Ni hekima gani uliyo nayo baba Mungu azidi kukupigania umalize mwendo salama.aminaaaaa
@hubertsimple97763 жыл бұрын
Nge...adui namba moja. Salute farther tunabarikiwa sana kwa elimu yako. Tunaomba uweke namba ya simu kwa yeyote mwenye hamu ya kuona elimu hii inawafikia watu wengi zaidi achangie tusaidie kupromote kipindi hiki kwa vijana wengi zaidi kokote ulimwenguni. Tuanze sasa..tuendelee kwa pamoja mlipofikia.
@blandinamwarabu50252 жыл бұрын
Good Mungu apitishe mawazo mazuri kwenye kinywa chako AMINA
@joycebenedict617210 ай бұрын
Father nimefurahi sana kwa maombi na mafundisho, nimebarikiwa sana, nina angalia kipindi chako kila siku, mimi niko USA
@nicolaussilayo8873 Жыл бұрын
Padre ubarikiwa sana
@benedictkihombo3483 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mno Padre Kamugisha kwa mafundisho mazuri tunabarikiwa sana.
@franciskajessy44683 жыл бұрын
Ni kweli tu naangalia hiki kipindi niko hapa 🇺🇸 mafundisho yako ya natusaidia sana father🙏🙏🔥
@bengallettv65683 жыл бұрын
Father tumsifu Yesu kristo
@tumainanthonychanya603 жыл бұрын
Amen unanipa nguvu Sana hasa kwa kipindiki barikiwa sana
@mathew.m.m91373 жыл бұрын
God bless you, Fr Faustine for finding time to bless others; you're not wasting your time. I am learning more.
@alextzatv3 жыл бұрын
Nakupata vzur sana
@upendoeliudi51963 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen barikiwa sana father
@alexedward77093 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri sana. Asante sana.
@atmonlinetv94509 ай бұрын
Hongera sana Pd.Dr.Kamugisha natqmani nije kusali huko minziro kwakqeli ww ni kichwa kimeshiba huqa nasikiliza haya mahubiri kila wakati na niseme bando langu linaishia hapa 😂
@hildamatemu28362 жыл бұрын
Jamani mm sioni tena clip mpya za Fr Kamugisha kulikoni?