Genius, you inspired me sasa hivi ninabajaji tatu mpyaaa iko siku nitafika huko WACHA nipambane.
@mahmoudaziz47174 жыл бұрын
Dah jamaa Yuko poa sana. Anawasaidia vijana big up Fred👏👏👏🇹🇿.
@HappynessJose3 жыл бұрын
Ata kama yupo freemason yanawahuso muache na kaz zake
@hakitv47174 жыл бұрын
Jamaa sio freemasonary Kwanza asingeweka wazi hizo siri za kibiashara namna hiyo! Halafu note point 1! Wakati wa corona ilipozingua ....ametaja Economical term" External factors".....Huyo jamaa ana elimu Kubwa ya biashara + kipawa Cha kiakiri +He is gifted!
@HASASON4 жыл бұрын
Japo siamini kama ni freemasonry lakini kwa taarifa yako Hakuna wenye akili kubwa duniani hapa kama freemasons, so kusema external factors sio akili ya kuifananisha na freemasonry
@hakitv47174 жыл бұрын
@@HASASON unaweza kuwa na point ya Msingi Ila inatakiwa ujue Mwanzo wa freemasonary yenyewe ! Kwa haraka ni kutoka katika hekalu la Seleman alilolijenga kwa ajili ya Mungu Baba! Unajua kila nguvu iliyoko hapa Duniani/nchi na kila uumbaji tunaoujua na tusioujua nguvu hiyo ni mali ya Mungu Baba/Mwenyezi Mungu au kwa Jina lolote utambualo Yeye aliye Mkuu wa Vitu vyote! Sasa shida inaanzia kwenye Agano la kuipata hiyo nguvu na Matumizi yake! Hilo ndio tatizo ! Kwa Haraka Sana Vunja bei simjui kiundani Ila Jamaa yake yote/Familia kwa ujumla ni Loyal family . Yaani Wana kipawa Cha biashara ! Nimeijua hilo kupitia Biography yake pia ana experience Kubwa ya kimaisha maana pamoja na kuwa anatokea kwenye familia bora Ila alaishawahi kufanya Community work/ kuajiliwa maana kuajiliwa ni kujitolea kwa ajili ya wengine. Ndio maana ukiwa social worker either private sector au selikalini halafu ukatajilika hilo ni tatizo Kubwa na ndio ushetani wenyewe! Ila katika Yote Mungu Baba hakuwaleta watu katika ardhi ili wale msoto Kuna mengi ya kuzungumzia si unajua hapo ni darasa pana ktk Yote nakushukuru! Kwa reply comment yenye afya! Maana kama atakuwa na Maagano ya kipepo ni Yeye atapata shida na Tangiepo hawanaga Amani kabisa watu wale.
@عليغالب-ت5ر4 жыл бұрын
I I love this man he's educated sio Wa kuropokwa kama wengine
@chrischleopa77384 жыл бұрын
And remember he was employed in GVT ministry
@afandehassan14 жыл бұрын
The interview is more educative than entertainment. .. Keep it up Fred
@maynardngome5264 Жыл бұрын
Siri ni gani?
