hawara kuliko mke.pole shamsa
@pendomweli5650
@pendomweli5650 4 жыл бұрын
Hongera kwa uamuzi wa busara na Mungu sio binadamu hata aseme uongo atakusaidia utamlea mwanao vizuri tu
@sechelelageorge8710
@sechelelageorge8710 4 жыл бұрын
Huyo aliyekuwa mumeo ungemfuatilia historian yake yangu utoto wake huenda hakulelewa na wazazi wote au walezi waliomlea walimlea kibabe kwa hiyo hawezi kuona kama hakuwa mume mwema kwako hakuweza kujaliwa ndo maana na yeye alikuwa hakujali hawezi kuona maumivu yako wala chochote anakuwa hajali tatizo lilianza utotoni huyo usingemuweza kabisa
@zayanaalmarjibi4254
@zayanaalmarjibi4254 4 жыл бұрын
Pole sana Shamsa kwa yote uliopitia, Mungu atakulipia utapata mume mwenye kheri na wewe Bado mdogo sana Shamsa InshaAllah utampata mume mwema kwako
@dn.n4983
@dn.n4983 4 жыл бұрын
Usilia jamani unaniumiza nikija nitakuja kupa pole mungu hakupe nguvu wewe mama shujaa ubarikiwe wewe na mtoto wako
@stellaiyamu5212
@stellaiyamu5212 4 жыл бұрын
Mpaka machozi yamenitoka mungu atakulipa
@mohamedhella7899
@mohamedhella7899 4 жыл бұрын
ndoa ni ibada na ibada haina uwepesi ndo maana wengi wanaishindwa ila kupambana kwa ajili ya ndoa yako licha ya changamoto yoyote ile ndo ushindi,hawa wote walioko kwenye ndoa sio kwamba mambo ni mazuri hivyo ila vitu vingi watu wanapuuza na maisha yanaendelea lakini ukiona huna bahati na kila mtu hafai ,yaani hii dunia kila nikuwa imara na kusimama upande wa mungu.
@ashaabdallah1718
@ashaabdallah1718 4 жыл бұрын
Hii interview nzuri Shamsa yuko open... anatufurahisha na kutufunza mashabiki... Zamaradi unahost vzuri tatizo sauti iko chini kdg
@leylahmsosa8793
@leylahmsosa8793 4 жыл бұрын
All In All shamsa ni mtu mwenye upendo Mashaa’Allah 💓
@alimashaban6318
@alimashaban6318 4 жыл бұрын
Hilo jirashidi ni gume gume kamwe!MWENYEZI MUNGU atakupa alie wa kheri kwako habibty wewe bado mrembo mbona,afadhali mtu kama hakupendi akuache tu roho safi kuliko majibu hayo ya mkato!na mwanamume akisha anza mpango wa kando ndio huanza majibu kama hayo,pole sana dadaa ila asante sana shamsa tumejifunza mengi kupitia kwako
@Mindsetting4success680
@Mindsetting4success680 4 жыл бұрын
Zamaradi, please put some tissues and water to drink, some people are so emotional,
@stellahmutheu9249
@stellahmutheu9249 4 жыл бұрын
Pole sana Dadangu shamsa sjawahi fuatilia interview nkamaliza ila hii yako nmeimaliza am also a single mother but being a single mum is not easy at the same time not all married people are enjoying their marriage so take it easy and work hard to secure the future of ua kid! My daughter was only 6yrs wen I lost my husband and I thank God today my daughter is 12yrs old Alhamudhlilahi! Pambana and be happy much love from +254
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 4 жыл бұрын
90% ya wanawake bongo wapo kwenye ndoa kama hiyo mateso wenye ujasiri ndo watatoka wanyonge watabaki
@lykamlaki7120
@lykamlaki7120 4 жыл бұрын
Ongeza sauti kidogo upande wa pili wasikie
@matridalule9918
@matridalule9918 4 жыл бұрын
Acha wabak mama mm nimetoka saiz full raha nikiamua kunywa nakunywa nalala kwa raha zangu
@ishaahmed9568
@ishaahmed9568 4 жыл бұрын
na ukitoka ama kuanza kudai wewe talaka.....unakuwa termed vibaya
@najma3268
