Kwenye episode hii ya Fix You, Irene Kamugisha anazungumza na Sweet Allen ambaye anasimulia mkasa wake wa kuchukuliwa mume wake mtarajiwa na rafiki yake wa karibu na wakafunga ndoa
Пікірлер: 909
@lovenessaron26692 жыл бұрын
Huyo dada Sweet ana hofu ya Mungu sn Mungu wa mbinguni azidi kumbariki na kumuinua kiuchumi,😍🥰 Ameen 🙏
@irenenanjendo7859 Жыл бұрын
Sweet Mungu azidi kukuinuwa na msimamo wako kwa Mungu ni wow, don't go back.uzidi kuinuliwa Irene pia,be blessed all
@abdulnuruhassan86112 жыл бұрын
Hey dada ongera sana kwa moyo huo mungu akubariki kwa moyo huo Yani sijui niseme nini Yani una moyo... Tumejifuzq chochote kinacho tekea katika maisha ni kukabizi mwenyenzi mungu hasante my sister l love you my sister 🙏🙏🙏
@yonamsemo66342 жыл бұрын
Wewe ni mwanamke wa pekee Sana,Mungu akubariki Sana una moyo mzuri.
@esterjimmy7573 Жыл бұрын
Kusamehe ni jambo la muhimu sanaa,Kama anatusamehe kwa vitu vikubwa why sisi tunashindwa,Mungu atusaidie
@twiseghekisilu88452 жыл бұрын
Yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yanawezekana!hongera dada sweetie
@mkundihamphrey74632 жыл бұрын
Nimekuelewa sn dada Sweet, Mungu atusaidie na sisi tuweze kusamehe na kutokushikilia vitu moyoni. Big up sn dada sweet
@esterjimmy7573 Жыл бұрын
Roho za wanawake wengine sometimes ni ngumu sana!
@agnesmbemba80732 жыл бұрын
Kumwamini Mungu ndo kila kitu.Neema ya Mungu iendelee kukufunika Dada Sweety.
@upendogreutert199 Жыл бұрын
Pole ndugu, ni kweli kabisa unayosema wenzetu wapo wanaojua Kuhendo na sio wote ni wasaliti. Mtumainie Mungu my dear
@janethmasonoro87332 жыл бұрын
Nakupenda Sana wewe dada, namuomba Mungu Akupe nafasi katika uzima wa milele
@Burange6662 жыл бұрын
Pole sana yaliyokukuta mungu atakusaidia, na pongezi nyingi sana kwa mtayarishaji mtangazaji wa kipindi hiki cha story ya kusisimuwa ambayo sirahisi kwa wanawake wengi kustahamili na kutoa msamaha.
@maryammbarouk8002 жыл бұрын
Hongera sana sweet. Yaani una moyo wa ajabu sana na Mungu akubariki kwani sidhani kama wanawake wengine wangeweza kama uliyofanya wewe hata mimi binafsi singeweza. Hapo kuna somo kubwa la kujifunza. Ubarikiwe sana.
@anamarykaduma5639 Жыл бұрын
Wewe ni mwanamke Shujaa,Hongera sana ,kweli marafiki wengine hutamani mpaka kuchukua jumla,Mungu aendelee kuwatunza watoto vizuri.
@aishatest44512 жыл бұрын
Asante Sana dada hongera sana dada. kweli dadaumesema kweli 🙏👏👏👏👏👏👏👏
@hellenyyusuph37902 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada nimepata funzo kubwa sana na pamoja na kumjua mungu mubarikiwe
Sweety n8mekupongeza sana na hivyo ndivyo Ina faa. Maisha ni mapito. Na sikuzote ukiwa na moyo wakusamehe basi mungu hakutupi. Dadangu wewe ni mwanamke wa aina yako. Na Mimi nimejifunza sana kutoka kwako. Mimi huwa nakuja daa ikitokea nimekuja. Basi insha Allah ntakutafuta. Mimi pia ningependa niwe na rafiki kama wewe. Kwasababu una akili nzuri roho nzuri sana na unaeza kuka mpa mtu advise ya kumsaidia na akawa anaangalia vitu kwa upana
@ImaniTyea Жыл бұрын
Pole sana dada hakika wew ni mfano wa kuigwa na kuamini kuwa maombi ndiyo silaha Maan bila ya maombi ungeendelea kuumia barikiwa sana
@pierrebigirindavyi43782 жыл бұрын
SNS my family,, love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 and 🇲🇿 Mozambique
@florentinafabian3537 Жыл бұрын
Nguvu ya msamaha 🙌🙌🙌😭😭😭 Duh, nimejifunza sana Mungu atusaidie sana, mbarikiwe sana kwa kipindi na shuhuda nzuri, na Yesu awatunze sis Irene and sis Sweety.... we are learning and this is too helpful 😍🙌😭🙏
@ashaidd29122 жыл бұрын
Mungu ni mwema msamaha ni mzuri sana Irene umetisha sana unatuletee mambo mambo big up
@vincentkatabalo2862 жыл бұрын
Hii story kama inakosa uhalisia. Napiga picha kufunga vitu kwa muda wote na kupakia kwa muda mfupi kiasi hicho. Script iko poa
@helenakipingu6875 Жыл бұрын
Asante Sana dada Irine Kwa kipindi hiki,dada Sweet Amenitia moyo Sana Sana!kumbe kuna makubwa zaidi yanayowakuta watu,haya madogo tunayokutana nayo naamini pia Yana mwisho kikubwa ni kujituma, kweli kabisa dada sweet anakifua!!namuomba Mungu na Mimi niwe na kifua zaidi ya dada Sweet, naaminihakuna lisilowezeka ukimkabidhi Mungu!!maisha marefu Kwako na Kwa dada Sweet pia
@ashurakazema24622 жыл бұрын
Hii ni miongoni mwa episodes nzuri kutoka kwenye hii show. Hatuna budi kusema ahsante..inafundisha, kuna sehemu zinafurahisha pia (sio kwa ubaya). Maana kuna wakati matatizo yetu yanageuka kuwa kichekesho hii ni is haraka kuwa tumevuka hiyo sehemu kwa ujasiri..
@iddahmwakyoma24647 ай бұрын
Mmmm Mungu akuzidishie na akuinue sio rahisi hata kidogoooo
@gracedidas73812 жыл бұрын
JAmani huyu dada mtamu Kama jina lake, apewe kazi awe mshauri nasaha wa serikalj.Anafaa sana MUNGU AMBARIKI SANA.
@angelmatebe76872 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana dada sweet.... Kwa hakika umeonyesha maana halisi na kutekeleza amri ya upendo...... Nina hakika Mungu anajivunia wewe....... Wewe ni mfano katika jamii
@wemawamungu98662 жыл бұрын
Pole sana yangu kumweleza mungu hitaji lako akutangasi abadiliki atakuwa wewe mpaka mwisho pole sana
@wemawamungu98662 жыл бұрын
Pole sana Dada yangu mungu akutie ngufu
@quinquin75362 жыл бұрын
Daar nmekusifu
@aminatanzanya74752 жыл бұрын
Mi sijawh kuwa na rafik zaid ya Mungu aliye juu Alhamdulilah
@peacedukaladawamuhimu11324 ай бұрын
❤
@beatricepallangyo2821 Жыл бұрын
Hongera sana. Nguvu ya Msamaha inashinda yote. Nakuelewa sana Sweet. Barikiwa sana
@zahrababygarl15682 жыл бұрын
Pole sana dada nashukuru Kwenye Maisha yangu sinaga shoga wala rafiki
@greenermichael20572 жыл бұрын
Mi mwenyewe naishi kivyangu na namshukuru Mungu
@maryjonh3112 жыл бұрын
Mmmmh kuna kitu sio bure
@kadoaugust64972 жыл бұрын
Huyo shoga alikuwa amefunga ndoa Lutheran huyo mme wake alikwenda wapi? hadi aje afunge ndoa na Mme wake?
@sarahkatembo97836 ай бұрын
Shida sio shoga shoda ni mume hakuwa na upendo na huruma kwa mkewe 😭🙈eeeeeeee Mungu asimame katika maisha yetu ya hapa duniani
@hamisinyanga45792 жыл бұрын
pole sana dadayangu.mzungu usimuoneshe rafiki yako siku ukimuuthi kidido basi aruka na rafiki yako hivyo ndivyo walivyo.simwamaume au mwanamke.mimi naishi hapa uraya miaka 20 nimeyaona mengi kama hayo nami yamenitokea.
@evaakyoo30092 жыл бұрын
Sitaki kabisa rafiki wameniumiza sana yamenikuta sana maisha yakuchukuliwa wachumba ninawa nasamehe lakini bado walinitenda sana kiasi cha mwingine kutembea na mume wangu hakika sitaki kabisaaaaa maana naweza kumuwa
@tecratzmwakyambomwakyambo72432 жыл бұрын
Naona hunifikiii
@zahrababygarl15682 жыл бұрын
Pole dada
@maguga2 жыл бұрын
Mie sijui kama ningewezakuendelea naulafik nae uwww
@neemajohn61422 жыл бұрын
@@maguga yes kusameh muhim ila iweje urafik urudi?? Atajipanga tena akuumize
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
Pole Sana tuko wengi Sana
@franciscakija17022 жыл бұрын
Hongera Kwa kuwa na utu siyo kitu. Mshukuru Mungu sana akikupa kipawa Cha utu. Tunajivunia🙋🙋
@hellenlevison716 Жыл бұрын
hiyo ndio nguvu ya kuachilia na kusamehe
@emeresianamichael51632 жыл бұрын
Kweli we dada mbinguni utaenda mungu akupiganie kwa moyo ulionao
@mkibandulo1231 Жыл бұрын
Asante Dada nimejifunza vingi hapo
@judithsalvatory28922 жыл бұрын
Mungu azidi kumbariki sana huyu mama amejaa sana imani
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Daah hongera sana dada mie ningemsamehe sawa lkn siwez tena tena kuwa nae ukaribu km zamani ww una moyo wa pekee mungu akubariki sana
@paulinapius31842 жыл бұрын
Marafiki n wabay sana sina hamu nao kwa sasa sina rafiki zaidi ya mume wangu tu
@rachelswai97562 жыл бұрын
Hilijambo lininikuta mimi siwezi elezea ila yesu amenipakusamehe usiposamehe unakufa hukuunajiona maumivu yake ni makubwa kuliko unavyo elewa
@paulinapius31842 жыл бұрын
Kabisa yan
@mariettelwesso2818 Жыл бұрын
Uyu dada ana busara kubwa sana. Namupenda kabisa 😂😂 na historia yake ina ni fariji moyo. Msamahani ni jambo kubwa maishani mwetu sisi binadamu ina ponya na ina safisha roho na mwili. Historia ya dada siyo muhimu kwa maisha ya leo ndiyo mahana ina bidi tumtegemee tu Mungu. Asante kwa kutu eleza story ili na Mungu aendelee kuku bariki🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@jeybullaz93232 жыл бұрын
Daaahhh Aisee wanawake km huyu dada niwachache sana ulimwengu huu. Hio nisifa ya kimungu. Kwan mungu ni mwingi wa huruma na kusamehe, mana nimungu pekee anasamehe hadi yule mwenye nia ya kutaka kusema samahani kwayakini ya moyo wake kabla hajaitaka sahaman hio. Kwan Niyeye mungu anajua msamaha wakweli unaotaka kutamkwa hata ikiwa bado haujatamkwa. Umebarikiwa sana dada,na ubarikiwe zaidi🙏😞🙏 NAKUPENDA ❤️
@aminasuleyman58342 жыл бұрын
For real maana mwanaume haibiwi jamani anaenda mwenyewe
@jeybullaz93232 жыл бұрын
@@aminasuleyman5834 wallah tena. Uskute jamaa ndio alimshawishi mwanamke. Mana ndio zetu kujarib jaribu🤣🤣🤣🤣
@sweetymbonika18302 жыл бұрын
Amina kubwa kaka tubarikiwe wotee
@jeybullaz93232 жыл бұрын
@@sweetymbonika1830 🙏🙏❤️
@leodiana90942 жыл бұрын
@@jeybullaz9323 hata wanawake pia tunajiendekeza Sana jaman dah
@maswamills3161 Жыл бұрын
Ujanja siyo kuwahi,ujanja Ni kupata.😏😏pole.
@khadijakinyala94072 жыл бұрын
Alhamdulillah, acha niendelee na msimamo wangu noooo marafi wala mashost
@tiffusumaiya1342 Жыл бұрын
Wanaume asante🤗 ila wewe dada unamoyo na utaishi maisha mareefu mno Mungu akubariki
@womanofsteel14022 жыл бұрын
Nimesikiiza story hii kwa makini sana ,Hawa sio marafiki wa kawaida kiubinadamu hapana aisee Kama kwel hii story bac mjengewe sanamu zenu mkiwa Pamoja ,yaan we dada sweetie Ni Zaid ya shujaa majariwa,Mimi cwezi moyo huo naweza msamehe lakin siwezi kuwa na urafiki nae Tena...
@aishavogelmann5021 Жыл бұрын
Mola ana siri yawatu wengu nduniani ila kila mtu atavuna alicho panda .....Dadazangu hata ukiwa na mzungu anamilioni tafadhali jifuze kujituma mwenyewe kazi yako hata kama nikuosha ofisi hata akaondoka uko sawa ....Chako ni chako hata kama nikitambara. All in all, hongera sana umwanamke jasiri tena wa shoka Big respect
@eyabdimaha36982 жыл бұрын
Marafiki mara nyingi mtihani
@RehemaKihoko-jz9od4 ай бұрын
Aisee dada Mungu azidi kukupa imani kubwa na nimejifunxa kitu kikubwa sana ila pia namshukuru Mungu huaga sina rafiki wa karibu ...rafiki ni Yesu pekee
@cesyjoseph56222 жыл бұрын
Yan uyu dada ni mm kabisa kitu kinacho umiza sio kuachwa na mwanaume Noop the things ni rafiki yangu Kwann anifanyie hvi ili hali sijawahi kumkosea kwa chochote aiseee it really pain 😢 pole sana dada Mungu mwenyewe ndo anapanga
@glorynnko5800 Жыл бұрын
Acha inaumaa mnoo😭😭
@PaulMassaweunfiltered Жыл бұрын
Wa Mama wengi wana pitia changamoto... na wana moyo. I am so impressed with her heart, and she reminds me of my mother love story. Mungu awa bariki wa mama wote na ambariki sana.
@saraenock7600 Жыл бұрын
Yaani mmmmh sijui kwakweli yukoje
@margarethsolomon98232 жыл бұрын
Dada urafiki wenu una mashaka. Sema pengine mna ndoa ya jinsia moja. Bado natafakari kwanza kabla sijaendelea kusema maneno au uchambuzi zaidi.
@selestinarocky94682 жыл бұрын
Kuna mtu alishawahii kunikosea Ila mimii na nimemsamehe na huwa naongeaa nae ...mi namuelewa huyu dada anasali Sana ndo maana kaweza kusamehe Hawa hawanaa ndoa Ila huyu dada anaupendoo
@salomemkilima57324 ай бұрын
Dada acha kufikiria mbali asiye fikwa na msiba hajui machungu yake lazima utawaza hayo.tunakusamehe bure.huo ni moyo wa mtu wanadamu tumetofautiana mioyo.samahani ni neno dogo sana lakini lina maana kubwa sana.
@florayoram95632 жыл бұрын
Wadada wanene wana roho nzuri sana💯💯💯💯
@asia99302 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂SISI WEMBAMBA
@juliennenamtaka68592 жыл бұрын
Mungu akupiganiye saaana dada, na juwa yesu anaweza, na wewe ni shujaa saaana na uko mwaminifu saaana
@abdallasalim44572 жыл бұрын
Somo nzuri kosa ulitanguliza uzinzi ukaacha kufuata mandishi ya mungu kutanguliza ndoa.
@pastorteddywaziri57542 жыл бұрын
Dada Sweetie muombe Sana Mungu huyo dada ni shetani mzima mzima anamtumia akuharibie maisha yako.Muombe Mungu vizuri mwana wa Mungu Ili akufunulie zaidi juu yake.Ilitosha kumsamehe ila kurudiana naye na kuwa karibu naye Tena kama hivyo Hapana.Kaa naye kwa tahadhari.
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Stori ya uongo hiyo una amini mtu auze miguu ya kuku aweze lipia kodi ya nyumba nzima 😀😀😅
@naimamatata276211 ай бұрын
😂😂😂😂@@ilynpayne7491
@janetahmed69482 жыл бұрын
pole na mimi alinizunguka hivo hivo nilijua siku ya ndoa nimeona picha tu pole
@nancynasambu42242 жыл бұрын
Huyu dada ni shujaa,I salute you darling 💕
@everlinejuma9766 Жыл бұрын
Mimi nataka no ya simu dada you are a smart teacher
@masikasaidi88052 жыл бұрын
Pole sanaa dada tutajifunza sinA zaid mungu akubariki
@najuf80212 жыл бұрын
Unamoyo hongeraaa
@madamjudymuwonge83485 ай бұрын
Hiyo ni neema Tena siyo ndogo bali ni kubwa sana na mtafika mbali sana hasa wewe dada Sweatie Mungu lazima akuangalie
@goodluckjoho4052 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na story ya huyu dada na pia nimejifunza kitu pia Asee Mungu akubariki dada🙏🙏
@rosejohn4914 Жыл бұрын
Dada nakupenda bure kipenzi mungu akutie nguvu
@shainawilliam1032 жыл бұрын
Ndio akina mbonika tulivyo fuatilia.big up sweet
@kagoyemwambal90612 жыл бұрын
Mhh pole na hongera..Kwa moyo wangu cwezi lla mhh kuwa nae Makin
@sweetymbonika18302 жыл бұрын
Sawaa asante kwa ushauri
@belzylucas72752 жыл бұрын
Mungu anajuwa nini anachokuepusha mengi mungu akupe amani ya kiroho ila roho inauma sana😥
@happynessswai39222 жыл бұрын
Had nmejkuta machoz yanantoka Pole na hongera Kwa huo moyo Mungu alokupa
@magrethmvwango2682 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿Jamani marafiki sio watu wazuri Mimi rafiki yangu alimwambia mchumba wangu Kua Mimi nilisha fariki mwaka 2013 wakawa wapenzi 2017 wakazaa Mtoto mmoja, kumbe mchumba wangu bado alikua ananitafuta amenikuta 2022 penzi limeisha na Yule dada ambae alikua rafiki yangu mpaka sasa Mimi na rafiki yangu tumeingia mwenye Vita vikari Sana, 🇹🇿🇹🇿 Jamani marafiki sio watu wazuri Mimi niliambiwa nimekufa akamchukua chumba wangu 🇹🇿🇹🇿
@maimunaulotu2075 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢duh
@bethinaalphonce8724 Жыл бұрын
🤔🤔🤔makubwa
@annamgonya1873 Жыл бұрын
Najaribu kuvaa kiatu chako nashindwa Mungu aendelee kuwa mfarij wako
@scollantandu62782 жыл бұрын
Pole sana dada, nimeamini uchawi upooooo 😭
@maryamtan6822 жыл бұрын
Kbs.
@leodiana90942 жыл бұрын
Kweli dear ilainauma Sana jaman
@rehemamgeni2032 жыл бұрын
Vibaya hak Sweet Mungu akubaliki mnooo
@zahirallyzorro39402 жыл бұрын
Mama nimepitia mengi, lakini Ellai. Azidi kukubariki. Azidi kukupa Maisha mema. Usimwache Kristo Yesu Mnazareth. Mtoto wa Bikra Maria! Amen!
@annalaizer7142 Жыл бұрын
Amen Hili ni somo kubwa mno.🙏🙏🙏❤
@aishachambo86632 жыл бұрын
Marafiki si watu mimi sina rafiki na sihitaji kabisa marafi🤣🤣🤣🤣🤣
@nafuwswedi24652 жыл бұрын
Kabisa ndugu yangu, rafiki mkia wa fisi,hata mimi sina marafiki mweeee
@motoe10732 жыл бұрын
Me nataka ww tuwe marafiki😂😂😂
@aishachambo86632 жыл бұрын
@@motoe1073 hapana 😁😁
@motoe10732 жыл бұрын
Kwahiy hunitaki
@aishachambo86632 жыл бұрын
@@motoe1073 Ndiyo sihitaji rafiki🤣
@mwaringakali4832 жыл бұрын
Pole sana dada kwa uchungu alioupata usiamini tena rafiki kama huyu
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Ntamsamehe Ila ukalibu nae staki tenaaa hyo sweet ajiangalie hyo rafiki yake hajawah kumpenda
@lgdnce83092 жыл бұрын
duuuu pole kweli story ya kweli afu nzuri inafundisha
@axmedcumar61962 жыл бұрын
Umenipotezea bando langu tuu bureee kabisa Kusamehe sawa lkn sio mpaka kulala kitanda kimoja
@lilianmwakapala6038 Жыл бұрын
🤣🤣
@nibigirahassina93082 жыл бұрын
Kwangu mimi no comment uyo mwanamuke yuko very very strong women
@northerntanzaniatv40332 жыл бұрын
Smart woman’s we got u there
@angeakeza65422 жыл бұрын
Unaroho yakipee Mungu akubarik
@miriamvihenda74082 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌rafiki yangu ni Mungu wangu tosha
@ashurajengela39262 жыл бұрын
Over my dead body SIWEZIIIII KUMSAMEHE HUYU ( in bahati bukuku voice )
@neemamassawe7802 жыл бұрын
😹😹😂😂😂😂😂nmechekaa
@bonita3292 жыл бұрын
huyu dada ni mzima kweli😥😥sijawai ona story kama hii wallah 🙌🏼
@sweetymbonika18302 жыл бұрын
Nimzima kabisaa nasina tatizo lolote
@ggfffhii47062 жыл бұрын
@@sweetymbonika1830 ngoja safali hii anakubebea baba akooo shetani habadiliki
@maryamtan6822 жыл бұрын
😂😂😂😂🙄
@rosembaga26582 жыл бұрын
Yani mimi ningekuwaa jela wallay🤣🤣🤣watu wanene bwanaa mioyoyo yao imejaa mafutaaaa
@ashurajengela39262 жыл бұрын
@@sweetymbonika1830 kumbe ni ww pole kwa yote ila sasa kwanini umrudishe mtu aliye kuumiza ?! Kwani ukimsamehe mtu ni lazima kuwa rafiki yako ?! Muwe mnatumia vizuri lugha ya vitendo Mungu anayo tumia kuwaweka mbali wabaya na watesi wenu yani mtu amekuonesha rangi yake halisi lakini bado hukomi tu au unataka adi akubebe na roho yako ?!! Weka mbali uyo mtu
@mauashabani19942 жыл бұрын
Amina tumesamehe na maadui zetu wapo wakitamani kuturudia kuomba msamaha na hivyo sameheni jamani
@mutombonice.17332 жыл бұрын
Malanyingi ulafiki ukivunjika kisa mapenzi uwa ukiludi uwakuna mpango wa kulipa kisasi talatibu kisasi kina kua kitam sana ya sana
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Pole Dada sweet, Dada mtangazaji usivae hizo hereni Tena
@gracemalatwe60642 жыл бұрын
Dada una moyo wa peke yako,itakuwa ulizaliwa ukoo wa Yesu
@atuganilendomba6701 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@nancychimama616 Жыл бұрын
Sns... Nimesikiliza simulizi Kama angeisimulia vizuri ingesisimua zaidi Sana Ila haisimulii kwa hisia kulingana na maumivu...kwa mfano vikao na PESA za michango, familia wazazi wa rafikiye na wa kwake ilikuaje, na hawezi kuuza miguu kwa ghafla ukalipa Kodi kumbuka Kuna kulana he mzungu aliwaacha watoto Hadi Leo au ilikuaje story haijakaa sawa.
@ustawiwetu4 ай бұрын
Kwa KABILA la Wairaki hakuna kitu msamaha. Unaweza ukawa umekoseana nao hata miaka 10, lakini hata kama umesahau ukiwa ktk 18 zake atakumaliza tu
@exaveryndelwa23092 жыл бұрын
kutunga story amejitahidi lkn kuna maeneo amelipua anaonesha moja kwa moja ni mwongo ni story ya uongo lkn amejitahidi
@nsazabahizirehema78972 жыл бұрын
Siwezi kwakweli kusamehe Sawa ila sio kurudisha urafiki kaaa kule nami niko hapa nakupenda ila kaa kulee ata mungu anayiona niaa yangu ila uko shujaa mungu atupe ustahmilivu ndani yetu na hekima ndani yetu mungu awe nawe ndayima
@mosesfrancis3946 Жыл бұрын
Jamani
@belzylucas72752 жыл бұрын
But hii storyline inauma sana asante sana kwa hii story mutangazaji na musimuliyaji wato muko vizuri sana
@merryvaleria8642 жыл бұрын
Huyo mzungu alikuwa mzungu wa kwa lulenge mzungu gani anakuacha anakuja kubeba vyombo looh. Halafu msliti hawekwi karibu damu ya usaliti haiishi ngoja akupige tukio lingine takatifu hilo hata kusimulia hautaweza sweet sweet
@sixbetussebastian79902 жыл бұрын
Aseee hongra San mamaaaaa umejitahd
@hawahawa42882 жыл бұрын
Pole sana my Mungu atakusimamia mllele
@sweetymbonika18302 жыл бұрын
Amen
@hedayajamada70392 жыл бұрын
Sweet nimekukubali. Wewe ni mwanamke wa kuigwa. Mungu akutunze
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
Pole Sana dear hongera Sana kwa moyo huo
@munirashughuli6182 жыл бұрын
Vile mm napenda Marafiki nishakoma kwanzia leo🤣🤣
@neemaruben54272 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@leodiana90942 жыл бұрын
Hahahahaha
@amosihokororo9702 Жыл бұрын
Story ya kutengeneza naifahamu vzr
@rahmajaffar7942 жыл бұрын
Una moyo sasa ngoja upate mume mwengine umshirikishe tena
@pastorteddywaziri57542 жыл бұрын
Hili nalo neno😂😂🙌🙌🙌
@eshimendimamuya8345 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana ,ila wewe ni toleo la peke yako, halipo miaka hii watu wamevurugwa sana
@winfridamwigilwa21072 жыл бұрын
Nimesikiliza mara mbili ila nahisi kuna kitu kinamiss hapa. Next time mumlete mzungu abalance au rafiki mwizi
@veeonikageorge21222 жыл бұрын
Kma umewai kukutana uwez bisha
@munes3042 Жыл бұрын
Supper woman Samahani simsamehe
@rashidchimwenda2 жыл бұрын
Pole sana dada ila kuna kitu hakipo sawa hapo. Kumsamehe msaliti ni jambo moja na ku associate naye tena kwa kupika na kupakuwa ni jambo jingine. Ulisema uliacha kuamini tena mtu yeyote lakini baadae ukaanza tena kumuamini na kumpenda mtu yuleyule. What is the guarantee kwamba hataweza kukufanyia usaliti mwingine!? Na je iwapo atakusaliti tena ,Je utaweza kumsamehe tena na kujisamehe wewe mwenyewe kwa kuwa Mungu alisha mdhihirisha hapo awali kuwa ni msaliti!
@EK-kp2np2 жыл бұрын
Kaka Rashid, namuomba Mungu huyu Sweetie asome ujumbe wako🙆🏽
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Atari
@sweetymbonika18302 жыл бұрын
Kaka kwakipindikileee sikuweza kumwamin mtu ila unapo sameheee unaacha kila kityu nakuanza upya
@khaijakadija20822 жыл бұрын
@@sweetymbonika1830 kwaiyo dada ukipata mchumba mwingine atakuja tena kukuchulia tena 😄😄 ni mtihani sanaa
@zawadizawadimussa232 жыл бұрын
Watu wanambinu sana uenda dada kalogwa uyu na yule mzungu alilogwa pia siamini kulogwa ila ayo yapo
@zenapius3796 Жыл бұрын
Dada anaamini sana katika urafik anachoamini kwamba roho aliyonayo yy adi rafik ake anayo... ajajifunza ataumizwa kila siku... halafu anaonekana ashauriki ni mjuaji sana .. uyo rafik ake hana ubidamu afu yy anaona sawa
@emmatryphone69212 жыл бұрын
You are strong Sweetie.
@valenakomba76867 ай бұрын
IMEANDIKWA KWENYE BIBILIA. MSAMAHA NI JAMBO MUHIMU SANA. ILI NA WEWE USAMEHEWE NA BWANA NA KUBARIKIWA.