KATUDANGANYA KISA PENZI

  Рет қаралды 75,551

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Пікірлер: 416
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
Ila huyu dada mweus mzur jmn so cute ...ngoja mzungu hamuone❤❤❤❤❤
@AfricanPrincessLabel
@AfricanPrincessLabel Ай бұрын
😂😂😂
@QbaBoy-ew7fc
@QbaBoy-ew7fc Ай бұрын
Sijaona mweupe hata
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 20 күн бұрын
@@QbaBoy-ew7fc😂😂 kuna mweusi na wa brauni
@RachelRachel-zx6dx
@RachelRachel-zx6dx Ай бұрын
😂😂jamani huyu kaka kanifurahisha sana
@user-ru9cm5jz3n
@user-ru9cm5jz3n Ай бұрын
Yaaan 😂
@VailethZongolo
@VailethZongolo Ай бұрын
Nimependa mdada alovaa jezi hana mambo mengi usijali mungu atakupa mwanaume sahihi endelea kutafut ela😢😢
@zamaradhassan
@zamaradhassan Ай бұрын
Ila wadada tinajizalilisha jaman mwanaume unadate nae tuu unampelewa kwenye media na hajakuoa wakati wenye ndoa zao wanachitiwa na wametulia
@user-xb7wi3lc9b
@user-xb7wi3lc9b Ай бұрын
yaan ,huwa nacheka sana😂😂😂
@zamaradhassan
@zamaradhassan Ай бұрын
@@user-xb7wi3lc9b mhmm 🙌🙌 kwakwel hapana wadada tubadilike kujizalilisha huk
@samponews1689
@samponews1689 Ай бұрын
Prank za kufoji hizi Amna ukweli apa😂😂
@everpeter8529
@everpeter8529 Ай бұрын
Wewe una akili mingi sana 💯, embu wasanue
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt Ай бұрын
Wahongo Kiki tu
@MONICAIFUJA
@MONICAIFUJA Ай бұрын
Mtoe yule mwekundu😊😊😊😅😅😅😂😂😂chichi nmemkubal🤣🤣✌✌
@GraceMunisi
@GraceMunisi Ай бұрын
Nimempenda uyu Kaka bure❤❤😂😂😂😂😂
@belindalowasa2819
@belindalowasa2819 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😅😅dah nimecheka sana huyu kaka duh
@Steven-George-es3hg
@Steven-George-es3hg Ай бұрын
Unampendaje mtu humjui😂😂😂🙌
@NourRaphael
@NourRaphael Ай бұрын
Me chchi amenifurahisha sana you na mchumba wake naona watazeesha😊
@heavenlightmafie393
@heavenlightmafie393 Ай бұрын
Hahahahahaha huyu jamaa anafaa kuigiza kabsa 🤣🤣🤣🤣🤣
@suzanamwita4548
@suzanamwita4548 13 күн бұрын
😂😂😂 kwa kwel yaan mwanzo kakubali kafika uku kamkataa,
@user-ot5fl8vo4l
@user-ot5fl8vo4l Ай бұрын
Sura kama kibuyu😅😅😅 Na domo lako nyoooo😂😂
@zenamohamedi
@zenamohamedi 20 күн бұрын
inaum hii😅😅
@aminamongela221
@aminamongela221 Ай бұрын
😮😮Ni mpenz wangu...njoo ukae hapa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lizyjustin5153
@lizyjustin5153 Ай бұрын
nchh!, me siji hapo
@mankalodi5796
@mankalodi5796 Ай бұрын
Kaka alitaka kusema mi sina mimba ya kumpa😂😂 Kavurugwaaa
@user-fk2yl9ef9m
@user-fk2yl9ef9m Ай бұрын
Ila nimemuelewa uyo dada mwenye jezi wanawake kauli ni ile ile kabla ujabeba ujauzito lazima utesti mitambo
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l Ай бұрын
hivi wanawake si mtafute pesa yani niache kutafuta pesa😂😂😂 nigombanie mwanaume kweli mwanaume mwenyewe duuuu ebu
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt Ай бұрын
Wahongo Kiki tu
@OmizohDangote
@OmizohDangote Ай бұрын
Alafu huyo alichaguliwa anaonekana bibi yake mchawi sanaa maana anajiamin kinoma😅😅
@user-ny3sx6ru3t
@user-ny3sx6ru3t Ай бұрын
Uishi na mwanaume anaitwa chichii useme una mpenz kwer 😂😂
@lukasjelamisanana6770
@lukasjelamisanana6770 Ай бұрын
Hahahaa
@NeemaDevotha
@NeemaDevotha Ай бұрын
😂😂😂
@erca111
@erca111 Ай бұрын
Huyu wa kitenge mbwembwe nyingi ila matukio yanakuja wenda mvaa kitenge ndo mtoa matumizi ndomaana chichi kamkataa wa Asernal😂😂
@andrewpeter4321
@andrewpeter4321 Ай бұрын
Wakitenge anajielew sana
@user-mb2ek2ds1h
@user-mb2ek2ds1h Ай бұрын
😂😂😂😂😂huyo Kaka kanifurahisha et mi sina mimba
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@ReylaMalambo-qy6ei
@ReylaMalambo-qy6ei Ай бұрын
Yani katika zote hizo leo nimecheka sana jamani😂😂😂
@halimashaban3858
@halimashaban3858 Ай бұрын
Nikimpenda mtu namsevu kweny cm sio kweny moyo mda wowot akiniuzi na delete 😂😂😂
@RagndivaAlando-nl4uk
@RagndivaAlando-nl4uk Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SebastianPaulSwai-ox6gn
@SebastianPaulSwai-ox6gn Ай бұрын
😂😂😂wanaume kama tulivyokubaliana 😂😂ukishakula pita hiv😂ila huyu demu jau eti anamimba tena kwisha😂😂😂😂😂
@official_neemamlay180tz
@official_neemamlay180tz Ай бұрын
😂😂😂mwekundu is typing😂😂😂😂
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 26 күн бұрын
Ila huyu kaka kiboko sana😂😂😂😂
@ICEELECTRICCOMPANY
@ICEELECTRICCOMPANY Ай бұрын
Kanuni ni moja tu mwanaume kataa mpaka mwisho 😂😂😂
@andrewtesha1132
@andrewtesha1132 24 күн бұрын
😂kbsaa yni
@MwasitiiIsaa
@MwasitiiIsaa Ай бұрын
😂leo umepatikana kun watu walishajitoa maish kweny mapenz duu ,huyi dd anamoyo
@alberatuslinus9617
@alberatuslinus9617 Ай бұрын
Dah huyo mwenye gauni la wabibi analinga knoma 😂😂😂
@user-ot5fl8vo4l
@user-ot5fl8vo4l Ай бұрын
😅😅😅
@calistachuwa1056
@calistachuwa1056 16 күн бұрын
Mbona gauni la wabibi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@rosemaryshine3008
@rosemaryshine3008 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂 khaaa
@rahmahamad5005
@rahmahamad5005 Ай бұрын
Chichi muugizaji mzur😂😂😂😂 aya aaaaaaaaa sasa weww umewaleta wa nini huku😂😂😂😂😂😂🙌
@user-kk2sf4bt7j
@user-kk2sf4bt7j Ай бұрын
Broo wewe ni mwanaume & mwanaume mwenyewe sasa👉👉 kama unataka niende 😂😂😂😂😂 mtoe yuli mwekundu 😂😂😂😂 kitenge mchezoooo😂😂😂
@ThomasBenedicto
@ThomasBenedicto Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@user-ni6im2fj1d
@user-ni6im2fj1d Ай бұрын
Chichi shikamoo kwa drama 😂😂😂
@mchamwinyiame3139
@mchamwinyiame3139 11 күн бұрын
Mr uk Hv unawapaga nn hao mana wanakuwa wagumu mpaka wanalainika😂😂😂
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 Ай бұрын
😂😂😂😂Eti sula kama kibuyu❤😂😂😂
@hajjkiua
@hajjkiua 22 күн бұрын
Mh noma kweli.. 😂😂😂
@Mr.madwalker
@Mr.madwalker 10 күн бұрын
Yani hzo tabia bhan tuondoe ubishi zipo automatic kwa wanaume 🤣✌️✌️
@zainabufeka87
@zainabufeka87 Ай бұрын
,,😅😅😅😅😅😅hayo mambo mshangazi hatuna hii michezo yawatoto wa 2000
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q Ай бұрын
😂😂😂
@user-yv5iu4jv1z
@user-yv5iu4jv1z Ай бұрын
Kweli❤?eee
@user-rf9ip9bc5d
@user-rf9ip9bc5d Ай бұрын
Hujafwatilia mashangazi ndo wanaongoza hapo
@chrisstationary4648
@chrisstationary4648 Ай бұрын
Hii movie gani inaitwa Mr kiredio...ila leooooo umetupangaaa😂😂
@leticiajohn4952
@leticiajohn4952 Ай бұрын
Mungu wangu nimecheka mpaka basi da chichi
@user-dg9js4cb7e
@user-dg9js4cb7e Ай бұрын
We ni bongo movie tushakushtukia
@misstee102
@misstee102 Ай бұрын
Na mimi niende Dar kutafuta mpenzi wapo vzr 😊
@mwakajumba25
@mwakajumba25 Ай бұрын
Haji manara alifundisha wanaume kukataaa mpaka mwisho😂😂😂
@Herly-nika
@Herly-nika Ай бұрын
Nmependa reaction ya chichi😂😂😂
@furahanorbert7843
@furahanorbert7843 Ай бұрын
😂😂😂😂na domo lako hilo jamani wakaka
@joycethomas262
@joycethomas262 Ай бұрын
Chichi anahidhuria vikao vya wanaume vizuri
@nicopaswedy102
@nicopaswedy102 Ай бұрын
anazingatia
@Hery-tg5ef
@Hery-tg5ef Ай бұрын
Kabisa
@AmanAlsen
@AmanAlsen 12 күн бұрын
Dah aisee nimecheka Sana uyu jamaaa n hatar na yupo serious kabsa dah kwel uyu jamaaa kichwa kwel
@SaidatyMubiru-od3vm
@SaidatyMubiru-od3vm Ай бұрын
Nimecheka sana huyo bwana alikataaa gafla wakat anamjua safi sana kaka nimependa sana muachege shobo muda mwngine
@stevenjoshua5866
@stevenjoshua5866 Ай бұрын
Wanaumeeeeee kauli ni ile ile hata kama ukishikwa usikubali😅😅😅😅😅
@user-rh6qv5up6m
@user-rh6qv5up6m Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂manina
@stevenjoshua5866
@stevenjoshua5866 Ай бұрын
@@user-rh6qv5up6m 😅😅😅
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman Ай бұрын
Mtatutoa roho😂😂😂😂😂😂😂
@MaveGladician
@MaveGladician Ай бұрын
😂😂😂😂
@jenifapaul3369
@jenifapaul3369 Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅shenz
@musiliitv2888
@musiliitv2888 Ай бұрын
Namkubali sana mwambaaa😂😂😂😂
@JulianaNicholasi
@JulianaNicholasi Ай бұрын
Weee kaka mungu anakuona
@AnnahNgwakwa
@AnnahNgwakwa 10 күн бұрын
😂😂😂ila wanaume wategwee
@BetinaKyando-kn6uv
@BetinaKyando-kn6uv Ай бұрын
😂😂😂 mchepuko oooh pole 💔
@user-rf6ot6yp7v
@user-rf6ot6yp7v Ай бұрын
ila mmejya kunichekesha 😂😂😂
@DNAPetro-z4d
@DNAPetro-z4d Ай бұрын
Mwamba katuwakilisha vyema kama inavyo takiwa aisee so poa kama tulivyo kubaliana hakuna kukubali hata kama umekamatwa live sema shetani alihusika basi🤣🤣🤣😂🫡
@adammakamba7168
@adammakamba7168 Ай бұрын
Kaka mkoa wetu usije 😂😂😂 utanivunjia mahusiano
@HasnaSawaid
@HasnaSawaid Ай бұрын
Nimependa kaka anamsimamo pamoja namkewake wakopowa sanaa😘❤
@michaeljohn3324
@michaeljohn3324 Ай бұрын
Haha hii couple inashda😂😂😂😂
@princessnaji2370
@princessnaji2370 Ай бұрын
😂😂jaman huyo dada haon hata aibu
@VictoriaJustine-g9u
@VictoriaJustine-g9u Ай бұрын
We ndo mwanaume bhna umefany chaguo zur sana. Wadad tuache uongo
@Shinyg3l
@Shinyg3l Ай бұрын
Aseee mnisamehe buree siwez fanya huu ujingaa na mm navopenda kuwa free mm uwiiih mapenzii siyataki kabisaaa yan🙄🙄
@user-ys3kk5il2p
@user-ys3kk5il2p Ай бұрын
Yaani maigizo yanajulikana na ukweli unajulikana mxiewwww bora ata kiredio kwendraaaa 😏
@NeziaShukuru-nc7ry
@NeziaShukuru-nc7ry Ай бұрын
Noted sura kaakibuyuuuu😊
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 15 күн бұрын
Haha 😅😅😅😅😅huyu mshikaji chichi kanifurahisha kiukweli
@LevaMligo
@LevaMligo Ай бұрын
Hii yaleo kali utoto tupu😂😂😂😂 chichi utoto tup nahuy mwekundu mtoto kabisa yan daah!
@RehemaAbou-jh7sp
@RehemaAbou-jh7sp 14 күн бұрын
😂😂😂😂huyu chichi comedy au 😅😅😅nimecheka kifalash😅😅
@Edithanicrausi
@Edithanicrausi 12 күн бұрын
Jaman na huku mkoan muwe mnakija😂😂😂
@user-gy5fo6zv6w
@user-gy5fo6zv6w Ай бұрын
Jamaa kidogo aseme mimi sina mimba 😂😂😂😂
@adammakamba7168
@adammakamba7168 Ай бұрын
😂😂😂😂 uyu jamaa kanifraisha
@user-pu5ow8jh8b
@user-pu5ow8jh8b Ай бұрын
eti kijini mahaba🤣🤣🤣 na domo lako nyooo🤣🤣🤣 chichi shkamoo
@nadhifaabasi
@nadhifaabasi Ай бұрын
😂😂heee ata kam hampend ndy amwamby sura kama tunguri kweliii😂
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa Ай бұрын
Ila wanawake 😂😂
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri Ай бұрын
Wallah kujidhalilisha tuu kila cku mtu ukishamuona ana mambo mengi c ujikatae ama kama waeza kupambana na mtu wako mpk huku media kuja kujidhalilisha hivi na mtu hana ata malengo na ww😢😢
@Eagle-One.1501.
@Eagle-One.1501. Ай бұрын
huyo chichi ananifurahisha anavyoongea
@JacklineClement-b5z
@JacklineClement-b5z Ай бұрын
Sasa ndo amwambie mwenzake sura ka kibuyu jaman🤣
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng Ай бұрын
Hila huyu kaka hamjui😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 jamani kanichekesha sana
@DM_15
@DM_15 Ай бұрын
Jamaa mswazihuyu eti sura kamakibuyu na domolako hilo nyoooh uache uongo haoooh wakatokomea kusikojulikana.😂😂😂
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 15 күн бұрын
Dada wa kitenge salute 😊
@user-hd1uf6cb2c
@user-hd1uf6cb2c Ай бұрын
😅😅😅😅😅 Yani haya mapenzi 💔💔💔 maanina 😂😂😂
@RobsonLugomi
@RobsonLugomi Ай бұрын
Ila wanaumeeeee😂😂😂😂😂😂😂komweeeeeee lileeeeee
@gloryalfred5158
@gloryalfred5158 13 күн бұрын
mpaka kasema mimi sina mimba 😂😂😂wanaume
@MarthaMassawe-p2i
@MarthaMassawe-p2i Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha uongo sura ka kibuyu🤣🤣🤣🤣
@user-xl1wt7be3z
@user-xl1wt7be3z Ай бұрын
Mwanaume nimempenda
@user-tv2rm6ux8y
@user-tv2rm6ux8y Ай бұрын
Mmmmh kweli iki kipindi ni maigizo wote apo nawajua mkitaka kuelezewa nambien😂😂😂😂
@MiriamMuenisyokau
@MiriamMuenisyokau Ай бұрын
Hata huyo mwanamke asichekelee wanaume wabaya sana na yy asubiri tukio mtu mwenywe ajaolewa unamshushua mwenzko
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f Ай бұрын
Huyo alie chaguliwa siyo km ana chekellea hapana kwa nilivyo muelewa hayo matukio ni mengi ktk mahusiano yao, Yaani jamaa hatulia sema tu yy ana vumilia tuu coz Wana Pendana eti jamaa matamaa km yoteee 😂😂😂
@user-yn8rk4gp3h
@user-yn8rk4gp3h Ай бұрын
Hahahaha Jamaal kajichanganya kasema ana mimba badala demu ana mimba duuh hiv mmesikia Kama mm au
@nurdinallymassagamohammed3939
@nurdinallymassagamohammed3939 Ай бұрын
Dada wa kitenge kama jezi ya Yanga ni WIFE MATERIAL kabsa
@NasmaMfinanga
@NasmaMfinanga Ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka jamn uwiiiiiiii sura kama kibuyu 😂😂😂😂
@user-pu5ow8jh8b
@user-pu5ow8jh8b Ай бұрын
mr uk katika siku umenifurahisha ni hii ya Leo et sula Kaka kibuyu jamn🤣🤣🤣🤣
@user-pj4jw7jd6e
@user-pj4jw7jd6e Ай бұрын
Mr uky huwa unadawa mdomoni??walaaaii😂😂😂
@andrewtesha1132
@andrewtesha1132 24 күн бұрын
Sura kama kibuyuu jmnnn 👐🤲
@KisangaAnniyah
@KisangaAnniyah Ай бұрын
leo mr uky na ww pia umechalengewa hana mimba😂😂😂😂😂😅 nimecheka sana jamn hapana😅
@samponews1689
@samponews1689 Ай бұрын
Prank za kufoji hizi 😅
@ShettaShabani-no5gm
@ShettaShabani-no5gm 13 күн бұрын
Alaf mbona kama boda 😂
@adiahrashidy9668
@adiahrashidy9668 13 күн бұрын
Bro me sina mimba😂😂😂
@NeemaMsuya-kk6bs
@NeemaMsuya-kk6bs Ай бұрын
😂😂😂 mwendo niule ule ukikamatwa unakanaaaa
@williamFredy-wj4mq
@williamFredy-wj4mq Ай бұрын
Wa kwanza mim leo jaman kwenye coment🎉🎉🎉
@mohamedathman3310
@mohamedathman3310 Ай бұрын
😂😂😂Aaaa weee mm sina sijampa mimba😅😅😅
@user-xv1nt9nr7d
@user-xv1nt9nr7d Ай бұрын
Sasa mtu kaongea nae jana😂😂😂alafu tena hamjui😂😂😂embu jaman wanawake sjui waschana tufte pesa bhna
@nasmasaid9361
@nasmasaid9361 Ай бұрын
Eeeh,eti mm yule simjuii simjui 😃😃😃
@Mr_S_Official_tz
@Mr_S_Official_tz Ай бұрын
Chichi 😂😂😂😂 umepigaje hapo 😅
@user-hd1uf6cb2c
@user-hd1uf6cb2c Ай бұрын
Yan uyu kaka hafikilii mbinguni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mwanzo kasema anawajuwa wt ila mwisho anasema hamjuw..
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch Ай бұрын
Umeona ee uyu Chichi lazima afike mbinguni amechoka Sana mwehu uyo
@JulithaOliva
@JulithaOliva Ай бұрын
Chichi sasa😂😂 mnatoa wapi mda wakuchaguliwa na nguvu ya kusema nakupenda
@JacklineDonarth
@JacklineDonarth Ай бұрын
Nacheka kama mazuri ila chichi et muone na domo lako mara pa pa oh muone sura ka kibuyu😅😅😅😅😅😅
@user-zd9wd8ms3x
@user-zd9wd8ms3x Ай бұрын
We mbwa nimechek mpk nimeunguza nyanya
NAPIGANA KWAAJILI YA PATRIC
11:32
Mr Uky
Рет қаралды 44 М.
IRENE NI NANI?? MKE AMTUKANA MUME WAKE, UMEBADILIKA SANA
9:28
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
MAPENZI YA WAGOMBANISHA SIKU YA BITHDAY
8:02
Mr Uky
Рет қаралды 72 М.
CHUCHU KANIPONZA KWA KWELI
8:09
Mr Uky
Рет қаралды 61 М.
Umekiona kifaa cha kunawia mikono cha TX Dulla?
3:34
Mtu ni Afya
Рет қаралды 13 М.
AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT
6:29
KIREDIO
Рет қаралды 176 М.
MUME MALAYA PART 2
16:14
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 15 М.
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
KIREDIO
Рет қаралды 222 М.
MWANAUME WANGU AME GAILISHA NDOA KISA LAFIKIANGU
8:12
Mr Uky
Рет қаралды 49 М.
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2
8:59
Mr Uky
Рет қаралды 203 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН