No video

MIRAJI |APAGAWA NA MAXI NI MAN OF THE MATCH | ABUYA ATATOA MTU KIKOSI CHA KWANZA | GOLI LA BALEKE 🙌

  Рет қаралды 112,233

Finest Online

Finest Online

Күн бұрын

Пікірлер: 166
@gonnetheboss1708
@gonnetheboss1708 Ай бұрын
Wa 5 mimi tunaoikubali yanga ni timu kubwa afrika gonga like apa ata mbili tu
@user-ru4fe4cj2k
@user-ru4fe4cj2k Ай бұрын
Wananch wenye nch yetu
@MaryJohn-bt5fe
@MaryJohn-bt5fe Ай бұрын
Oyooooo​@@user-ru4fe4cj2k
@HopeMmbando-wb8ci
@HopeMmbando-wb8ci Ай бұрын
Wananchi wenye nchi yetu afu atuna shobo
@lyambikujasmin8159
@lyambikujasmin8159 Ай бұрын
​@@user-ru4fe4cj2k❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@othumanyahya9168
@othumanyahya9168 Ай бұрын
MIRAJI, you are Good unajua sana kuuanalize mpira, ninashangaa kwa nini usiwe miongoni mwa wachambuzi wa soka wa kituo kikubwa cha AZAM MEDIA.
@perepetuajohn
@perepetuajohn Ай бұрын
Kweli Yanga ni kiboko na wako siriasi na priseson hongereni wachezaji wetu KOCHA na viongozi wetu🎉🎉🎉🎉🎉
@user-rr9kv1cu7m
@user-rr9kv1cu7m Ай бұрын
Raha ya miraji ni kuujua mpira halafu anachambua bila upendeleo na unafiki. Hongera sana kaka. Endelea hivyohivyo
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Ай бұрын
Nakukubali MIRAJI -- MAX ni habari nyingine " weka mbali na watoto "
@abelimaganga417
@abelimaganga417 Ай бұрын
Hii combo ni hatar Sana nawakubali Sana wamba❤❤🦁🦁🤝🤝🤝
@AyoubSaid-b5n
@AyoubSaid-b5n Ай бұрын
Namkubali sn huyu mwamba anaongea mpira doh yan nikimsikiliza natulia kama nipo darasani vile😮
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
HANA USHABIK KILA KWENYE DOSARI ASEM IWE KWETU SIMBA&YANGA
@RashidShidhani
@RashidShidhani Ай бұрын
Nawakubali Sana Miraji na Mchome na Mzee Saidi
@hassanchiwambo687
@hassanchiwambo687 Ай бұрын
Young hii mmm! Ni mashaka yangu tu....timu zijipange vzr.
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt Ай бұрын
MIRAJI unajua Sana blood Naqubare
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Macho yako mabovuuuu, ila chama yuko safii sana na atawafunga 08/08, mchungeni sana msije mkaamsha kilio.
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j Ай бұрын
Safi sana,Nenda kamwambie na MZEE SAID MOTO ULE WA BALEKE
@mozahdadichimpele5719
@mozahdadichimpele5719 Ай бұрын
Brother miraji uko fire❤
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Ай бұрын
Miraji anajua kuchambua 🎉🎉🎉🎉🎉
@AyoubSaid-b5n
@AyoubSaid-b5n Ай бұрын
Miongoni mwa shabiki nawakubali na wanajua mpira miraji ni zaid ya mtu na nusu
@jally1865
@jally1865 Ай бұрын
Chagamba !! That’s soccer. Kudos Bro keep it up. Uko vizuri sana zaidi ya wengi wa wachambuzi uchwara wa TV/ Radio stations.
@vedatv-to4hg
@vedatv-to4hg Ай бұрын
Nakubari familia
@JumanneMahona
@JumanneMahona Ай бұрын
Kaka ss bundasilig na sio lig tena mwambi mzee saidi asituwaze tena 😅😮😮😮😂😂
@RamadhanWaziri-jl6pl
@RamadhanWaziri-jl6pl Ай бұрын
Miraji anaogeya kimpila na cyo ushabiki yupo vzur
@noahmwaitege8663
@noahmwaitege8663 Ай бұрын
Mwanang miraaaji daaaah bloo we mpiraa unaujua KAKA yaan uko vzr inabd to ukachaaambuage Azam pale
@bakarimasanga3634
@bakarimasanga3634 Ай бұрын
Miraji umeongea point sana kuh eneo alocheza Yao.
@malietamaliet
@malietamaliet Ай бұрын
Asante miraji kuna michambuzi walisema ety mmoja anaetumikaga top eleven ndo alianza ila wabongo🙌🙌🙌
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 Ай бұрын
MIRAJI nakukubali sana kakaaaaaa...!
@dennismazanda7226
@dennismazanda7226 Ай бұрын
Kaka miraji unajua sana hongera
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 Ай бұрын
Anaestahili kuwa man of the match ni max mpia zengeli aliuwasha sana
@addomapunda957
@addomapunda957 Ай бұрын
Nilitamani uwe kocha miraji nakubali mwamba
@jamesmsigwa
@jamesmsigwa Ай бұрын
Miraji ipo siku utamvunja bega chagamba 😅😅😅😅maana
@FatumaSwaleh-it4qq
@FatumaSwaleh-it4qq Ай бұрын
Chagamba mzee saidi usimsahau leo
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 Ай бұрын
Edit heating Man Of The Match
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 Ай бұрын
Yanga oyeeeee
@KhalfanYahaya
@KhalfanYahaya Ай бұрын
❤❤❤nawakubali😊
@dianaemmanuel3471
@dianaemmanuel3471 Ай бұрын
Namkubali sana mwamba
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Ай бұрын
Natamani wasafi wamchukue miraji awe mchambuzi kwenye sport arena, anajua mpira vzuri
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg Ай бұрын
Kolo linalo jitambua hili tu
@fatmaally5530
@fatmaally5530 Ай бұрын
Sanaa utooo sijawahi kuona mtu wa hivyo
@ronaldopanja59
@ronaldopanja59 Ай бұрын
Kaka miraji ilaa max ni mtu na nusu
@PaulTango-he8qo
@PaulTango-he8qo Ай бұрын
Wa kwanza leo like zangu
@HanafiKombo
@HanafiKombo Ай бұрын
Kaka unajua mpira kaka
@ZenaMkali
@ZenaMkali Ай бұрын
❤❤❤
@mdalingwahassan8710
@mdalingwahassan8710 Ай бұрын
Miraji we ni mwamba sana wewe sio shabiki Tu ila ni mwanamichezo pia
@faidapaul6275
@faidapaul6275 Ай бұрын
Miraji anajua moira bwana....😅
@maikoatufigwegemwakapoja8709
@maikoatufigwegemwakapoja8709 Ай бұрын
Nakubalii chagamba
@fadhilykaduma3026
@fadhilykaduma3026 Ай бұрын
Huyo Diarra wa CRDB nimempenda😅
@ayoubsanga315
@ayoubsanga315 Ай бұрын
Chagamba umekosea Yanga Sio number 6 Africa ni 12
@perepetuajohn
@perepetuajohn Ай бұрын
POKEA 🎉🎉 Yako bro Miraji
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 Ай бұрын
Nakubali miraj chagamba
@NassonNgossi
@NassonNgossi Ай бұрын
Kaka we ni bora sana
@JohnMaginga-v9d
@JohnMaginga-v9d Ай бұрын
Sema maraji siku hizi kabadilika tunajua ni shabiki wa Simba ila akiwa anaongelea michezo aweke usawa la sivyo anaanza kupoteza mvuto mzee said safiii
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 Ай бұрын
so kweli..
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Ай бұрын
Chagamba hupoi tunamsubiri mzee side
@malietamaliet
@malietamaliet Ай бұрын
Shabiki wa simba ninae mpenda kutokea yanga jmn mm man of the match ni diarra tungekula kono kama mtani😂😂 dube jmn miraji kajatibu ajapata fitness
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert Ай бұрын
Ukimleta miraji mzee saidi awe karibu tunamtaka😂😂
@user-rr9kv1cu7m
@user-rr9kv1cu7m Ай бұрын
Uko vizuri miraji hongera sana
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Hatareeh sana 🔥🔥🔥🔥🔥
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Ай бұрын
Bg sana yanga
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Tatizo simba na yanga ni watu wanaodhani yani tunauwezo wa kucheza na mtu yoyote jamani timu kama augsburg wachezaji wao ni world class players, hakuna namna tukaona tunaweza kuwaweza ni kama tajiri wakijijini mwenye mashine ya kusaga na kiduka na bodaboda mbili nae aanze jiona yuko level za kina Bill Gates tz tuko kujitafuta tusijiongopee Kua tuwakubwa mnoooo
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Ай бұрын
Mim wa 3 chagambaa mapema sana
@user-rr9kv1cu7m
@user-rr9kv1cu7m Ай бұрын
Nawapongeza wachezaji wa wa yanga pamoja na uongozi mmetisha
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku Ай бұрын
Yanga wapo Bora sana kiukweli ligi uanze
@kubuleabdul6032
@kubuleabdul6032 Ай бұрын
Augsburg first 11 kaanza mchezaji umoja tu
@charlesSomeke
@charlesSomeke Ай бұрын
Walianza 8
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
😂😂😂😂 nyie mnapenda kujifariji ..... Mkitwa mazezeta ya mangungu mnaona sifa 😂😂😂 ..... Endeleen kujitekenya
@RmA-b9q
@RmA-b9q Ай бұрын
wameanza 6 acha udunduka huo
@revocatuscharles934
@revocatuscharles934 Ай бұрын
Tutajie huyo mchezaji ni nani
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Hata asingeanza hta mmoja bado ile ni ligi ya ujerumani na wote ni wachezaji wa timu hyo hyo na mshahara ni ule ule usijifariji
@saidially5892
@saidially5892 Ай бұрын
Chagamba tuletee mzee Said chap kwaaaa😂😂😂
@user-wl3sv2xn9e
@user-wl3sv2xn9e Ай бұрын
Magoma 900 inapendeza😂😂😂
@rizwankiaze9264
@rizwankiaze9264 Ай бұрын
Hiki ni kilio Kwa MANDUNDUKA kila mtu moto
@husseynomar9523
@husseynomar9523 Ай бұрын
Miraji bwana 🎉🎉🎉🌷🌷🌷😂😂😂
@FatumaSwaleh-it4qq
@FatumaSwaleh-it4qq Ай бұрын
Chagamba tupeleke kwa mzee saidi
@FredyPeter-rq8hj
@FredyPeter-rq8hj Ай бұрын
Milaji naye mdud😅😅😅😅
@rashidkhamisjuma3714
@rashidkhamisjuma3714 Ай бұрын
miraji yko vzr
@viccentbenard3710
@viccentbenard3710 Ай бұрын
mwambie miraji rasta man mtanzania na hati yakusafiria unaichukulia nchini kwak sasa uko kaenda kuchikua hat ipi tena? kibunda simba awajammalizia
@charlesmtamala4912
@charlesmtamala4912 Ай бұрын
familia nawakubal kichizi
@dullamuso6955
@dullamuso6955 Ай бұрын
Chagamba umerudi hapo 😂😂😂 Uliyamic Makofi ya Miraji eeehhh 😅😅😅
@sabasmbunda5018
@sabasmbunda5018 Ай бұрын
Ninachokijua gamond kwenye preseason haonyeshi mbinu za mojakwa moja ila baada ya preseason ndo utajua gamond ninani
@MuhozyaTMwangwa
@MuhozyaTMwangwa Ай бұрын
kiukweli zengeli ni mtu na nusu ila wakumbushe wachezaji wa kibongo wajitume mtakuja anza lalamika hawapangwi kama sure awe makini
@nassoloabdala8836
@nassoloabdala8836 Ай бұрын
Wakwaza leo nikiwa🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@saidemuamedeali2678
@saidemuamedeali2678 Ай бұрын
10:17 10:20 🎉
@kudramzee5769
@kudramzee5769 Ай бұрын
Salute kwako chagamba
@JamalSaidmfaume
@JamalSaidmfaume Ай бұрын
Miraji anajua mpira
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo Ай бұрын
Yanga alisamehewa tu wale walikuwa wanatest tu kikosi wangeamua wangempa 8 za uhakika, tatizo wachezaji wa yanga skills hawana manguvu mengi hasa mabeki skills hamna kabisa ata diara ni shati lipo mlangoni mbwebwe tu hawezi kudaka mipira ya mchezaji mwenye skills hawezi tena anfungwa kirahisi
@JamesNation-ji1jy
@JamesNation-ji1jy Ай бұрын
😂😂😂😂😂 loho mbaya inakusumbua
@JamesNation-ji1jy
@JamesNation-ji1jy Ай бұрын
Wewe umekula sita ujaongea mbona
@JamesNation-ji1jy
@JamesNation-ji1jy Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@petro8010
@petro8010 Ай бұрын
Hizo alizopangua hukuziona......au hukuangalia mpira.Diarra ni goalkeeper wa kiwango wewe
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Ай бұрын
Ile Yanga, nina uhakka 100% kuna team zitakuja kuchezea kumi kumi.
@georgettesaidi6809
@georgettesaidi6809 Ай бұрын
Tuletee mzee saidi nae chagamba 😂😂😂😂
@RashidKashindi
@RashidKashindi Ай бұрын
Chagamba nitumie namba za MJ na Majina kuna zawa…yake hapa nipo zangu us
@agnessgodfrey6557
@agnessgodfrey6557 Ай бұрын
Mi niliwaambia kwa chama hamna kitu mkasema ooohhh wivu Kiko wapi😂😂
@user-ic9eo3fh1u
@user-ic9eo3fh1u Ай бұрын
Hata hivo Bado una wivu ndo kwanza kacheze mchezo mumoja kwenye timu nyingine mda utaongea
@issackshayo7423
@issackshayo7423 Ай бұрын
😂
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 Ай бұрын
Team zetu zije tu kucheza na kina namungo, coast union zitatamba lakin kw teams za EUROPE bado sana
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
😂😂😂😂 kuongelea mpira, TZ KILA MTU mtaalam! WTF
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Miraji we ni mtu wa Ball
@user-rf4wt6fj4e
@user-rf4wt6fj4e Ай бұрын
Kaka nakubali siyonafiki higawa nisimba
@erickemmanuel9486
@erickemmanuel9486 Ай бұрын
Chagamba tunasubiri press na Mzee said😂😂
@stevensosipita
@stevensosipita Ай бұрын
MIRAJI WEWE NI BONGE LA MCHAMBUZI NA MSEMA UKWELI KIMPIRA.
@user-mx4vz3jt2n
@user-mx4vz3jt2n Ай бұрын
Jana yanga walicheza ila kawa uchezaji ule wachezaji watapata majeraha sana
@mansoursaid8
@mansoursaid8 Ай бұрын
Saa mbovu mdudu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@EvoniSanga
@EvoniSanga Ай бұрын
acheni roho ngumu mwenzio akifanya vzr mpongeze
@nimubonafreddy1077
@nimubonafreddy1077 Ай бұрын
Chagamba unaweza kunipa number Miraji mtuwaman kbsa Miraj
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Ай бұрын
Miraji sometimes unachemka Tatizo lilianzia kwa kiungo Shua boy alikuwa ndio source ya matatizo yote
@ChanganyaJaphetjr
@ChanganyaJaphetjr Ай бұрын
✔️✔️✔️
@hammytototundu9292
@hammytototundu9292 Ай бұрын
Milaji 😅😅😅😅😅😅😅
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini Ай бұрын
Nice
@MosesKoreka
@MosesKoreka Ай бұрын
Wewe mchambuzi sana
@MartinJohn-eu5qr
@MartinJohn-eu5qr Ай бұрын
Nambie
@jacksonmkuyu4263
@jacksonmkuyu4263 Ай бұрын
Huyu mwamba namwelewa sana anaongea vizur sana
@AbdallahMfilinge
@AbdallahMfilinge Ай бұрын
Mzeee said mbona simuoniiii
@AsifuSule
@AsifuSule Ай бұрын
Jamanii hamjui mpira kwa iyo kuanza kwa mechi tu unatamani mtu akupe kitu hujui kama kuna leo Niko sawa kesho nitakua vibaya kwa chama makoloo mtakuja kujuta kwa nini hamujamsajili
@user-gn4cp2vq2y
@user-gn4cp2vq2y Ай бұрын
Miraji hebu chunguza naskia yanga walicheza na tim namba 2 anayeanza alikuwa (1)
@RmA-b9q
@RmA-b9q Ай бұрын
jitahidi usiwe unaskia uwe unafuatilia mpira dunduka ww
@MaryJohn-bt5fe
@MaryJohn-bt5fe Ай бұрын
Acha usenge na wivu
@AllanAthuman
@AllanAthuman Ай бұрын
Live ni huyutu
@saidemuamedeali2678
@saidemuamedeali2678 Ай бұрын
🇹🇿
@MartinJohn-eu5qr
@MartinJohn-eu5qr Ай бұрын
Milaji namkubali
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
CLAM VEVO
Рет қаралды 50 М.
KATUDANGANYA KISA PENZI
8:22
Mr Uky
Рет қаралды 75 М.
MZEE SAID: WACHEZAJI WALINDWE | MSIMU UJAO VIKOMBE | AZIZ KI KABAKI?
24:46