Yaani nimependa bure! Ukiambiwa Mimi Niko Lushoto kwa miaka mingi na sijawahi kufika LAWNS hotel. Asante Sana kwa kutujulisha haya yote kuhusu yote. Hakika nitaenda siku moja!
@omariSalimu-u7y5 ай бұрын
Mmesema iko lushoto sehemu gani ungeleza mtu anafikaje hapo hotelini