THANK YOU, MWANAMKE UKIJISHUGHULISHA mwanaume anakuheshimu, mzungu ndio anakuheshimu mnooo, msidanganyike, work hard.Hata wake za mabilionea wanajishughulisha. Kasomeni, fanyeni kazi au business. Ni muhimu sana.
@YuxuphMuxh10 күн бұрын
Dada Dory. Hongera Sana nimependa kipaji chako chakujiongeza. MUNGU akupe wepesi kwa kujituma. Mimi ni chago pia nimekuelewa pia na single mom. Pia Ni yatima sideki. Nimbambanaji Sana. Nilipenda niwe hata Kama wewe. Bado nipo Tanzania. 🇹🇿🙏 Hongera Sana Sana.
@zainabsibuma-omary70612 ай бұрын
Beautiful lady, inspiring 🎉 loving, kind hearted and talented woman. Congrats Shena n Doreen 👏
@hellenelias88546 ай бұрын
hao wazungu wenye kila kitu wananyanyasa wengi wao,bora kujitafutia. Hongera sana Doreen, kazi yako nzurii😍😍😍 nakufwatilia instagram👏👏👏
@ankaah123011 ай бұрын
Haya tu like video jamani, darasa liwafikie watu wengi. Good job shena, Hongera Doreen
@YuxuphMuxh10 күн бұрын
❤❤❤ Nimependa Sana dada Dorin. Zidi kupambana Hadi mwisho.
@lulukim381011 ай бұрын
Kelele moja kwa wachaga jamn❤
@fortunathabarabara847111 ай бұрын
katika video zako zote this is best for me❤❤❤❤😊 nimeipenda hadi nimeipenda tena
@tajiriskitchenswahiliflavo172311 ай бұрын
Hongera sana, interview nzuri sana ❤ big motivation 🙏
@RahmaAli-m6r5 ай бұрын
Asante sana dada Shena kwa kazi njema. Ni rahma Ali wa Kenya 🎉🎉🎉
@vero5711 ай бұрын
DADA UMEOGEA KWELI, WATU WENGI WANAPENDA TEGEMEZI, HAWAJITUMI KABISAA, WANAFIKIRI MZUNGU TUU KWA PESA ZAKE, HONGERA SANA DADA KAZI NZURI, MFANO WA KUIGWA SANA, LOVE FROM TANZANIA 🇹🇿 KILIMANJARO WE LOVE YOU 👍👌💐💐
@olivernyange234911 ай бұрын
Doreen umeongea vizuri sana what l learn from you,is focusing on what you belive no matter what.
@jeanmiruho47708 ай бұрын
❤❤kwakweli Mungu awabariki sana nimejifunza mengi sana nimejikuta Napoteza muda kuwajiliwa inabidi kujitowa nichukuwe risque !!
@roseswedi527411 ай бұрын
Hi...I really love this beautiful Doreen she a real chagaa woman.. continue with the spirit open to meet u someday
@roseswedi527411 ай бұрын
Doreen I love what you love...I love ur ideas
@m___ck79911 ай бұрын
Chaggans are always pretty and smart! 😍👌
@azaransari730711 ай бұрын
Best interview ever beuty with brain
@GoodlifeSoftlife11 ай бұрын
One of the best interview umewahi kufanya tuletee watu wa hivi tupate cha kujifunza
@claudiajames200311 ай бұрын
I always inspire you Doreen
@mariaignassy384711 ай бұрын
shukrani sana kwa kuendelea kutufunza dada shena
@maryandason181511 ай бұрын
Mm nilijuaa mzungu ..❤❤kumbe mchaga mwenzangu..one day tutaonana....nataman nikuone
@ukhutfatumah115411 ай бұрын
Wow yaaaan dada yangu Unajiamin mbaka unajiamin tena sana ivyo ndivyo inavyotakiwa ❤
@sleeprelaxation843111 ай бұрын
Hongera sana Doreen,Mungu azidi kuwa na wewe na familia yako.
@davinaheven479411 ай бұрын
We thank God for that
@maria_mutondioriginal511 ай бұрын
Upo smart and beautiful ❤
@rachelmtemange520611 ай бұрын
Na hapo tukifunze pua ya Doreen tuwe tunafanya vitu vya nyumba sio kila kitu mwite fundi,mimi nipo TZ lkn kama kuna switch imegoma au kuungua naweka mwenyewe,pazia za nyumba naweka mwenyewe kitanda kabati narekebisha mwenyewe na ni mwanamke mimi 😂😂TUJIFUNZE JAMANI SIO KILA KITU HADI WENDE VETA😂😂
@wangoifancy65422 ай бұрын
Hongera Da
@helinahenry236311 ай бұрын
Ahsante kwa kutukumbusha kuwajibika zaidi.
@FatimaAli-of4gh11 ай бұрын
Hongera mimi nipo 🇬🇧 22yrs
@sadiqmwafrica675911 ай бұрын
Hii ni moja ya best example wa kuigwa
@liannsambu726411 ай бұрын
I LOVE THAT NI KWELI ,TUNAAKILI WAAFRICA SANA SANA SEMA , WAAFRICA WENGI HAWAJIAMINI TU LAKINI BE ARE THE BEST
Sawa stor n nzuri blessed❤..mbona uwa tukiomba no za waliofanikiwa uwa hamtupi??😢
@anithamphuru421411 ай бұрын
super woman ❤ Very hard working.
@mohamedismail266211 ай бұрын
Kusikiliza watu kama hawa unapata kujifunza mambo mengi sana ila ukweli tuseme uyu dada yuko vzur sana kichwan mpaka misimamo yake hii ni nguzo kubwa sana dada zangu chukuwe ili darsa na mlifanyie kaz vzur
@liannsambu726411 ай бұрын
ITABIDI nisikilize kumbe hata hao WADHUNGU wapo wasaliti? MUNGU aniepushie
@HellenDanson11 ай бұрын
Darasa zuri sana
@evelynekabaka74054 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@sophiarwehumbiza20911 ай бұрын
asante dada imenitia moyo sana sio tu kwenye mahusian hata kwenye maish ya kawaida
@babyboy63106 ай бұрын
Hongera Sana Sana
@babyboy63106 ай бұрын
Napenda story yako
@liannsambu726411 ай бұрын
Doreen you NAILED IT DEAR SISTER, TABIA ZAKO TUNATAKA FANANA NA WAMAREKANI NAWAPENDA SANA UWAAAA 😂😂😂 NASHUKURU KWA KUNITIA NGUVU
@HassanMohd-e8b8 ай бұрын
Hongera mama
@dn.n498311 ай бұрын
Cool be bless
@ceciliaburchardmwijage702311 ай бұрын
Wacha weeee hongera sana
@YuxuphMuxh10 күн бұрын
Kwa Jina Amina Mushi l.
@GloryMsofe-gr3st11 ай бұрын
Nimejifunza Asante sana
@namsamson344311 ай бұрын
She got a nice point ila uso unatisha. Yaani macho kama paka. Usiweke sana make up kwenye macho yako. Inawezekana ukawa more beautiful without the makeup
@twix140410 ай бұрын
Na minywele ya brond wawaachie watu weupe yaani kwanza mie ningikua naona aibu 😅😅😅😅
@oliviaseth465211 ай бұрын
Congratulations Doreen 🎊 👏 💐
@adellahchipanyanga510711 ай бұрын
Nondo Kama hizi zinatoka kwa mrembo mzalendo km huyu mungu na akubariki
@yusrasalum11 ай бұрын
Huyu dada nampenda anapiga kazi ❤
@sophiakassim678411 ай бұрын
Anatumia jina gani insta
@cynthiaAndrew-ww5rh11 ай бұрын
Hongera sana mdada! Umepambana!🎉
@DoreenMwakibinga11 ай бұрын
Mwanzo mgumu time speak voices never give up
@NYABAGANGATARABA-il5yl11 ай бұрын
Dada wengi wajifunze ni case nzuri wanawake tuwajibike Dunia imebadilika barikiwa.
@Martinamsimbe6 ай бұрын
Martina msimbe , Morogoro Tanzania
@sophiakassim678411 ай бұрын
Hapo nakubaliana na ww dada kwa muda mfupi nimekua nikichati na wazungu nimegundua sisi Waafrika tuna upeo mkubwa wa kufikiri kuliko hawa wazungu wallah tena yani kuna vitu unaeza chati na mzungu akavifanya mpaka we mwenyewe ukajiuliza hivi haya mambo anayafanya mtu mzima na akili zake au mtoto mdogo wa miaka 7🤣🤣
@nahlahassan-fd6le11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@carolmueni643111 ай бұрын
Kweli kabisa
@Lizzyktd11 ай бұрын
Hongera sana dada
@babyboy63106 ай бұрын
Asee we ni mchaga wa wapi
@zakiamseka969811 ай бұрын
Wonderful
@sabinaluyego440811 ай бұрын
Huyu dada ni Mimi kabisa, akili zake zinafanana na zangu japo mi ni WA Morogoro
@ukhutfatumah115411 ай бұрын
Morogoro moja hiii❤ Welcome UAE
@indiragandhiorio293811 ай бұрын
Morogoro sehemu gani .. Nipo Dakawa 😂
@nicedavid853611 ай бұрын
Shena umependeza sana Unangaa😊
@MwanahamisiGona-t3c11 ай бұрын
Thanks
@Martinamsimbe6 ай бұрын
Martina msimbe , Morogoro
@aminaabdulghanim82566 ай бұрын
Elimu kali
@jeniferhussein442411 ай бұрын
Mm naombz a/c yake nchek decorations na kaz zake
@mwanonomohamed468811 ай бұрын
Soo ulianza la kwanza ukiwa na Miaka 3???au uliishia la saba???
@jocelyneedward11 ай бұрын
👏👏👏👍nice
@Martinamsimbe6 ай бұрын
❤❤❤
@mwanonomohamed468811 ай бұрын
Ulianza kazi miaka 14 soo ukisoma secondary? Au form five and six?????mara umefanya kazi na wazinguTz??
@nahyialetomia928410 ай бұрын
Porojo tu, mtoto wa 14 (legally) yuko school
@tausilifestyle79511 ай бұрын
Wow❤❤❤
@DarleneCapher-vs6ze11 ай бұрын
Nimejifunza pakubwa sana leo😢 mpk nimelia maana nilikuwa sijui nakosea wapi
@herbertygeofrey272411 ай бұрын
Umelia kwa nn sasa
@doricamugusi591811 ай бұрын
instagram anatumia jina gani?
@GraceMona-v5b7 ай бұрын
Na Mimi nataka jina lake nione
@Faridkhalid-z3p6 ай бұрын
Uone nini?
@NeemaKipande-hr9rz8 ай бұрын
Tunaomba majina ya lstagram tukutafute
@tinanicholasligwile697211 ай бұрын
Ni kweli watu wanapenda kukatisha watu tamaa
@Alice-Gyunda11 ай бұрын
Daaa huyu Dada hajui matumizi ya No😂😂😂 ‘experience ya kupamba ulichukulia kwenye mau ya mama ‘ Yuko No Hapana 😂😂
@maryandason181511 ай бұрын
😂😂😂😂❤nmekupendaaa❤
@amedegabri44357 ай бұрын
Ukijichubua hivyo lazima mzungu akuache
@elizabethtarimo29907 ай бұрын
Wachagga hoyee
@glorymrema92392 ай бұрын
hoyeeeeeeee
@farhannahomary550511 ай бұрын
Watz htari
@moonatart312311 ай бұрын
❤
@FatimaAli-of4gh11 ай бұрын
Wewe dada kama mimi mume wangu simuombi hela mimi nafanyakazi akitaka atanunua kitu ndani hakununua simuulizi kwa kuwa wajibu wake kwa nini nimkumbushe au nimuombe kwanza unaepusha mizozo kwenye nyumba
@maryandason181511 ай бұрын
Uko vzur mmaa
@FatimaAli-of4gh11 ай бұрын
Aha sasa nimekuelewa umesoma kenya ndio maana swahili yako ina something ndani yake
@Godneverfailed11 ай бұрын
Wa British pia ni wazuri
@hildagabriel100311 ай бұрын
Beauty with brain I like her lol
@Godneverfailed11 ай бұрын
Kuna mzungu nilikua simtaki nikaamua kumuomba pesa ili tuwachane
@katejolly675211 ай бұрын
Napenda America ❤natamani mtu anipeleke jaman
@PendoXavery11 ай бұрын
Ni nchi nzur but life ipo juu sana na inahitaj kufanya kaz sana uwe jembe sana kama huyo Doreen utaishi vzur
@PendoXavery11 ай бұрын
Watu wanafanya kaz sehem 3-4 ndio maisha utaweza ikiwa kaz moja kaz iwe I nakipato kizur mana bills kubwa na life ipo juu sana
@neemamboya904011 ай бұрын
Mimi nitafanya hata 10 nikipata nafasi😂😂
@djyondergigi102711 ай бұрын
Pension
@rachelmtemange520611 ай бұрын
👋👋👋😘🥳💃Dada upo kama mimi sitaki mwanaume mwafrka hata iweje nataka mzungu hata awe msukuma mkokoteni Yaani meneno yako yamenigisa kwelikweli,
@katejolly675211 ай бұрын
Tuko pamoja uko kama mmi
@Annie_94411 ай бұрын
Hii inaitwa aluta continua😂😂😂..afe kipa afe beki mzungu lazima
@fortunathabarabara847111 ай бұрын
😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂
@balljmushi959910 ай бұрын
Hata,mm,ctak wnwk wa k-afrk
@vansoham93011 ай бұрын
Enyewe uko na ukenya kiasi your English accient
@hellenelias88546 ай бұрын
😂😂😂😂 yaani watu wa africa hawana haya, mtu hawasiliani na wewe miaka hata saba, then akuja na shida zake straight😅😅😅
@DoreenMwakibinga11 ай бұрын
Online za bongo na kenya kupiga ela yaani scammers kama wote
@babyboy63106 ай бұрын
Mchaga wa nguvu
@damariszuckschwert948911 ай бұрын
Sasa akiwa na Ukenya kwenye lafudhi yake shida iko wapi? Ndiko mnakochelewa nyie kwa wivu wenu.
@ngowibeatrice170111 ай бұрын
Si kasema mchaga
@FatimaAli-of4gh11 ай бұрын
Mbona una kiswahili cha Uganda au kwa kuwa unaongea English na kiswa kimebadilika😂
@upendogreutert19911 ай бұрын
Jamani amesoma Kenya alafu kumbuka Kiswahili cha Kenya na TZ kuna maneno na lafudhi Fulani tofauti alafu yupo Marekani Kama haongei hicho frequently lazima kuna mabadiliko chamsingi tuige mifano tu
@NeemaMmeli11 ай бұрын
Doliin Mimi naomba kuwa mfanya kazi wa nyumbani kwako Niko tz
@carenhilary806711 ай бұрын
Online dating n kujiuza
@OfficialDatingAssistance11 ай бұрын
Umewahi itumia ?
@viousa11 ай бұрын
Huku marekani watu wako bize na kazi hawana pa kwenda wakitoka kazini ni nyumbani kwaiyo njja ya kukutana na mpenzi,mchumba ni online dating. Usiongee kitu usichokijua kama haupo marekani
@PureSoul-rf4xd11 ай бұрын
Sio wazungu tu anaongopa kupoteza mafao,hata huku Tanzania 🇹🇿 wengi tunaongapa hatari,ndio maana to ongopa kutake risk
@issazalala490711 ай бұрын
We mchaga wa machame unasahau kiswahili 😂
@upendogreutert19911 ай бұрын
Hata ingekuwa Kibosho Kwani shida iko wapiii
@maryandason181511 ай бұрын
@@upendogreutert199😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbona hivoo lakin mm mwenyewe wacha niwashuhudie nmekaa Kenya kitambo kirefu by the way nlkua nkiongea n ndgu zangu wakisema mbona umebadlka kuongea n ckua najuwa mm naona sawa tu....nikisia mtu mwngne akiongea nashangaa piya ..mpka nmekuja kunyorosha kiswahl... after kukaa San tz ..pole pole .mazngra inaweza mbadilsha mtu..kuongea
@ashminaabdulla894611 ай бұрын
Muda mwingi anaishi na waingilishi ndiyo maana anaongea hivi
@Yolanda-n3x11 ай бұрын
Mimi mwaka wa tano na date sijapata nahisi kuchanganyikiwa 😢
@@DarleneCapher-vs6ze Asnte mine, but I am very hurt because I use the app almost 50 times on two different phones, I end up getting those who say show body show body baby💔
@Yolanda-n3x11 ай бұрын
@@upendogreutert199 asnte my ila naumia sana niseme ukweli mbaka yafika nashindwa kufanya kazi nashangaa boss anauliza VIP mbona sikwelewi wewe kinauma naishia kupata wale show body baby moyo unauma sana natumia app nyingi sana simu mbili ila hakuna nimesali mbka nalia hakuna nimeacha kula sijapata naacha kuchati whatsap sika app nyingi sipati nakona na mawazo moyo unauma nasema mungu nimekosa wapi jibu sipati naishia tu kuwamezea mate .
@GraceMona-v5b7 ай бұрын
Naomba Instagram ya huyu Doreen anatumia jina lipi nimejifunza kipi