MTOTO WA MAMA YAKE TAJIRI CHUI ALIYEKATAA ZAWADI LA GARI ATEMA NYONGO KAKA ALITAKA KUNIUA UCHAWI TU

  Рет қаралды 16,715

Foxe Tv

Foxe Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 күн бұрын
Ndio maana vijana wa siku hizi hawaishi mda mrefu.wakiishi saana miaka 35 .Mungu asaidie vizazi vyetu.
@JalinaSalimu
@JalinaSalimu 2 күн бұрын
Heee hizi kiki to much huyo tajiri chui mama ake yupo mwanza na mdg ake ambae alikua yupo nae hapa dar alimkataaa kaka ake akarud kwao mwanza na hapa ninapoandika huyo mdg ake ameshafariki huyo tajiri chui apunguze kiki asifosi kujulikana kwa kutumia nguvu nyingi😂😂😂😂
@JumaKipae
@JumaKipae 3 күн бұрын
Sisi vijana tuna tamaa sana ndyo mana tuna pata shida kuna watu wanalala na nyoka ndani
@MauriceHaseen
@MauriceHaseen 3 күн бұрын
Yani ukilala unajikuta mkoani. Bora hata ungejikuta marekani au uingereza😅😅😅 Ila mwombeeni dua ajitambue na amrudie Mola wake.
@bobelichi7721
@bobelichi7721 3 күн бұрын
Khaa😂😂😂
@Lion-h4c9m
@Lion-h4c9m 3 күн бұрын
Hhh
@marywarioba1901
@marywarioba1901 2 күн бұрын
Hahahaaa eti ujikute marekani
@Lion-h4c9m
@Lion-h4c9m 2 күн бұрын
@@marywarioba1901 Alina nitamupokeya hhh
@johnsonfrank2643
@johnsonfrank2643 8 сағат бұрын
We imu wew, prima umeacha ee..
@Adje244
@Adje244 3 күн бұрын
Mama kaona mbali
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 3 күн бұрын
Tumuombee sana huyu kaka na mama yake😭😭😭 ataweza kuwaua kwani wamemuumbua
@BarakaKapepa
@BarakaKapepa 2 күн бұрын
Jmnn kilamtu anachangamotoyake msikatae
@ElizabethDaudi-b6v
@ElizabethDaudi-b6v 3 күн бұрын
Noma sana 🔥
@PovertyPeace
@PovertyPeace Күн бұрын
Kijana kuwa makini na media maneno unayotoa magumu sana ila jiadhali sana na maneno kaka ni kaka yako kweli Mungu anakuona, kamdomo kamdomo
@MwanamisiDaud
@MwanamisiDaud Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kamdomooo🙌🙌
@HidayaIbrahim-b4h
@HidayaIbrahim-b4h 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂yani upasue gali hiii hatali
@Gwamakamwankemwa
@Gwamakamwankemwa 3 күн бұрын
Ety majibwaaaa😅😅😅😂😂
@DenisiJosefati
@DenisiJosefati 3 күн бұрын
Co kweli mnafki uyo 7:30
@godchila8013
@godchila8013 Күн бұрын
Uyu anajuaje majibwaaaa
@AsiaSalumu-y9j
@AsiaSalumu-y9j 3 күн бұрын
Wewe kaka nyamaza atakuua huyo sioomh
@PovertyPeace
@PovertyPeace Күн бұрын
Kiukweli ndugu akiwa na hela maneno huwa hayaishi hata mmoja akifariki tu maneno yanakuwa mengi yapo lakini tuwe makini.
@AdelinajescaOswald
@AdelinajescaOswald Күн бұрын
Hawa wanaomtukana mdogo mtu na kumsema mwongo ni wale wale wanaotaka vya shortcut kama chui mwenyewe😂! Yaani wanavutiwa kujiunga kwenye huo ushetani! Au pengine ni tayari wako kwenye hicho chama! Mtafute BWANA YESU aAnalipa nyie vijana! Ohoooo!
@rosemtwaki
@rosemtwaki 3 күн бұрын
MPUMBAV SAANA WW KAKA UNAONGEA UBAYA WA KAKA AKO MPUMBAV
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 3 күн бұрын
Kijana una akili sana. Mungu atakubariki kwa baraka zake
@zakeomlowe
@zakeomlowe 3 күн бұрын
dogo muongo huyooooo
@blueberrypotatogames7950
@blueberrypotatogames7950 3 күн бұрын
Uwo njo ukweli
@DenisiJosefati
@DenisiJosefati 3 күн бұрын
Co kweli mnafki uyo
@NelsonJames-h8r
@NelsonJames-h8r 3 күн бұрын
Mnafk wakat had wanaofanya interview wanadai amekir kuwa analamba blood kama zombie
@EmanuelRevocatus
@EmanuelRevocatus 18 сағат бұрын
Duuu aiseee huyu dogo sijamuelewa ukimsikiliza kwa makini dogo muongooo huyu kishenz..huyu kapangwa
@HOGANDAMAYAPE
@HOGANDAMAYAPE Күн бұрын
Sie tupo had watolewe watu kafara
@MapstarLubere
@MapstarLubere 2 күн бұрын
Huyo dogo ni muongo sana sawa chui anaweza kuwa freemason sawa lkn sio kwa uwongo huo huyu amezid
@saidakiwale9227
@saidakiwale9227 2 күн бұрын
Yaani hawa wanafiki Chuwi tulia kijana kula maisha yako waache hao ndugu zako
@fc1010fa
@fc1010fa 15 сағат бұрын
mlongo wewe kama mindomo yako hiyo milevi ,, mamba zerazini☹️
@muksiniabdul7155
@muksiniabdul7155 3 күн бұрын
Unalala dar unajikuta mkoan😂😂😂😂😂 5G
@bobelichi7721
@bobelichi7721 3 күн бұрын
Promax😂😂
@HOGANDAMAYAPE
@HOGANDAMAYAPE Күн бұрын
😂😂😂
@HamisiKuboma
@HamisiKuboma 2 күн бұрын
Mmmmh huyu dogo amezidi kuongezea chunvi
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 2 күн бұрын
😮mi napita tu
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 2 күн бұрын
Kikulacho kinguon nwako! Kwahiyo akikutaka anakushinweni?
@FatmaAbdullah-gv4te
@FatmaAbdullah-gv4te 3 күн бұрын
Chui tying 😅
@AmosringwaLubeja
@AmosringwaLubeja 2 күн бұрын
Kumawewe unatuonaje kwa
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f Күн бұрын
Huyo dogo muongo kbs
@HumphreyMapunda
@HumphreyMapunda 2 күн бұрын
Wapambe tayari wako humu bila aibu wamekazana eti uongo nyie ndio kaka yenu njaa mbaya sana
@melikiorndakidemi6257
@melikiorndakidemi6257 Күн бұрын
Dogo kaka yakochui hakifa malizake hutariss au hutazikata
@saidakiwale9227
@saidakiwale9227 2 күн бұрын
Hivi angetaka kuwauwa si angewauwa yaani hawa wamepandikizwa sumu hawa hawajitambuwi
@saidakiwale9227
@saidakiwale9227 2 күн бұрын
Huyu muongo sana du hawa wanataka kumuuwa ndugu yao
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 2 күн бұрын
Kwny mamba thelathn wakubwa mmmh
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 күн бұрын
WAKATI WA SHETANI KUKOMESHWA
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 2 күн бұрын
Mmeshaambiwa mjiangalie msije mkawa nyama siku moja. Lisemwalo lipo kama halipo laja
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w 3 күн бұрын
Mnatafta content. Uyo sio mdogowake
@AaliD-i4g
@AaliD-i4g 2 күн бұрын
Dogo anafaa kwa kafala
@marywarioba1901
@marywarioba1901 2 күн бұрын
Hivi ninachokiskia nikweli au kiki,mbona napitawa na mengi, we bando mbona unanikosha mengii
@JalinaSalimu
@JalinaSalimu 2 күн бұрын
Hakuna ukweli hapo ni kiki tuu kama ndugu yk ambae alikua anaishi nae dar ameshafariki apunguze kiki
@ImmanuelJulius-m4o
@ImmanuelJulius-m4o 3 күн бұрын
😅😅😅
@asmasalumu
@asmasalumu 2 күн бұрын
Kiki nyingine bhana
@FrancisNgomaitara
@FrancisNgomaitara 3 күн бұрын
Nyie mnaesema dogo muongo mnauhakika gan achen ubish
@bobelichi7721
@bobelichi7721 3 күн бұрын
😂😂😂
@godlovemgeni235
@godlovemgeni235 2 күн бұрын
Watu hamjui dunia nzito hii
@pascalmgina
@pascalmgina 3 күн бұрын
Muongo
@mnyorishow5050
@mnyorishow5050 2 күн бұрын
Atuamin ata kdg
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 2 күн бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄🙄 mamba😢😢😢😢😢😢😢😱😱😱😱😱😱😱khaiiiiii
@Clamcris-y
@Clamcris-y 3 күн бұрын
Uyu dogo ni muongo anatuhathidia story za scripts za movie 😂😂😂
@NelsonJames-h8r
@NelsonJames-h8r 3 күн бұрын
We sema muong hujakutana nacho ww
@JumaKipae
@JumaKipae 3 күн бұрын
Siyo muongo ndugu sisi vijana tuna tamaa sana Kuna watu Wana lala na nyoka ndani iyo ndyo ukweli
@peternyambui7492
@peternyambui7492 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@IsmailSamwel-u6m
@IsmailSamwel-u6m 2 күн бұрын
Wajinga nyiyi.mtu anawaambia.mnasema mwongo et sababu anapesaaa.ndio mnatolewa kafala
@J4Black-t6i
@J4Black-t6i 3 күн бұрын
Huyu dogo nigekuwa mimi tajili chui alikuwa anafaa kumtoa kafala
@NelsonJames-h8r
@NelsonJames-h8r 3 күн бұрын
Usiseme hivyo chaliangu usiombe familia yenu ikute na raia kama huyo itakuwa balaa unajihesabia ww ni mait unaetembea
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 күн бұрын
MUNGU YUPO KAZANI ACHA KUMTETEA MJINGA HUYO ANAETHAMINI PESA KULIKO UHAI WA BINADA U.
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 258 М.
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 199 М.
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН