Рет қаралды 163,182
#FidQ #Kiberiti #SaidaKaroli #SlideDigital
produced by: Lufa
recorded by: Lufa @wanene studios
mixed by: Chizan Brain
verse 1: Fid Q
Haueleweki hata uki-shine kwa punchlines on facebook/
Haiwi fine kama RayVan.. wewe fake tu/
sikuoni B E T au MTV wakiplay tunes/
Miaka nenda wewe msanii..Mc una-play tu/
Makida..wewe sio King kama Kiba/
sio yaoming kwenye ring.. (una) mistari mingi zaidi ya zebra?/
mxiiew.. unazingua nigga/haujajijua nigga/
umeangukia pua..Bishoo hauwezi kuwa jigga/
RENT mwezi ujao na haujalipa school fees../
ya wanao..unaumiza kichwa ewe Q-Fid/
till now hauioni future..wewe stupid/
haujapiga bao na kutwa unawaza groupies?/
pengine ni nuksi umejiletea..au chuki umejijengea.. haukumbuki..ulipotokea bro/
wabaya mauzushi wanayachochechea.. haustuki ushapotea..wakushi wanakutetea bro../
unakosea bro..ni kweli hauna spea bro/
kuplay fair..nikuwachezea..ikatokea droo/
kukutegemea bro..hatuwezi tutakuonea bro/
tushajionea ulivyo mlevi..ukaikosea show/
HOOK: Saida Karoli
Kiberiti.. ninakuona unavyoniwashia moto mie.. ayee/
Kiberiti.. ninakuona unavyoniwashia moto mie.. ayee/
aiii.. ma mama.. kiberiti/
aiii.. ma mama/
verse 2:Fid Q
Nikiwa alone in my room.. sometimes i stare at the door/
and in the back of my mind naziita hisia hebu njoo../
zinaingia zinaniambia hii dunia ni soo..haiko sweet kama dove.. i see i need love..
Tatizo lako hautaki kuuza maneno/
Legeza ka wenzako acha kutukuza misemo/
Sheria ni yako ila isiuache umsumeno/
ukijikuna tako.. usikate kucha meno/
ongea usikike au kaa kimya usidharaulike/
au utupishe na jina lisahaulike/
tulazimike kukuzima ili itulipe..Gwajima tumuite aje kukupima heshima bashite/
nje ya town show huwa zina crowd ya kiwaki/
kaza crown ibaki.. ukikaza sana hawataki/
tunajua una uwezo wa juu..una kismati/
na haujawahi kupigiwa BOOO basi unajiona tupaaaaaci/
kabla ya rotten brothers..ulikua na chepe/
2 nature boys ndiko ulikoanza makeke/
mwaka huu mwaka wee mwaka../
ikakuweka juu ikawa Q hakuna asiyemtaka/
well,lini uta-retire urudi kuuza mtumba lango/
una roho mbaya..hadi leo haujamkumbuka Rado?/
wewe sio kichwa..wewe unaweza fichwa/
ikichorwa hip hop siioni sura yako kwa picha../
HOOK: Saida Karoli
Kiberiti.. ninakuona unavyoniwashia moto mie.. ayee/
Kiberiti.. ninakuona unavyoniwashia moto mie.. ayee/
aiii.. ma mama.. kiberiti/
aiii.. ma mama.
FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Fid Q
Follow Fid Q on:
/ therealfidq
/ fidq
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz