No video

FATWA | NINI HUKMU YA KUMSOMEA YASIN MAITI? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY

  Рет қаралды 2,817

Radio Nuur Tanga

Radio Nuur Tanga

Күн бұрын

#FATWA

Пікірлер: 14
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 5 ай бұрын
uko sahih sheikh
@alifaki5043
@alifaki5043 5 ай бұрын
Sheikh nahis umeteleza "Asili ya Ibada ni kutofaa kufanya hadi iwepo dalili ya kufaa ibada hiyo" Mfano hakuna dalili ilyokataza kusoma adhana kwa ajili ya swala Iddi lkn hatusomi kwasabab hakuna dalili inayoruhusu kusoma adhana. Ila katika mambo ya kidunia/muamalaat asili ni kufaa/halili hadi ije dalili ya kukataza. Allahu aalam.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 ай бұрын
Hatutoi adhana ya iddi kwasababu haijatibiti hata kwa hadithi dhaifu. Sio sawa na Qur-an kumsomea maiti. Lete mfano mwengine
@saidhaji1858
@saidhaji1858 5 ай бұрын
Asli ya ibada ni Haramu ispokuaije Nassu kuthbitisha ibada io. Nassu yenyewe iwe sahyh. Mfano wa kusoma azana na kukimu ktk Eid, n mfano mzuri wa kupima masuala ya ibada nyengine. Kma kusoma Yaasiin kw maiti...
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 5 ай бұрын
Sheikh Afwan naona umekosea kulingana na ilmu yngu ya uchache, ila Km hadith ni dhaifu kwnn tuendele kumsomea maiti, Na Je kma kitu hakiku katazwa katika Dini ndio ina maana twaeza tunga mambo mapya Ambayo mtume hakufanya Tukasema ni sawa sababu hamna anaekataza. ??? Madamu Mtume na masahaba zake pamoja na wanazuoni wakubwa hawakulikubali hili jambo ni vzryy tuliepuke. Mtume Amesema vitu 3 pekee ndio vinaweza kumfikia aliefariki 1) Ilm yke 2) Sadaqa yake 3) Mtoto mwema atakae muombea Dua.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 5 ай бұрын
Hakuna anaejua Quran kama mtume na sahaba zake nao hawakuwa na tabia ya kusomea maiti Quran sasa mtume aagize jambo alafu yeye mwenyewe asilifanye? Ndio maana wengine hukataa khadithi kama hizi.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 ай бұрын
Ulikuwepo kama hawakusoma?!
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 5 ай бұрын
​@@hilalkhalfan1452Ata wwe pia hukua kwahvyo na kwenye vitabu pia hamna ambacho waeza tibitisha walisoma mtume na masahaba jaribu kuelewa kwanza kabla ya kujibu mtu akijaribu kukuelew3sha, Ilm haitaki ushindani ila nibusara na utulivu
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 5 ай бұрын
Halafu hizo kanuni zako ulizoleta Zimekushinda mwenyew kufafanua. Rudi ukasome Vzr. Wanaposema Wanachuoni wafiqihi kuwa Asili ktk Vitu ni Kufaa mpka ije Dalili ya kuharamisha. Asili ktk Ada ni kufaa Mpaka ije Dalili ya Kukataza. Asili ktk IBADA ni kutofanya Mpka ije Dalili ya Kufanya na itafanywa kwa kumfuata Mtume au maelekezo yake. soma kitabu Al imaam Suyuuutwi Ambaye ni Mshafii wa kimadhehebu ktk kitabu Al iqtidhwa'aa utapata maarifa mazuri na ufafanuz mzr tu.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 ай бұрын
Hakuna kanuni alioleta
@mohassan1978
@mohassan1978 5 ай бұрын
Huo ni msimamo wa madhehebu ya dhahiri ambayo wanaamini kuwa kila kitu kinafaa hadi iwepo dalili ya kukataza Ila kwa sisi madhehebu 4 ya sunni hatukubali hiyo rai ya dhahiri na haipo sawa. Jambocjema laxima liwe na dalili ya kufanywa na sio kinyume chake
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 5 ай бұрын
Wewe umesema ktk madhehebu manne ww ni dhehebu gani ktk hayo manne tupe msimamo wako ktk hilo
@mohassan1978
@mohassan1978 5 ай бұрын
Sunni wote maimamu 4 mm nawakubali
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
7:41
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 12 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 41 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 14 МЛН
SWABAAH NUUR | Soko la Ngamiani
15:44
Radio Nuur Tanga
Рет қаралды 550
Nini hukmu ya kumsomea Maiti Qur'an ambaye ameshazikwa? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
4:50
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 5 М.
KISA CHA NABII MUSSA NA NABII IBRAHIM SHEIKH KIPOZEO
7:12
arkas online tv
Рет қаралды 122 М.
Mambo Ambayo Siolazima Kwenye Swala - Sheikh. Othman Khamisi
14:27
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 44 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН