FAILI LA DOGO ALIEMTUNGUA DONALD TRUMP LINASHANGAZA. F.B.I WANASHINDWA KUMUELEWA

  Рет қаралды 19,361

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

Пікірлер: 84
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 3 ай бұрын
Naomba sana tena sana story ya germany flight 2015 rubani kichaa alieangusha ndege na kuua watu 150
@MbarakSoud
@MbarakSoud 3 ай бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN sasa wazungu wanaangaika kwa nini wako mitume wanauwezo wa kumfufua mtu wamfufue wamuulize alafu arudi tena kwenye umauti wakristo mpo wapi jamani
@Msafirimakini
@Msafirimakini 2 ай бұрын
Umeongea upumbavu mtupu bro sijui unavuta bangi ya arusha
@MbeziAmos
@MbeziAmos 3 ай бұрын
wa 19leo😂 , em nipeni like zangu jaman
@vononlinetv6396
@vononlinetv6396 3 ай бұрын
Boss si siku 1 utuelezee mambo ya matrix
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 3 ай бұрын
Watu wanahangaika kitaka kumpiga marekani wakati wapo vijana wenye uwezo
@Khadijahamza-o2n
@Khadijahamza-o2n 3 ай бұрын
Wa kwanza leo nipeni like zangu
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 3 ай бұрын
Waliosikia msimuliaji akimtaja Bideni kama Rais wa zamani wa marekani tujuane kwa like hapa 👍
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 3 ай бұрын
Ukisia paah ujue imekukosa ,alierenga Hana shabaha amefanya makosa😅😅
@japhetkarori5230
@japhetkarori5230 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@devisshirima6780
@devisshirima6780 3 ай бұрын
Hivi kumbe Trump na yeye anatoka damu nlijua wanavuja diesel au mafuta ya ndege 😂😂😂😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 ай бұрын
Uko na ujinga sna
@funganjiajustinselemani5067
@funganjiajustinselemani5067 2 ай бұрын
Ilo tukio sio feki Mkuu wangu 🇨🇩
@franssmoses6791
@franssmoses6791 2 ай бұрын
Ipo wazi kabisa tukio ni la kutengenezwa
@ismailisuma1075
@ismailisuma1075 2 ай бұрын
Tukio la kutengenewza trump amenusurika kupasuriwa kichwa😢
@mussaidriss5662
@mussaidriss5662 3 ай бұрын
Please Brother Justen Shedy tueleze mambo ya MATRIX
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 ай бұрын
Vitoto vya elfu 2 vinasumbua hadi marekani
@josenyambeo3587
@josenyambeo3587 3 ай бұрын
Cyo kweli
@MichaelBernad-s3t
@MichaelBernad-s3t 2 ай бұрын
naomba hadithi ya princess diana na phia ule wimbo wa michael jackson wa dirty diana ulikuwa na uhusiano fln kuhusu huyo prncess diana j?? plz justin naomba maelezo
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 3 ай бұрын
Hayo ndio madhara ya raia kumiliki bunduki kirahisi
@devisshirima6780
@devisshirima6780 3 ай бұрын
System!! System!! System!! Mfumo !! Mfumo !! Mfumo !!
@martinfrancis9808
@martinfrancis9808 3 ай бұрын
Ahsante Sana kaka tileteee nyingine
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 3 ай бұрын
Wamemuwa huyu wamejuwa atawataja walio mtuma
@Younomane
@Younomane 2 ай бұрын
Iri hariingiyi kakirini
@funnytiktok0904
@funnytiktok0904 3 ай бұрын
Bro naoma video kuhusu historia ya kampuni ya FedEx toka kuanzishwa na namna inavyo fanya kazi🙏
@Ostaziytgames
@Ostaziytgames 3 ай бұрын
Acheni kudanganya 😂😂😂
@Alexkipkorir-o4j
@Alexkipkorir-o4j 3 ай бұрын
Kenya tuko Ndani 🇰🇪🇰🇪
@danielkombe1760
@danielkombe1760 3 ай бұрын
Unyama
@haggaemkulungu9447
@haggaemkulungu9447 3 ай бұрын
Asingeuliwa huyo kijana ningeunga mkonio kuwa ni feki
@SaadSaad-iw2yu
@SaadSaad-iw2yu 3 ай бұрын
Mbona hajaitwa gai
@nelsonnikodem1100
@nelsonnikodem1100 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 umeuliza swali la msingi
@mashanjepa9203
@mashanjepa9203 3 ай бұрын
Ila mwangoza Kamela uwenda alipitiwa na usingizi apa kunamkangayiko kidogo
@pauldotto7868
@pauldotto7868 3 ай бұрын
Hili tukio sio feki . Angekufa frump mungu alikuwa upande wake
@MabulaMaguta
@MabulaMaguta 3 ай бұрын
Afe wap katengeneza tukio
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 3 ай бұрын
​@@MabulaMaguta yaani katengeneza tukio na dogo auwawe pia?
@Mtumakini
@Mtumakini 3 ай бұрын
Mbona ujatuambia aliwezaje kufika pale na ukaguzi wote ule
@chiefkibona7309
@chiefkibona7309 3 ай бұрын
Kichwa chako cha khabari ni chenye chuki juu ya Donald Trump. Donald Trump the man and half servant of GOD.
@nakeidepaulo2766
@nakeidepaulo2766 3 ай бұрын
Mtoto wa mwanasaikolojia Daah anyway mganga hajigangi
@Godwisdom2
@Godwisdom2 3 ай бұрын
Asante
@ruubenjr-gr5qx
@ruubenjr-gr5qx 3 ай бұрын
apa kama FBI na CIA Wamekosa majibu sie wabongo hatuwez kuota majibu kaka haha!!
@IddySimba-fp2cc
@IddySimba-fp2cc 3 ай бұрын
Dah umekosaje pale
@bladleyabdul5145
@bladleyabdul5145 2 ай бұрын
Uu ni mchongo
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 3 ай бұрын
We jamaa Joe Biden ni Rais wa zamani wa Marekani?Hebu kuwa serious kidogo!
@willymaulidi3991
@willymaulidi3991 3 ай бұрын
Bila uchunguzi usio kuwa huru.unategemea nini?
@ABDALLAHKAHITE
@ABDALLAHKAHITE 3 ай бұрын
Wapili leo
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 3 ай бұрын
Huwezi kufanya tukio fake kwa kulenga kichwa
@AbdallahMihiko
@AbdallahMihiko 3 ай бұрын
Me mwenyew kama naanza kuamin kuwa ni tukio fek kwa maelezo uliyoyatoa kumuhusu huyo dog kwamba hakuwah kujihusisha na maswala ya ugaid
@ManJPaul
@ManJPaul 3 ай бұрын
Sasa mzee Trumple ananjaa gan mpaka atengeneze inshu ya kuonewa huruma na watu wampe kula? Risasi ipite sikioni vp ingempata napo wangesemaje?....
@AbubakalMnubi
@AbubakalMnubi 3 ай бұрын
Sisi hatuezi kujua bali wew fatilia ili utupe majibu kamili maana tunakukubali sana
@abdizahimhajir2116
@abdizahimhajir2116 3 ай бұрын
Kuligana na unajimu,hii ni siasa tu dogo mwenyewe ni sniper namba moja.nikifanya hisabu kijana Yuko hai atafanyiwa upasuji yaani plastic surgery kumgeuza sura.FBI kwani hawana sayansi ya unajimu😅?
@NuruJara
@NuruJara 3 ай бұрын
Huyu alikurupuka tu ajaribu kama ana weza yeye ni mtu wa Chess ♟️
@JamesKimandu-pc6lh
@JamesKimandu-pc6lh 3 ай бұрын
Wasen uongo ikuwa imepagwa
@rogasianshayo3740
@rogasianshayo3740 3 ай бұрын
Mzee wake kamponza😅😅
@nzurisanatv2285
@nzurisanatv2285 3 ай бұрын
Raisi wa zamani?
