No video

Fix You: Mwanaume asipomridhisha mwanamke kimapenzi hupitia wakati mgumu 'Huwa inatupiga sana'

  Рет қаралды 59,604

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Irene Kamugisha amleta tena Deo Sukambi kutokana na maombi ya wengine na kwenye episode hii amefunguka mengi yenye mafunzo makubwa kuhusu ndoa na mahusiano

Пікірлер: 247
@salhaswai5398
@salhaswai5398 Жыл бұрын
Hitaji namba moja LA mwanaume ni kujisikia mwanaume 👏👏👏
@penwelinatimothy9057
@penwelinatimothy9057 Жыл бұрын
Wooooow, where have you been pastor in all my life! ningekuwepo mbali sana kama ningelisikia neno kama ili. May God bless ,keep on blessing us with more.
@penwelinatimothy9057
@penwelinatimothy9057 Жыл бұрын
bless you
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 Жыл бұрын
Dada airine wageni wafundishaji wawekee maji au juice au kachai inafaa sana asante
@angelamjumba8792
@angelamjumba8792 Жыл бұрын
😂😂 😂 dah umefikiria mbali sana
@madinamahuba
@madinamahuba Жыл бұрын
Kama vile vipindi vya salama jabir akiwahoji watu anawakaribisha vizur samaki samaki juic mazingira mazur pia
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
kipindi kizuri Sana Dada Yuko simpo hongera na mchungaji Yuko vizuri kwanzia sauti Hadi kuzungumza salute kwake
@joymohat5848
@joymohat5848 Жыл бұрын
Woow am lucky to have him🙏🙏mungu anitunzie jmni🇰🇪🇰🇪.nilikua naona kma hanipendi kumbe he is right
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Irene,Irene,Irene unafanya vizuri sana mdogo wangu napenda sana unavyotulia kwenye kipindi.
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
thank you🙏
@hajrajumanne8830
@hajrajumanne8830 Жыл бұрын
Asante San naomba pastor Deogratias sukambi anisaidie jamb mim nipo kweny mahusiano lakin uyo mwanaume ni mtu ambae alisha wahi kuoa akamfumania mke wake na rafiki yake kwaiy toka hapo amekua amuhamin Tena mwanamke yeyote naomba msaad maana nampenda San 🙏🙏😭😭😭
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
Hongera Sana pastor umetupa mafunzo ya uhakika kuhusu mapenzi hapo nimekupa 💯Kwa 💯
@shabani8636
@shabani8636 Жыл бұрын
huyo pasta ajengewe sanamu aise anajuwa💕💕💕💕💕💕
@erastodaudi4349
@erastodaudi4349 Жыл бұрын
Nimekupenda dada Irene huwa unaendesha kipindi ukiwa umetulia sana, napia unauliza maswali mazuri sana hongera sana,
@edibilybussoro1700
@edibilybussoro1700 Жыл бұрын
Doooh! The next Chris mauki salute kwakee
@chardtalent8191
@chardtalent8191 Жыл бұрын
MY GENIUS FATHER👐
@allymtumwa4225
@allymtumwa4225 8 ай бұрын
Incredible talk congrats
@mayilamadaki3175
@mayilamadaki3175 Жыл бұрын
Hongera sana iren Kwa kpid nimejifuza kitu
@adamabui6121
@adamabui6121 Жыл бұрын
Du jamaa kichwa noma anajiibu hongera kaka im from skandinaviska
@Winstonfying
@Winstonfying Жыл бұрын
kwanza hongera sana kka. anatuwakilisha vyema. Listen from Dk 36 Hongera sana mkuu!!
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 Жыл бұрын
Asante sana tunazidi kujifunza Mungu awabariki
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Mrudisheni uyu jamaa jamani bc anatufusha sana sisi vijana kusitokulupuka 🙌🙌🙌
@alicekadzo340
@alicekadzo340 Жыл бұрын
Wow! true facts
@tatutumbi4640
@tatutumbi4640 Жыл бұрын
Mko vizuri nimewaelewa.
@anneotieno1037
@anneotieno1037 Жыл бұрын
Irene. Thank you. Mada muhimu na nyeti kweli.👍🏾👍🏾
@salhaak.amgeni8908
@salhaak.amgeni8908 Жыл бұрын
Aisee haka kapindi nimependa mno na pia airin hichi kipindi mwenye kutaka kukielewa atakielewa ila kiukweli wanawaka saivi hatutaki kukubali majukumu yetu na haya ndio yanasababisha sana vitu tofauti kutokea
@gracenizigama695
@gracenizigama695 Жыл бұрын
I love it 💖💖💖💖
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Usingizi umeniishia kabisa,nimechanganyikiwa🙏🙏mme wangu akuwai kuwa na sifa ata moja,😭hero niishi peke yangu Maisha yangu yaliyobaki,mchungaji Roho ya MuNGU ipo ndani YAKO🙏
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
pole dada
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Asante,
@d.m.k9990
@d.m.k9990 Жыл бұрын
I really like this man...HE IS GENIUS
@kawtharal_amin5503
@kawtharal_amin5503 Жыл бұрын
Wallah nmependa sanaa hii interview en nmejifunza ving
@fredrickkyalo9711
@fredrickkyalo9711 Жыл бұрын
Viewing from 254 tunapenda kipindi
@deborarabson3978
@deborarabson3978 Жыл бұрын
Thanks a lot fadher and sister , ur the best 👏👏
@theophilustrizzy9093
@theophilustrizzy9093 Жыл бұрын
Let help this generation for better future “TOPIC IWE KUSAIDIA VIJANA HASA WA KIUME WALIOKUWA BILA JINSI YA ME” Kwenye familia zao
@nsazabahizirehema7897
@nsazabahizirehema7897 Жыл бұрын
Ki ukweli nime faidika sana na maswali yangu yame pata majibu azidi kurundi ili tu elimike vizuri Allah awape hitaji lamoyo wenu piya amani itawale maishani mwenu 🇧🇮
@thierrytiti886
@thierrytiti886 Жыл бұрын
Wow 😲 perfect
@issamohamed8798
@issamohamed8798 Жыл бұрын
You made my day! Tnx a lot! Nimebadilika kuanzia sasa!
@MariamMalimoja-ld7vz
@MariamMalimoja-ld7vz Жыл бұрын
Asante kwa SoMo zuri doctor
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat Жыл бұрын
Daa nilipata mwana muke kwenye tendo alikuwa muzuli sana ira katik maisha yakawaida Yani alikuwa Hana zile tabia ama muchango muzuli zakunifanya nihisi nipo kwenye mikono Salama Yani alikuwa Hana muchango ira mwaka juzi nili pata mwengine ana malengo na anamchango mukubwa na ana nielewa ninachokisema ira kwenye tendo sio mjuwaji sana. Tumedeti kwa mwaka m Moja na tupo kwenyendoa kwa mwaka muoja ira tunaenda sawa sawa mpaka Leo hii
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Жыл бұрын
Jifunze kua msiri ayo umeyasema unataka nn sasa
@faustakatemba8357
@faustakatemba8357 Жыл бұрын
Kaka unaeleweka sana
@Hasnspop
@Hasnspop Жыл бұрын
@@gracesilayo7670 😂😂😂😂😂😂
@adamj9723
@adamj9723 Жыл бұрын
Good 💯kipindi kizuri.👏
@judykiptim9412
@judykiptim9412 Жыл бұрын
Thank you so much for this session....I have unlearned so many things.
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Жыл бұрын
which English is that
@tunajaribu
@tunajaribu Жыл бұрын
@@barakamshiu7146 ya mwendo kasi au🤭
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Жыл бұрын
@@tunajaribu 😂😂😂😂
@tunajaribu
@tunajaribu Жыл бұрын
@@barakamshiu7146 🤣🤣🤣
@geitatv5858
@geitatv5858 Жыл бұрын
Go back to school
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Nawapenda 🔥🔥🔥🔥
@tusekonga3030
@tusekonga3030 Жыл бұрын
jamaa hakushukuru wala hakupongezi na ume fanya kila kitu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asante Pastor tuna acha kiherehere
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Kidele😂😂
@amirially750
@amirially750 Жыл бұрын
Dah arudii Tena dah Irene hii imekaa kikubwa Sana
@peterjoseph3837
@peterjoseph3837 Жыл бұрын
keep that spirit pastor yakuelimisha jamii, yu real knw what you're doing. nashukuru Irene kwakuandaa kipindi bora
@pilipilijumec3955
@pilipilijumec3955 Жыл бұрын
uyu pastor ameweza kabisa ameongea facts tupu ,nawapa changamoto kugwii fuateni Aya yanayojadiliwa apa bac mtaweza kunusuru ndoa na kujenga wanawake na waume kiujumla
@millicentochieng5740
@millicentochieng5740 Жыл бұрын
Thank you guys i have learnt a lot .
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asanteni sana.
@SonySony-hx5yd
@SonySony-hx5yd Жыл бұрын
Nmevuna kitu kwenu hongeren sanaa,nipo Iraq nawafuatilia
@saidaamir4462
@saidaamir4462 Жыл бұрын
Wallah mambo ya lao matam sana
@saidaamir4462
@saidaamir4462 Жыл бұрын
Naomba number ya huyoo pasto
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 Жыл бұрын
Naomba next time ukimualika muulize kuhusu Alpha Wife and Beta husband
@avitusa602
@avitusa602 Жыл бұрын
💚💚
@gracelema2374
@gracelema2374 Жыл бұрын
Irene 😅 this person hapana aai nimecheka hp mwishoni ad bs
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Najifunza sana mbarikiwe
@hosianamosha389
@hosianamosha389 Жыл бұрын
Waoooo kipindi kizuri sana
@agathamatambula538
@agathamatambula538 Жыл бұрын
Aje tena Jaman
@amimugosa9968
@amimugosa9968 Жыл бұрын
Hello Irene K, I am really blessed by this man's knowledge and explanation. However, I would like if you can ask him to come back to the studio and explain what are the signs, attitudes, behaviours of man who is romantic vs a man who is too romantic. Once again, be blessed for all your work. Ami from Canada
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Well noted
@deus9246
@deus9246 Жыл бұрын
I like the Mind of this Men
@anneotieno1037
@anneotieno1037 Жыл бұрын
Question to Pastor. Je, mwanamke anaweza kumuuliza mumwe which areas anaweza kumsupport financially or anapaswa kusubiri mpaka ashirikishwe????
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Dr Ellie alisema tatizo si la mwanamme hakuridhishi ni lako mwanamke kwamba haupo na hujajiandaa kisaikolojia
@namsifuwadeya497
@namsifuwadeya497 Жыл бұрын
Mmm jamani huyo baba ananondo sana,mkaribishe tena jamani
@theophilustrizzy9093
@theophilustrizzy9093 Жыл бұрын
Nice content…. This heal a lot of people WE WANT HIM AGAIN “This time let him discuss about single families,this is cancer to the society and is definitely the out come of all problems happen naw,fore example you find a man love with other gender 0-20s without knowing the role of man in the family so it’s take alot of energy to be through this,only words he heard since his born til 20s is :women can do without: but they forgot the one they rise is the man….. we’re going to loose this mens generation PLEASE LET HIM COME BACK FOR THIS….. @sns #itene
@marcomandari
@marcomandari Жыл бұрын
Mnalinda ndoa za WATU ELIMU nzuri sana kwa wanandoa vijana
@ramabwoy7139
@ramabwoy7139 Жыл бұрын
Kipindi nimekipenda sana nimetamani kiwe marakwa mara
@munaiagnes3332
@munaiagnes3332 Жыл бұрын
Really enjoyed this topic it's clutching my heart and brain amazing.listening from Europe.merci beacoup
@michaellagwen8198
@michaellagwen8198 Жыл бұрын
Mtangazaji mzuri sana hivi kaolewa au bado loh
@lesusi7872
@lesusi7872 Жыл бұрын
Kashaolewa
@romes-tz7323
@romes-tz7323 Жыл бұрын
hii doz siopoa nizaidi ya nusukaputi🤣
@ItsWorkingTogetherForMyGood
@ItsWorkingTogetherForMyGood 9 ай бұрын
Good conversation lakini sikubaliani na kila kitu mchunganji anayoyasema.
@smay9
@smay9 8 ай бұрын
Duh i really understand, kupitia somo hili duh!!!!!! Kongole lako pastor
@msabyboy5192
@msabyboy5192 Жыл бұрын
So nice
@happymilangasi5904
@happymilangasi5904 Жыл бұрын
Aje tena
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 Жыл бұрын
Haitakikani kuombwa kabisa, katika mahusiano au ndoa tunatakiwa tusaidiane bila kuombana, usifananisha ndoa na mifano ya mkurugenzi
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Mchungaji shikamoo ongera yesu Yuko nawe kiukweli najifunza kitu ,🙏🙏
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
YESU o Yesu
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
@@maryamconstantine2232 tatizo cm yangu kimeo,sawani YESU,
@lesusi7872
@lesusi7872 Жыл бұрын
Irene naomba umrudishe atupe solution kwa wale wanawake waliowapa wanaume mitaji kisha wakaenda kuowa kwingine limeshatokea nn kifanyie?
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe Жыл бұрын
Anza upya muache samehe maisha lazima yaendelee
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe Жыл бұрын
muonye kuwa unaweza kuishi bila yeye ukitaka kumuumiza kuwa na furaha usipambane kulipa kisasi ama kumuonyesha kuwa unapebdwa zaid no jipe laha
@marygodwin9022
@marygodwin9022 Жыл бұрын
ase tunamtaka tena akaribie sana.
@edibilybussoro1700
@edibilybussoro1700 Жыл бұрын
Mm kwakweli natamani aje tenaaa
@gloryleon4187
@gloryleon4187 Жыл бұрын
TUNAMTAKA TENA, ni ipi mipaka ya mume na mke kwa majirani na watu wengine walio nje ya mahusiano yao, Mf je ni sahihi kwa chumba cha wanandoa kutumiwa na watu wengine endapo wanandoa hawapo??
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Жыл бұрын
Swali zuri kipenz nataman kufahamu pia
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 Жыл бұрын
Sio sahihi kabisa Glory 👍
@jokhasaid6601
@jokhasaid6601 Жыл бұрын
🥰🥰🥰MashaAllah
@kennedymaster2000
@kennedymaster2000 10 ай бұрын
Kweli hili jama limebobea kwenye haya mambo. Kwenye swala na simba. kamaumeelewa hapo gonga like tujuane
@donatatesha4492
@donatatesha4492 29 күн бұрын
Jamani. Kuhusu hapo mama kufanya majukumu ya baba umeniacha solemba mkuu. Unakuta mtu hajishughulishi Na watoto, hajui wanakula nini ama wanavaa nini, wanasoma au hawasomi. Yeye kazi ni kuzalisha tu. Sasa we mama ukikumbana Na mwanamme kama huyo Na wewe uko Na roho nyepesi utaacha watoto wako wateseke kwa sa Abu mzee hajishughulishi? Hapana aise la da hapo sio chi yang ninayoijua😢
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Жыл бұрын
Nawapenda irudiwe
@vumiliamande2185
@vumiliamande2185 9 ай бұрын
Hanapata shukrani
@michaelsostian
@michaelsostian 10 ай бұрын
Touching
@cmoshi7014
@cmoshi7014 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Kweli haya mambo ya kikubwa. Wale wadogo mpite kimya kimya. Ila hongereni sana madini mazuri sana.
@ramadhanipascal3120
@ramadhanipascal3120 Жыл бұрын
Muna weza ku murudisha tena pastor deo
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 Жыл бұрын
Wanaume wengi sai akikuona na kazi atataka usaidie kila kitu
@emanuelmatiku3609
@emanuelmatiku3609 Жыл бұрын
Sukambi🔥🔥🔥🔥🔥
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Tunamtaka tena,,Yani uyu mwamba anajua Sana kututibu ,,
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 Жыл бұрын
Hii video na ile ya Mara ya kwanza unaemleta huyu Mgeni wetu Nina stop video katikati narudia tena kumsikiliza... Yaani Mungu anajua vile alivyonisaidia, huyu na ile video ya Mc Luvanda
@sophiasheikbaha5890
@sophiasheikbaha5890 Жыл бұрын
9999
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 Жыл бұрын
Mie nimerecord
@nelsonpatricioestanislaus7144
@nelsonpatricioestanislaus7144 Жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri Deo.
@tunajaribu
@tunajaribu Жыл бұрын
Wanaume wengi hawaturidhishagi ni hawajuagi tu
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 Жыл бұрын
Hata ukienda kwa mwingine atakulizisha kwa mda mfupi tu. Kinachotakiwa uangaliea wapi unamkosea wanaume wengi hawataki manjonjo . Unakuwa fundi kuliko mwanaume hata kulia Hamna hata kusema unaniumiza Hamna . 😂😂
@thedark4455
@thedark4455 Жыл бұрын
Kiu yangu ya kumsikiliza bado haijakatika
@ahmedimghwira5899
@ahmedimghwira5899 2 ай бұрын
Kaka deo uko vizuri mungu akupe nguvu na afya njema na akuongezee maarifa zaidi
@irakozegracia183
@irakozegracia183 Жыл бұрын
Mmmmh unajuwa hivi vitu ikifunguka akili na kuacha kujifanya mjinga ni kweli mtupu yaani sijui ulikuwa wapi siku zote
@jasper849
@jasper849 Жыл бұрын
I wish I knew.....now is too late...
@veronicamassala562
@veronicamassala562 Жыл бұрын
Huyu baba jmn
@wambuinderitu2461
@wambuinderitu2461 Жыл бұрын
We want him again 😂 wisdom is oozing out of him like no one's business
@hamadgakwaya3466
@hamadgakwaya3466 Жыл бұрын
Nimekumbali san maneno yako pastor
@Mcsceo
@Mcsceo Жыл бұрын
Time to eat time to eat😋
@timothykaiza327
@timothykaiza327 Ай бұрын
Kwann mnazungumzia tu wanaume tunataka kuwajua na wanawake
@kenedypeter8552
@kenedypeter8552 Жыл бұрын
Arudi jamani! Maada ".. mwanamme ambaye Mwanamke anataka kujiua kwa ajili yake na pengine asha attempt Mara kadhaa kujiua kisa anataka mwanamme awe too romantic wakati mwanamme yupo logical... " Msaada tafadhali mrudishe mwanasaikolojia atusaidie
@yustakipenya6231
@yustakipenya6231 10 ай бұрын
Uyo anatishia wanawake hawajiuagi kwajili ya mapenzi wanaigiza mwambie ukijaribu tena kujiua sitakutaka tena usinipe kesi unahisi sikupendi nenda Kwa wanao kupenda
@tricecliton8732
@tricecliton8732 Жыл бұрын
Good
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Жыл бұрын
tunamtaka tena aje atuabiye kwanini wanawanke wana watengenezenya wanaume mandawa. please we need you Dad.🙏🙏🙏🙏🙏
@stellarunyoro9167
@stellarunyoro9167 Жыл бұрын
Aje tena na tena
@beatricemsambya3060
@beatricemsambya3060 Жыл бұрын
Tunamtaka tena
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Sio wanaume wote wanaokasirika inategemeana na pia inawezekana body language ya mwanamke kama alimkashifu mume wake au kuna viashiria vya dharau kwa sababu tu kalipa ada then huyo mume atazira na mume anayezira pia he is emotionally immature anatakiwa achukue nafasi yake tena ,wanaume wengine wanapongeza wake zao kwa kulipa ada na hat kuliopa kodi wanasaodiana hamna figisufigisu ya eti mimi au wewe umelipa
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 18 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 44 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
SABABU ZA WANAUME KUTOKUWA WAAMINIFU KWENYE NDOA | Deo Sukambi
27:20
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 120 М.
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 18 МЛН