Fatma Karume: Mimi Nimeachwa I Nilijiona Sina Amani I Watoto Wanampenda Baba Yao I Nilipatwa Simanzi

  Рет қаралды 172,805

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya Mwanaharakti Fatma Karume katika kipindi cha #Shajara ya #CloudsTv na mtangazaji Babbie Kabae.

Пікірлер: 375
@chamlilemhando7478
@chamlilemhando7478 2 ай бұрын
My favorite female politician in tanzania
@raymondswai5555
@raymondswai5555 8 ай бұрын
Shangazi nakupenda sana na kwa moyo wa dhati Si kimahusiano, maana hili li nchi 90% hatumiii ubongo ( kichwani) kutafakari, tumenyoshwa maji ya chooni,,m c.c 😊😊 uokoo very bright shangazi
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 8 ай бұрын
Shangazi hongera sana unafaa kuwa kiongozi wa ngaxi za juu nchini.Nakupenda sana kwa ujasili ulionao ni kipaji .Mungu akubariki sana uko vizuri saaaaana.Ungekuwa waziri mkuu hata urais unauweza hata ujaji mkuuu unauweza.Barikiwa sana.
@ndementriavermand8010
@ndementriavermand8010 7 ай бұрын
Nampenda sana huyu dada jasiri mkweli mtu wa haki
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 8 ай бұрын
nimeipenda hii interview.sijawahi kumsikiliza ktk maisha nje ya kazi.nimemuelewa fatma huwa anaishi yeye kaka yeye sio kwa ajili ya .
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 9 ай бұрын
Pole sana wifi yangu Fatma ,tunepotezana lkn nitakutafuta inshaallah,kuhusu ndoa rizki inshaisha tumuachie Allah japo kipindi kile Cha harakati zako kiilikua kigumu sana kwako na nilikua nahofia sana Hilo cos mwanamke ukiwa unapambana Kwa ujasiri mkubwa kiasi kile,wanaume zetu hua hawaelewi,Kuna maisha mengine baada.ya mapambano na simanzi. Enjoy the moment my love
@wilsonelias9012
@wilsonelias9012 8 ай бұрын
Acha kutetea ujinga hakuna mwanaume anaeweza kuishi na mwanamke mwenye mota mdomoni anajua kila kitu, jitu lina miaka 60 linaongea kama binti wa miaka 20
@caritasmushi461
@caritasmushi461 9 ай бұрын
Fatma umejibu vizuri sana na you are a down to earth person but with principles. Keep it up my dear
@rajabalipanjetani5663
@rajabalipanjetani5663 12 күн бұрын
Mashaa Allah Subhannallah nimefurahi sana video hii.
@hosianajolam8695
@hosianajolam8695 9 күн бұрын
Nakupenda sana fatuma
@amourmtungo623
@amourmtungo623 9 ай бұрын
Asante kwa kushea. Mimi mchango wangu kwa Watanzania wengi wenye kujenga chuki kwa watu = haters. Mchukie mtu kwa vitendo vibaya alivyofanya na sio maneno aliyosema. Wazungu husema “actions speak louder than words”. Vitendo vina nguvu zaidi ya maneno kwahio tusichukiane bure ni mambo ya kijinga
@NyotaTanoTV-gt3od
@NyotaTanoTV-gt3od 9 ай бұрын
Shajara mtangazaji wangu pendwa kila siku unani surprise I like the way you control the show. Maswali unavyo Uliza alafu unagawa nafasi ya majibu. Fatma mbona hajui Kiswahili vizuri Tena ni mzenji OG? That’s terrible 😮 but all in all this is good interview much love ❤️
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 9 ай бұрын
Ameishi sn njee dats the problem
@billgussy6099
@billgussy6099 9 ай бұрын
Intelligent and gorgeous woman
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤love hivi ndivyo tulivyo Akina FATMA
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 9 ай бұрын
This shangazi is so intelligent, she should be a judge in the Supreme Court. Walioko huko hawamfikii huyu mama!
@ANTHONYDCOSTA-u5p
@ANTHONYDCOSTA-u5p 9 ай бұрын
Kwenye haya mahojiani kuna kipi kipya kuwa yuko juu?
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 ай бұрын
Kipimo chako cha uwezo ni kipi n wangapi unaowajua walioko huko court ambao uwezo wao ni mdogo? She is talking much of her personal life ila inakutosha kumpa ujaji? Things never taken that way aisee. Nyie ndio mnasema lissu ni mwanasheria Bora kuliko wote ikiwa mmemuona kwenye majukwaa ya siasa na sio kwenye podium of practices stop those mediocrity thoughts.
@immamfugale7835
@immamfugale7835 9 ай бұрын
Kwa kipi?
@salomemlagila5757
@salomemlagila5757 9 ай бұрын
​@@fahadfaraj6474 kweli kabisa
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 9 ай бұрын
​@@fahadfaraj6474Ni kweli ila kwa Lissu rekodi zake ziko wazi nay be una personal conflicts na yeye. Just saying...
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 9 ай бұрын
Kwenye suala la lugha watu wengi mnachanganya. Fatma ni muongeaji wa lugha zote yaani kiswahili na kingereza. Kinachotokea ni akiongea anajikuta anachanganya na ni kwasababu lugha zote kazoe kuziongea kwenye maisha ya kawaida. Kwaio si vyema kumhukumu kana kwamba anajifanya hajui kiswahili. Anakijua ila kuna mazoea. Me binafsi siwez kuongea kiswahili fasaha lazima kuna maneno ntaingizia ya mtaani kwasababu ya mazoea yangu pia.
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 9 ай бұрын
Usomi kweli unaharibu na kubadilisha maadili ya dini yetu ,inna lillahi wainna ilahi rajiuuwun.
@SeifMassoud
@SeifMassoud 9 ай бұрын
Ni huzuni sana kuona mtoto kama huyu unavomuona sasaiv alivyovaa na kuweka makucha, manywele uchavu tu, kuwa katoka ktk familia tunaambiwa ya kiislam, kwa kweli msiba
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 9 ай бұрын
Anakaa uchi tu
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 9 ай бұрын
Wasomi ni kama mbwa tu
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 8 ай бұрын
labda HII KUKAA UCHI NDIO MOJA YA MATUNDA YA MAPIDUZI
@mosesgasana4102
@mosesgasana4102 8 ай бұрын
Walah nampenda sana Fatma. Mungu ampe uzima mwingi na mengi ya heri
@knight6757
@knight6757 9 ай бұрын
Very proud of her...May God Aways Bless Her..Ameen!
@yusuphabel5530
@yusuphabel5530 7 ай бұрын
Nampenda sana Shangazi Fatma,ana akili sana na ni mwanamke wa shoka.Mungu ampe maisha marefu.
@marianajohn5415
@marianajohn5415 7 ай бұрын
Shangazi ❤❤❤❤❤❤ ni mmoja tu! Naye ni madam Fatma🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@ganomwakisambwe2715
@ganomwakisambwe2715 7 ай бұрын
I love you Fatuma,my sis....you are heroine!
@abusalman5139
@abusalman5139 7 ай бұрын
Hakuna mwanaume ataweza mvumilia mwehu kama Fatma Karume
@shamisalmahruqi1527
@shamisalmahruqi1527 Ай бұрын
Mwehu kama babu yake
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 9 ай бұрын
Huyu dada si.ndo.aliifedhehesha.Tanzania kumbe nae.Mungu alimfadhaisha huyu.dada alitetea sana ushoga
@cheka480
@cheka480 8 ай бұрын
The one thing she is real not fake
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 9 ай бұрын
Mashaallah ❤Unamwili nzuri sana mungu akuweke amiin 🤲❤️
@trophywilson7211
@trophywilson7211 9 ай бұрын
Ila anakaa uchi Mbele ya Mataifa
@TaarabChannel
@TaarabChannel 9 ай бұрын
Mpitie na kwangu wapenzi ❤
@seynabhaji8035
@seynabhaji8035 9 ай бұрын
My advice to Fatma, kubali siku moja kuongea lugha unayoifahamu ili maneno ya changamke nina hakika unamazuri ya kueleza. Halafu jitahidi kujifundisha kiswahili tukutane tena hapo baadaye🎉
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 9 ай бұрын
Shangazi Kiswahili anakijua vizuri ila ndio kujifanyisha sijui, usome shule ya Msingi Unguja ukose kujua Kiswahili?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 9 ай бұрын
Mmmh wewe mbona unachanganya Lughq
@suleymanmakiwa1651
@suleymanmakiwa1651 9 ай бұрын
​Mtu anayejifanyisha hujulikana tu@@darajalakidatukilomgi2362
@ummuraw6372
@ummuraw6372 9 ай бұрын
Na akiongea mpka mizizi ya shingo imtoke anatumia nguvu sana hlfu sidhni kma hajui kiswahili ila ana pritend tu hao watoto tulowazaa ulaya wanaongea kiswahili kizuri tu
@mimiraia2531
@mimiraia2531 9 ай бұрын
Hajui “SAFE” kwa Kiswahili, this is biggest pretending….LAZIMA BWANA AKIMBIE
@HassanArdale-r4j
@HassanArdale-r4j 9 ай бұрын
Pole usihuzunikee mwamwini Allah yeye ndie mpangaji
@Mohamed-uz8id
@Mohamed-uz8id 9 ай бұрын
nàmpenda sana Fatma Karume anaakili mnoooooo😘
@katotopesaofficial
@katotopesaofficial 9 ай бұрын
Mshangazi Una Mguu Bi fatmaa😅❤
@robinbayser3079
@robinbayser3079 7 ай бұрын
Shangazi wa Taifa soo beautiful
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 7 ай бұрын
God is good
@user-vq2hl4jp1j
@user-vq2hl4jp1j 9 ай бұрын
Aunt tuma❤
@bensonmwakalindile8545
@bensonmwakalindile8545 4 ай бұрын
My good presenter
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 9 ай бұрын
Shangazi hapo kwa Nadia Suala la Muungano, lizingatiwe Wapemba🎉🎉🎉🎉 Mnauma meno Sana..wepesi kidogooo ❤❤❤❤❤ Mama Mkwe. Kama mama Mkwee
@sultansallah8772
@sultansallah8772 9 ай бұрын
Kwani umeambiwa mpemba
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 9 ай бұрын
​@@sultansallah8772wabongo wanaelewa zanzibar n nchi yenye kabila la wapemba. Wapemba ni kabila kutoka zanzibar hivo ndio wanavoelewa yani neno unguja kwa bara hawalielewi
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 9 ай бұрын
Unamkumbuka teacher khadija mgangazija anakaa kiswandui
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 9 ай бұрын
Ila fatma is so beautiful
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 7 ай бұрын
❤❤❤Asalam alaiqm Warahmatulah wabarakatu allah kariim
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 9 ай бұрын
Binadamu hawana jema, inasikitisha baadhi yenu kutoa maneno ya kuudhi wakati una uhuru wa kumsikiliza au ukaacha!
@hafidhkhalfan1660
@hafidhkhalfan1660 9 ай бұрын
Nampenda sana nataman kumuoa jaman
@SuweidJuma
@SuweidJuma 4 ай бұрын
Bifatma sasa ubadilke uache maadili uliokuwa nayo sasa na ufuate madili nasheria ya kiislam maisha aya ni ya mpito to
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 8 ай бұрын
I love fatma
@MohamedAbdallahSaid
@MohamedAbdallahSaid 7 ай бұрын
Mswahili Mzungu
@songombingo108
@songombingo108 9 ай бұрын
Da Fatma nakupenda. Nitafute tuwe marafiki.
@choggysly3541
@choggysly3541 9 ай бұрын
Acha songombingo
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 8 ай бұрын
From USA Jamani mimi sio mtazania ila uwa napenda sana shangazii fatma karume alafu ana akili sana
@amosmahona433
@amosmahona433 9 ай бұрын
Aise
@cynthiafolonja3050
@cynthiafolonja3050 9 ай бұрын
Ndoa sio kifungo jamani.... yanini kufia kwenye hamna 😂... Wala huyo sio wa kwanza kuachika .....shangazi anazeeka na urembo wake!!
