No video

Fr Kamugisha: Atakaye kula chakula vizuri unamuona wakati wa kunawa/

  Рет қаралды 20,337

Faustin Kamugisha

Faustin Kamugisha

Күн бұрын

i mafundisho ya Juma la pili la Kwaresima mada ikiwa ni Kipyenga cha mwisho bado . Mafundisho haya yametolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika Kanisa kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Bukoba. Mafundisho haya hutolewa kila Ijumaa baada ya njia ya msalaba.
#ShajaraFaraja

Пікірлер: 47
@happychavaliginu3985
@happychavaliginu3985 3 жыл бұрын
Ubarikiwe baba umenipa FARAJA KWA yanayonisibu
@immaculataroeser9569
@immaculataroeser9569 3 жыл бұрын
Asante sana padreKamugisha kwamafundisho yako yenye heki.ma ya Mungu.Ubarikiwe sana.
@victoriakihaga6602
@victoriakihaga6602 2 жыл бұрын
Baba asante kwa neo nabarikiwa sana na mafundisho yako
@gilbertkatunzi7881
@gilbertkatunzi7881 3 жыл бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen padre kamgisha Mungu hazidi kukupigania na kukusimamia kwa kweli na barikiwa sana
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 3 жыл бұрын
Cho chote bila Cho chote ,hupati cho chote amen 🙏 asant baba padre kamugisha mungu aendelee kukuangazia nulu kila uendapo 🙏🙏🤲🤲❤🥰😍
@albertlasway4863
@albertlasway4863 3 жыл бұрын
Ubarikiwe BABA padre
@nelsonprosper7872
@nelsonprosper7872 2 жыл бұрын
Mungu hakubaliki sana
@mariachuri7123
@mariachuri7123 3 жыл бұрын
Fr. uko vizuri sana,Mungu akupe nguvu na afya tele tuendelee kusikia mahubiri yako,nimebarikiwa sana
@frankrutaihwa9151
@frankrutaihwa9151 3 жыл бұрын
Kwakweli nashidwa nisemeje ila ubarikiwe sana Fr. hakika mwenyezi Mungu ashukuliwe na atukuzwe kwa zawadi hii yakukuleta ww ktk hii dunia
@FRWPresscom
@FRWPresscom 3 жыл бұрын
Fr Kamugisha Hongera sana...mahubiri mazuri sana..Barikiwa sana Fr
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 3 ай бұрын
Amina kubwa
@noahkyando7096
@noahkyando7096 3 жыл бұрын
Ubarikiwe kwaneno
@mateijohn7254
@mateijohn7254 Жыл бұрын
Amina
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Asante
@godfreyfrance97
@godfreyfrance97 3 жыл бұрын
Tuwe na mtazamo chanya. Asantee Baba 🙏
@magretmush7646
@magretmush7646 Жыл бұрын
Umetugusa Sana
@arnoldrwekaza2265
@arnoldrwekaza2265 3 жыл бұрын
Amina, nimeikubali hii aisee. Ata nyumba ikibomolewa endelea kujenga
@wilsonngumbuke4482
@wilsonngumbuke4482 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki na kukutumia ili tuendelee kuimarishwa kwanza kiriho kisha kimwili.
@anthonyapolinary7201
@anthonyapolinary7201 2 жыл бұрын
Father mafundisho yako sichokii kuyarudia kuangalia
@suzannebucyanayandi630
@suzannebucyanayandi630 3 жыл бұрын
Thank you Father
@happychavaliginu3985
@happychavaliginu3985 3 жыл бұрын
Ubarikie baba umenipa moyo ktk yanayonisibu
@gracejohn886
@gracejohn886 3 жыл бұрын
Asante baba 😁😁😁😁 nimefarijika sn pia nimejifunza
@juliethkayenzi4160
@juliethkayenzi4160 3 жыл бұрын
Najiona mpya kabisa ninapokusikiliza Father mungu akuweke zaidi
@selinakonda6724
@selinakonda6724 3 жыл бұрын
Amina mungu akubariki
@baziraericbaziraeric3307
@baziraericbaziraeric3307 3 жыл бұрын
Asanti mzee
@kaparojuma978
@kaparojuma978 3 жыл бұрын
aki ubarikiwe padre
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM 3 жыл бұрын
Asante sana Father.
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 3 жыл бұрын
Asanteeeeee Baba
@mafundishoyakikatoliki894
@mafundishoyakikatoliki894 3 жыл бұрын
Ubarikiwe 🙏
@gasirigwaaloyce8739
@gasirigwaaloyce8739 3 жыл бұрын
Asante baba
@peterassenga6574
@peterassenga6574 3 жыл бұрын
nimebarikiwa kwa neno lako
@mariachuri7123
@mariachuri7123 3 жыл бұрын
Ameeeeeeeeen
@sofialinus8241
@sofialinus8241 3 жыл бұрын
AMINA 🙏 Baba nabarikiwa Sana 🙏🙏🙏
@magrethgeorge6749
@magrethgeorge6749 3 жыл бұрын
Amen
@immaculataroeser9569
@immaculataroeser9569 3 жыл бұрын
Kweli kabisa bila chochote hupati chochote.Hata Yesu alipogeuza mikate na samaki aliukuwa na cha kuanzia.Alisema nileteeni hiyo mikate na samaki akaichukua akainua mikono juu akaomba akaibariki mara ile mikate na samaki vikaongezeka watu mia tano wanaume wakala wakashiba na kusaza. Bila yahesabu ya watoto na wanawake.
@simonmisri6968
@simonmisri6968 3 жыл бұрын
Yaani kwa Tanzania hii wahubiri wa aina hii mapadre ninakufananisha na padre Titus Amigu
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 3 жыл бұрын
Kwakweli nimejifunza
@eliasymvinge2860
@eliasymvinge2860 3 жыл бұрын
Jamani natafuta sana vitabu vya huyu padre sijui naweza pataje
@juliethkayenzi4160
@juliethkayenzi4160 3 жыл бұрын
Sikiliza kipindi cha mbalamwezi upige simu Ni muda wa kipindi chake
@akiliplatformtanzania4468
@akiliplatformtanzania4468 3 жыл бұрын
Fr.Kamgisha naomba nipate namba yako
@elizapanga9706
@elizapanga9706 3 жыл бұрын
Fr tutembelee manyara
@elizapanga9706
@elizapanga9706 3 жыл бұрын
Chochote bila chochote hupati chochote
@happinessmacha4584
@happinessmacha4584 3 жыл бұрын
Mtazamo chanya. Amina Baba
@leahwanja4302
@leahwanja4302 3 жыл бұрын
Amen
@aizakimicheal3838
@aizakimicheal3838 3 жыл бұрын
Amina
@maryj2326
@maryj2326 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana 👏
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 10 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 48 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
what will you choose? #tiktok
00:14
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 6 МЛН
LIFE WISDOM : USHINDI KATIKA VITA - JOEL NANAUKA
10:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
KATAA KUJIKATAA
11:49
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 417
NALO HILO LITAPITA SEHEMU SABA (7)
9:35
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 726
BEAUTIFUL MORNING DUA | For Protection| Blessings| Rizq | Tasbih | full | Omar Hisham|
27:31
EthioQuran اثيو القرآن
Рет қаралды 3,1 МЛН
NALO HILO LITAPITA SEHEMU YA KWANZA (1)
5:15
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 579
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 10 МЛН