Hallo mwambere victar napenda sana mafundisho Yako Niko Nairobi kenya
@PeterMwidete-wm5sh Жыл бұрын
Mwalimu nakubali
@alqaasim_a_tz24124 жыл бұрын
Thanks brother somo Zuri sana Na Allah atukubalie kuzipata pesa kwa njia za halali zinazo mridhisha Allah, Ila kwa miziki na mfano wake hizo ni pesa Haraam na hazina lolote zaidi ya laana tu
@morefireministrychurch1774 жыл бұрын
Brother mungu hachagui jizi unapata pesa bora Usi uwe ama kuiba ndio lkn tumia akili ili uishi
@mugishanasra19193 жыл бұрын
Manshallah muna tu fundisha kweli
@odhiaodhia98984 жыл бұрын
Somo zuri sana, hata ongea ya leo ni nzuri sana, tunajua hayo yote uliyosema ni sahihi, unakuta unajaribu jambo kwa nguv zote na umakini lkn unafel
@jichofoundationtv68934 жыл бұрын
mwambena sasa ivi we ni wa moto sana unashusha madini yenye lishe hasa hapa ndo mahali pako sahihi
@phatackbatange49883 жыл бұрын
Unarudia kitu kimoja mara kadhaa, point moja ya msingi unaigawanya na huifanya ziwe nyingi. Kimsingi unazungumza jambo moja au mawili na sio matano. Boresha zaidi katika kuchambua point na sub-point
@hmytechnologieslimited49084 жыл бұрын
Hongera ndugu yangu victor mwambene great content
@msongarichard13053 жыл бұрын
YES
@twahirustima2814 жыл бұрын
My name is "Twahiri stima" Nafaidika na mawazo toka humu muumba awazidishie maarifa nasi tuchote toka kwenu
@morefireministrychurch1774 жыл бұрын
Ww ndio Unajua kufundisha mtu vizuri nimekuelewa kbs
@cryptoisourlife3 жыл бұрын
ahsante kaka
@prettyroxy74904 жыл бұрын
Somo zuri xanaa
@judithmwambe47674 жыл бұрын
Thanks Br Victor
@msongarichard13053 жыл бұрын
Big yes
@kingssimbahh9324 жыл бұрын
Mzee hiii imetulia san Goood
@barakamrema66054 жыл бұрын
Nzurii
@shadyniyo2 жыл бұрын
Ahsante sana mwambene kwasomo hili Mungu akubaliki ,lakini naomba unisaidie kujua Ninamnagani nitaandaa kichwachangu Ili niwenamawazo yaliyo sahihi ?
@rukiamusa99164 жыл бұрын
Point tekken kaka brother thanks alort
@mossesdaudi46173 жыл бұрын
Good tearching man
@ramadhanjuma55264 жыл бұрын
"information it's very very essential for success"
@priscasaidi66052 жыл бұрын
Hero naweza kupata namba yako pls
@regnardedward46294 жыл бұрын
We need changes
@muzsajungles78234 жыл бұрын
Sante sana brother nimekua fans wako kwanzia sasa🙏🙏
@gaudensiamponela65994 жыл бұрын
Nice brother
@alqaasim_a_tz24124 жыл бұрын
Mlio comment mwanzo Nawaombea kwa Mungu awafungue Akili, Yaani mtu anakupa Njia za kufanikiwa Unaanza Kumuuliza wewe umefanikiwa? Tambua pia kuna kitu Maamuzi ya Mungu, Huwenda mtu njia zote anazo na Mungu hajamruhusu ila Wewe ukapata hiz mbinu kutoka kwake na Mungu akakuruhusu kupitia mbinu hizo Ulizo pewa na huyo aliyeshindwa kufanikiwa kwa mbinu hizo, JIFUNZE KUJIONGEZA SIO KILA UNACHO ELEKEZWA NA MTU LAZIMA NAYE AWE NACHO, nilishaa Wahi Pata Ushauri wa usafi kutoka kwa Chizi wa mtaani mpaka sasa nadunda kwa ushauri wake Jifunze kujiongeza
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Asante sana kwa maono haya. Umefafanua vizuri. Kila kitu ni mipango ya Mungu ila tuendelee kuweka juhudi zetu
@odhiaodhia98984 жыл бұрын
Kama ni Mungu anaruhusu kuna haja gani ya kujifunza si tusubirie tu Mungu aruhusu
@successpathnetwork4 жыл бұрын
@@odhiaodhia9898 Mara ya mwisho uliona Bakhresa na Mo wanafundisha mafanikio ilikua lini?
Yes bro some timz naamini kua. Wapi watu katika maisha yetu wanafanyika Kama Daraja la sisi kuvuka kwenda mahali flani. Ila wao wako sehem ileile kila siku...
@kbdesgners4 жыл бұрын
Hakika bro ipo ivo
@lukasignace88704 жыл бұрын
Safi
@laurentkgm88454 жыл бұрын
Najuaje kipaji changu
@hassanovajunior69723 жыл бұрын
Thank you my brother Victor 🙏
@jumaaomariiy83484 жыл бұрын
Nimekupata kaka
@baloziubalozini50744 жыл бұрын
On point
@zahrakitchen58804 жыл бұрын
Point👏
@jocety44264 жыл бұрын
Asante. Bro.🙏
@fidmasho15744 жыл бұрын
Asante
@hamonyyusto99074 жыл бұрын
Mm nina kpaj nikickia ivi uwa naumia Sana kak
@hassaniothumani55014 жыл бұрын
Dah umenifungua akili bro mi kuanzia leo nikisikia majumba yameezuliwa kwa upepo mi naenda kuwauzia matulubal 😃
@aminaalid97453 жыл бұрын
Hahaha chizi we Nmecheka hahaha
@ismailmweta74394 жыл бұрын
Ndiyo maana wazungu wanatengeneza matatizo, vita ugonjwa na vita ili wapate pesa
@odhiaodhia98984 жыл бұрын
Maskini ushauri yale aliyoyasoma kwenye kitabu, ukija kwenye maisha halis kuna mambo mengi sana
@barakagabriel85504 жыл бұрын
🙏
@delsbeatstz47324 жыл бұрын
Ili mwalimu aliweke ni lazima awe amepitia uwanafunzi. Ili tajiri aeleweke ni lazima awe amepitia shida katika kufanikiwa kwake. Huwezi kumfundisha mtu namna ya kupata mavuno mengi ikiwa wewe mwenyewe hujawahi kuvuna mavuno mengi mafundisho yako yatakuwa ni magumu kweli kweli kueleweka kwa sababu huwezi kuwafundisha wenye njaa namna ya kushiba wakati wewe mwenyewe una njaa. Na huwezi kumfundisha mtu kwa kitabu ambacho ndio unakipitia muda huo huo unaofundisha !! Inanishangaza na kunihuzunisha sana kuona kijana anakinadi kitabu chenye mbinu na mafanikio ilihali yeye yu masikini !! Fundisha yanayoonekana kwako usifundishe yasiyoonekana kwako !! Truth hurts, ukiumia utayafanyia kazi maumivu yako au kile kinachokuumiza !!
@hmytechnologieslimited49084 жыл бұрын
Coach don't play young boy😆😆😆
@delsbeatstz47324 жыл бұрын
@@hmytechnologieslimited4908 We are not talking about sports we are talking about reality in life, you cant convince how sweet life is unless you have tested it !!🤣🤣
@successpathnetwork4 жыл бұрын
JIBU LA EZDEN JUMANNE - (SPN Founder) Hizi comment za namna hii nazitarajia kuna wakati lakini labda niwatoe wasiwasi kuwa ukiona nimempa mtu nafasi kwenye platform yangu unatakiwa upate maswali ya kujiuliza kwamba kwanini EZDEN kamuweka hapa mtu huyu? Kamuamini vipi? Now, let me say about Victor, huenda kweli hana mafanikio hayo ya kuonekana lakini kwa mimi yeye ni kijana aliyefanikiwa tayari kwa hatua nyingi sana mbele ya watu wengi tu waliomzidi umri na wenye ajira na biashra zao ambao bado wana-struggle sana kupanga maisha yao. Tuanzie hapa mafanikio ni nini? Natoa jibu toka kwa muhamasihaji mkubwa sana au mwalimu wa mafanikio aliyesaidia watu wengi sana anaitwa JIM RHON (google taarifa zake) anafafanua mafanikio kwa kusema, "Success is what you attract by the person you become" isome tena na tena nukuu au maana hiyo huenda ukabadili mtazamo kuhusu mafanikio ni nini na aliyefanikiwa ni nani. "Mafanikio ni kitu unachokivutia kwa aina ya mtu ambaye unakuwa" KUMKUBALIA VICTOR KUWEPO HAPA KWENYE SPN PLATFROM: Ni sababu he's a fighter, I'm inspired by his life, discipline kwenye maisha yake, anaishi katika ratiba maalum kwa ufupi anaishi katika ratiba au tabia zote za mafanikio KITU AMBACHO WENGI HAWAWEZI... Yuko kwenye njia ya kuelekea juu, anakwenda kufanikiwa zaidi sana sana kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Ukirejea tafsiri ya Jim Rhon hapo juu napata kumuona nini anakivutia kwa tabia na mwenendo anaoishi nao. Pia Mungu kampa uwezo wa kufundisha (kipaji) ana maono...ukizaliwa hivyo wewe upo hivyo, ukipata mwongozo sahihi hauwezi kusubiri mpaka upate pesa ndio uanze kufundisha watu ili wakuamini. sometimes in life someone else can take you to a jourey within yoourself that you can never go by yourself (ISOME VIZURI NUKUU HII). Kama ningemuona hivyo ulivyomuandika Victor basi asingekuwa hapa sababu watu kama hao uliowazungumza wapo wengi sana, nawaona ila sio Victor. Mungu atupe umri uje kuwa shuhuda wa hili. Swali langu kwako kama mafanikio ni tabia na mwenendo na fikra zako. Vipi fikra zako zitakufungulia njia ya kufanikiwa kama pale kwenye elimu (suluhisho) wewe ndio unaona panafaa kupachafua? Before killing the messenger, did you get the message? - EZDEN JUMANNE.
@successpathnetwork4 жыл бұрын
@@hmytechnologieslimited4908 JIBU LA EZDEN JUMANNE - (SPN Founder) Hizi comment za namna hii nazitarajia kuna wakati lakini labda niwatoe wasiwasi kuwa ukiona nimempa mtu nafasi kwenye platform yangu unatakiwa upate maswali ya kujiuliza kwamba kwanini EZDEN kamuweka hapa mtu huyu? Kamuamini vipi? Now, let me say about Victor, huenda kweli hana mafanikio hayo ya kuonekana lakini kwa mimi yeye ni kijana aliyefanikiwa tayari kwa hatua nyingi sana mbele ya watu wengi tu waliomzidi umri na wenye ajira na biashra zao ambao bado wana-struggle sana kupanga maisha yao. Tuanzie hapa mafanikio ni nini? Natoa jibu toka kwa muhamasihaji mkubwa sana au mwalimu wa mafanikio aliyesaidia watu wengi sana anaitwa JIM RHON (google taarifa zake) anafafanua mafanikio kwa kusema, "Success is what you attract by the person you become" isome tena na tena nukuu au maana hiyo huenda ukabadili mtazamo kuhusu mafanikio ni nini na aliyefanikiwa ni nani. "Mafanikio ni kitu unachokivutia kwa aina ya mtu ambaye unakuwa" KUMKUBALIA VICTOR KUWEPO HAPA KWENYE SPN PLATFROM: Ni sababu he's a fighter, I'm inspired by his life, discipline kwenye maisha yake, anaishi katika ratiba maalum kwa ufupi anaishi katika ratiba au tabia zote za mafanikio KITU AMBACHO WENGI HAWAWEZI... Yuko kwenye njia ya kuelekea juu, anakwenda kufanikiwa zaidi sana sana kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Ukirejea tafsiri ya Jim Rhon hapo juu napata kumuona nini anakivutia kwa tabia na mwenendo anaoishi nao. Pia Mungu kampa uwezo wa kufundisha (kipaji) ana maono...ukizaliwa hivyo wewe upo hivyo, ukipata mwongozo sahihi hauwezi kusubiri mpaka upate pesa ndio uanze kufundisha watu ili wakuamini. sometimes in life someone else can take you to a jourey within yoourself that you can never go by yourself (ISOME VIZURI NUKUU HII). Kama ningemuona hivyo ulivyomuandika Victor basi asingekuwa hapa sababu watu kama hao uliowazungumza wapo wengi sana, nawaona ila sio Victor. Mungu atupe umri uje kuwa shuhuda wa hili. Swali langu kwako kama mafanikio ni tabia na mwenendo na fikra zako. Vipi fikra zako zitakufungulia njia ya kufanikiwa kama pale kwenye elimu (suluhisho) wewe ndio unaona panafaa kupachafua? Before killing the messenger, did you get the message? - EZDEN JUMANNE.
@femidaamiri27194 жыл бұрын
Daresay Zuri sana
@yusufkishiwa64554 жыл бұрын
Kaka pamoja na kutufundisha yote haya je wewe umefanikiwa katika kiwango gani katika pesa?
@kbdesgners4 жыл бұрын
Amefanikiwa kukuelewesha wew utambue ilo
@khadijajuma71424 жыл бұрын
Amefanikiwa kuwa na elimu kukuzidi ww, ndo mana anakufundisha ili uendelee kupanua ubongo wako uingize pesa zaidi ya ulizonazo.
@hafidhially59014 жыл бұрын
Yusuf Kishiwa ,kwa hili swali lako ,unatakiwa kufundishwa na kina Bill Gate pekee....
@successpathnetwork4 жыл бұрын
JIBU LA EZDEN JUMANNE - (SPN Founder) Hizi comment za namna hii nazitarajia kuna wakati lakini labda niwatoe wasiwasi kuwa ukiona nimempa mtu nafasi kwenye platform yangu unatakiwa upate maswali ya kujiuliza kwamba kwanini EZDEN kamuweka hapa mtu huyu? Kamuamini vipi? Now, let me say about Victor, huenda kweli hana mafanikio hayo ya kuonekana lakini kwa mimi yeye ni kijana aliyefanikiwa tayari kwa hatua nyingi sana mbele ya watu wengi tu waliomzidi umri na wenye ajira na biashra zao ambao bado wana-struggle sana kupanga maisha yao. Tuanzie hapa mafanikio ni nini? Natoa jibu toka kwa muhamasihaji mkubwa sana au mwalimu wa mafanikio aliyesaidia watu wengi sana anaitwa JIM RHON (google taarifa zake) anafafanua mafanikio kwa kusema, "Success is what you attract by the person you become" isome tena na tena nukuu au maana hiyo huenda ukabadili mtazamo kuhusu mafanikio ni nini na aliyefanikiwa ni nani. "Mafanikio ni kitu unachokivutia kwa aina ya mtu ambaye unakuwa" KUMKUBALIA VICTOR KUWEPO HAPA KWENYE SPN PLATFROM: Ni sababu he's a fighter, I'm inspired by his life, discipline kwenye maisha yake, anaishi katika ratiba maalum kwa ufupi anaishi katika ratiba au tabia zote za mafanikio KITU AMBACHO WENGI HAWAWEZI... Yuko kwenye njia ya kuelekea juu, anakwenda kufanikiwa zaidi sana sana kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Ukirejea tafsiri ya Jim Rhon hapo juu napata kumuona nini anakivutia kwa tabia na mwenendo anaoishi nao. Pia Mungu kampa uwezo wa kufundisha (kipaji) ana maono...ukizaliwa hivyo wewe upo hivyo, ukipata mwongozo sahihi hauwezi kusubiri mpaka upate pesa ndio uanze kufundisha watu ili wakuamini. sometimes in life someone else can take you to a jourey within yoourself that you can never go by yourself (ISOME VIZURI NUKUU HII). Kama ningemuona hivyo ulivyomuandika Victor basi asingekuwa hapa sababu watu kama hao uliowazungumza wapo wengi sana, nawaona ila sio Victor. Mungu atupe umri uje kuwa shuhuda wa hili. Swali langu kwako kama mafanikio ni tabia na mwenendo na fikra zako. Vipi fikra zako zitakufungulia njia ya kufanikiwa kama pale kwenye elimu (suluhisho) wewe ndio unaona panafaa kupachafua? Before killing the messenger, did you get the message? - EZDEN JUMANNE.
@successpathnetwork4 жыл бұрын
@@hafidhially5901 Asante!
@jichofoundationtv68934 жыл бұрын
mwambena sasa ivi we ni wa moto sana unashusha madini yenye lishe hasa hapa ndo mahali pako sahihi