Рет қаралды 8,421
Kufanya uamuzi wa wapi ukae ukiwa chuo inaweza kuwa jambo gumu sana, na hivyo Leo nimewaletea Faida na hasara za kila mahali (hostel au kupanga), ili we we mwenyewe uchague pa kukaa.
Tuwasiliane : / abiblegirl_
Please SUBSCRIBE ili kuona video nitakazoendelea kuzipost.
SUBSCRIBE hapa :
/ @maishayachuo
Usisahau kushare na marafiki, sharing is caring..
Kusoma posti niliyoandika kuhusu mambo ambayo sisi vijana inabidi tianze kuyafanya mapema :
abiblegirl.com...
Kusoma kuhusu jinsi ya kujiandaa na safari za mikoani ili usafiri comfortably (kwa wale wanaoenda mikoani kusoma) : abiblegirl.com...
Kusoma vitu ninavyotamani first year wavijue kabla ya kwenda chuo : abiblegirl.com...
Eun - Maisha ya Chuo