Shukraan Sana sheikh wangu sio kwamba sheikh hatupendi kuswali kuomba madua pia hata kusimama ucku ilitupate radhi za Mola wetu mlezi tatizo wengi hatuna Elim sheikh wangu Allah akuhidh sheikh nahasadi za watu na akuzidishie Elim Mara dufuu Aamiin
@hamidamsango64024 жыл бұрын
Subhanallah!! Allah akuhifadhi Duniani na Akhera!!
@shufaaseha48174 жыл бұрын
Wallah kati ya mashekh ambao hawana uchoyo na elimu ni ww napenda sana kusikiliza darasa zako Allah akuhifadhi
@fatumahalifa83294 жыл бұрын
Mwenyezimungu akuzidishie Iman kaka,nakukubali
@mwanaisha5224 жыл бұрын
Mashaallah shekh nimejifunza vitu vingi ila naomba uniombee dua ya mafanikio dunian na akhera🤲🤲🤲
@fatmaabdilahi10074 жыл бұрын
Waislamu tuna raha walahi Alhamdulila
@salumsalum10774 жыл бұрын
tenaaaa raha haina mfanowe kwa kweliiiii I'm proud to be a Muslim
@khadijasaidy47654 жыл бұрын
Tena neema limaula alhamdulillah
@nooromar62334 жыл бұрын
Alhamdulilah ala neemat Islam
@latifaally69494 жыл бұрын
Allah akupe khery inshaallah za dunia na akhera.nakupenda kaka angu kwa ajili ya allah.allah atupe mwisho mwema inshaallah (AMIIN)
@fuad50704 жыл бұрын
Barakallahu feekum maalim Allah (s.w.t) akuzidishie rehema na nuru kwenye kila chembe ya kheri yako, akutilie wepesi kwenye kila kheri yako na akujaalie jannahtul firdaous Ma Shaa Allah >>> OTHMAN IBN MICHAEL
@navabusabimana54854 жыл бұрын
Othuman 🕊dua zangu kwako daima sichoki umenifungulia mengi ni nimefidika sana kwa kaset zako mungu awe nawe daima 🙏🙏🙏👏tunasimama daima inshaallah
@fatumakey35703 жыл бұрын
Shukran
@zakiafaki76824 жыл бұрын
Ahsante sheikh unatufundisha mengi Alla akubarik.akupe Afya njema na umri mrefu.
@jumajembe35704 жыл бұрын
Allah Akbar. Wallah Sheigh unatisha!!! Wallah Wabillah wewe sio mchoyo wa elimu! Wallah kuna watu wananuna kwa siri na mbinu hizi ktk uombaji na usomajii kuuweka hadharani. Allah akufanyie wepesi. Uzidi kutupa maarifa. inshaAllah
@hamidamsango64024 жыл бұрын
Hakika umesema kweli! Allahumma'Amiin!!
@junaithammahad38443 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@samiaruhwanya1737 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa heli ya dunia na akhela Amin
@ummishakii83222 жыл бұрын
ALLAH akupe kher dunia wafil akherat, na kujalie mwisho mwema weye pamoja nasie umat muhamad s.w.s
@nahimanaabdulaziz55944 жыл бұрын
Shukran sana Sheikh wangu Allah akuzidishie elimu na akupe mwisho mwema
@irakozeanasi44164 жыл бұрын
asalam alkm sheikh Mola akulipe na akuzidishie akupe umri mreefu uendelee kutufunza tunasoma hadi raha alhamdulillah hakika ww ni zawadi tumepewa kutoka kwa Mwenyez Mungu Allah akbar
@sophiaally80304 жыл бұрын
Masha Allah ....wallah uislam rahaa I'm proud to be a Muslim alhamdulilah 🙏 ALLAH tujalie Umma wa kislam 🤲
@abibumubaraka52494 жыл бұрын
Barakala
@navabusabimana54854 жыл бұрын
Wallah shekh othuman michael mungu akusimamiye🙏daima nimefaidika sana kupitia wewe mungu akusimimamiye daima akuepushe na vijicho vya wanadamu inshaallah🙏🙏👏nimefaidika sana sana snaa mungu akusimamiye daima
@jamilamanariyojamila14874 жыл бұрын
Allah akupemaishamaref🤲🙏 uzidikutupadaaw
@fatumamnumbe94014 жыл бұрын
Mashaallah shekhe wangu mungu akupe pepo firdaus inshaallah
@danielmituku3376 Жыл бұрын
Nashukuru shehewetu kwadua naswala zausiku umemifungua akili kwakiwango kikubwa Allah akuongezee hekma nautuombee tuwezekusimama kisimamo Cha usiku.
@safiasuliman5136 Жыл бұрын
Allah akubark shehe wetu
@aishaaisha90944 жыл бұрын
Mungu akijalia nikirudi salama nitawatafuta ishallah. Nakupenda sana kwa ajali ya AllAh
@nadianyamuraka70682 жыл бұрын
Allah akuzidishiye sheikh..nimefaidika
@afric014 жыл бұрын
Aslm alkm wtw... Mashaaa Allah, wapendeza ulivyo i soma hiyo duaa. Kweli Sheikh wetu, kupendwa ni neema wallah. Mashaaa Allah unaji proud ukitaja adhkar yasssalam nafrahi kukutazama. Wallah Sheikh wetu wapendeza mbele ya Allah. Nafrahi nikiskia jina Darwesh. Allah akulinde akupe furaha na mafanikio Sheikh Othman. Twakupenda sanaaaa. Mungu akufurahishe.
@mariamsfamily4824 жыл бұрын
Ustadh wallahi nakufatilia sana nakupenda kwa ajili ya Allah
@somoeismail96654 жыл бұрын
Shekhe shukrani kwa darsa zako nzuri zinatufanya tujengeke kiimani zaidi pia naomba utuletee majina ya Allah, maana yake na faida yake inshaallah
@hamidamsango64024 жыл бұрын
Hakika umesema kweli!!
@habibasalhe56904 жыл бұрын
Masha Allah ....shekhe nimeijifunza mengi na nimefarijika Allah akujaalie hapa dunian na akhera .....jazzakka llah khailaa
@mariamaaa49494 жыл бұрын
Manshaallah sheh wetu mungu akupe Maisha maref naafya Zuri akupe pepo ya FRIDAY
@saidahamisi64044 жыл бұрын
MashaAllah ALLAH akuzidishie umri uzidi kutupa darsa InshaaAllah, Yaa Rabbih tufanyie wepesi katka ibada zetu Amiin
@hamidamsango64024 жыл бұрын
Allahumma'Amiin!!
@yussarsaleh57604 жыл бұрын
Yaaani ustadh mashaaallah mashaaallah mashaaallah
@ashurar27214 жыл бұрын
Nakukubali sana swala za usiku zina majibu ya haraka
@suleman38454 жыл бұрын
Mimi
@osamashakeeb71944 жыл бұрын
Allah akulipe pepo 🤲
@ashanibigira58982 жыл бұрын
Ta Allah awape shifa
@aishaabdullah2334 жыл бұрын
Maaashaaa Allaaaah tabaraka Allah , hadi raha ndani ya roho. Sheikh wangu yaani hata sijuwi niseme nn kwa jinsi unavotufukungua macho na kuona mbali kuyajua tusiyoyajua alhamdullillah Allah azidi kukupandisha daraja hapa duniani and hereafter. Amiin Natamani nije nijifunze wallah lkn nimble dua tu in shaa Allah Allah azidi kukulinda.
@hamidamsango64024 жыл бұрын
Allahumma'Amiin!!
@faridamaulidi9594 жыл бұрын
Allahuakbaru Mashaallah Mashaallah Mashaallah jazaki llahu khaira hostanzi Allah akuhifazi na akupe mwisho mwema nduniani na akhera wallah Allah kakujaalia kipaji Mashaallah Allah akujaalie afya na wakati ulie mwingi iliuzidi kuelimisha ndungu zako waislamu
@sharifasaid9064 жыл бұрын
Shukurani
@halimakalinga77644 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu Mashaa Allah
@saidyabdallys13444 жыл бұрын
Inshallah mwenyezimungu akuzidishie uzima xhehe uendelee kutupa darsa xhehe, amina
@hamidamsango64024 жыл бұрын
Allahumma'Amiin!!
@NasraIbrahim-dw1hr Жыл бұрын
Sheikh mawaiza maashallah
@tatuathmani8834 жыл бұрын
maishalla ongela ostazi mungu akuzidishie kutupa elimu yadunia
@ashashaban64842 жыл бұрын
Jazzakallah.kheri
@habibanampendasanadada28174 жыл бұрын
Mashaallah nakupenda kwaji ya Allah shukran 🙏
@jubilijubili30172 жыл бұрын
Jazakarahu hairy
@jainaboman89524 жыл бұрын
Mashallah Allah atufanyie wepesi sote shukuran shekhe
@aishahela17354 жыл бұрын
Allah akuhifadh sijawah pata elimu hii tokea nijalie unaishia kulia tu😭😭😭
@zayedbinharith46654 жыл бұрын
Insha Allah mwenye ez mungu akuzodishie ilmu na Imani ya ustaadh.
@alishor60203 жыл бұрын
Allah akulipe Sheikh wetu mpendwa Othman Michael
@jasminishafii54782 жыл бұрын
Allah akupeuhaimref hkikawwe niwakpekee
@madinaomar6793 жыл бұрын
Shukrani shekh
@athumanisaid27004 жыл бұрын
Sheikh wangu umenimaliza mashallah
@samiaruhwanya1737 Жыл бұрын
Shekhe Osman walahi nakupenda kwajili ya mwenyezi mungu unapendeza Sana unavyoyataja maneno ya alhaa mpka mimi nasisimuka walwahi mungu akuzidushie kila la kheri inshallah
@mpambanaji-mahiri3 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akulipe kheri za dunia na akhera
@halimasaid49773 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie umri tuzidi kufaidika
@yussarsaleh57604 жыл бұрын
Walllah sichoki kusikiliza na kuyafanyua kheri mwalimu wetu adhimu
@mwajumakabesha33114 жыл бұрын
Mashaallah shukran sheikh Maneno yako matam sana. Ungetusaidia madrasa ya live kwasisi Atukujaliwa kusoma madrasa.
@hawahassan87794 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@jasminali59214 жыл бұрын
Barakallah fik yaa shekhe othman nimejifunza mengi
@mariammuscat43004 жыл бұрын
Aaallah atumfanyiye wepesi yarab
@allaouiacheikh70233 жыл бұрын
Baraka Allah fik
@Surraiyaworld3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh tunakupenda kwa ajili ya Allah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@saumuseif91894 жыл бұрын
Shukran sana shekhewetu
@jumakhamis2264 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh othman
@jumaarashidi33204 жыл бұрын
Allah ukizidishie kila la kheri akupe nguvu ili tuendelee kupata darasa zako inshallah
@bahatihadijabahati74564 жыл бұрын
Masha Allah nakupenda sana kwa ajili ya Allah hadi Raha
@ashashaban64843 жыл бұрын
ASALAAM ALAYKUM SHEIKH WETU SHUKLAN SANA KWA MAFUNDISHO YAKO TUNAFAIDIKA SANA KWA KWERI ALLAH AKILIPE KILA JEMA INSHALLAH AKUJAALIE MWISHO MWEMA
@idrisaabdul97264 жыл бұрын
Allah akuzidishie
@solinas16433 жыл бұрын
Allah Akbalu mungu mimkubwa . Shukran ya shek
@asiwankarim39354 жыл бұрын
Jazzakum llahu kheir,faida inapatikana kwa kweli
@Ukhtyzuhura4 жыл бұрын
Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wenye kheir
@hamidamsango64024 жыл бұрын
Allahumma'Amiin!!
@mwanaidhassan40794 жыл бұрын
Maashaallah Allah akulipe heri nimejifunza kitu kwanza unaelezea uzuri hadi raha unaeleweka
@hamidamsango64024 жыл бұрын
Umesema kweli!!
@samahabrahman48394 жыл бұрын
Allah awalipe kheri nying ,kwakwel nimekuelewa vizur na nimefurah sana.
@didatratranee25314 жыл бұрын
Wallah Allah akulinde natamani kufanya hayo ila sikusoma madrasa Mimi nataabika kwa hilo
@vdhjhdhdhhhd93324 жыл бұрын
Jazzakallah..asantee sheh
@zakiyahussein32834 жыл бұрын
Mashaallah mawaidh mazuri kweli mashaallah
@zaynpdogdhgg87554 жыл бұрын
Masha Allah shekh mwenyezi mungu akuzidishie innshaallah
@Ukhtyzuhura4 жыл бұрын
Jazakhillah khairaa
@mhjgkgjfjzuzu95454 жыл бұрын
Jazaka Allah kheri..MashaaAllah
@saudakitenje64004 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atusamehe makosa yetu naatuongoze mwisho mwema
@marymusi82354 жыл бұрын
Tutajitahid kuyafanyia kazi inshaallah
@najatomania45964 жыл бұрын
Subahanallah,, Alhamundulilah
@nusrahmahonge90854 жыл бұрын
Mashaallah shekhe Allah akujaze yalio mema inshaallah ila nataka kufahamu kama hujahifadhi sura ndefu katika kisimamo inakuwaje na unania ya kuswali
@Ukhtyzuhura4 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Tabaraqallah
@shamsamohammed63863 жыл бұрын
Mashahllah shekh othman Allah abarik yaarab
@samiaruhwanya1737 Жыл бұрын
Shekhe mungu azidi kukulinda inshallah kwakunisisimua nakuomba shekhe wangu niombee nirudi ktk dini yangu ya haki mimi na kizazi changu nakuomba huwa na lia Sana lakini naamini shetwani hana nguvu kwa dua zako inshallah niombee uniokoe naipenda dini yangu ya kislam shekhe nilishawahi kukupigia lakini alipokea mfasi wako natamani inshallah niongee na wewe ila naomba please ntakupataje?
@ddfatma42813 жыл бұрын
Maasha allah shehe shukuraan
@khalifanassor90724 жыл бұрын
Maashallah allah akupe Kilauea la khera
@mohamednasir55674 жыл бұрын
Masha Allah ustadh mungu akulinde
@hamisimalla2404 жыл бұрын
Baarakallahu fish Shekh wetu
@antoinettemukalulangwa98963 жыл бұрын
ya ashekhe Allah protect you all do
@yassirhalimamohammedmohamm59134 жыл бұрын
Mashaallah shukrani kwa mafunzo jazkallah kheyr
@baraka40664 жыл бұрын
Bismilaiiii
@antoinettemukalulangwa98963 жыл бұрын
manshaa Allah jazakallah khair
@mjasiriamalishupavulailamu71634 жыл бұрын
Thanks thanks thanks alot
@khadijaiddi48874 жыл бұрын
Waalekum warahmatullah wabarakatu.barakallah fik yaa sheikh
@sarakuchanda96054 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
@ummulkheir83214 жыл бұрын
Mashaallah, shukran sheikh Allah akuhifadhi,akupe umri tuwili ulo na kheir nawewe,na barka
@khadfarsaid50984 жыл бұрын
Mashallah!!!!!
@ummulkheir83214 жыл бұрын
Baaraka Allah fiik, yakhfadhuka Allah biidhni Allah inshaallah
@abdulrahmanamour16874 жыл бұрын
Subhanallah wabihamdi
@mwakabulufuahmed84944 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH akulipe kher
@mwanahamisimasudi30084 жыл бұрын
Mashallah mawaidha kimbo
@farouqsilvester99184 жыл бұрын
😀😀😀😀 mashallah sheikh
@joycekasakisya77554 жыл бұрын
Shukran,huwa napenda sn mahubiri yako.
@mahermuhammad74264 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH akulipe kheiri inshaallah
@aminathoya42654 жыл бұрын
Shukrani jazzaAllah kher.
@sabrycdy32144 жыл бұрын
Shukran jadhila
@bebisheni43804 жыл бұрын
Asante Shekhe
@harithnyara19482 жыл бұрын
Shekhe Assalaam alaykum.. Shukran sana mashaAllah tunafaidika sana na darsa zako..lakini kuna baadhi ya maelekezo yako yatawavunja moyo baadhi ya wafuasi umesema rakaa moja usali masaa 3.. Rakaa 4 usiku umeisha bila kitako cha dhikri na sunnatul haaja.. Na umesema muda wa sijda uwe sawa na wakisimamo sasa muda huo utatosha kwa usiku wamasaa 5.. Hem tuondoe wasiwasi kidogo