@MosiHassan-dx6gc
@MosiHassan-dx6gc 9 ай бұрын
Acheni chuki na hasada aliyepewa kapewa mola ndie amemueka hapo achenichoyo
@bongomastory791
@bongomastory791 9 ай бұрын
wanawake wengi wanasheria wanajifanyaga wana harakati so wanaletaga uharakati kwenye ndoa hivyo sio rahisi kudumu kwenye ndoa
@allahisone6386
@allahisone6386 9 ай бұрын
💯%🤝
@aliganzel6512
@aliganzel6512 9 ай бұрын
Hili limenikuta mimi
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 9 ай бұрын
Naomba kufahamu lugha Rasmi ya haya mahojiano! Kuna sehemu hatuelewi
@azizayassin3623
@azizayassin3623 8 ай бұрын
Anajifafanya hjui kiswahili😂😂😂😂
@johntemba4281
@johntemba4281 9 ай бұрын
Shangazi nakupenda natamani uwe mke wangu sijali umri sijali elimu bali nakuhitaji niwe nawe ktk utetezi wawatu, mi naishi moshi karibu. Mimi ckuachi na tutaendesha kazi zetu kama kawaida.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 9 ай бұрын
Hahahahah wabongo mnataka maokoto 2 ushamjua anatokea katika Royal family unataka utelezi hahahahha hongera kaka
@naomimaro2156
@naomimaro2156 9 ай бұрын
Huyu mama Fatma ,anaonyesha anauchungu moyoni
@fahadalbusaidy7182
@fahadalbusaidy7182 9 ай бұрын
Kweli anaonesha
@kulthummaabad
@kulthummaabad 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
Fatma kweli inasikitusha kuwa kiswahili hujui na ni aibu sana .Kiswangereza wengi hawakuelewi .kwa sababu hawajui kiingereza.😢😢
@mimiraia2531
@mimiraia2531 9 ай бұрын
Lretending
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 7 ай бұрын
Love you wajina
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 9 ай бұрын
Alokupa Jina saluti kwakwe
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Hacheni matusi,kama nia yenu ni kumtukana mtafuteni kwa wakati wenu,unayrtaka Fatma akufindishe sheria,nenda shule ukasome.
@neemamajana3078
@neemamajana3078 8 ай бұрын
Kumbe Fatuma ni mtu mzima sana!!!! Kinachonishangaza ni Fatuma kuzaliwa Zanzibar, kusomea Zanzibar na kujifanya hajui kiswahili ajabu sana!!!!!!
@SHALLOOTV
@SHALLOOTV 8 ай бұрын
Hii Ai mnaoitumia inapoteza quality ya video
@seifserenge3340
@seifserenge3340 9 ай бұрын
Pole sana bi Fatma, wewe ni mzungu mzanzibari
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
😂😂😢
@missg1430
@missg1430 9 ай бұрын
I just love her
@mimiraia2531
@mimiraia2531 9 ай бұрын
Approach her
@liannsambu7264
@liannsambu7264 9 ай бұрын
Mmmm jamani nafikiri ni mtazamo tu ,mie nimekuwa kwetu wafanyakazi 2 lakini nikiwa na Miata 4-5 nlikuwa nafanya KAZI kulingana na umri wangu na hata kukorogo uji ,kufua sox , kufua NGUo za ndani , kufagia nlifanya haswaaaa so siyo kuwa WANAFANYA Kwa sababu ya shida za WAZAZI ila ni WAZAZI wanamtazamo gani Kwa watoto WAO na wanataka kutengeneza mtoto wa aina gani
@annethomas7520
@annethomas7520 9 ай бұрын
Mtoto wa miaka 5 akoroge uji jikoni???!
@liannsambu7264
@liannsambu7264 9 ай бұрын
@@annethomas7520 NDUGU ukishangaa ya Musa ......... ? UNADHANGAA MIAKA 5 ? Hongera mpendwa , isogelee JAMII UTAONA mengi
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 9 ай бұрын
Kumbe sawa sawa na mimi 1969
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 9 ай бұрын
Topo wote
@amneamne2492
@amneamne2492 9 ай бұрын
Shangazi tuambie huyo bi zahara unomwita nana. Yuko wapi. Pls
@msabahaali758
@msabahaali758 9 ай бұрын
watanganyika mnapenda kutukana wanawake na kunyanyasa wanawake angalia mnavyomtukana shngz
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 9 ай бұрын
Fungu la kukosa hao na si watanzania wote
@bakarimdeve8386
@bakarimdeve8386 9 ай бұрын
Napendezwa na kz yake ila ninachukizwa na tabia ya kuzungumza Kiswenglish japo Familia yao ni waswahili safi tena wa Zanzibar wakwel aache hio staili
@SafiaOmar
@SafiaOmar 9 ай бұрын
Hao familia yao wanaishi kama wazungu. Kama unavyo muona ndio maisha yao. Nilisoma na mtoto wa ndugu yake secondary
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
​@SafiaOmar Bora umwambie ww, hao kwao niwazanzibari lkn wamelelewa kizungu, na Ivo alivo ndoivo Ivo kwao kizungu zungu TU mpak mavazi mpaka mama Yao yupo Ivo Ivo mavazi yake.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 9 ай бұрын
@@nahlahassan-fd6le kulelewa kizungu ndio unatupa na lugha yako? Mbona wazungu wenyewe wanajifunza na kuongea Kiswahili? Nani amewadanganya na kiswaglish
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 7 ай бұрын
Mwanaume ndiyo anaowa na mwanaume ndiyo anaacha true shangaz nakuelewaga sana hauna baya
@StevenLevenson-g3d
@StevenLevenson-g3d 5 ай бұрын
❤naomba nambazake
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 9 ай бұрын
Nakupenda shangazi nikueke nyumbani tuzae na unifundishe sheria
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t 9 ай бұрын
Sijasikia vizuri. Fatma umezaliwa mwaka gani?
@abuumadesign8095
@abuumadesign8095 7 ай бұрын
Kwa u much know huu lazima ndoa ikushinde, stop comparing everything to ulaya
@mbarakawesu6213
@mbarakawesu6213 9 ай бұрын
Jamani eeh..! Mimi sina mke. Namtaka huyo dada ...!
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
Siyo shangazi yangu.Ana kasumba ya wazungu sa n a A n achanganya kuswahili na kiingereza sa n a h ata 5:18 5:20 simuelewi japo nimesoma sana kama yeye au labda zaidi.Acha kuongea kiingereza wakati unaongea n a waswahili😅😅
@naturelle1097
@naturelle1097 9 ай бұрын
Aging gracefully girlfriend❤
@erickKiiza
@erickKiiza 9 ай бұрын
Dah kiswahili
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 9 ай бұрын
Shangazi yetu kwenye kujieleza sifuri,
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Na icho kiswahili chake zero😂😂😂😂anaongea kiswanglish lkn ovyoo
@George_Ruttagah
@George_Ruttagah 7 ай бұрын
Watu waliokulia nje au waliosoma shule za international huwa wanakawaida ya kuchanganya lugha. Fatma ni very bright na brave at the same time. Jaribu kuangalia mazingila aliyokulia alafu utamuelewa vizuri kabisa. Mimi personally nimekulia U.S. toka na miaka 13. Ulimi wangu unakua mzito napoongea Kiswahili kwa sababu si lugha ninayotumia sana. Kwa hiyo najikuta tu nachanganya Kiswahili na Kingereza.
@spreadlove5300
@spreadlove5300 7 ай бұрын
Ila watu why are you so bothered na maisha ya wengine mpaka mnatoa kashfa 😮😮😮 watu hawalingani wala kufanana jamani, na wala hakuna mkamilifu 😮😮
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 9 ай бұрын
Shangazi unamguu wa bia😂 cute
@SalminMkwachu
@SalminMkwachu 9 ай бұрын
mifano mingi ni ulaya/wazungu, hivi kwanini tunadhani kufuata mode za wazungu au code za maisha za wazungu ndio ustaarabu??
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 9 ай бұрын
Ndio shida ya hawa waliosomea nje ya Tanzania wanawaabudu wa Ulaya kama Mungu, mbona Tanzania kuna mifano mizuri mingi sana Kwa nini hasifii
@zainabndete8713
@zainabndete8713 22 күн бұрын
Watoto wa viongozi wasoma shule zenye hadhi ya kimataifa ,watoto wa wananchi waenda shule za kina kayumbaa.
@robertadolf562
@robertadolf562 9 ай бұрын
Ila bado mtamu mbona
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 9 ай бұрын
Kwenye suala la lugha watu wengi mnachanganya. Fatma ni muongeaji wa lugha zote yaani kiswahili na kingereza. Kinachotokea ni akiongea anajikuta anachanganya na ni kwasababu ya mazoea. Kwaio si vyema kumhukumu kana kwamba anajifanya hajui kiswahili. Anakijua ila kuna lugha ya mazoea. Me binafsi siwez kuongea kiswahili fasaha lazima kuna maneno ntaingizia ya mtaani kwasababu ya mazoea yangu pia.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
Ndugu yangu hiyo ni tabia tu.Ya kujitakia.kuna watz wanao ongea lugha nyingi za kimataifa bila kuchanganya..Pamoja na mimi mwenyewe🎉🎉
@aliathmani7165
@aliathmani7165 9 ай бұрын
Huyu shida anayo ni kujisahau, kiswahili chake ni cha kujifunza ama ni kingereza chaki.
@issakawaya8315
@issakawaya8315 9 ай бұрын
Ana uzungu mwingi
@mgenimgambo2312
@mgenimgambo2312 8 ай бұрын
umependeza sana n km ulivyosema kuwa kujitizama na kufurahi ulichokuwa nacho hakuna kitu km furaha ya nafsi umebadilika sana
@hafsamsangi597
@hafsamsangi597 9 ай бұрын
Kama alikunywa kidogo
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t 9 ай бұрын
Ndio usemaji wake kama bb yake
@yusuphabel5530
@yusuphabel5530 7 ай бұрын
Wa kishua
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 9 ай бұрын
Yaani ukisikiliza kiingereza cha huyu mama,unasikia rafudhi za waingereza.
@amerwelder7786
@amerwelder7786 9 ай бұрын
Uyo kakaa sana iingereza
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 9 ай бұрын
@@amerwelder7786 ndiyo maana,yaani hadi raha kumsikiliza
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
😢
@MussaSuleiman-ui9fy
@MussaSuleiman-ui9fy 9 ай бұрын
Wewe Fatima jitathini hii elimu hii ya Sheria itakupeleka motoni Rudi kwa muumba
@naomiswai5524
@naomiswai5524 9 ай бұрын
Kwani shangazi anagugumizi
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 9 ай бұрын
Mcharuko wanguvu
@allywaziry6419
@allywaziry6419 7 ай бұрын
Mm namtaka huyo Aje nimuoe chaap..
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
It was kawaida😂😂😢😢😢😢 Mwingereza hachanganyi lugha yake hata siku moja.Kasumba ni mbaya jamani.😢😢
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 9 ай бұрын
Loo! Kumbe kiruka njia! Sasa umezeeka tutafute vilabuni ! Ilafamilia ya Mzee Karume kweli ina vipanga! Shangazi safiiiiii ! WakiliHoyee!
@msabahaali758
@msabahaali758 9 ай бұрын
ni muarabu huyu mama ake bishadya ni muarabu bure ujue bro
@salassalas-eo6vo
@salassalas-eo6vo 9 ай бұрын
Unamkumkumbuka na yeye kafa 72 wewe ulikua na miaka mi 3 kweli miaka mitatu unakumbuka
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t 9 ай бұрын
1969 na babu yake kafariki 72 ni sawa kua alikua na miaka 3 tu. Ivi kweli miaka 3 anaweza kujua yote hayo kuhusu babu yake? Naona kama kachemsha kidogo
@shamisalmahruqi1527
@shamisalmahruqi1527 Ай бұрын
It doesn't sense. She's lying
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge 9 ай бұрын
Jamani HATA uislamu huna ukajistiri muili wako umeuponza uislamu Alla akuuongoze ktk njia ya haki. HATA lugha umeiuza unaiga lugha sio yako
@ngoni7944
@ngoni7944 9 ай бұрын
Ondoa wivu wako na uislam wako, huoni kapendeza,
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 9 ай бұрын
Shangaz wa taifa
@openmindtz
@openmindtz 9 ай бұрын
Mm siwez kukuhukum kwa chochote kila kwa maana maisha yana mambo mengi mno hvyo siwez jua the otherside but in all majina ya fatuma kuongea ni miongoni mwao....
@openmindtz
@openmindtz 9 ай бұрын
@FatumaIssa-kw3vv neema za mungu tuh si kwa ujanja wangu
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 9 ай бұрын
Swadaktaa
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 9 ай бұрын
Tena sio kuongea tu hatupendi kuonewa pia 😅
@rosehillary8742
@rosehillary8742 9 ай бұрын
Shangazi mm kwakupika naomba nise me kitu Mm mwanangu wa 5 na 8 wanajifunza kupika but under my supervision Sio kama uwazavyo But kuna wengine ni shida
@florencekombe5503
@florencekombe5503 9 ай бұрын
Huyu alikuwa mtoto wa Raise jikoni isingekuwa rahisi kwa umri huo
@alfredrutaguza7506
@alfredrutaguza7506 5 ай бұрын
Katika familia ya mzee hili ndilo dish
@zariadunia6328
@zariadunia6328 9 ай бұрын
Sauti yake kama bibi yake wajina wake
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 23 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 23 МЛН