FEI TOTO: AZIZI KI NDIO MPINZANI WANGU/ SIWEZI KURUDI TENA YANGA HAIWEZEKANI

  Рет қаралды 44,103

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 141
@DavidYamungu-rl5os
@DavidYamungu-rl5os 7 ай бұрын
Crown media Hapa ni nyumban Karbu fei toto kaz nzur Crown 👑 ❤❤❤❤
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 7 ай бұрын
Shikamoo king KIBA hakika umeweza💪💪💪#crown tv is the best
@Oficialkb
@Oficialkb 7 ай бұрын
Crown n media ya wote amna ubaguz 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Hapa n nyumban 🎉🎉🎉🎉
@AbubakarSAT
@AbubakarSAT 7 ай бұрын
Fundi Sana feisal na crown muko sawa
@AbdulazizMaggio
@AbdulazizMaggio 7 ай бұрын
Camera za crown ni nomaa sanaa
@BakariBakari-sf4ld
@BakariBakari-sf4ld 7 ай бұрын
Sawa feitoto crown hapa ninyumbani
@FelinucMalilwa
@FelinucMalilwa 7 ай бұрын
Hapa ni nyumbn❤
@rudo_b_classic1131
@rudo_b_classic1131 7 ай бұрын
Unyamaa Pabloo crawn ❤❤❤❤❤❤
@maddybongo
@maddybongo 7 ай бұрын
Crown mkitaka kukuwa kwa haraka acheni kuwa wahuni mtasogea sana muwe na wafanyakazi wanaojitambua na wenye weledi hiyo content ni nzuri sana mngeotafutia heading nzuri inayoendana na maudhui kuandika heading tofauti na maudhui yenyewe ni cheating na cheat unaharibu mambo hayo wafanye tv ndogo ndogo zisiokuwa na majina nyie crown ni wageni lkn mna jina kubwa tayari.
@drcharlestz
@drcharlestz 7 ай бұрын
Acha Kukurupuka. Hiyo ni Intro ungekuwa KZbinr ungenielewa. Intro au Trailer sio Content. Video hiyo iko Premier kwahiyo imetengewa muda wa kuruka hewani, huo muda ukifika ukaona ni usanii ndio ulete complain.
@leejems142
@leejems142 7 ай бұрын
Umeambiw up coming angalia ni md gan ukifik md ukion tofaut na maudhui ndo utaanz kulaum elew mad
@wallecyjuniorjr992
@wallecyjuniorjr992 7 ай бұрын
hiyo point ipo kati ya mazungumzo huwez andika maneno yoote
@issayajumanne2710
@issayajumanne2710 7 ай бұрын
Fact
@festomathias_jnr
@festomathias_jnr 7 ай бұрын
@user-pp7im3us3v mshamba sana huyo jamaa
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 7 ай бұрын
Crown 👑
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma 7 ай бұрын
Njoo msimbazi kaka tumekusubilia
@Masabaonline
@Masabaonline 7 ай бұрын
Pablo anaweza hii kazi
@TomaTee-hu7do
@TomaTee-hu7do 7 ай бұрын
Nakuombea duwa m munguuu ukachezeee ulaya Ili uondoko na fitina za tanzania
@RamadhaniChamuange
@RamadhaniChamuange 7 ай бұрын
Keshachelewa huyo ulaya sio manzese
@TomaTee-hu7do
@TomaTee-hu7do 7 ай бұрын
@@RamadhaniChamuange ww ndio m munguuuu kwamunguu hakunakubwa
@olicendayihimbaze4074
@olicendayihimbaze4074 7 ай бұрын
Pablo Almas wewe una kitu kikubwa 🎉🎉
@Jackison-lt2gt
@Jackison-lt2gt 7 ай бұрын
Safi nawakubari crown
@EMMANUELGENERAL-n1r
@EMMANUELGENERAL-n1r 7 ай бұрын
PABLO🔥👑🔥👑🔥👑👑🔥👑🔥👑
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 7 ай бұрын
Karib unyamani FEI TOTO💪💪💪#SIMBA nguvu moja
@AsumaniMajesty
@AsumaniMajesty 7 ай бұрын
Mkal wao❤
@REBEKAMGINA-dq8vm
@REBEKAMGINA-dq8vm 7 ай бұрын
Proud of fei toto
@NivoAfrica007
@NivoAfrica007 7 ай бұрын
Hapa ni nyumbani❤
@AmosKiboha-lg9ji
@AmosKiboha-lg9ji 7 ай бұрын
Camera za kiwango cha BBC
@Jmbuilder-ly6wp
@Jmbuilder-ly6wp 7 ай бұрын
Media yenye habar mahiri
@S.king_7
@S.king_7 7 ай бұрын
#HapaNiNyumbani 💥🔥🔥
@SalimuRamadhani-nl7bp
@SalimuRamadhani-nl7bp 7 ай бұрын
Swala la fei limesha pita na pengo lake halipo tena
@samnyambabe2529
@samnyambabe2529 7 ай бұрын
Interview ya muda mrefu mnaipandisha leo mzingua sana,
@dicksontimotheo7617
@dicksontimotheo7617 7 ай бұрын
hii mnezingua andika kitu ambacho mmezungumza humo mnatupa taharuki mwisho wa siku mkiendelea ivi tutakuwa hatuaangalii.... sisi kama wapenzi wa crown media hatutaki izi mambo....kama kazitoa kwa manara ni uko sisi uku hatutaki.
@Officialkamakawer
@Officialkamakawer 7 ай бұрын
Sema utakuwa huangaliiiii tumia umoja hutokuwa unaangalia nananiiiii?
@bonfacebonafide012
@bonfacebonafide012 7 ай бұрын
🔥🙌 Hapa Ni Nyumbani..
@saidjuma9782
@saidjuma9782 7 ай бұрын
Yeeebabah 😇 😇 😇
@fanikiwadanford6772
@fanikiwadanford6772 7 ай бұрын
Hizi crown unyama
@rashidkopa
@rashidkopa 7 ай бұрын
Hapa ni nyumbani
@OchuTv.
@OchuTv. 7 ай бұрын
TITLE "FEISAL 🗣️ WATANZANIA HAWATHAMINI WACHEZAJI WA NDANI, TUNAJITUMA SANA UWANJANI"
@mussahamad404
@mussahamad404 7 ай бұрын
Hiyo pia ameisema aucho na chirwa
@HaronOkuu
@HaronOkuu 7 ай бұрын
Amazing
@David_keyan
@David_keyan 7 ай бұрын
Crown kuwen seriously yan interview toka ana goli 16 mnapandisha leo ? Duuuh 😮 mnachelewesha interview ndo maana pablo anaonekana kama hayupo sahivi
@NyamshaMaregesi
@NyamshaMaregesi 7 ай бұрын
Nyie crown mshaanza kuzingua yani kichwa cha habari ni tofauti na kichozungumziwa,alafu interview ya kitambo mnapost leo
@raphaelkisungura8398
@raphaelkisungura8398 7 ай бұрын
Pablo next tunataka utuletee pacome
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 7 ай бұрын
Huyu mwamba ni fundi na kwasasa kwa wachezaji wa ndani ndio yupo kwenye fomu ila sasa alipo ndio patamchelewesha aende simba akachukue ufalume
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 7 ай бұрын
Huyu baado sanaaaa kumfananisha na Aziz alafu wachambuzi na hivi vyombo vya habari vinavyomvimbisha na kwa kuwa mwenyewe uwezo wake mdogo wa kiakili
@MohammedMwijai
@MohammedMwijai 7 ай бұрын
Uwezi kukubaka na binadamu wote
@TenMasumbwe-rm2zb
@TenMasumbwe-rm2zb 7 ай бұрын
Hii media Ina unazii mwingi
@ashikalojr6961
@ashikalojr6961 7 ай бұрын
mko vzuli crown hla hpo mezan xjpenda hta maji jmn ya mabonye😂
@BimkubwaMohd-ef6hr
@BimkubwaMohd-ef6hr 7 ай бұрын
Kichwa cha habar umezngua pablo
@JamesNgonye-nm3uz
@JamesNgonye-nm3uz 7 ай бұрын
Mtangazaji ni shabiki wa timu fulani hivi😂😂😂😂😂
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 7 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@JumaMigezo
@JumaMigezo 7 ай бұрын
Maswali mengine ni ya kikuma asa atakama mim umenifananisha na mtu unadhani nitaacha kujitaja
@NestoryJoseph-e8s
@NestoryJoseph-e8s 7 ай бұрын
Feisal watakukataa wengi sana ila mimi nitakuwa wa mwisho kukukataa nitakusapit ila timu yako siisapot
@MarthaGabriel-s6b
@MarthaGabriel-s6b 7 ай бұрын
Hata alivyokufunga mdomo
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 7 ай бұрын
Hata Mimi Bado Feisal ni mchezaji wangu pendwa. No matter what. Hata kiatu nilitaka achukue fei sio Aziz ki hapo Mimi yanga
@Mcsceo
@Mcsceo 7 ай бұрын
Fei toto buana aty nilikaa kitako na raisi wa singida 😅 watu wa zanzibari napenda sana sleng yao🙌🏾
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 5 ай бұрын
Ndio tulivo
@manjatz7594
@manjatz7594 6 ай бұрын
Nice
@JahiyahIdrissa
@JahiyahIdrissa 7 ай бұрын
Halafu ayo mambo tunayajua muhojin mambo mapya
@thirdthebadestafrodance3529
@thirdthebadestafrodance3529 7 ай бұрын
Pablo nakubali sana kaka ..una akili unauliza maswal vizuri
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 7 ай бұрын
Uhakika Karibu simba
@RamadhaniChamuange
@RamadhaniChamuange 7 ай бұрын
Unajua huyu Jamaa nilionag ana akili kumbe kilaza ndio maana wale walinzi wa ahly walimpiga huyu, anauliz maswali kama muokota MAKOPO mtaan Yan 😂😂😂😂
@egbartrwegasira1250
@egbartrwegasira1250 7 ай бұрын
Ronaldo alishaulizwa mara nyingi nani bora kati yake na mess na amejibu kabisaaa
@SheyBonanje
@SheyBonanje 7 ай бұрын
Hapa n nyumbani
@mdbosco1640
@mdbosco1640 7 ай бұрын
❤❤❤
@JudithJackxon
@JudithJackxon 7 ай бұрын
Karbu sana fei
@BasuleBasule
@BasuleBasule 7 ай бұрын
Ila Pablo Matako Sana Unavimba Kichwa Sas Hivi Ndo Nin Umeandika Nin Hapo
@JoseWilson-vb2di
@JoseWilson-vb2di 7 ай бұрын
Mbona unatuka yy kaandika alichokise yy fei
@HalimaSwedy
@HalimaSwedy 7 ай бұрын
🎉🎉
@jofreymwampamba1236
@jofreymwampamba1236 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 dah
@hajimnyangwa
@hajimnyangwa 7 ай бұрын
Hapa ni nyumban kabisa
@leejems142
@leejems142 7 ай бұрын
Wabong msiw mnapend kulaum alaf shule pia ina umuhim wak umeambia (Up Coming) maan yak ni kit kinach kuj subir md ukifik ukion maudhui na kitend ni tofaut ndo muaz kulaum kuen na uelew wa mad yenyew msikurupuk
@mbaruksaid5775
@mbaruksaid5775 7 ай бұрын
Namkubali sanaaà FEI
@Michaelernest214
@Michaelernest214 7 ай бұрын
🎉🎉❤❤
@nassorosinde6945
@nassorosinde6945 7 ай бұрын
Msirudie kuweka vichwa vya habari vya hovyo
@yummaskitchen6167
@yummaskitchen6167 7 ай бұрын
Hata yanga hatumtaki pia
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 7 ай бұрын
Mnyama
@mtumeananiasjohachim8760
@mtumeananiasjohachim8760 7 ай бұрын
Duuuuuu, fukuza huyo atatuharibia kazi, kichwa kingine uhalisia mwingine, auto amekosea k
@khadija5761
@khadija5761 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 7 ай бұрын
Duh! Msimu bora huna hata kombe moja.
@mohamedredsea6878
@mohamedredsea6878 7 ай бұрын
Azam kuingia champion ligi sio ubora we Acha uyanga
@minermg5585
@minermg5585 7 ай бұрын
Hivii msimu Bora unakuwajee??
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 7 ай бұрын
Mutajiharibia kuku nyie
@SikuzaniJeremia-fw1nb
@SikuzaniJeremia-fw1nb 7 ай бұрын
We fala
@LuqmanJamal-s6y
@LuqmanJamal-s6y 7 ай бұрын
Media ya kisenge tu hii...hicho kichwa cha habari nimekitoa thamani
@ArabiDua-ct8bl
@ArabiDua-ct8bl Ай бұрын
Mutacheza timu ya taifa
@SikuzaniJeremia-fw1nb
@SikuzaniJeremia-fw1nb 7 ай бұрын
we boya 2
@AllyKiduka
@AllyKiduka 7 ай бұрын
Huyu dogs anajuwa ila anakiburi
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 7 ай бұрын
Uyu fei angeaca unyodo nagukosa heshima kwawenzake agepata duwa lakini hana adabu sasa kusema guwabaguwa weka mbere wageni sikweli mutugusufiwa kwakazi amafanya kinyume naapo niuthushi
@salamamaulid9114
@salamamaulid9114 7 ай бұрын
Acha ushabiki wa kijinga ww kama huwezi kucoment kaa kimya Acha matusi
@ZenaMsumagilo
@ZenaMsumagilo 6 ай бұрын
Kwa maajabu gani uliyonayo? Hata cc hatukutaki utuache na YANGA yetu......... Uctujazie mikoc
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 7 ай бұрын
Huo siyo msimu wake bora, hana kombe lolote, kuna misimu ameshiriki hadi fainali shirikisho
@mussahamad404
@mussahamad404 7 ай бұрын
Nkane msimu wake bora upi
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 7 ай бұрын
@@mussahamad404 musimu bora ni ule mchezaji unacheza na kutwaa makombe, musimu bora siyo kufunga. Kwamba Aucho ana musimbu mbaya kuliko kepre cheche na bangala ambao wanamabao
@JumaJaguar
@JumaJaguar 7 ай бұрын
Elewa kuna mafnkio ya timu na mafnkio binafsi kw hyo huu ndio msmu bora kw fei 19 goal assist 7 ila kitimu mafnkio ni madgo ni kushka nafc ya 2 so far huu ndio msimu wke bora kbsa
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 7 ай бұрын
@@JumaJaguar elewa majukumu ya timu, alipokuwa yanga anavheza namba 6 na 8, azamu amecheza namba 10 na false namba 9, mafanikio ni kutimiza malengo ya mashindano siyo kufunga tu, mrisho ngasa asha wahi kuwa top scorer wa CAF yanga ikaishi hatua za chini, ulikuwa msimu bora kwake???
@abdullmajengo9690
@abdullmajengo9690 7 ай бұрын
Kwani yanga wanakutaka?
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 7 ай бұрын
Fundi sna dogo
@jovinkabyemera1703
@jovinkabyemera1703 7 ай бұрын
unazungumziz sana Yanga hatuna time nawewe potea
@StevenSimon-zj2uk
@StevenSimon-zj2uk 7 ай бұрын
Maua yenu
@AliKhamisali-p6c
@AliKhamisali-p6c 7 ай бұрын
Majivuno hutokana nakipaji au kipato
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 7 ай бұрын
Dogo ni wamoto sana ndio maana wanaYanga wanamchukia
@RashidAhmed-h7t
@RashidAhmed-h7t 7 ай бұрын
Mimi Sio mtanzania but nafuatilia mpira wa Tanzania.Watanzania acheni chuki zisizo Isha kama machoko/mapapai huyo dogo anajua au ndio utanganyika unawakereketa?
@tluwaydahaye9190
@tluwaydahaye9190 6 ай бұрын
Unajua maana ya chuki kweli wewe? Inaonekana kiswahili kinakusumbua
@mohammededy7086
@mohammededy7086 7 ай бұрын
Munaupaga mwing
@habibseif8989
@habibseif8989 7 ай бұрын
HII interview nzuri lakin imechelewa kutolewa maana top score kajulikana na pia timu ya kwenda club bingwa imejulikana
@kolosii4351
@kolosii4351 7 ай бұрын
Huyu kijana ana kipaji ila majivuno ndio yatakayomponza.
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 7 ай бұрын
Na anajikubali sana huyu huwezi kumfananisha na Aziz, Aziz ni zaidi ya mtu n.
@mussahamad404
@mussahamad404 7 ай бұрын
Jikubali ili ukubaliwe
@MartinMadimilo-z6w
@MartinMadimilo-z6w 7 ай бұрын
asa kajivunia nini apoo msaport mtu anayepambana
@Aviwamwadin-so3vy
@Aviwamwadin-so3vy 7 ай бұрын
Hawezi kurdish yanga fei maana hatuna mpango wa kumfukuza hersi said
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@SikuzaniJeremia-fw1nb
@SikuzaniJeremia-fw1nb 7 ай бұрын
Huna lolote mbwa tu
@ZenaMsumagilo
@ZenaMsumagilo 6 ай бұрын
Tena kenge kabisaaaaa
@AldofNyankena
@AldofNyankena 7 ай бұрын
Kumbe na nyie mna upuuzi wa kuandika kuhusu maharage alafu kumbe kilichopo ni Funza
@jasmineeomary2041
@jasmineeomary2041 7 ай бұрын
Hili ni kama tangazo ila mahojiano ni mapaka masaa 9 yajayo itakua hewan
@Leyla-b5z4o
@Leyla-b5z4o 7 ай бұрын
😂😂
@Chelseaboy_1905
@Chelseaboy_1905 7 ай бұрын
Siku nyingine ni bora zaidi kuandaa maswali ya kumhoji mtu ambayo yatamfanya azungumze zaidi kuliko wewe mtangazaji..content nzuri ila iko very booring kulingana na maswali yanayoylizwa
@AyoubNkwera
@AyoubNkwera 7 ай бұрын
kalibu simba
@kupazahotnews6747
@kupazahotnews6747 7 ай бұрын
Linaota ili kolo
@amashambowe1583
@amashambowe1583 7 ай бұрын
Kenge nyie
@elibarikioffical
@elibarikioffical 7 ай бұрын
FEI TOTO: AZIZI KI NDIO MPINZANI WANGU/ SIWEZI KURUDI TENA YANGA HAIWEZEKANI hii heading haiendani na content nyie waandishi wa habar acheni uchonganishi wapuuzi sana
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 7 ай бұрын
Umbwa
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 7 ай бұрын
Unapakuliwa
@ZenaMsumagilo
@ZenaMsumagilo 6 ай бұрын
Tena sana tu
@Masabaonline
@Masabaonline 7 ай бұрын
Hapa ni nyumbani
@elikanawilson2966
@elikanawilson2966 7 ай бұрын
❤️
@YuzzoYuzzomaster
@YuzzoYuzzomaster 7 ай бұрын
Hapa ni nyumbani
@NellyDibaling
@NellyDibaling 7 ай бұрын
Hapa ni nyumbani
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
RECAP: UBORA WA AZIZ KI, FEITOTO NA CHAMA KWENYE NBCPL
19:59
Crown Media
Рет қаралды 2,6 М.
LAST KPL ACTIONS OF 2024, FAVOURITE MOMENT OF 2024?
38:39
Dimba Desk
Рет қаралды 81
BILLNAS KWENYE THE THRONE
33:01
Crown Media
Рет қаралды 14 М.
KITOWEO
10:13
Joti TV
Рет қаралды 408 М.
Akejo SPORT
32:33
AKEJO MEDIA
Рет қаралды 119