@jerrydavid86294 жыл бұрын
Ww ni mwamba sana broo unajua sana kuwajibu hawa wambea
@salymkitumbika86444 жыл бұрын
Too much ustaarabu + Too much akili = Too much Mooney, safisanaa brother
@ghostelmendez72064 жыл бұрын
Kitumbika hahahhhahahhaahahahaaaha
@khatibabdallah61854 жыл бұрын
Jamaa yuko vizuri mnoo, tatizo vijana wengi kinachotupoteza ni mazoea mabaya na kukosa ubunifu tunakimbilia kusema freemason ni undava wa kipumbavu sn
@adamally64 жыл бұрын
kwel mzee
@aishaabubakari1834 жыл бұрын
Kabisaaa mtu akiamka asubuh anawaza majungu na fitna hawazi nn afanye
@milkaauma63124 жыл бұрын
Ukiwa na hela lazima busara zifate uko sawa mzee baba vunjabei
@WivianRich3 жыл бұрын
Woyoooooooooooo, kupanda Grade huko Toto ya Mobyetto Ni suala lingine kwa Fredy Vunjabei
@manduatechnology10553 жыл бұрын
Braza Fred nakukubal San unanifany nifight San niwe Kam wew broo
@elishaworkout61163 жыл бұрын
Nakukubali kaka angu ,yaan unaajiliwa kidog unapata gap unatembea icho kitu nakiaply
@ramsonrugonzi82494 жыл бұрын
Aiseh kumbe hyu mwamba ni economically generous,,,
@karimomari46324 жыл бұрын
Safi san kiongoz mara nyingi nasema wew mkali wa (knowledge)
@nurdinisalum36514 жыл бұрын
Frank knows ndio mdogo wake wa damu huyu ni patina na Frank
@ghostelmendez72064 жыл бұрын
Fredy ni Mr genius .... Yuko vizuri sana ana akili mingi mno ........... Anavyooongea hakurupuki *TOO MUCH MONEY*
Daaaa uyu jamaaa ndio ma brother wakukaa no kukupa madini Kama haya
@nelsonmataba14264 жыл бұрын
Huyu jamaa kwa upande wa biashara ndio rol model wangu + Lissu ✊🏾
@HASASON4 жыл бұрын
Shoga
@aishaabubakari1834 жыл бұрын
Watz jaman mnanini mtu akifanikiwa kwenye maisha basi mshirikina Yani mtu kila cku unahangaika kutafuta pesa ukifanikiwa basi feermason jaman kila 1 na ridhiki zake
@badmanno.16504 жыл бұрын
Huyo fred amesoma finance... Ogopa sana hao watu wa economics... Hao ndio wanaajiri watu ...
@hakusfakir73642 жыл бұрын
Big.....up....jamaaa....yangu....fredy
@sudymgeni7014 жыл бұрын
Upo poa kaka umejibu safi tunakuelewa
@queensmapete22994 жыл бұрын
Kaka kafunguka vizuri the big up
@shaqdizo76784 жыл бұрын
Bro nimekukubali maongezi yako ningependa Sana one day nionane na wewe unipe madini ya kibiashara Nina uwezo wa kufanya investment, hiyo biashara ya mbao imenivutia ningependa Sana kupata more details about it..
@innocentsimika19374 жыл бұрын
njoo Iringa
@fredyraphael56962 жыл бұрын
Nakukubali kaka wajina
@salamamohammed54464 жыл бұрын
Vunja bei na mobet eti n. Mtu na shemu aaaaa wapiiii
@jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын
this channel have asked good questions, but try to be more innovative, ask intelligent questions ili vijana tupate kujifunza,, social relationships are good but shold be less prioritized compared to things which pple need are related to economical, political, career wise and the like. thats just my opinion wasafi media. hebu jitaidini basi jmni aaah maana hizi za kuuliza mahusiano na kuikalia more than 84% ya interview are not yielding good results guys come on yall
@fidelmathew37272 жыл бұрын
011
@ernestkilaryo10154 жыл бұрын
Tuletee Minguo Mwanza, Tujimimine in @Babalevo Voice
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Bro yuko vizuri kwa kuongeya Aliya kwa umbea😂😂🙌🙌
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
ivi kwanini ukiwa auna ela unaona wenye pesa wanatumia pesa vibaya.
@mahmoudaziz47174 жыл бұрын
😄😄😄😄🇹🇿
@othumanlorenzo2604 жыл бұрын
Much observant
@yunyun7994 жыл бұрын
Daaah xijui kwann 😂😂😂
@divvanajohnson48954 жыл бұрын
Nyingi pesa za kichawi
@momobakari12254 жыл бұрын
Hahahaaa😁😁😁
@marinamooh40554 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani anajuwa kuongea mpk anakeraaaa🤣🤣🤣🤣👏🏻Asante bro vunjabei kuwa rafiki Mzuri wa Moberooo
@faridaessa78444 жыл бұрын
Mm natamani amuoe kabisa
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
@@faridaessa7844 😂😂😂
@faridaessa78444 жыл бұрын
@@zabibunduwimana4612 usicheke my yaani vunja bei kama anasoma SMS amuoe hamisa kwa kweli.
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
@@faridaessa7844 Hamissa iko na Dai
@fatmakache6324 жыл бұрын
Black is handsome ktk wanaume bongo huyu Fred vunja bei ananimaliza mie natamani japo kumuona tu
hahaha yaani hujakosea. uwe unaongea nae kwa upole alafu ukiwa unamtumia hizi clip..tuma kama unacheka kitu flani alichokisema kweny clip ili ikupe mwanya wa kumtumia. alafu muache aangalie. its a learning curve take it slowly girl u will win him
@georgemassebu20834 жыл бұрын
Ukitaka tu kila unachotaka inabidi utafute dunia ya kwako,huwezi chukua tabia ya mtu mwingine ndo uifananishe na ya bwana yako..MUNGU siyo mjinga
@chausikuzahoro34834 жыл бұрын
Hahaaaaa....umenigusaaa🤣🤣🤣🤣
@siscaalex85824 жыл бұрын
Big up Fred👏👏👏💪
@angelbwija95473 жыл бұрын
Kwani hamisa anashida gani jamani mbona kila mwanaume wanamukana sana 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄 diamond alimukatala,vunja bei kamukana kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@celinekanda18503 жыл бұрын
You will be in a rude shock coz they're wedding next month hakuna haja kujiparade everywhere
@jumawaziri85014 жыл бұрын
huyu jamaaa yuko poa saana aiseeeee
@fadhilplatnumz62093 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali sana Kama ana digrii vile Vunja bei og.
@hassankisuke53563 жыл бұрын
Ana degree mbili
@jenifersamwel89904 жыл бұрын
Fred uko vzuriii😘
@robymtewele77603 жыл бұрын
Daa unajibu maswali kiakili sana nimekukubali
@hollymore49044 жыл бұрын
Huyu mtangazaji kila muda "YOU KNOW YOU KNOW YOU KNOW YOU KNOW
@barbiechemmy21374 жыл бұрын
Fredy anaongea vizur jamaniii uwiii.... nioe bas kaka😔😔😎😎
@amanimanase57944 жыл бұрын
Yan unamwita kaka afu akuoe duuh
@abubakarkhamishaji28493 жыл бұрын
unataka ndowa kwelii
@margratepete65074 жыл бұрын
Uko vizuri Sana vunja bei
@leonardkahaya90064 жыл бұрын
kila mwenye hela kwa namna flan utaona an akil(smart)
@estermosha19854 жыл бұрын
asa utakuaje na hela halafu uwe mjinga my wangu...umesahau kama mwenye hela ndo mwenye akili hapa duniani 🤣🤣🤣
@zakyahya46453 жыл бұрын
Uyu kaka nampenda jamani adi nalia😢😢
@faridaessa78444 жыл бұрын
Fred vunja bei ningependa umuoe hamisa
@afandehassan14 жыл бұрын
Kwa nini sio wewe?
@afandehassan14 жыл бұрын
@@faridaessa7844 Je Afandehassan?
@afandehassan14 жыл бұрын
@@faridaessa7844 Mashaallah Farida
@KidotiTwiga4 жыл бұрын
Bro uko vzur yan very smart
@malmavoice89894 жыл бұрын
Wasafi mnafeli wapi kuleta interviews ndefu ndefu kama wanazofanya wengine,za mpira,kibiashara afu lile pindi la block 89 linarudi lini ndo lilikuwa na pindi tamu kama hizo now pindi zenu za the switch mgahawa na good morning zimekaa kibaba baba sana masela hazituvutii. Hatupendi kugawa mb zetu sehemu mbalimbali hebu angalieni kiu zetu tuzimalizie humo zote. Anachofanya aliah,mchaga org na mo town sanya vitamu lkn vifupi mno kwa mtu mmoja mmoja,au mmeridhika wazeeiya?
@nicholausmkolwe77654 жыл бұрын
huyu kaka sio sil hapend mambo yake kila mtu ayajue,nimependa kwakwel kwanza ni mtu anae jitambua
@VivianYankho10 ай бұрын
Nc kaka
@nicholausmkolwe77654 жыл бұрын
napenda sana mngu akulinde na akufikishe mbali kimaisha uko phw kaka kwa japo ckujui naimani ni mtu wa watu,kaz njema
@joelmichael39284 жыл бұрын
Anajua Sana Uyu Brother
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Hatareee sana Mzee Baba 😄😄😄😄 Nimependa rangi yako 🙈
@afterfull-time13484 жыл бұрын
Aibu sema umeona jamaa anaeleweka pochi unajishobokesha...
@zunguleunardo92924 жыл бұрын
Auna lolote umeona jamaa ela ipo Acha tamaa
@HASASON4 жыл бұрын
Nenda hardware utaikuta, hivi wanawake mna nini lakini na hela?
@irenediemond3684 жыл бұрын
Safi sana fred
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Fred ubarikiwe kaka endelea kupambana
@ricomediatz4 жыл бұрын
Logo ya mic imegeuzwa duuu umakin kidogo
@jumarwambo74204 жыл бұрын
broh nimejifunza kitu kwenye hayo maongez
@ramadhanimsowello90214 жыл бұрын
Anae Amin wewe freemason na yye aende akawe freemason awe tajiri kama laic
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Aliyah, hapo kwa wifi yetu umepasema na umbea mwingi 😂😂😂😂😂😂😂😂
@omarynzegea23744 жыл бұрын
Hahahahahha umegundua nini hapo
@juliaayieta25784 жыл бұрын
@@omarynzegea2374 🤣🤣🤣🤣🤣 alivyo vuta hilo neno
@thomastairo20214 жыл бұрын
Huyu jamaa nimemsikiliza kwa makini Ni mpambanaji
@hollymore49044 жыл бұрын
Hela inafanya uonekane unaongea point boss. Shkamoo hela😃
@MrNdanguza4 жыл бұрын
Hahaha atali mchayilo sio poa 🤣😅😅
@erickchitojo69334 жыл бұрын
Katika haya maongez hapa kama mtu ukiwa makini unatoka na mawazo na mbinu za kibiashara..
@givendaudi87213 жыл бұрын
Kabisaa
@isackbaton82614 жыл бұрын
Kwa kwel hata Mimi ni mtumishi wa uma ila huku ni utumwa
@EastCoasTGorilla904 жыл бұрын
God bless you more Freddy...keep it up
@iddimngazija19573 жыл бұрын
Akili za wa Tz wengi hawaamini kama unaweza kufanikiwa bila ndumba
@papaesco51984 жыл бұрын
😄😄😄😄yule vunja bei wale wengine machawa
@nyotamy36784 жыл бұрын
The guy is good
@dalalikinondonirealestatea88754 жыл бұрын
Niaje
@christophermsekena6164 жыл бұрын
FRED ANA AKILI SANA HUYU MTU
@loner_wolf4 жыл бұрын
VUNJA BEI NICHECK NIKUPE KICHWA YA RAP INACHANA SANA
@mwaminramadhan49594 жыл бұрын
Katika maswali mnafeli sana igeni sns wanauliza maswali una enjoy
@tmtzvisuals6424 жыл бұрын
Kweli kabisa
@justinmmoko60604 жыл бұрын
Maswali ya kimbea kimbea tu Yan
@timothypaul17144 жыл бұрын
Kweli kabisa wanauliza maswali ambayo Aya jengi
@mwaminramadhan49594 жыл бұрын
Kweli unajua mtu akihojiwa sns au milad unakaa vizur kuskiliza