Mchezo wa kujirusha Ndani ya Maji.Mchezo ambao ni kivutio kikubwa sio tu kwa watalii Bali hata kwa sisi wenyeji wa Zanzibar.
Пікірлер: 54
@dontbsad1210 ай бұрын
Always enjoy watching you guys ..So amazing
@hafidhbadru66514 жыл бұрын
Nafurahi sana kuona mitaa ya nyumbani ingawa np mbali lkn na enjoy km np home.ndio maana kila siku tunasema Zanzibar ndio kwetu
@sharonsheillasheilla58804 жыл бұрын
From Uganda but great am shy 🙊🙊🙊
@sabrinasab29104 жыл бұрын
Jaman nafurah kweli kuona zanzibar japo Niko mbali nafarajika sana kuona wanapiga kachumpe
@muhamedhossen44204 жыл бұрын
Nafrahi sana kuona mta wa Hom foradhan nakubali sana
@muhamedhossen44204 жыл бұрын
Oi
@thabitngangila85624 жыл бұрын
Walaurojo wanafurahisha
@aminaally38174 жыл бұрын
Wapiga makachu hao wananikumbusha mbali sana
@bimkubwaali16054 жыл бұрын
albait yalimkuta kama haya allah awaongoze mmoja yupi sos kule spinal code ndio tatizo.hattari sanna mie naona
@fatumayusufu17064 жыл бұрын
Kabs yaan kuwaona2 nikamkumbuka albaity ni michezo hatarishi
@abubakarmuhammadsaid32444 жыл бұрын
Mimi nilipiga makachu miaka ya 80s, sijamuona aliepata tatizo lolote. Hivi sasa nakaribia miaka 50, mwili umeshakataa tu, la sivyo, natamani nirudi tena 😁
@jumahamisi92804 жыл бұрын
Am coming to Zanzibar Soon
@fakisunshine32534 жыл бұрын
Nice nyumbani
@AbuuYaseen4 жыл бұрын
MashaAllah raha sana
@kikalenampwapwa54834 жыл бұрын
Zanzibar Raha sana.
@deogratiasgabriel85554 жыл бұрын
Nimepamic sana home ngoj nipate likizooo nije
@musictz18054 жыл бұрын
Nyunbani rah wallah
@user-eg1dr6so4c4 жыл бұрын
Nice ila cwez kuogelea
@vuaipanduhaji36814 жыл бұрын
Sawaaa
@shakerashakira62854 жыл бұрын
Jaman so parefu
@jacklinamani75194 жыл бұрын
Nimepa miss hapo
@hamidhamadhamad56534 жыл бұрын
Home sweet home I love you Zanzibar yetu
@afiaiddy30214 жыл бұрын
Hom sweet Hom
@haidaromar20794 жыл бұрын
Nice
@abubakarmuhammadsaid32444 жыл бұрын
Miaka ya 80s ilikua ndio enzi zangu hapo.
@saadikibinjazaa15114 жыл бұрын
mis zanzibar
@ahmedmohd55074 жыл бұрын
Nawakubali wanangu one day tutakuwa p1 tena hi kwa ixhaka, mze bwax,bbolo, kidoh, farac n.k Nimewamic wanangu
@zaiiomary89704 жыл бұрын
Muje kuvunjika shingo bule jamani kunayule mkaka 1 alikua akifany hivyo mpaka sasa bado yupo hospitalin jaman nyie
@mundhirsuleiman91574 жыл бұрын
Utavunjika ww kwanza
@allydaruweshi59834 жыл бұрын
Sasa ndio nn ah munazinguw ban
@elishaworkout61164 жыл бұрын
So funny nigga
@allymohamed74174 жыл бұрын
Forodhani ni sehemu ambayo itaendelea kua na heshima bustani pamoja na upepo mwanana wa bahari ya hindi
@frozen4rozen4754 жыл бұрын
Samani forodhani ndo nini
@khamissharifu8884 жыл бұрын
sijaona cha ajabu apo vijana wang
@jumaseifjuma41854 жыл бұрын
@@khamissharifu888 hujaona wala hutoona cha ajabu kwako hapo kwa sababu wewe siyo sehemu ya hao. Miye nafikiri wewe si wa Forodhani, wala Shangani wala wa Mkunazini wala Kiponda wala Vuga wala Malindi wala Kikwajuni n.k.Waulize wenyewe raha walizozipata au tulizozipata kwa kupiga KACHUMBE........ Endelezeeni wanetu na wajukuu zetu 'entertainment' yenu badala ya kukaa vijiweni mkawaza mambo mabaya.
@ruhaimaothman27164 жыл бұрын
@@frozen4rozen475 asany
@kikalenampwapwa54834 жыл бұрын
@@jumaseifjuma4185 Maneno Kuntu
@bramoajibu50584 жыл бұрын
Wabara wnaogop kuogelea ukiwaingz Kam machubw
@chujirai28224 жыл бұрын
Bramo Ajibu kwaiy hapo ndo mnaogelea wenyew
@sashaaishajamani19794 жыл бұрын
Bramo Ajibu unataka tujue wote nani atakushangilia
@abdillahnassor83714 жыл бұрын
uko kwao hakuna bahari ya kupiga show kama hizo
@sashaaishajamani19794 жыл бұрын
Abdillah Nassor ku mbe hongereni sana bahari ipo sema watu tuko busy na kazi