No video

FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA

  Рет қаралды 56,261

G Online

G Online

Күн бұрын

Fikra/Mawazo ya watu waliofanikiwa, watu wengi waliofanikiwa katika maisha wanafanana kwa vitu vingi sana ikiwa fikra/mawazo juu ya mafanikio.Unataka kufikia mafanikio katika maisha yako then anza kwa kubadilisha fikra/mawazo yako kuhusu mafanikio na adopt fikra/mawazo haya ambayo na share na wewe .Wote walifanikiwa walianza kama watu wa kawaida bila kitu, na kwa kuwa walikuwa na uhitaji wa kubadilisha maisha wakaamua kuwa na fikra/mawazo tofauti na wengine juu ya mafanikio.Leo nashare na wewe baadhi ya fikra/mawazo hayo na uapply katika maisha na yakusaidie kufikia mafanikio katika malengo na mipango yako.Karibu
👉 Subscribe my channel - / @gonlinepositivity
............................................................................
🔴Sababu 4 Kwanini ni muhimu kuandika Malengo, Mipango Na kufikia mafanikio -
• SABABU 4 MUHIMU KWANIN...
🔴Hatua 6 Jinsi ya kufanya wazo kuwa kweli - • HATUA 6 JINSI YA KUFAN...
🔴 Jinsi ya kufikia mafanikio na kukamilisha Mengi katika maisha - • JINSI YA KUFANIKIWA NA...
🔴Siri 3 Jinsi ya kuweka malengo - • SIRI TATU ZA JINSI YA ...
..............................................................................
Kwa Sponsorship & collaboration 📧 me zahirgomelo@gmail.com/onlinemedia364@gmail.com
Nifuatilie kwenye mitandao yangu ya kijamii
Instagram - www.instagram....
Twitter - / zahir11gomelo
Facebook- / g-online-2180520768924759
Music -Drop it off & Morning
Source Kine Master Store
#Mawazo #Fikra #Mafanikio #Gonline

Пікірлер: 72
@WëthämMåthęẅ
@WëthämMåthęẅ Ай бұрын
🎉well bro
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 4 ай бұрын
Kweli kabisa shukran
@pilikipengele963
@pilikipengele963 Жыл бұрын
Nice
@ngendakumanasalumdiki4885
@ngendakumanasalumdiki4885 4 жыл бұрын
Hiyi video,powa kabisa.
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
Shukran 🙏
@Sakina1212-jp4yo
@Sakina1212-jp4yo 4 ай бұрын
Kweli kaka
@mashakalonka9407
@mashakalonka9407 3 жыл бұрын
"You need right successful mindset to develop",nimeipenda hiyo ndg.mwelimishaji.Ahsante Sana kwa elimu!.
@mohamedsuleyman1106
@mohamedsuleyman1106 4 жыл бұрын
Asante broo 💪🏻💪🏻 Allah is only
@Raphaldomusic
@Raphaldomusic 6 ай бұрын
Thanks
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 ай бұрын
No problem
@joshuamosha7975
@joshuamosha7975 5 ай бұрын
❤Asante sana ninapambana 🎉🎉🎉❤
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 2 жыл бұрын
Thankx my brother
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 2 жыл бұрын
Welcome
@wilempiluka
@wilempiluka 4 ай бұрын
Nkweli ❤😊
@neemaeliya1720
@neemaeliya1720 4 жыл бұрын
Wow asante 🙏
@jembesumukagine1403
@jembesumukagine1403 4 жыл бұрын
Safx sana
@neemaeliya1720
@neemaeliya1720 4 жыл бұрын
1.Mungu
@lylianadam6932
@lylianadam6932 4 жыл бұрын
Thanks my brother iko PW nimejifunza
@AndrewJzb
@AndrewJzb Жыл бұрын
Well don brother. Naamin unachokifundisha, ndio mpango mzima katika mafanikio
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity Жыл бұрын
Asante
@OFFICIALSTEPHANO5252
@OFFICIALSTEPHANO5252 2 жыл бұрын
Sema point Sana brooo mekubali
@daudiblahimiblahim2858
@daudiblahimiblahim2858 2 жыл бұрын
Hata mm pia nimejifjnza kupitia hatua 5 za watu walio wanikiwa tujipe mda wa kujifunza😙👩‍👧👏🙌🙌🙌🙌
@majeedson1781
@majeedson1781 6 ай бұрын
Ndoto zetu kuishi maisha ya kitajiri
@astonelieza8375
@astonelieza8375 5 жыл бұрын
Thanks a lot
@AndrewJzb
@AndrewJzb Жыл бұрын
Pia nafanya na napenda sana uhamasishaji na Nina video kadhaa nimetengeneza zipo KZbin tayari, kama hautojali nishike mkono tuvuke sote, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko katika jamii zetu na watu wengi wakafanikiwa kupitia mafunzo na falsafa zetu.
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity Жыл бұрын
Sawa
@dandaud5312
@dandaud5312 4 жыл бұрын
Congratulations ma bro
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
Shurkani Sana
@jasminepeter7598
@jasminepeter7598 4 жыл бұрын
ubarikiwe
@ThamaniAcademy
@ThamaniAcademy 4 жыл бұрын
Hongera sana....Good Content
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
Asante Sana
@hassanmavula9734
@hassanmavula9734 4 жыл бұрын
Aliko dangote....good
@midyvr8981
@midyvr8981 4 жыл бұрын
Thanks bro I learned something
@rahemahrahemah2719
@rahemahrahemah2719 5 жыл бұрын
Somo liko makini Sana brother zahir , thank you so much! Allah bless you 🙏
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
dah!!...brother nakupenda sana na mungu akubariki nina MALENGO ya kufika mbali sana.nimeharibikiwa sana katika MAISHA yangu kwa kuwapa WATU mali na nika waamini sna ila kwa sasa nimeona MATOKEO mazuri baada ya kusimama mwenyewe na sasa nitakuwa mimi mwenyewe muwajibikaji na nimeona MABADILIKO.
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
Safi sana. Keep going broooo
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
@@GOnlinepositivity shukran.
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
Safi sana brooo
@mudymkongomudymkongo196
@mudymkongomudymkongo196 2 жыл бұрын
Thank
@issanikodemu5140
@issanikodemu5140 3 жыл бұрын
Safi Sana kaka
@faustaclaud7328
@faustaclaud7328 5 жыл бұрын
I learn something, thanks 🙏
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 5 жыл бұрын
Welcome again
@faustaclaud7328
@faustaclaud7328 5 жыл бұрын
Thanks
@aminajohn1329
@aminajohn1329 Жыл бұрын
Ahsant sn kaka nimejifunza kitu sita ogopa
@jemairisparick7541
@jemairisparick7541 4 жыл бұрын
It's better to focused in the bright part of life n being patient always pays thank brother
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
absolutely
@rafaelrene7102
@rafaelrene7102 3 жыл бұрын
you prolly dont give a shit but if you are stoned like me during the covid times then you can watch pretty much all of the new movies on instaflixxer. Been binge watching with my brother for the last few days :)
@aydenfisher3535
@aydenfisher3535 3 жыл бұрын
@Rafael Rene definitely, I've been using InstaFlixxer for since december myself :D
@lunkuhassani2855
@lunkuhassani2855 4 жыл бұрын
Asante kaka
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Good
@lucasrimana9207
@lucasrimana9207 4 жыл бұрын
Very nice
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 4 жыл бұрын
Asante sana kwa kunifungua kiakili
@restitutamalunguja1982
@restitutamalunguja1982 4 жыл бұрын
Yes!!
@restitutamalunguja1982
@restitutamalunguja1982 4 жыл бұрын
Good!!
@isayagenda4715
@isayagenda4715 3 жыл бұрын
Asante kaka naomba mamba yako na mm na taka mafanikio
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
0629718385
@LupigiLugosha
@LupigiLugosha 5 жыл бұрын
Exact
@edgarelia9681
@edgarelia9681 4 жыл бұрын
Ouk
@mudymkongomudymkongo196
@mudymkongomudymkongo196 2 жыл бұрын
Im graps
@mohamedameir9016
@mohamedameir9016 4 жыл бұрын
Asnte
@samwelobadia5608
@samwelobadia5608 3 жыл бұрын
👌👌💪
@furahabaraka2705
@furahabaraka2705 4 жыл бұрын
Nimeikubal san bro
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
Asante sana, na karibu sana.
@josephmateru8254
@josephmateru8254 3 жыл бұрын
I'm understanding bro and how about people lost you direction??
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 жыл бұрын
I want to be succesfully but what is succesfully? Everyone have its own meaning about succesfully it's not about money.you can have money but your not successfully but money is the key of success.
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
Exactaly
@AndrewJzb
@AndrewJzb Жыл бұрын
Napatkana Whatsapp kwa namba hiyo
@drroble.gurhan3594
@drroble.gurhan3594 3 жыл бұрын
Jamani we don't have to speak English , we are already not living our lives. 🤣🤣🤣
@erickstephano7756
@erickstephano7756 4 жыл бұрын
Naomba namba yako
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
0746-674596
@thomasTingi
@thomasTingi Жыл бұрын
Nice
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 45 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
TABIA 10 ZA WATU WALIOFANIKIWA
24:32
G Online
Рет қаралды 4,2 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 69 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 60 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН