Freeman Mbowe Acharuka Mbele ya Wajumbe CHADEMA, "Minyukano Iliyotokea Sio Sifa ni Aibu ya Chama"

  Рет қаралды 49,263

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 160
@artsonkimath2917
@artsonkimath2917 11 күн бұрын
Hongera sana Mwamba .....hii ndoo hutuba ya kiseneta
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 11 күн бұрын
A very very True leader spoke. Salute mbowe
@MoEd-k8w
@MoEd-k8w 11 күн бұрын
Mbowe huwa anaongea Kwa hisia lakini ni mpigaji tu kutoka Kwa watawala
@amourmtungo623
@amourmtungo623 11 күн бұрын
Kwenye siasa kuna vitu viwili “ORATORS NA ACTORS” orators ni wasemaji wazuri na actors ni watendaji wazuri. Kwa mtazamo wangu binafsi Mbowe ni msemaji mzuri ispokuwa Lisu ana sifa zote. Ni msemaji mzuri na ni mtendaji hata kama kidogo ni maskini zaidi ya Mbowe, huu ndio mtazamo wangu kila mtu na mtazamo wake🤔
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 11 күн бұрын
Lissu ni msomi ila mropokaji aliyekosa malezi hivyo hana haya.
@amourmtungo623
@amourmtungo623 11 күн бұрын
@ mkuu huo ni mtazamo wako kila mtu ana wake
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j 11 күн бұрын
Hongera mh mbowe
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 11 күн бұрын
Hongera mr mbowe kwa speech nzuri
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 11 күн бұрын
Usitishe watu, Mbowe must goo
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 11 күн бұрын
Hotuba ya maana kabisa hii kutoka kwa Mwamba Mbowe. Very strong and wise leader.
@albertvalentino130
@albertvalentino130 11 күн бұрын
Sio kweli unachokisema --- Huna uwezo wa kuongoza mapambano hayo,umeshindwa kwa zaidi ya miaka 20,umeendelea kuibiwa kura kwa miaka yote,imefika mahala umeanza kuzoea kuibiwa,sasa umeamua " ku Compromise" mwachie LISU.
@pilatomwambujule4634
@pilatomwambujule4634 11 күн бұрын
Sio mbowe bali ni tume ya uchaguzi inayosimamiwa na serikali,na kama ilikuwa mfatiliaji wa bunge wakati akiwa msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani ni kiasi gani alipambana na hilo ten nyakati Chadema wamepata mawaziri vinvuli.so juu ya hilo tuwe makini
@ElizabethSteve-dc1sh
@ElizabethSteve-dc1sh 11 күн бұрын
Amina mwamba mitano tayar
@CretusKalinde-ni6fh
@CretusKalinde-ni6fh 11 күн бұрын
Mbowe must go
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx 11 күн бұрын
Neda huko chadema umekifanya ni kampunii Yako utaki kustafu unagagania uwenyekiti Kila mwaka ni wewe
@mungasulwamwaipokela5867
@mungasulwamwaipokela5867 11 күн бұрын
Zwazwa ww
@EmmanueNzilano
@EmmanueNzilano 11 күн бұрын
Unaona kama watu wanakusikiliza wewe' shinda uone ni akina nani watakao kua wanakusikiliza😢😢😢😂
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 11 күн бұрын
MUNGU ametupa Mbowe. Asante MUNGU.
@pilatomwambujule4634
@pilatomwambujule4634 11 күн бұрын
Hatima ya chama iko mikononi mwa wawakilishi wa wanachama watakaopiga kura juu ya nani akawe m/kiti. Nawasihi wote kwa pamoja tupigeni magoti kuombea uchaguzi wa mtu sahihi mwnye kuweza kusimamia katiba na misingi take na kuheshimu itifaki yake pia zaidi chma kinaitaji gharama kujiendesha .
@albertvalentino130
@albertvalentino130 11 күн бұрын
Mbowe umekuwa Nyoka asiye na Sumu -- " ondoka waachie wengine chama " tupate ideas zao mpya.
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j 11 күн бұрын
Nice mbowe
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt 11 күн бұрын
FAM❤
@JeskaMrope
@JeskaMrope 11 күн бұрын
Goo
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 11 күн бұрын
Hiii kichwa
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 11 күн бұрын
Ushauri mzuri sana
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 11 күн бұрын
Kuna kauli ya ukomavu wa hekima na busana ndani ya hotuba hii.
@NadhifaPigangoma
@NadhifaPigangoma 11 күн бұрын
Hongera
@BakariChinowa
@BakariChinowa 11 күн бұрын
mbowe apewe maua yake siasa anaijua hongera sana
@hamisimwandu5675
@hamisimwandu5675 11 күн бұрын
Anaijua kafanya nini ndan miaka yote tangu amekuwa mwenyekiti,, na mnaokoment kwa kumsifia mbowe sina iman kama wewe ni chedema utakuwa ccm
@salummohamed2689
@salummohamed2689 11 күн бұрын
Ana lugha na maneno ya mvuto yasiyo na matunda yoyote ni kama sawa na Kupanda mparachichi ukitegemea matunda, ukakaa nao miaka na miaka Hadi unapigilia misumari kwenye shina Ili utoe matunda.
@hamisimwandu5675
@hamisimwandu5675 11 күн бұрын
@@salummohamed2689 umeonaeee 🤣🤣🤣
@godfreywilliam2460
@godfreywilliam2460 11 күн бұрын
Master😊
@OscerShop
@OscerShop 11 күн бұрын
Mchagueni MBOWE MITANO TENA
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 11 күн бұрын
Kiswahili Safi kabisa
@KelvneJeremia
@KelvneJeremia 11 күн бұрын
Safi sana mkuu ❤❤❤
@JastinNkwaje
@JastinNkwaje 11 күн бұрын
Bigap sana
@kulwasosoma6670
@kulwasosoma6670 11 күн бұрын
@AyoubKhatib-p4k
@AyoubKhatib-p4k 11 күн бұрын
MBOWE mwanasiasa ulio bobeya endeleaaa na uongozi wako hayo mepengine yanayotokea ni ch angamoto songa mbele baba
@AnaniaMmari
@AnaniaMmari 11 күн бұрын
🙏nikweli mkuu
@WilfreddSungura
@WilfreddSungura 11 күн бұрын
Muhimu AMANI
@mlebesitv2628
@mlebesitv2628 11 күн бұрын
mbowe must go😅😅
@AgustinyAntony
@AgustinyAntony 11 күн бұрын
mbowe noma
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 11 күн бұрын
Swala 1 kwa nini CCM wanamtaka Mbowe ashinde wakati wao ni Wapinzani ! Kuna siri gani jamani ?
@KaroliMushi
@KaroliMushi 11 күн бұрын
Wewe unaongeaga maneno mazuri sana lakini ni muhuni tuu wewe unakaa na watu wake zao wapo bungeni na mnafanya nao vikao vya kuamua hatima yao hapo ni utapeli babayangu mbowe mast gooooo
@tospend
@tospend 11 күн бұрын
Mbowe hana tofauti na Magu ukimpa mic lazima akupate
@HonorataMafala
@HonorataMafala 11 күн бұрын
Ajira baba kwa watoto wetu.
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc 11 күн бұрын
Mungu tubaliki wana chadema tuendelee kua pamoja kama jana na juzi
@magaigwa4204
@magaigwa4204 11 күн бұрын
Hakuna kitu kama hicho
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j 11 күн бұрын
Wewe ni kiongo makini
@ellymwinuka9827
@ellymwinuka9827 11 күн бұрын
Unaongea vizuli mzee Ila kapumzike bwana😂😂😂
@SweetyClever
@SweetyClever 11 күн бұрын
Kwa hutuba ya mbowe anaonyeshwa kuridhika kuachia usikani ila hawezi kutamka kwa maneno ….kajitambua kuwa kapoteza sifa ya kuongoza wa chama alicho kijenga ujanani ..
@anosiata8242
@anosiata8242 11 күн бұрын
Wajumbe please please tuleteeni lissu na heshe
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 11 күн бұрын
Ikiwa leo talehee hii ndo chadema mlipata usajili basi leo hii pia ndo kinakufa kama uchaguzi utatumia ubabe kubakiza kiti chako
@mpalamaniuswege5358
@mpalamaniuswege5358 11 күн бұрын
Tunaenda na lisu
@SalumMsongera-n7b
@SalumMsongera-n7b 11 күн бұрын
Wew ni msaliti unataka kukifanya km ichi chama ni chako au Mali yako toka
@AgustinyAntony
@AgustinyAntony 11 күн бұрын
mbowe mpishe lisu
@AgustinyAntony
@AgustinyAntony 11 күн бұрын
pumzika mzee mbowe
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu 11 күн бұрын
Mbowe ametulia tofauti sana na lisu
@mtangag774
@mtangag774 11 күн бұрын
Hii imeenda
@MONISHASIMSANGA
@MONISHASIMSANGA 10 күн бұрын
Kwani uko pekeyako mbowe waachie na wenzako😂😂😢
@GabrielMwakasitu
@GabrielMwakasitu 11 күн бұрын
Kuongea unaongea saana, sawa lakini mwachie Lisu.
@sadicksingogo260
@sadicksingogo260 11 күн бұрын
Ok we ni manyi
@AndreaNzunda-f7o
@AndreaNzunda-f7o 11 күн бұрын
Kweli Lisu ni noma adi Mbowe amenyoka mbn ulikua unasema km we ndo kla kitu
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 11 күн бұрын
Mbona umeongea Sana kurko dakika murizo pewa katurie usubirie kunyonyorewa 2
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j 11 күн бұрын
Ongea mwamba
@timboxlee919
@timboxlee919 11 күн бұрын
Wewe mzee huna jipya,achia chama
@dahirgaraar360
@dahirgaraar360 11 күн бұрын
Ukiwa na mafahali wazuri wa mbegu zizini kwako ukaona wanapigana na kuumizana waamue. Ukifurahia kupigana kwao wakauana au kuumizana hata kutiana vilema utapoteza na kupata hasara wewe mwenyewe mwenye zizi mwenye hao mafahali.
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 11 күн бұрын
Kumbe kubeza sio vizuri ukibezwa. Ndio maana ccm huwa mkiwabeza mnaaweka ndani.
@FimbombayaKimbwi
@FimbombayaKimbwi 11 күн бұрын
Huyu Ni msanii ukimtazama kwa jicho la tatu utakubaliana nami
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j 11 күн бұрын
Ni wewe tu
@sheikhyahyamsangi2191
@sheikhyahyamsangi2191 11 күн бұрын
Mbowe 5 tena
@HissenShaban
@HissenShaban 11 күн бұрын
Mbowe we nitapeli unamaneno mazur lakini matendo hovyo kabisa hufai na wakikupitisha sitaki dafutar la mchango wa mkutano wa wachadema
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 11 күн бұрын
Wewe acha wengine tutatoa usikitishe chama kwa mia mbili yako, chama ni cha kidemokrasia kura ndiyo zinaamua siyo mihemuko ya mtu.
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 11 күн бұрын
Unakigawa chama bro!?
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 11 күн бұрын
Fransins toa uchawa wa kichaga fala ww unafananisha wanadamu wa sasa na watakatifu waliokuwa wanaongea na malaika live unafananisha na makafiri wa Karne hii acha upumbavu wa kichaga
@seraphimmchomba4162
@seraphimmchomba4162 11 күн бұрын
Unaonyesha ulivyo mkabila. Kwahiyo ndiko mnataka kukipeleka Chama! Ufala wa kichaga maana yake nini!
@ellymwinuka9827
@ellymwinuka9827 11 күн бұрын
Utanisamehe tu mzee Yani mpole kama kondoo Ila kwakuzidiwa na ccm chaguzi4 Nikukiua chama Kutukanana unako komaa Lisu hatukanagi Haendi ikuru kama wewe Kidogo tu Kwamama Cheeeee😂😂
@anosiata8242
@anosiata8242 11 күн бұрын
Huyo mzee mbowe ni muongo chama amekifanya kama biashara yake tumemuchoka tuleteeni lissu na heche. Wananchi huku chini tunataka mabadiliko. Wajumbe mkileta huyo mpinga diri mujue chadema kwisha habari yake.
@lifeonearth94
@lifeonearth94 11 күн бұрын
Hawezi kufanya hvyo, wanawafatilia sana
@anosiata8242
@anosiata8242 10 күн бұрын
@ chezea wachanga wewe . Hiki chama mbowe amekifanya kuwa biashara yake. Kwanini ang'ang'ania mtu ameongoza chadema miaka 21 aache na wengine waongoze chadema.
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 11 күн бұрын
Niyaleyale ya miaka yote
@AnaniaMmari
@AnaniaMmari 11 күн бұрын
Lisu unaekewa kweli
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 11 күн бұрын
Mbowe umefanya makubwa ila kuilinda heshima yako Mwachie Lisu nae aongoze alipelekembele hili gurudumu mbele
@ObadiahMutambo
@ObadiahMutambo 11 күн бұрын
Mbowe tushakuzoea kwa maneno yako lakini matendo ziiiiiilooooo Tanzania inahitaji mtu wa vitendo nae ni LISU
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 11 күн бұрын
Sawa sawa maneno hayo
@georgepewa9624
@georgepewa9624 11 күн бұрын
Alivyotoka kuandamana na familia yake wewe ulitoka au ulikuwa unabet kwenye mpira
@fadhilimsafiri216
@fadhilimsafiri216 11 күн бұрын
Mbowe5 tena Mungu ajalie
@MuraMwita-s3e
@MuraMwita-s3e 11 күн бұрын
TUACHE USHABIKI MBOWE KAISHS LEMEWA NA CCM HAWEZI KUKOMEA MAOVU YAO MAANA KAISHA LAMBISHWA SUKARI
@MuraMwita-s3e
@MuraMwita-s3e 11 күн бұрын
MBOWE ATUPISHE NDO HITAJI LETU HILO ILI TUPATE MBIO MPYA ZA KUYAENDEA MAGEUZI YA KWELI AMBAYO HAYANA UNAFIKI NDANI YAKE NA MTU ASIYE MNAFIKI NI LISSU NA HECHE HAO NDIYO WAKO TAYARI KUSEMA NYEKUNDU NI NYEKUNDI NYEUSI NI NYEUSI HAO NDO TUNAOTAKA LISSU HECHE
@MuraMwita-s3e
@MuraMwita-s3e 11 күн бұрын
MBOWE ATUPISHE NDO HITAJI LETU HILO ILI TUPATE MBIO MPYA ZA KUYAENDEA MAGEUZI YA KWELI AMBAYO HAYANA UNAFIKI NDANI YAKE NA MTU ASIYE MNAFIKI NI LISSU NA HECHE HAO NDIYO WAKO TAYARI KUSEMA NYEKUNDU NI NYEKUNDI NYEUSI NI NYEUSI HAO NDO TUNAOTAKA LISSU HECHE
@MuraMwita-s3e
@MuraMwita-s3e 11 күн бұрын
WEWE MBOWE UNAONGEA TU LAKINI UKISHA FIKA MBELE YA VIONGOZI WA CCM UNAANZA KUSEMAKUWA UNATUMIA UPOLE NA HEKIMA NANI KAKWAMBIA KUWA CCM ITASIKIA NA ITATOKA MADARAKANI KWA UPOLE NA BUSARA ZA MBOWE?
@salummohamed2689
@salummohamed2689 11 күн бұрын
Mwenye busara aendewe Kwa busara, asiye na busara aendewe kivingine Kwa kutumia uongozi imara ambao tumekosa Kwa muda sasa!
@Ngaizavedastus
@Ngaizavedastus 11 күн бұрын
Mwamba
@SalumMsongera-n7b
@SalumMsongera-n7b 11 күн бұрын
Ila kutoa rushwa ndio destur ya chadema acha kuwatapel wajumbe tutoleeni huyu mzee ni covid ni kirus
@lifeonearth94
@lifeonearth94 11 күн бұрын
Mbowe ana akili nyingi sana tofaut na Lissu, lissu ye ni kuponda na kupinga, mbowe akili kubwa na mipango
@InnocentKalumuna-q4p
@InnocentKalumuna-q4p 11 күн бұрын
Tumekuchoka mboe
@silasponeka1773
@silasponeka1773 11 күн бұрын
Jihudhuru lisu anatosha
@mohamoudali8652
@mohamoudali8652 11 күн бұрын
Maneno matamu tu lakini vitendo ni sifuri. Mbowe achia ngazi mzee umekosa mvuto.
@HajiMwangama
@HajiMwangama 11 күн бұрын
Mbowe haufai hatakidogo unauzachama kaanyumban
@godfreymjuni3420
@godfreymjuni3420 11 күн бұрын
Maliza Mkuu
@tosh7671
@tosh7671 11 күн бұрын
KWAHERI MBOWEE TULIA BABA UTAFUNE HELA ZA ABDUL
@zabronmdoe4398
@zabronmdoe4398 11 күн бұрын
Sisi tupo huru,benders yet ipo,Red? Ni yauhuru gani?mbona upo kamawgombea uhuru?
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 11 күн бұрын
mbowe na lipumba=
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 11 күн бұрын
Hotuba ndeeefu wakati watu wana hamu ya kura zipigwe haraka tujue moja nani kidedea!
@SalumMsongera-n7b
@SalumMsongera-n7b 11 күн бұрын
Wana paswa wa kuadhibu kwa kutoa rushwa Wala atukuamin mtoa rushwa wew acha unafk unanunua Haki za watanzania wanyonge atukutaki we ni mnafk
@godfreymeagisa1871
@godfreymeagisa1871 11 күн бұрын
Hivi kweli mzee je mbona kama unafanana na mzee Wasira,Lipumba,KAGAME MWAMBA KAMA WEWE ,Mzee Mseveni du, sielewi huu uongozi una shida gani kwa kweli inaniuma sana Kama sioni Watoto wetu wataishije hapo baadaye
@isaackabaka4477
@isaackabaka4477 11 күн бұрын
@@godfreymeagisa1871 sijui anataka nn.miaka 20 huko madarakan wachie wenzio
@MaseMasilenge-u8p
@MaseMasilenge-u8p 11 күн бұрын
Leo hucheki checking kama jana
@GabrielMwakasitu
@GabrielMwakasitu 11 күн бұрын
Ila uachie ngazi
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 11 күн бұрын
CDM hoyeeeee chama cha mfano ya demokrasia ya kweli
@dianasamson9311
@dianasamson9311 11 күн бұрын
Mwamba kama Mwamba..
@kijukuuchamkawa6037
@kijukuuchamkawa6037 11 күн бұрын
Huyu jamaa anaongea nini? au ndiy anajieleza nini atakifanyia Chama?
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 11 күн бұрын
Million 350 kutoka kwa Samia mchango wa Kanisa kuja kwako wewe Mmachame. Tunakuamini vipi?????
@jacksonmaphie679
@jacksonmaphie679 11 күн бұрын
Mbowe ana kanisa?
@SalumMsongera-n7b
@SalumMsongera-n7b 11 күн бұрын
We ndo unatoa rushwa ni sum kwa mbaya kwenye chama kuliko ya kobogo toka kalale
@kijukuuchamkawa6037
@kijukuuchamkawa6037 11 күн бұрын
Huyu mhombea au msemaji wa chama?
@nuhumwikwabe2647
@nuhumwikwabe2647 11 күн бұрын
Mbowe kama waleee tantarira nyingiii
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 11 күн бұрын
Huyu ndiye mbowe hajawaikosea
@GabrielMwakasitu
@GabrielMwakasitu 11 күн бұрын
Lkn madarka unapaswa kuachia
@NuruNurudin
@NuruNurudin 11 күн бұрын
Acha king'ang'anizi wewe mbowee!
@AbdallahDotto-ik4ni
@AbdallahDotto-ik4ni 10 күн бұрын
M/kiti ajaye mbowe
@anosiata8242
@anosiata8242 11 күн бұрын
Mbowe tulishazoa ngonjera zako. Mda wako umeisha. Pisha wezako waongonze chama miaka 21 uliyoongoza chadema inatosha umekuwa kagame na mseveni.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Kauli ya Ask. Bagonza baada ya mikutano ya #CCM na #CHADEMA. Ahimiza Maridhiano.
18:45
CHADEMA PAZITO KATIBU AMTAJA HECHE.
46:53
BUJEPA TV
Рет қаралды 72