HUYU APA MWANAJESHI ALIYEZIMIA SIKU MOJA NDANI YA KIFUSI GOROFA LA KARIAKOO ASIMULIA MAZITO

  Рет қаралды 49,695

Foxe Tv

Foxe Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 83
@zee2teacher941
@zee2teacher941 3 күн бұрын
SubhanAllah. Mola awapumzishe kwa amani marehemu wote na awajaalie neema ya uponyaji walio survive. Alhamdulillah
@MwanahamisMdoe
@MwanahamisMdoe Күн бұрын
Pole Sana Kaka kikubwa nikumshukuru mungu,nakurudi kwake,nakuwaombea wenzetu Allah awasamehe marehemu wote
@shabukemakuru
@shabukemakuru 3 күн бұрын
Pole sana mkuu da historia yako kwa inaumiza sana ila mtangulize Mungu ndio kila kitu...
@beathapontian2187
@beathapontian2187 3 күн бұрын
Ongera Sana kk Mungu ndiye alikutetea amekupa nafasi nyingine usiache kumtumikia
@MaryMsuya-s6e
@MaryMsuya-s6e 3 күн бұрын
Pole sana,!! Mungu atakupa haja ya moyo wako🙏🙏Mungu ni mwaminifu🙏
@roqayaro9439
@roqayaro9439 3 күн бұрын
Pole sana kaka mungu amekuponya utapata nafuuu
@felistermkea2269
@felistermkea2269 19 сағат бұрын
Mungu anakupenda kaka na kwa namna ulivyo na moyo wako. Mungu atatenda jambo kwaajili yako 😢
@LilianZedekia-s9v
@LilianZedekia-s9v 3 күн бұрын
Kaka nyangu pole sana mwambie mungu asante sana😂
@maryammo-gd3me
@maryammo-gd3me 4 күн бұрын
Poleni sana hakika huu ni mtihani mzito
@HamisaSaidi-e9y
@HamisaSaidi-e9y 3 күн бұрын
Pole sana yan ww umepewa maisha kwa mara ya 2 ivo jifunze kitu mana ipo ck utakufa kwel kaka fanya maandalizi ya safari usafr wa kwa umekuacha jua kuna mwengine utakupitia na haujui utakukuta kwenye hali gani jiandae
@NahSaid
@NahSaid 3 күн бұрын
Hakika
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 3 күн бұрын
Pole sana Bro Mungu akubariki
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 3 күн бұрын
Pole sana kaka Mungu azidi kukuoigania na usiache kufanya ibada
@majomasliman7856
@majomasliman7856 Күн бұрын
Pole sana nikama mlikua kaburini mmueshimu mwenye mungu kabisa yeye ndio mwenye uwezo wake ni kufanya mema kaka yangu
@MaryMsuya-s6e
@MaryMsuya-s6e 3 күн бұрын
Wewe ni kamanda, blessing 🙏
@CindyKazembe
@CindyKazembe 2 күн бұрын
Amen 🙏 Mungu akusaidie upate ajira mway..
@AuchielMakebu
@AuchielMakebu 3 күн бұрын
Pore sana nduguyangu kwahayo yaariokukuta wemutaangurizetu mungu ndootegemezi retu ssaawa
@Bulehi
@Bulehi 3 күн бұрын
Anayetakiwa kuitikia wito wangu, mchukue kutoka kwa usalama wake, mchukue, Mwenye nguvu na Mwenye nguvu, na mshangae katika kughafilika kwake, kama vile Malaika mshindi na mnyang'anyi angemshangaza Hii ni baraka yake na mamlaka yake, na atubu. kwa baraka Yako ambayo hakuirudisha kwa shukurani, na umuondolee vazi la heshima Yako ambalo hakumlipa kwa wema na likate, ewe muangamizi wa wenye nguvu, na liangamize, ewe muangamizi wa karne zilizopita. Na mwacheni enyi mnaowaacha makundi madhalimu. Ewe Mwenyezi Mungu, lazimisha pua yake na uharakishe kifo chake, na usimpe nguvu bila kuikata, wala neno lililowekwa pamoja bila kulitenganisha. Hakuna nguzo ya kuinuliwa isipokuwa Wewe umeifanya kuwa dhaifu, na hakuna nguzo uliyoifanya kuwa dhaifu, na hakuna msingi ulioukata. Ee Bwana, ee Mungu, mbariki aliyenidhulumu, ee Mungu, mfedheheshe, ondoa udhalimu wake, na weka kazi yake mwilini mwake. Wala usimpunguzie huzuni, na njama zake zimpoteze, na zimpeleke
@SaidKhalfan-m9t
@SaidKhalfan-m9t 3 күн бұрын
Pole san mung akujalie kila la her imshallah
@MasolwaNzalia
@MasolwaNzalia 3 күн бұрын
pole sana mungu hamtupi mjawake
@Bulehi
@Bulehi 3 күн бұрын
Ee Mungu, mimi ni mja wako maskini ninayekuhitaji, Ee Mungu, nionyeshe maajabu ya uwezo wako dhidi ya watu madhalimu wa Palestina, Rafah na Gaza. Na Ukingo wa Magharibi na ardhi zote zilizo huru za Palestina na Lebanon iliyo huru, Ewe Mola, zifanye mbingu na ardhi zitawale juu yao, na ombeni msamaha enyi watu wangu Mola wenu Mlezi, basi atakuleteeni mvua kutoka mbinguni na atakuzidishieni nguvu Yamin Netanyahu na askari wa Wazayuni na washirika wao wanaoidhulumu Palestina, Rafah, Gaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi yote. Palestina Huru, Lebanoni huru, na waja wako wote waaminifu, wanaume na wanawake wema, wanaume na wanawake wema, waamini Mungu mmoja na wamcha Mungu. Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu, na kwamba Muhammad ni mja wake na Mtume wake, Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani pamoja na aali zake na maswahaba zake wote, na anayefuata uongofu. Kwa wema mpaka Siku ya Kiyama, Ewe Mola, wape Malaika mamlaka juu yao
@maliadii4829
@maliadii4829 3 күн бұрын
AMIIN YARAB
@latifasharji6437
@latifasharji6437 3 күн бұрын
ALLAHUMMA AMIIN THUMMA AMIIN YAARABI
@RajabuKitalambo-q2u
@RajabuKitalambo-q2u 3 күн бұрын
🎉Dogo namjua uyu da!!pole san mwanangu
@Sesilialucas-pk4ze
@Sesilialucas-pk4ze 3 күн бұрын
Pole kaka mwenyez MUNGU Yuko p1 nawe
@ngehupeter
@ngehupeter 2 күн бұрын
Mwenyz azid KUKULINDA uishi miaka mingi zaid bro ,pia ishi kwa kumpendza MUNGU
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 4 күн бұрын
Polesana hansi mungu akuponye halaka
@lucyedgar4869
@lucyedgar4869 2 күн бұрын
Pole sana mdogo wangu Mungu amekuokoa
@hamadKhamis-p6k
@hamadKhamis-p6k 3 күн бұрын
Uende jeshini moja Moja
@mutatashanny1
@mutatashanny1 3 күн бұрын
MTU NA NUSU,MOLA ATUPE MWISHO MWEMA,AMINA.
@AlexTawe-c1s
@AlexTawe-c1s 4 күн бұрын
Pole,Sana mkuu.
@aljazairfoundation2388
@aljazairfoundation2388 2 күн бұрын
Allah akuhifadhi
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 3 күн бұрын
Mshukuru MUNGU
@MwajabuIbrahim-b7x
@MwajabuIbrahim-b7x Күн бұрын
Sadaka ni kinga kubwa sana jamani Amini msiamini
@Bulehi
@Bulehi 3 күн бұрын
Upepo na uasi kwao ni moto wa Hadithi, na wataunguzwa katika yote Na unamjua, Ewe Mola, mvuruga matumaini yake, na muondolee dhulma yake, na ifanye kazi yake katika dini yake ni kuhama Na. mamlaka yake yamepungua, na umma wake dhidi ya ghadhabu yake ukimfisha, na ukamweka katika huzuni yake ikiwa ukimuacha, na ukinilinda na shari ya uwezo wake na uadui wake, basi Wewe una nguvu zaidi katika uweza na zaidi. mateso makali. Ewe Mola, dhalimu amekusanya nguvu zake zote na dhulma yake, na mimi, mja wako, nimemkusanyia dua zote niwezazo, ewe Mola, kwa hivyo niitikie wito wa waja wako Lawama na unisaidie, kwani hakika, Ewe Mola Mlezi Mkarimu, nilisema katika wito wa waliodhulumiwa, kwa utukufu Wangu na utukufu Wangu, hakika Nitakusaidia, hata baada ya muda mfupi. Ewe Mola, dhulma ni mfalme wa mambo ya nguvu hapa duniani, na mimi nakuabudu, sina imani nawe silaha zake, kifungo chake, na masengenyo yake, na kuwazuia watu wa mapenzi, na akaniacha ndani. giza Nililoweza kuliomba, na nyinyi ni Malaika, na Malaika, na wake, na bunduki zake, na askari, na askari, na madhambi yake, na madhambi ya tunayoyataka, majini na askari wao. , wafadhili, na askari wao, na waliouawa, na askari wao, na njia, na askari wao, na madhambi, na madhambi ya Na ardhi ni bora zaidi ya wanao itikia maombi, Na ikiwa ni katika hukumu yako yenye ufanisi. na uwezo wako wa mwisho kwamba atubu au atubu, au ajiepushe na dhulma yangu, au ajizuie kufanya yale anayonichukia, na aniepushie Ni kubwa amenidhulumu kwayo, kwa hiyo weka moyoni mwake sasa. na kisha, na utubu kwa ajili yake na uisamehe, Ewe Mkarimu. Ewe Mola, ikiwa ujuzi wako juu yake ni kitu kingine zaidi ya hayo, katika suala la kuchukua msimamo dhidi ya dhulma yangu, basi nakuomba ewe msaidizi wa wanaodhulumiwa.
@alfanisebalua9333
@alfanisebalua9333 2 күн бұрын
mh.laisi mama samia suluu hasani nakuomba kwa hisani yako ukiipata hii krip nakuomba umsaidie huyu kija walau apate pikipiki ili aweze kuendesha maisha yake
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 3 күн бұрын
Allha hu akibaru
@GabrielbarakaThoua-fh8ow
@GabrielbarakaThoua-fh8ow 3 күн бұрын
Munga akuonekanie kaka.wakenya twahuzunika nanyi
@hamadKhamis-p6k
@hamadKhamis-p6k 3 күн бұрын
Rais Samia akuajiri uende Moja kwa Moja
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 3 күн бұрын
From 🇧🇮 pole san ila mutafute niffer atakuzaidia
@JumaRama-d5i
@JumaRama-d5i 4 күн бұрын
Noma sana kamanda
@zahraIsmail332
@zahraIsmail332 Күн бұрын
Alhamdulillah
@speciozakaloli
@speciozakaloli 3 күн бұрын
Pole sana
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 3 күн бұрын
Serekali iwasaidie fidia zao kama malizao zitakuwa zimepotea
@amourmunga8356
@amourmunga8356 3 күн бұрын
We muandishii una ushahidii wamekulaa embu liache jambo linawenyewe hoji vinavyokuhusu.
@JofreyMsigwa
@JofreyMsigwa 3 күн бұрын
Umemsahu MUNGU
@RaphaelMwayinga
@RaphaelMwayinga Күн бұрын
Siwezi siwezi kila nikiangalia tukio nalia tu..
@basumegheMbotwa
@basumegheMbotwa 3 күн бұрын
Mbona kama sio kwa haya maelezo
@happymbise-g5b
@happymbise-g5b 2 күн бұрын
Pole kak
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 күн бұрын
Kijana ni Mwwnyezimungu pekee ndo alowafanya nuwe hai hayo mengine uloyataja ni zaidi.
@RaphaelMwayinga
@RaphaelMwayinga Күн бұрын
Pole afande
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 күн бұрын
Yaani Jeshi la zima moto na uokoaji ndo lililofanya kazi kubwa ,
@fifo262
@fifo262 2 күн бұрын
Mungu mkubwa atupe mwisho mwema yarrabi
@MasolwaNzalia
@MasolwaNzalia 3 күн бұрын
selikali yetu tukufu iwahishe msada Kwa wahanga
@zahraIsmail332
@zahraIsmail332 Күн бұрын
🤲🤲🤲❤️
@SarahOpasi
@SarahOpasi Күн бұрын
Pole
@neemaabdu1091
@neemaabdu1091 3 күн бұрын
Tujiweke kwenye ibada
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 күн бұрын
😢
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 Күн бұрын
Da😭😭😭😭😭😭😭
@martinchambala9399
@martinchambala9399 3 күн бұрын
Lakini huyu siomuongo kweli maana wanaoumwa wote wapo hospital atakua muongo huyu
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 3 күн бұрын
Wapo wengi kitaa
@athmanshauri7871
@athmanshauri7871 3 күн бұрын
Hotuba ya rais kasema hospital wamebaki wa3 tu wengi waliruhusiwa kutoka
@fifo262
@fifo262 2 күн бұрын
Inabidi na ww ukapimwe
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 күн бұрын
kama mtu hana hali mbaya ataendelea kukaa hosp?
@fifo262
@fifo262 2 күн бұрын
@@martinchambala9399 we unaroho mbaya sana yani ulitaka awepo mahututi ndio urizike? Ushuhuda wa yote anayoyasema yani wewe hupatwi na hisia ya utu ? Khaaa jitasmini na wewe kwa mara ingine . Huyo ni mkweli kabsa kwa anachokisema
@hamadKhamis-p6k
@hamadKhamis-p6k 3 күн бұрын
Huyo ni bodaboda jeshi gani
@JudikaMbowe
@JudikaMbowe 3 күн бұрын
Pole Sana kamanda
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 күн бұрын
JESHI la wananchi,we ungepata wapi namba za mkuu wa wilaya au mkoa
@DavidKajabuka
@DavidKajabuka 2 күн бұрын
yeyote alie pitia jkt ata km alikosa ajiri anasomeka kam mwanajeshi ata taifa likipatwa shida wanaitwa
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 күн бұрын
kumbuka alishawasiliana na watu akiwa kule chini ndo mwanzo wa viongozi kupata namba za viongozi kwa sababu walikuwa wanawasiliana nao.
@EliasMwita-q3x
@EliasMwita-q3x 3 күн бұрын
Pole sana
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t Күн бұрын
Pole sana
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 170 МЛН
Do you love Blackpink?🖤🩷
00:23
Karina
Рет қаралды 12 МЛН
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 21 МЛН
MASHA LOVE AVUJISHA 'CHAT', WATEJA WALIVYOMTOSA KISA NIFFER
8:04
Wasafi Media
Рет қаралды 39 М.
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 170 МЛН