No video

Fix You: Pressure ya kuoa/kuolewa, vijana hawa single wasimulia kinachowakuta, ndoa ndio mafanikio?

  Рет қаралды 18,980

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Kwenye episode hii ya #FixYou, Irene Kamugisha anazungumza na Rita Cuthbert pamoja na Barret Belton Mapunda ambao wapo single kuhusiana na pressure ya kuoa na kuolewa na jinsi jamii inavyochukulia suala la kuingia kwenye ndoa

Пікірлер: 123
@_evin711
@_evin711 2 жыл бұрын
Brother barrett deserves being motivational speaker 👏
@upendofancy1781
@upendofancy1781 2 жыл бұрын
Rita ...I like her attitude. Calm and fluent in thoughts. Keep shining girl
@neemasimba927
@neemasimba927 Жыл бұрын
Nimempenda Rita..ana utofauti mkubwa ukimsikiliza kwa makini na ana vitu vingi vya kufundisha vijana(very matured).Nice show!
@kabuchekisumo7938
@kabuchekisumo7938 2 жыл бұрын
Tuletee mr and Mrs mapunda
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Mwenye wazazi ambao wanaupendo wao kwa wao, mkamtolee Mungu sadaka.
@doricelugundiza4849
@doricelugundiza4849 Жыл бұрын
Rita is amazing....I like her calmness, very classy 😘
@Witnessvlog
@Witnessvlog 2 жыл бұрын
Hongera sana my friend barret. Unajua kujipambanua vyema. Unajua Mimi ni shabiki yako namba moja. Nakupenda Ndoa sio rahis sana.
@rosehillary8742
@rosehillary8742 Жыл бұрын
Barrett ASANTE SANA Ishi maisha yenu vijana msubiri wakati wa Mungu Msije mkarush kisa age mkaangukia Pua
@HayceFamilyKe
@HayceFamilyKe Жыл бұрын
We love fix you.Tunajifunza mambo mengi.
@salsalama9168
@salsalama9168 Жыл бұрын
Super proud of you Irene my love... and Ritha darling 😘 you rock
@rachaelbomaniofficial_
@rachaelbomaniofficial_ 2 жыл бұрын
Kaka yangu Barrett .Ur shinning and keep shinning.
@barakambeyale7207
@barakambeyale7207 Жыл бұрын
Matured conversation God bless you appreciate 🥂
@avitusa602
@avitusa602 2 жыл бұрын
wanawake wanapenda sana kuambiwa huongo we kuwa mkeli kuja kumpata wako itachukua muda,ila kuwa muongo utaona chap chap..
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
💯
@masangwamasangwa3069
@masangwamasangwa3069 Жыл бұрын
Kiukweli tuache ushabiki, nikwamba, kwa msichana kuna umri wakuolewa ukipita huo umri, kuolewa unakuwA bahati, so tucjidanganye nakujifariji kwa maneno yakipumbavu, na Wana aply Bible verses kwenye hakuna uhalisia, but kwa kijana wakiume wao hawana muda mwafaka wa kuoa, so garante ya bint ni tofaut Naya kijana wa kiume
@nsiandumiulomi648
@nsiandumiulomi648 2 жыл бұрын
My Mentor Ritha..watching you right now..Ubarikiwe sana.
@mageebwire922
@mageebwire922 2 жыл бұрын
Nimependa Mada Lakini mazungumzo yalivokua yanaendelea yametoka nje ya Mada husika, imeenda kua mada ya mahusiano. Mategemeo yangu. 1.Kwanini kuna hii pressure? 2.Je bado ni sahihi kwa wazazi na jamii kuendelea kuwapa presha hii vijana. 3.Vijana wafanyaje wanapokutana na hii presha Next time akiwepo Mwanasaikolojia,Mwalimu wa Dini ukristo na Uislam, Mzazi wa kiume na Kike na Vijana wawili labda mazungumzo yangekua mazuri zaidi
@irenekamugisha
@irenekamugisha 2 жыл бұрын
Noted
@Mcsceo
@Mcsceo Жыл бұрын
Ujengewe sanamu akili Kubwas.
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Жыл бұрын
Nimewapenda sana
@queenmunuo5269
@queenmunuo5269 Жыл бұрын
Kwa kweli hilo swali huwa linakera sana
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Hi discussion ni muhimu sana kwetu watoto wa generation za bongo. Mimi binafsi niliolewa lakini sikuwa tayari ila ni harassment ya jamii nikaona its time. Lakini pamoja na Watoto after 14yrs ndoa iliisha. Familia ilinikumbatia na Watoto wamekua and am happy Camper🙏🏾
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Very nice conversation 👌 👏 👍
@queenmunuo5269
@queenmunuo5269 Жыл бұрын
Mm nadhani watu wawe busy na mambo yao na km mtu yy kaoa/kuolewa mapema basi asiwe kwazo kwa ambao bdo
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
This girl anasema yeye ndio anawafundisha wazazi wake kuishi, kabla ya kuzaliwa akakua wazazi waliishije? Mbona hawakuachana enzi hizo??? Anajieleza vizuri ila apo ametupiga uongo.
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 Жыл бұрын
Wakati unangojea wakati wa mungu nae mwenyezi mungu anakungojea uweke nia na uwanze kutafuta ili akukute njiani akubariki , kila kitu kinaanza na nia, nimeona watu wengi waliokuwa na fikra kama hao unao wahoji sai ubri umeenda hawaana ndoa hawa watoto wanajuta. Kijana mwenyezi mungu anakungojea uwanze kitu...
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Sisi wadada bana 😂mapozi mengi sana,ni kwel dada unajua kingireza lkn sisi tusiosoma tunahitaji sana kjifunza zaidi lkn kwa lugha yetu pendwa..mbarikiwe
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 2 жыл бұрын
Mungu huyu usikute ndo mke na mume wa baadae mmekutana kweny interview ya kuwa single 😂😂😂
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 жыл бұрын
Hata mi niliawaza hivyohvyo 😂😂😂
@jscatherine29
@jscatherine29 Жыл бұрын
🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️
@sarahsingombe
@sarahsingombe Жыл бұрын
So nice
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 2 жыл бұрын
Mnakela Sana watanzania mahojiano ya ya kiswahili mnaongea swanglish,pumbavu kabisa wote
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 жыл бұрын
Inakera SANA host tafadhali jitahidi kurekebisha hili swala, linaboaaaaa hatari
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Жыл бұрын
Kipindi pendwa 🔥❤️
@erickdioniz8277
@erickdioniz8277 2 жыл бұрын
Ongea kiswahili bhana unachanganya kiswahili na kingereza sio poa
@halimasaid4977
@halimasaid4977 Жыл бұрын
Good girl
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Barret uko vizuri Rita anajieleza vizuri ila hapo kwenye review ya wanaume apo ataliwa sana kuja kugundua yuko 45yrz menopause 🤣🤣🤣🤣
@siamnyone8403
@siamnyone8403 Жыл бұрын
Mawazo yko hyooo ....sio Kila mty anapenda ku sex
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
@@siamnyone8403 Nani hapendi kusex?
@jscatherine29
@jscatherine29 Жыл бұрын
Menopause sio 45 bhn Hadi above 60 Wanaconceive
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
@@jscatherine29 60yrz wanazaa watoto walemavu, akili nusu robo, nywele mbili, miguu mitatu, Figo saba na deformity kwa wingi..... labda kwa visaasili vya kidini ndio wanazaa
@WTC492
@WTC492 Жыл бұрын
Good
@Claimlorie
@Claimlorie Жыл бұрын
Tanzanians 👐Too judgemental yani sasa kwani mtu kuongea English ni vibaya? ni habit tu ya mtu hata kama ajaweza kutumia Kiswahili kote... Ni vizuri anajiamini ila nyie mnasema anajisikia na kuolewa sio kila kitu kwa kweli watu wanaact so uncivilized na izo ndoa kama ni accomplishment flani wakati sio life goes on
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 жыл бұрын
Kua single ni poa lakn kuna muda upweke unaumiza sana kuna kafiling flan hivi kinakujia unatamani kua na mwenza sio kama tunapenda kua single lakn maumivu tunayo pata so poa
@francismngumi5125
@francismngumi5125 2 жыл бұрын
Acha tu usingo unatesa asee
@aishahassan9812
@aishahassan9812 2 жыл бұрын
Kabisa nyie acha tu😔
@florakibona8042
@florakibona8042 Жыл бұрын
Usingle n mzigo jaman
@gloriasiara719
@gloriasiara719 Жыл бұрын
@@philemonmagesa5548 yaan sana kuna mda una wish uwe na mtu wa kubadilishana mawazo ila ndo hivyo
@EstherMedda
@EstherMedda Жыл бұрын
Barret you are the best.
@Zaburi-
@Zaburi- 2 жыл бұрын
Host is like what is she talking about, 33 years!
@nurukinyemi3676
@nurukinyemi3676 Жыл бұрын
Mada nzuri!Hongera,Rita
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
bariet yupo vzuri anawaelezea vzuri sana wanaume
@kabuchekisumo7938
@kabuchekisumo7938 2 жыл бұрын
Bareth bwana akubariki
@zainabhakizimana6990
@zainabhakizimana6990 2 жыл бұрын
Vingereza vingiiii ndio nini
@aishahassan9812
@aishahassan9812 2 жыл бұрын
😆😆😆😆
@queenmunuo5269
@queenmunuo5269 Жыл бұрын
Kila mtu ana mda na wakati wake
@OfficialEK17
@OfficialEK17 Жыл бұрын
Rita, jaribu kuwa na tumia kiswahili zaidi 👀
@halimasaid4977
@halimasaid4977 Жыл бұрын
Ni mazoea tu hats mimi sijasoma sijui kizungu vizuri ila nimezoea ku mix
@dainessmbise5025
@dainessmbise5025 Жыл бұрын
Kama nataka kuwa interviewed inakuwaje?😂😂😂😂 Nahisi hata mimi ninacho kidogo cha kuwapa kizazi kijacho na kilichopo 😂
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 Жыл бұрын
Usijali,mfollow Irene na umu Pm
@selenganyagawa1358
@selenganyagawa1358 Жыл бұрын
Mnapatikana wapi?👍
@leonardmadelemo3043
@leonardmadelemo3043 Жыл бұрын
We lita huna akili miaka 25 bado hujajitambua pumbavu kweli,,.thn unajisifia miaka 33 huna ndoa?
@kennedymaster2000
@kennedymaster2000 4 ай бұрын
Haya bana mana wazazi wa jamaa wamekamilika asilimia 100 kitu ambacho syo lahic.
@marcomandari
@marcomandari Жыл бұрын
Dada aache kuchangannya lugha
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Tatzo utajuaje kwamba msomi
@philmonnem7294
@philmonnem7294 Жыл бұрын
Ili neno. unaoa lini? mi sikuizi nawajibu unakufa lini?
@zenakhalfan1427
@zenakhalfan1427 Жыл бұрын
Kwanini mnaongea kingereza wakati mnatoa mafunzo kwa watanzania jifuzeni kupenda lungha yenu haswa huyo dada
@yoramdogezah8000
@yoramdogezah8000 Жыл бұрын
Gonga like kama umeona kucha ndefu all the fingers on both hands ... am thinking on how does she ......
@Mcsceo
@Mcsceo Жыл бұрын
Afu huyi dada ni very judgemental😅
@alsam4881
@alsam4881 Жыл бұрын
Aina ya huyo mwanamke ni mvivu na hajuwi kupika na Ndiyo maana ana kucha za bandia, ukiona mwanamke anabandika kucha za bandia, ujuwe ni hasara kubwa kwasababu ni mvivu na hawezi kufanya usafi wa nyumba wala kupika.
@roseruben3413
@roseruben3413 Жыл бұрын
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 2 жыл бұрын
Kipindi kizuri.
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 2 жыл бұрын
Ibra apa Houston Texas uyodada ana tuongopea kwasababu yupo kwenye camera 📷 tu ila ajichunguze alipo kosea
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
najua ii interview ni ya mda mrefu..... Ila naomba uyo jmaa apew interview yke tumskilze kw lisaa 1 ana madini yakutupa vijana wenzie
@aishahassan9812
@aishahassan9812 2 жыл бұрын
Mkiongea lugha ambao twaelewana wote mnapungukiwa nini🤧 sasa hapa tunaelewa nn wengine
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
Watanzania wote runaekewa kiingeteza. Kujibu ndio tabu. Hongeteni sana binti na kijana
@happynessmbwambo9692
@happynessmbwambo9692 Жыл бұрын
Kipindi sijakipenda Leo lugha imenishinda kma kila siku itakuwa ivi Basi Mimi naleft group
@siyamanda7073
@siyamanda7073 2 жыл бұрын
Sasa huyu Ritha kiswahili kinampa shida na kingeleza nacho kinampa shida sasa lugha gani yuko vizuri
@mkurungwaog5698
@mkurungwaog5698 2 жыл бұрын
Rudi shule
@siyamanda7073
@siyamanda7073 2 жыл бұрын
@@mkurungwaog5698 nani sasa
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 2 жыл бұрын
Hicho kiswanglish hata nimekinai kuendelea kusikiliza japo hii mada inamguso wa pekee kwangu. Naimani mtalifanyia kazi jambo hili.
@leonardmadelemo3043
@leonardmadelemo3043 Жыл бұрын
Nyie wote hamna afya akili
@arafasalim9948
@arafasalim9948 2 жыл бұрын
mwanamke kiengreza punguza unapunguza utam
@barakamsungu5260
@barakamsungu5260 Жыл бұрын
Mtangazaji kwanini unaruhusu kiswanglisha jitahidi mzingatie hazira wasiojua lugha ya kigeni
@Mcsceo
@Mcsceo Жыл бұрын
Nice comment
@yosamjoshua1721
@yosamjoshua1721 Жыл бұрын
Hicho kingereza kinaboa sanaaa ,
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Sana bn
@alsam4881
@alsam4881 Жыл бұрын
Kipindi ni kizuri ila huyo Rita ameharibu sana kuongea kiingereza zaidi kuliko lugha ya kiswahili, Kwasababu siyo watu wote wanajuwa kiingereza, Sasa fanyeni maamuzi sahihi kama hiki Kipindi ni cha lugha ya kiingereza au ni cha kiswahili ili tujuwe moja, lakini siyo mnachanganya lugha 😏
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 2 жыл бұрын
Editor amefeli
@marymaimu216
@marymaimu216 Жыл бұрын
Huyu mdada mmh
@sanaf8367
@sanaf8367 Жыл бұрын
Huyu kiingereza cha nini anaboa hasa sijui nani alomwambia ukiongea kiingereza unaonekana mwerevu na msomi kumbe ushamba tu
@jonessalum6325
@jonessalum6325 Жыл бұрын
Hapana so mshamba kashazoea kuchanganya so nivizuri Sana hata wewe jitahidi kujifunza
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
uyo dada anajifanya mzungu sana ndmaan aliachwaa vbay🤣🤣
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 Жыл бұрын
77
@hamadgakwaya3466
@hamadgakwaya3466 Жыл бұрын
Mwanaume yupo poa san kuliko mwanamke anazingua kingereza kingi
@chunanachu2529
@chunanachu2529 2 жыл бұрын
Vingereza😏😏😏😏😏😏
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 Жыл бұрын
Yabidi wazazi wako waletwe hapo wote kwa kweli
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 жыл бұрын
Topic nzuri sana, discussion imeenda nje ya topic, host umepata shida kuibana ibaki kwenye mstari, anyway discussion nzuri TATIZO kubwa hiyo kizungu ya bidada it's too much inaharibu ladha, please stick to Swahili na host wakumbushe wageni wako kuongea Kiswahili 95% ya maongezi, wabane unawalegezea sana. Nawe host stick to Swahili nawe unamixmix mnoo mnaharibu ladha
@directoremod8075
@directoremod8075 2 жыл бұрын
Sasa dada Adventure si uamue tu kama kingereza au Kiswahili 😂😂😂😂
@theopisterlucas1962
@theopisterlucas1962 Жыл бұрын
😄😄😄
@mrs2918
@mrs2918 2 жыл бұрын
demu kingereza kingi ila bendera fata upepo na copy 🐈 jinga kabisa
@dannysengata2298
@dannysengata2298 2 жыл бұрын
Watu wakumbuke mada Kama hizi zinaenda kwenye jamii ya kitanzania...uliweka lugha ya kigeni unawafikia watu wachache tuu... all in all ni ushamba ...ukoloni mambo Leo.
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 2 жыл бұрын
Chizi unaweza Ku prove kipi kinakuambia bado bado bado
@hekimamliga2139
@hekimamliga2139 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄
@bellabakera
@bellabakera 2 жыл бұрын
Mdada anashida fulani. She is perfecting herself as if amekuja kutafuta mchumba
@JoelKakizibaJK
@JoelKakizibaJK 2 жыл бұрын
Hahahha
@alsam4881
@alsam4881 Жыл бұрын
Atasubiri sana kumpata mr. Perfect!
@rukikomuingi6026
@rukikomuingi6026 Жыл бұрын
Wadada mchagua sana mnasubili wakati wa Mungu mbona mtasubili na ujio wa yesu namalika zake
@florakibona8042
@florakibona8042 Жыл бұрын
Kipindi kizuri ila huyu dada anaboa jaman wabongo tunafail sanaa kama anakuaga hivyo kwa wanaume atasubiri sanaa
@masangwamasangwa3069
@masangwamasangwa3069 Жыл бұрын
Mwache ajifariji kwa maneno ya kipumbavu, wac chana huwa ningumu kusarender, kuwa kunawakati tunakuwa tumefeli
@siyamanda7073
@siyamanda7073 2 жыл бұрын
Muongo huyo Ritha kwani kila kitu kina wakati na ndio tunaaza shule tunamaliza na ukimaliza shule kinachofuata ni kazi na ukishafika wakati wakazi it means you are already in life and mutual it means you are woman or man and if you are in that situation then you are ready for everything
@masangwamasangwa3069
@masangwamasangwa3069 Жыл бұрын
👍 they cheat us on mass!!
@charlesnyirenda2776
@charlesnyirenda2776 Жыл бұрын
Dada wambie hao unaokua nao kwenye kipindi inatakia waongee kiswahili not English wakati wanajua wanasikilizwa na watanzania hata radha ya kipindi inapotea Asante
@esupatthomas5881
@esupatthomas5881 Жыл бұрын
Waoane sasa Rita na Baret😅
@youngrappertz1735
@youngrappertz1735 2 жыл бұрын
vingerez vingi, pointless
@tatutatu1570
@tatutatu1570 2 жыл бұрын
niwapata kutoka Iraq 🇮🇶 nikwel kabisa dada
@thomsanga7956
@thomsanga7956 2 жыл бұрын
Huyu dada malaya, huwezi ku date na watu kibao na hujapata mwenza, umalaya huu 😄
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 жыл бұрын
Aisee,ungemuelewa,mbona amefafanua vizuri tu,alafu mpaka unamtusi...... Safari bado ndefu kha!
@bonyminja5815
@bonyminja5815 2 жыл бұрын
Huyo dada wq katikati aachane na hiyo kingereza yake ujinga tuu
@padilijamesmikomangwa519
@padilijamesmikomangwa519 Жыл бұрын
Ngoja niwafunze leo. Mnakuza mambo kuhusu ndoa. Ikigoma, acha nayo, ikikubali achana nayo. Mnachukulia ndoa as if ni rocket science. Kwa wanaume wenye mhimili imara na akili - kwetu ni jambo la kawaida sana na halitonisumbua. Acheni ku-spew stereotypes na cliche kuhusu ndoa. Jiwekeni katika identity zenu na chukua hatua moja kila siku.
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
uyu jmaa ungetuwekea namba zke au instagram yke
@johwizboi4210
@johwizboi4210 Жыл бұрын
SnS to the 🌎 Tambo za uchawa wa Juma lokole 😂👇😂kzbin.info/www/bejne/kJTdk4KQqLqLkLM
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 52 МЛН
Fix You: Ni Bora Mwanamke akosee kuolewa kuliko Mwanaume akosee KUOA!
1:03:55
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 3,3 М.
NILICHOFANYA BAADA YA KUOZESHWA KWA MWANAUME JOGOO HAWIKI..
4:17:16
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 81 М.
LATIFA, UNGENIAMBIA MAPEMA!
3:03:54
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 53 М.
TAMAA YA KIFO
3:50:48
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 18 М.