Fix You: Moyo Mgumu unavyovunja Ndoa/Mahusiano na madhara mengi makubwa - Deo Sukambi

  Рет қаралды 20,695

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@benadethafrancis5223
@benadethafrancis5223 Жыл бұрын
Point of correction. Musa hakuonana na Mungu uso kwa uso. Mungu alikataa kuonana nae, alisema hakuna mwanadam atakae muona akaishi. Alikataa ombi lake. Kwa mujibu wa biblia alimuonesha mgongo tu.
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Naona wewe nimekuelewa zaidi Pastor Deo asante.
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Жыл бұрын
dada irine kamugisha hongera sana kwa kuwa una mualika huyu dokta, aisee anafafanua mambo ya ndaani kiutaalaam kweli yani , binafsi ananisaidia niweze kujihakiki lakini anaamsha akili yangu nijtambue kwenye maisha yangu. endelea kuwa na huyu mtalam kwenye vipindi vyako, nimesubscribe tu kwaajili yake, usialike watoa maada ambao watakuwa wanazungumzia umbea tu mambo mepesi mepesi ya kiswahili leta watu watalam wa mambo ili uponye maisha ya wengi nimekupenda sana dada wewe ni jjiniasi Mungu akubariki na tv yako
@gloriosehakizimana3789
@gloriosehakizimana3789 Жыл бұрын
Ï😮œ
@janetuli3
@janetuli3 5 ай бұрын
Wandugu... Andikeni Mungu au MUNGU... Msitumie herufi ndogo kumuita Mungu wetu Aliye Hai, Mungu ambaye huyu Pastor (na wengi wetu) tunamuamini.
@redmioman4371
@redmioman4371 Жыл бұрын
Sns nawapenda nawapenda tena
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 9 ай бұрын
Yaani pastor Mungu akubariki nazani utaokoa walio wengi,Barikiwa sana
@drpriscaantony7825
@drpriscaantony7825 Жыл бұрын
Namkubali sana huyu pastor yupo vizuri
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Jamaa ana madini mengi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Ila wapo au wapo watu wenye moyo mgumu alafu najichanganya nao Kila siku ila nawaelewa sana na hawanikontroo hata kidogo,,,ila nawaelewa sana,,,Asante mungu Kwa baraka zako najinsi nilivyo
@lesusi7872
@lesusi7872 Жыл бұрын
Asante mungu nimefurahi kumuona tena deo jmn aje tu kila mara
@abdulhamidmjawiri9224
@abdulhamidmjawiri9224 Жыл бұрын
Mussa alizungumza na mungu kwa kusikia sauti ya mungu na sio kumuona hakuna kiumbe chochote kilowahi kumuona mungu
@priscalaiton38
@priscalaiton38 3 ай бұрын
Kinauzwa shingap😊
@anitamwamini2646
@anitamwamini2646 Жыл бұрын
Point Dr 100% kwa maelezo ya aina 5 za wanaume wenye mioyo migumu
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 Жыл бұрын
Jamani kamanihivo tunaumwawegi🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@brightyona9815
@brightyona9815 Жыл бұрын
pastor deo sukambi nmejikuta narudia sana seminar zako kusikiliza na kujifunza barikiwa sana
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Ongereeni Sana,tatiz mchungaji deo Yuko bize Sana umimpigia apokeu ,akupokea anakwambia atakutafuta na Wala akutafuti,
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Anasound kama Mh. Mboye.
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 Жыл бұрын
Heeee.....Moyo mgumu hatariii iseee kuna aliye toboaa kweliiiii hapaaa😂
@SonySony-hx5yd
@SonySony-hx5yd Жыл бұрын
Nawakubli mno niko iraq nawaskiliza vyema ,(Rehema
@farajiwanted8257
@farajiwanted8257 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Ameongea vzuri yote nakubaliana naye lkn kuhusu kumchana mtu sikubaliani naye..Hapo aliposema kuna jinsi ya kuongea na boss wako na jinsi ya kuongea na mtu wa chini yako…Hapana..watu wote wanachanwa sawa..Na wanapata respect sawa.
@brightnjau651
@brightnjau651 Жыл бұрын
Thank you very much Chief! At last someone has defined what I have been trying to define to my people!!!👏🏽👏🏽👏🏽
@emmyjimmyK
@emmyjimmyK Жыл бұрын
Asante Pastor Deo Sema tupone
@MwassaKamweka
@MwassaKamweka 5 күн бұрын
Kinapatikana vip sasa jmn
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Жыл бұрын
Nimejifunza mengi na mazuri
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana kwakutuletea tena mafundisho yake mazuri sana.
@irakozegracia183
@irakozegracia183 Жыл бұрын
Me nakuelewa sana SUKAMBI 🙋‍♀️
@annalyimo8462
@annalyimo8462 Жыл бұрын
Nakuelewaga sana kaka barikiwa na MUNGU wa Mbinguni
@missg1430
@missg1430 Жыл бұрын
I love this ❤
@prisca4612
@prisca4612 9 ай бұрын
Asante sana👌🙏🏿
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Irene ya kweli kabisa upendo wa hivyo kutoa bl kutegemea kurudi tatizo kubwa sana mlete tena
@orestocharukula8940
@orestocharukula8940 Жыл бұрын
Naomba kitabu hicho
@irankundaeric1510
@irankundaeric1510 Жыл бұрын
Asante sana kwa kipindi kizuri. Ninawafuata kutoka Burundi -Bujumbura
@nassorkhalifa9931
@nassorkhalifa9931 Жыл бұрын
Kweli bro umeongea point 👍
@rubyring100
@rubyring100 Жыл бұрын
People will love you the best way THEY know how... not necessarily HOW YOU want to be loved... you have the power to decide if you are going to partake in that or not...
@estherndola4900
@estherndola4900 Жыл бұрын
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Yani kwenye moyo mgumu Mimi sipo hapo,,,Yani Sina hata dalili moja
@virendavictoria5174
@virendavictoria5174 Жыл бұрын
Laiti tungeelewa anachokiongea Pastor dunia ingekuwa sehemu sana ya kuishi. Kiini cha matizo ni moyo
@germainekahambu
@germainekahambu Жыл бұрын
Sasa maana ya upendo ni nini? naomba unieleweshe.
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Wow 👏
@barnabazawadi9433
@barnabazawadi9433 Жыл бұрын
Nawezaje kukipata kitabu hicho, niko American
@sashoright8213
@sashoright8213 Жыл бұрын
Maneno kuntuu
@irankundaeric1510
@irankundaeric1510 Жыл бұрын
Nataka mnifafanulie maana ya neno "SNS"
@Mimy_keys
@Mimy_keys Жыл бұрын
SNS : SIMULIZI NA SAUTI 👌
@irankundaeric1510
@irankundaeric1510 Жыл бұрын
Asante sana
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Wanaume namba nne ao 🙌
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala Жыл бұрын
Nimewasikiliza Hadi mwisho nimewaelewa
@pulikisia7963
@pulikisia7963 Жыл бұрын
Bbf yule..😂😂😂😂
Fix You: Namna ya kuishi na watu wenye tabia tofauti kabisa na wewe
1:01:08
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 88 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 27 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Family Gathering (AKILI Vs HISIA) Part A
55:38
Deo Sukambi
Рет қаралды 6 М.
CHANGAMOTO YA ENEO LA FEDHA KWENYE NDOA/MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
49:41
SHERIA 4 ZINAZOATHIRI NDOA NA MAHUSIANO |  DEO SUKAMBI
56:44
Deo Sukambi
Рет қаралды 2,2 М.
Usichokijua kuhusu Moyo Mgumu
41:42
Deo Sukambi
Рет қаралды 1,8 М.
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН