MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE

  Рет қаралды 55,684

G Online

G Online

3 жыл бұрын

Mafanikio, kwako wewe yana maana gani? Kila mmoja ana maana yake ya mafanikio wengine Furaha, Amani, uhuru, wengine pesa umaarufu, majumba, magari. So inategemee how you define success on your terms. Ukijua maana ya mafanikio kwako basi ni muhimu sana kujua pia mambo ambayo yanaweza kukuzuia wewe kufikia mafanikio unayotaka katika maisha.Mambo 8 ya kuacha ili ufanikiwe katika maisha.Najua kila mtu ana ndoto ya kufanikiwa siku moja. Lakini haiwezi kutokea tu naturally mafanikio yakaja bila wewe kuandaa msingi wake mzuri. Mafanikio yanajengwa na msingi wa tabia fulani zenye muendelezo na pia kuna tabia fulani ukiwa nazo basi kamwe huwezi pata mafanikio. Fuatilia mambo 6 ya kuacha ili ufanikiwe"
Karibu tujifunze mambo saba (6) leo unayotakiwa kuyaacha kabisa kama lengo ni kufanikiwa.
🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 afripods.africa/
🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 / gonlineposi. .
Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
🔴Nifuate IG- / gonline_pos. .
BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
1.Kurank videos zako
2.Itakuonesha Live subscribers count
3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi,
4.Kupata Keyword explorer, download sasa
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉 • SABABU 6 KWANINI KUFEL...
⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉 • TATIZO LANGU NI AIBU N...
⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 • Kila Kijana Anatakiwa ...
⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 • TABIA 3 ZA MAFANIKIO Z...
⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 / 4vinlngo3q
⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉 • TABIA 10 NZURI ZA KUFA...
⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 • SIRI 5 ZA MAFANIKIO KW...
⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉 • ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZ...
⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉 • GUNDUA KUSUDIO LAKO KA...
⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 • HATUA 5 ZA KUUSHINDA ...
⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 • JINSI NINAVYOSAVE 50% ...
#Mamb6 #Mafanikio #Zahirgomelo

Пікірлер: 64
@safeniubwa4627
@safeniubwa4627 3 жыл бұрын
Uko vizuri sana, ndo manbo tunayotaka hayo.
@GeofreyEmmanuel-b4t
@GeofreyEmmanuel-b4t 8 күн бұрын
Good
@RachelTemu
@RachelTemu Ай бұрын
Thanks for the lesson babaa
@raildonald4482
@raildonald4482 Жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri mkuu, barikiwa sana.
@user-ku9ts1iw9d
@user-ku9ts1iw9d 22 күн бұрын
nimependezwa na ujumbe wako
@ebusambilokazungu5910
@ebusambilokazungu5910 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo yako Umenipa kitu Hakilin mwangu
@MHDboy-de2cn
@MHDboy-de2cn 10 ай бұрын
Hongera sana kwa SoMo zuri🪛🪚🔧🔧🔨⚒️🛠️⚒️🪝🪓🧲🪝🪜🪜💊🔭
@uzimaluvanda816
@uzimaluvanda816 10 ай бұрын
Ubarikiwe kwa elimu nzuri.
@KulwaKakanjo
@KulwaKakanjo 10 күн бұрын
congratulations
@VictoriaKennedy-br6tc
@VictoriaKennedy-br6tc Ай бұрын
Asanteee San bro🎉
@user-ph6yx9db1c
@user-ph6yx9db1c 10 ай бұрын
Thanks so much my friend may god bless you
@user-go7fu3bk5w
@user-go7fu3bk5w 10 ай бұрын
Nimependa sana
@EmmanuelZacharia-u3e
@EmmanuelZacharia-u3e 14 күн бұрын
Nikweli kabisa😅🎉❤
@IsayaMaginga
@IsayaMaginga 10 ай бұрын
Asnteee sana sanaaa
@robertmakuukabwali9488
@robertmakuukabwali9488 Жыл бұрын
Unasaidia waliyo wengi.keep r up.
@kandayaziwanews5418
@kandayaziwanews5418 Жыл бұрын
Well nimejifunxa Asante sana
@MichaelJohn-pf3ug
@MichaelJohn-pf3ug 10 ай бұрын
Asante sana nimeipenda sana
@zawadimbusa3472
@zawadimbusa3472 Жыл бұрын
Minafurahiya onyo mbali mbali kutoka kwa wangu wangu.imenisadiya kimaisha.
@raymondmadomado1804
@raymondmadomado1804 2 жыл бұрын
Asante
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 2 жыл бұрын
Bravo brother
@bahatimligo2474
@bahatimligo2474 Жыл бұрын
Thx kwa somo nzur 😊
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk 28 күн бұрын
III nimeierewa kidogo sokwasana ongeza juhudi blother
@zawadimbusa3472
@zawadimbusa3472 Жыл бұрын
Aksante sana kabisa
@faidakulanga2531
@faidakulanga2531 10 ай бұрын
Asante sana
@AllyHaydary-fh5vm
@AllyHaydary-fh5vm 5 ай бұрын
Asante sana broo kwa somo zuri
@FRANKJUMA-gk4de
@FRANKJUMA-gk4de Жыл бұрын
Hapo kaka umetisha kino noma tunashukuru kwawushari wako
@mustafadjuma6504
@mustafadjuma6504 Жыл бұрын
Tunashkur san upo vizuri
@williamgaston8522
@williamgaston8522 Жыл бұрын
Nice
@hasanygodda9242
@hasanygodda9242 7 ай бұрын
Nice,,
@FrancisProsper-cq8vv
@FrancisProsper-cq8vv Жыл бұрын
Napenda Sana vi2 Kama hv
@isaackmasai7194
@isaackmasai7194 2 жыл бұрын
Ahsante kaka
@dicksonmgoga-hj4im
@dicksonmgoga-hj4im 3 ай бұрын
Safi sana ndugu yangu!
@aishakiangani9646
@aishakiangani9646 2 жыл бұрын
Nakuelewa Sana
@user-vy6ie4to8q
@user-vy6ie4to8q 6 ай бұрын
Imenisaidia sana
@khadijamohamed3043
@khadijamohamed3043 Жыл бұрын
Broh love u🤗big up
@Eliasafi
@Eliasafi 2 ай бұрын
Samahan unaweza ukaniunga
@GelvasMayunga
@GelvasMayunga 3 ай бұрын
Asante San
@petermganga8390
@petermganga8390 Жыл бұрын
Pamoja sanaaa
@BolasieNgongo-rh9wm
@BolasieNgongo-rh9wm 5 ай бұрын
Asateee kaka
@eliasnicodemo2925
@eliasnicodemo2925 11 ай бұрын
Safi sana
@mnyakyusawamchongo715
@mnyakyusawamchongo715 10 ай бұрын
Nimepitia vide zako nimepata matokeo mazuri sana
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 ай бұрын
Asante
@ISAYAGIDEONI-fz7do
@ISAYAGIDEONI-fz7do 4 ай бұрын
Nomaa
@RashidShafy
@RashidShafy 15 күн бұрын
@user-hp7ni4wq3e
@user-hp7ni4wq3e Жыл бұрын
Mafunzo Yako poa sana
@amosmkondokwa912
@amosmkondokwa912 3 жыл бұрын
Asante bro umeniongezea ktu leo
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
Karibu
@SarafinaNaftali-lw2gk
@SarafinaNaftali-lw2gk 6 ай бұрын
Nimejifunza
@user-ke9fj4yc5q
@user-ke9fj4yc5q 6 ай бұрын
Unaelimisha vizur shid ni kuitendea kaz hiyo elim il tufanikiwe mungu akubarik😅
@youngnacho
@youngnacho 3 ай бұрын
Ameen
@aboumwanyika898
@aboumwanyika898 6 ай бұрын
Brother sijaona post zako mda kweli.
@Boasmwale-on6gt
@Boasmwale-on6gt 6 ай бұрын
Najegwa na hamasa yenu
@zainabukibada2126
@zainabukibada2126 Жыл бұрын
Asant
@user-ls2nx4ho3b
@user-ls2nx4ho3b 4 ай бұрын
🎉
@chubakakabanja9981
@chubakakabanja9981 2 жыл бұрын
Hiyo diyo si si sote tuna taka.
@user-lk2px7ck7m
@user-lk2px7ck7m 8 ай бұрын
shukuuran
@justinkatwaz5080
@justinkatwaz5080 Жыл бұрын
Kwakweli ubarikiwe mno kaka kwa kuzidi kunifundisha nami naona kwa sasa hatua zangu ni njema.
@user-un2ss4dy8l
@user-un2ss4dy8l 9 ай бұрын
Nimependa ushauri wako brother❤❤❤❤
@benedictongujo1003
@benedictongujo1003 Жыл бұрын
Sacrifice is a source of successful in your life make a good decision
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity Жыл бұрын
Absolutely
@yusufumajinge59
@yusufumajinge59 3 жыл бұрын
Asante
@nsiyakushahampemba2652
@nsiyakushahampemba2652 Жыл бұрын
Hakika
Huwezi Kufanikiwa Kifedha Bila Kuyajua Haya - Edmund Munyagi
14:27
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 105 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 78 МЛН
NJIA RAHISI ZA KUJIFUNZA KUWEKA AKIBA
14:47
Success Path Network
Рет қаралды 29 М.
mambo ya kuacha ili ufanikiwe
4:47
darasa la biashara na ujasiriamali
Рет қаралды 1 М.
Mambo ya kuzingatia ili Ufanikiwe
7:47
Topten Tv
Рет қаралды 6 М.
TABIA 7 ZITAKAZO HARIBU MAISHA YAKO/ACHA SASA
15:22
G Online
Рет қаралды 6 М.
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 105 МЛН