Рет қаралды 4,098
Polisi katika eneo la Gilgil, kaunti ya Nakuru wameanzisha msako wa kumtafuta mwanamume mmoja anayeshukiwa kumuua mkewe na mwanao wa miaka miwili nyumbani kwao eneo la kiambogo. Mume huyo anadaiwa kumuuwa mkewe kwa kifaa butu na kisha kumdunga kisu mwanao.