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 3 ай бұрын
Hilitukio sifeki alizamiria huyo kijana
@mashanjepa9203
@mashanjepa9203 3 ай бұрын
Hilo tukio ni hualisia kabisa
@JohnbuhuruJohnbuhuru
@JohnbuhuruJohnbuhuru 3 ай бұрын
Hapo naona ninjamatu za kisiasa ili trampo apate credit kwawatu ionekane anakaushujaa haya tumeyaona sana kwenye movie huwez pigwa risasi ubarazwe skio
@sharifali178
@sharifali178 3 ай бұрын
Ndio ni face sikiliza kauli alio kua anazungumza wakati anadunguliwa 2 sneper wa trample kwanini alikua sehemu yawazi nakwanini hawakuweka maaskari kwenye majengo marefu yalio kanibu na mkutano
@lambertkasomo5520
@lambertkasomo5520 3 ай бұрын
Tukio hii siyo feck, Trump alikutana na kijana wapi? Ili deal hii ipangwe kama ilivyo Pangwa?
@issaismail4081
@issaismail4081 3 ай бұрын
Asee kwamba niishu ya kutengenezwa hapana kwasababu 1 ilikua ni sentmita chache ifumue ubongo ; sasa kawaida ya hotuba ya siasa ndio iliomnusuru tramp kutokua na utulivu jukwaani tofaut ubongo wa tramp ungeokotwa
@CristinahKimaro
@CristinahKimaro 3 ай бұрын
sasa kama ni fake kwann wamemuua huyo kijana,,, haohao wana usalama ndo wanajua nn kinaendelea,,,,,mana kikulacho kinguoni mwako🙄
@OswaldSalvatory
@OswaldSalvatory 2 ай бұрын
Wanaficha ukwel nimefatilia source nyingi ila hakuna waliosema kwann kafanya hivyo BILA shaka serikal iliyopo madarakani
@EMANUELMUSHI-kk4df
@EMANUELMUSHI-kk4df 3 ай бұрын
Na mm nahisi ni fake, kwa maslahi yake
@josenyambeo3587
@josenyambeo3587 3 ай бұрын
Cyo fek bro
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 3 ай бұрын
SASA TWENDE KAZIIIIII
@JohnCeggy-vx2fr
@JohnCeggy-vx2fr 3 ай бұрын
N uhalisia mtupu
@Masanjapiter
@Masanjapiter 3 ай бұрын
Nifeki
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
✌️👊👍.
@saulomathayo
@saulomathayo 3 ай бұрын
Haiwezi kuwa fake.
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu 3 ай бұрын
Sio fake Serikali inahusika
@benOfficial36
@benOfficial36 3 ай бұрын
Huku kwetu bongo miaka 20 hana raman yoyote anawaza kulala kwa baba na mama pamoja na kuvuta bangi, Wenzetu wanawaza kumwaga ubongo wa Rais 😂😂😂
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 3 ай бұрын
😂😂😂
@Veronika-tg6yz
@Veronika-tg6yz 3 ай бұрын
😂😂😂
@simontamba1285
@simontamba1285 2 ай бұрын
Yaaani hata ujuzi
@simontamba1285
@simontamba1285 2 ай бұрын
Yaaani hata ujuzi anakuwa hana
@emmanuelmasele4990
@emmanuelmasele4990 3 ай бұрын
like zangu nazitaka
@alchemytz547
@alchemytz547 3 ай бұрын
Ilo tukio n Fake coz uchaguz uliopita alitoka kwa haibu ko analazimika afany ivo il ionekane anamadui weng
@jafarimnaro704
@jafarimnaro704 3 ай бұрын
We kenge
@misabeoelijahvivah6843
@misabeoelijahvivah6843 3 ай бұрын
Faki
@MbeziAmos
@MbeziAmos 3 ай бұрын
wa 19leo😂 , em nipeni like zangu jaman
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
LOST TECHNOLOGIES: Mysteries of Vanished Civilizations
2:03:29
Lifeder Educación
Рет қаралды 6 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН