Рет қаралды 10,210
Familia moja katika mtaa wa Kasarani Nairobi inatafuta majibu kufuatia kifo tata cha jamaa yao Ijumaa usiku. Familia ya marehemu Michael Habel Onyancha inataka polisi kuharakisha uchunguzi kubaini kilichopelekea kifo cha jamaa yao aliyeanguka kutoka ghorofa ya tatu kwenye nyumba ya rafikiye Kasarani.