It's true i used to see pst Gilack preaching in Majengo-Kanamai but at that time walikuwa Shanzu Majaoni they were not famous na hata pst Gilack alipokuwa anahubiri watu waliona tu ni kama hawana kazi ya kufanya but who's God😢❤❤
@LinetAtieno-m3i3 ай бұрын
May God give u wt all
@gnesk-q3j2 ай бұрын
Man of God I glorify God for your life. I always pray that may Almighty God use you to totally change my life. I know my life shall never be the same. I believe in Jesus name and I have decided to walk with God in this higher alter of God. I claim healing of my husband Solomon. Let him be healed in all dimensions of Life.
@fredrickolela9854Ай бұрын
I am a living testimony of what God has done to me through Pastor Gillark.May God bless you Daddy (Fred Olela from Oyugis)
@Prophetic-Apostlesnyaata2 ай бұрын
Amen, let the name of Jesus be Glorified in you, the story is related to mine, am breaking Generational Altar of Limitations in my life in the name of Jesus
@MaureenMalusha2 ай бұрын
Eeeee Mungu nikumbuke kwa maisha yangu na kizazi changu niwe mbarikiwe katika jina la Yesu Christ 🙏
@ColletaOngango3 ай бұрын
I thank God for treatment, uvumilivu wako nakutii, angekulea kama ndungu ungefikia hapo, asanti Mungu kwa kukufanya kuwa mnyenyekevu sifa heshima na utukufu ni kwa Bwana wetu Yesu kristo
@روزكينيا-ض9ص2 ай бұрын
❤❤❤mungu nikumbuke hata mimi nipate ndoa mzuri
@babamalcalmal6322 ай бұрын
Listening to the testimony while crying...ooh God...
@susantamba1473 ай бұрын
I saw everything my brother Gillan..Pastor Ezekiel ni true Man of God hakuna kupembeleza..but we harvest something from him spiritually..God bless Ezekiel God bless Newlife..praise the name of the Lord Jesus
@jentrisachieng3 ай бұрын
Pastor Gillack thanks for sharing your testimony it encourage me all and never to give up when am in Christ
@AndersonWale2 ай бұрын
Pst nimepeda hio barikiwa zaidi yaapo
@teresaliruma42182 ай бұрын
Haki pastor Gillack umetoka mbali, may God bless you
@JudyOdote3 ай бұрын
You are right man of God may the lord lift you higher
@susantamba1473 ай бұрын
Pastor Gillan you reminding me far that God has brought you from😭acha Mungu aitwe Mungu..kumbuka ukitaka kuowa yale ulipitya,nicheke kidogo kwa ajili Yesu ni bwana😄
@MariaAshley-r7c2 ай бұрын
Mungu nipaganie nipate kazi
@JudyOdote3 ай бұрын
Man of God. You are saying the truth
@irinenyukuri56433 ай бұрын
Hii ni ushuhuda kweli umenitia moyo pastor 🙏🙏
@hillaryonyango60762 ай бұрын
Eeeh mungu nibariki napitia machungu kazini napigwa vitaaa
@BrendaLewa2 ай бұрын
Ameen i received 🙌🙌
@MilcahkanyivambithiMilcah3 ай бұрын
Mungu n mwema a very powerful testimony🙏🙏🙏
@MariaAshley-r7c2 ай бұрын
Woiiiiiye mungu nikumbuke
@hillaryonyango60762 ай бұрын
Mungu nipiganie Yale ninayopitia hapa kazini nitetee
@petermulei3242 ай бұрын
Powerful testimony imenigusa sana
@EstherKanene-c7z28 күн бұрын
Papa it's true God help me
@MutanganaHakim3 ай бұрын
Mungu akubariki kwa jina la yesu
@lilianmukitemusic23483 ай бұрын
Very touching and educative testimony
@JudyOdote3 ай бұрын
Man of God naomba uniombe pia Mimi nibarikiwe
@MariaAshley-r7c3 ай бұрын
Mungu anikumbuke asiniache...nateseka sina chakula sina kazi....najua mungu atanitendea
@Nyirabu2 ай бұрын
Napokea nyota yangu Kwa jina la Yesu kirsto Ameeeeeen 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@lucykwamboka-hr9mc3 ай бұрын
Hata mm mungu nitafahulu kwa maisha yangu naamini mungu everything will be ok.
@KevinMakabe2 ай бұрын
Ameeeeeeeen Pastor ❤❤❤❤❤
@Ellenplaysroblox3 ай бұрын
Naomba mungu ani funguwe katika roho ya talaka umaskini made mamake nikoo a nipe pesa zangu zote ni sirudi kenya niwe jinsi nilivyo
@Priscillapk-gj2hy3 ай бұрын
Pastor Ezekiel is a true father
@JudyOdote3 ай бұрын
True man of God,He was making you 23:11 to be who you are today
@JackieNkatha-mk6fg3 ай бұрын
Very touching man of God
@RoseNyanchamaNyariogiАй бұрын
Pastor please i need preyers nilingolewa jino but still naumia sana.
@JuliusNdunda-l7c3 ай бұрын
More grace pst gillack.
@MikalOndiek-w7p3 ай бұрын
Naomba mniombee mungu afungue mango wa ndoa
@CatherineKawira-d8y3 ай бұрын
Pia mimi mungu nipe roho ya ufanisi kwa jina la yesu kristu
@Nyirabu2 ай бұрын
Nyota yangu ingae wachawi wangu wafe na maadui zangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Nyirabu2 ай бұрын
Mungu nikumbuke na mimi badilisha maisha yangu nipe kwangu na Mali yangu
@MilcahkanyivambithiMilcah3 ай бұрын
Hi.mungu anirehemu mazito Haya Ni Mungu c mwanadamu antenda Haya
@alfayogekonge9402 ай бұрын
Amen, Patience
@mutukubridget2 ай бұрын
Healing healing...
@kennedyouma51452 ай бұрын
Mungu naomba mimi pia ni uene nipande juu
@BenardSyengo2 ай бұрын
Past asante umenitia moyo
@bettysiara27172 ай бұрын
Nitafanya , Amen
@faimaally73293 ай бұрын
mungu bdilisha maisha yangu kama hawa uliowabadilisha maisha
@JudyOdote3 ай бұрын
Amen man of God
@AaAa-zo3yj3 ай бұрын
Mungu utuhurumie
@RoseKungaOnyango3 ай бұрын
Cross border anointing 🙏🙏🙏🙏🙏
@stl88393 ай бұрын
True waliona yesu kama mtoto wa carpenter.. yesu naomna pia wasinione kama ni mimi
@RozinaNgina-rb9un3 ай бұрын
Amen 🙏 wisdom
@fdd-uo2vo2 ай бұрын
Pasta umesema kweli , Maandiko inasema Nabii Hana heshima kwao .
@AaAa-zo3yj3 ай бұрын
Mungu nimzuri
@RoseKungaOnyango3 ай бұрын
Amen pastor 🙏
@emmyjohn39703 ай бұрын
Ameeen ameen powerfully
@cheptonuidorothy15993 ай бұрын
naomba mungu Yale yote nimeyapitia nishinde
@EmmyMideva3 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen...
@ThomasMomanyi-m2s2 ай бұрын
Are you talking about pst Ezekiel
@irinenyukuri56433 ай бұрын
Amen 🙏
@marionbruixetone60882 ай бұрын
Ameeeeeen
@MamaDee-D3 ай бұрын
Naomba uombee family yangu na watoto wangu wapokee nyote
@debbiekiss67683 ай бұрын
Ameen Amen 🙏
@DamarisMwende-ms6cw3 ай бұрын
🙏🙏🙏,mapito
@MamaDee-D3 ай бұрын
Naomba umuombee mwanangu arud nyumban aliye poteya toka tarehe 15 06 24 mpaka leo sijui alipo naomba musada wako mtumishi wa Mungu
@Ellenplaysroblox3 ай бұрын
Naomba mungu uni bariki na mimi Natamani kujenga nyumba nzuri ambayo family yangu hawaja jenga
@JuliethMpangeni-k1p3 ай бұрын
Ushughuda unauma,ila unajenga na unatia moyo katika safari ya maisha
@AaAa-zo3yj3 ай бұрын
Amen amen amen amen
@lilianmukitemusic23483 ай бұрын
Nothing good comes easy
@MamaDee-D3 ай бұрын
Naomba nyota ya masomo ya watoto wangu wapokee nyote zao za masomo
@macm-d3m3 ай бұрын
True
@MillyMotari3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@EzekielBosire3 ай бұрын
Pastor umenifanya siku hizi hata nikipitia magumu ninakumbuka mapito yako natulia
@margaretkanini66833 ай бұрын
@Amen
@florenceauma45413 ай бұрын
Ameen
@reginajebet15553 ай бұрын
Amen
@vinzezandei80893 ай бұрын
🙌🙌🙏🙏🙏👏👏⭐🤲
@emeldahmukhwana95983 ай бұрын
Ameni
@mapenzizuma4303 ай бұрын
Hii kanisa Iko kisii ya wapi jameni
@DamaKemmy-h7q3 ай бұрын
Mosocho
@EzekielBosire3 ай бұрын
Tangu Itibo nimefuatilia mapito yake hadi yamenisongesha kimaisha
@carolwaithaka22233 ай бұрын
Huyu mchawi mkubwa Bina daktari aliambia Mfalme vizuri Bibi yake ni nani