@najma3268 4 жыл бұрын
Maria James mi tangu nilitumiwa nikiwa Dubai 🤣sms ilitumwa kwa jia ya whasp
@KigabiAzizi
@KigabiAzizi 4 жыл бұрын
Siyo bongo tu dada duniani kote
@marymollel9319
@marymollel9319 4 жыл бұрын
Umeniliza shamsa umenikumbusha mbl sn ee mungu tusaidie👏👏
@hamadharerimana8187
@hamadharerimana8187 4 жыл бұрын
sauti iko chini sanaaaaaaaa.....SHEMSA YOU ARE VERY STRONG...U MADE ME TEAR UP
@leahavyarimana3731
@leahavyarimana3731 4 жыл бұрын
Nakupenda sana mwanake jasili kwa hongera umependeza umefaa kislama 👌👌👌👌
@mgenisuleiman56
@mgenisuleiman56 4 жыл бұрын
Yarabb niepushie mateso kwenye ndoa yangu, mmh inauma kweli sana dada ila usikate tamaa mungu atakufungulia njia 🤲🤲😭
@graciesamuel7680
@graciesamuel7680 4 жыл бұрын
Shamsa mamii I feel your pain. this is is the most emotional interview so far. wanawake wengi tupo kwenye toxic relationships na tunaogopa kuondoka. wanaume wamekuwa makatali sana. Mungu aendelee kukupa nguvu mama. Ila hawa wanaume hawa??!!! Mungu anawaona
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 4 жыл бұрын
Kwakweli
@timlex7375
@timlex7375 4 жыл бұрын
Tumeambiwa kuishi nanyie kwa akili
@munirasalim148
@munirasalim148 4 жыл бұрын
@@1stladyafrica402. I 9
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Pole sana my dear *SHEMSA* asilimia 90% ya wanaume wako hivyo, Sina hata ham nao hawa watu.
@zulfashemsanga1617
@zulfashemsanga1617 4 жыл бұрын
Pole Shamsa ni mitihani ya ndoa,nimejifunza kwamba Mwenyezi Mungu ndio kila kitu sisi hatuwezi kumjua mtu kiundani kabla ya ndoa ila Mwenyezi Mungu ndiye anayejua yalioyojificha. Tumuombe sana Mungu kabla ya kuingia kwenye ndoa.
@zulfashemsanga1617
@zulfashemsanga1617 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@yusrangombe1309
@yusrangombe1309 4 жыл бұрын
Shamsa Maisha uliopitia ndo Maisha niliyonayo ndugu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 жыл бұрын
Pole mpenzi,na ndio maana wanasema wanaume wote baba mmoja mama mmoja
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 жыл бұрын
Ukiona vipi sepa. Usije pata maradhi ya moyo. Mimi nina miaka sabasasa tokanisepe. Niliyoyapata Allah shahidi
@zuwenaali4873
@zuwenaali4873 4 жыл бұрын
Yusra pole sn
@zeidytheislandgirl7616
@zeidytheislandgirl7616 4 жыл бұрын
@@ashuuuaisha9122 hongera san
@mmn7480
@mmn7480 4 жыл бұрын
Kweri my
@mariamshee934
@mariamshee934 4 жыл бұрын
Subhanallah mapenzi yakisela hayo bado napambana nayo nikishindwa naliachia pia mm umenitia moyo kua bila wao tunaweza mungu atawaongoza kama mm likitoka halirudi maisha Mema shamsa mungu akuezeshe inshallah rashidi hajawai kua nahofu yamungu ndio akawa na kupa majibu ya kibabe na dharau mungu hulipa kwa wakat wake ipo siku atakukumbuka
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 4 жыл бұрын
Chidy sio family man.ni msela sana.pole shamsa
@shamsakambi4893
@shamsakambi4893 4 жыл бұрын
Daaaah wajina wang!! I can't stop my tears walah 😢pole sana *shamsa* ndo tulivogo majina haya ila allah atakupa wakukujali.nakupenda
@jackmalipo4774
@jackmalipo4774 4 жыл бұрын
Pole Sana Usjali utapata mwegine
@mashaali2409
@mashaali2409 4 жыл бұрын
Nhc bado anampenda aliyekuwa mumewe but hawezi kurudi kutokana tuu amemuumiza sana. Pole Shamsa
@azizakwileka1686
@azizakwileka1686 4 жыл бұрын
Mwanaume mwenye ujana mwingi hafai kuwa mume na hata kuwa baba katika familia.. Aagh
@neemapalanjo4208
@neemapalanjo4208 4 жыл бұрын
Aziza Kwileka kabisa my
@consolatafilimbi1721
@consolatafilimbi1721 4 жыл бұрын
Kauli ya kusema mwanaume akiwa na shida anakuwa na mahaba ni kweli kabisaaaaaa
@annaamani9626
@annaamani9626 4 жыл бұрын
Kabisa
@marjoriehebron2624
@marjoriehebron2624 4 жыл бұрын
Pole shamsa umevumilia mengi pamoja na lile pua lake kama skert ya solo
@lareineminah1353
@lareineminah1353 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 una nini alakini
@febroniamichu9046
@febroniamichu9046 4 жыл бұрын
Janeth Mwansasu ahahaaaaa
@asiakumpuni1512
@asiakumpuni1512 4 жыл бұрын
Atari pua kma nn
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 жыл бұрын
Umevaa vizuri shamsa ndio uislam
@mariamjumanne8664
@mariamjumanne8664 4 жыл бұрын
Pole sana shamsa, kwel msema peke mshindi kwa jinsi chid alivyoongea kwny interview yke alionekana yy ndo mwema, kumbe! Allah akujaalie upate mume mwema atakayekupenda na kukuthamin
@jackmalipo4774
@jackmalipo4774 4 жыл бұрын
Pole Sana Dada
@mariamkiharo6345
@mariamkiharo6345 4 жыл бұрын
Mnaolalamika sauti ndogo mnatumia simu gani? Tunaotumia tecno tujuane mana sauti kama yote
@sophmsuya3730
@sophmsuya3730 4 жыл бұрын
😀😀
@stumaiabubakar883
@stumaiabubakar883 4 жыл бұрын
😊😊😊
@peacelatin2665
@peacelatin2665 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@vivianmariya8719
@vivianmariya8719 4 жыл бұрын
Wewe shamsa uliingia kwenye ndoa bila kimjia mwanaume vizur
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@سلمىسيف-غ7خ
@سلمىسيف-غ7خ 4 жыл бұрын
Pole sana dada shamsa mungu yupo nww endelea kuomba usiku namchana Inshaallaah
@romillymabroko2221
@romillymabroko2221 4 жыл бұрын
Shikamoooo NDOA🙌🙌🙌🙌 ila shamsa we n mke jmn M.mungu akujaalie umpate mwny kher na ww
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 жыл бұрын
Very natural,hajabandika mikucha nini, yaani mwanamke ametulia,kweli huyu mke! Yesu atakupa mume mrembo usijali!
@nasramasimba3532
@nasramasimba3532 4 жыл бұрын
Leo sound iko low kidogo... Plz hili tatizo naomba ulizngatie mamaa c unajua one mistake one Goal....
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 4 жыл бұрын
Na endelea kuvaa hivyohivyo umependeza sana..Allah atatufikisha kwa sote Yaarabb...wewe ni mwanamke na nusu unajielewa sana Shamsa MaashaAllah...don't let people take ur kindness for weakness...u will be fine
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 жыл бұрын
Majibuu ake kama ya ex wngu nikasemaa isiwee shidaa asante mungu 🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢pole dada yngu
@mwanapilisalim3568
@mwanapilisalim3568 4 жыл бұрын
duuuhh pole dada shamsa mungu atakujaalia yule anae kupenda kwa dhati mwenye mapenzi ya kwel mwenye huruma na mwenye kukujali Aamiin thumma Aamiin
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 39 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 39 МЛН
PLAN B _ Episode 17
45:22
kp wa Aquino
Рет қаралды 21 М.
Cook with Wema Sepetu - S05E09 Shamsa Ford
8:06
Wema Sepetu
Рет қаралды 37 М.
Umepewa mali, mume una myima, utaanguka tu!
18:33
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 20 М.