🅻🅸🆅🅴 FREEMAN MBOWE ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU..

  Рет қаралды 27,219

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@michaelhaule1651
@michaelhaule1651 20 сағат бұрын
Chadema Nimpango wa Mungu Mh Mbowe Tanzania Inakuhitaji Sana We so Proudy of you
@MwetaMashambo
@MwetaMashambo 23 сағат бұрын
Hakika mbowe ni kiongozi busara na hekima imejaa kwake
@wisdomfolks
@wisdomfolks 16 сағат бұрын
Mmefanya kila liwezekanalo kupambania wananchi sasa Tumuachie Mungu sisi tunaoamini Mungu . Rejea hata Yesu alipo mfufua lazaro aliwaambia wasogeze jiwe kwanza na pia alipo badiii maji kuwa divai aliwaambia wajaze maji kwanza angeweza kufanya hayo yote mwenyewe kwakua ni Mungu ila alitaka effort yao kwanza tumeona effort zenu sasa tumuachie yeye
@SAULMSIGWA-sv9zj
@SAULMSIGWA-sv9zj Сағат бұрын
Mwenyekit umeongea vizur Sasa nashaur viongozi wateuliwa nawalioenguliwa kwakuonewa nawanaichi kuen pamoja ilikuitafuta haki muwemakini sana namhakikishe mpango yakudai haki iweyautulivu naiweyakweli
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Күн бұрын
Laaaa!!!! aiseeee hii nchi shida sana.
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 8 сағат бұрын
MBOWE HAFIKIRII KWA MDOMO NA AKILI ZAKE ZIMETULIA
@benedictgamuya8855
@benedictgamuya8855 15 сағат бұрын
Mambo ya aibu sana Tz.....
@mpendamema3694
@mpendamema3694 23 сағат бұрын
KING crazy JK - LEO ft Ay ,FA
@abu-hasheem6422
@abu-hasheem6422 16 сағат бұрын
Kwa hii press ya leo, siwadai kitu.....mko vzr
@martinkisha6307
@martinkisha6307 23 сағат бұрын
Mungu aidaindie nchi yangu tuwena ipendo na uzarendo
@mpendamema3694
@mpendamema3694 23 сағат бұрын
MPUMBAVU NI YULE AMBAYE HAJUI UMUHIMU WA VYAMA VINGI KWENYE AHUENI ZA KI UCHUMI ZA WANANCHI.ANAYEFIKIRI HON. LATE .NYERERE NDIYE ALIKUWA NA AKILI KULIKO WATU WOTE MIL 60+ .WANANCHI WANATAKIWA KIJITAWALA SIO KUPANGIWA VIONGOZI HUO NA MAWAZO YA KUSEMA
@BoniphaceManyama-y2s
@BoniphaceManyama-y2s 16 сағат бұрын
Mungu atatenda miujiza yake naamini CHADEMA mtavuka.
@AkwilineKawishe-t3d
@AkwilineKawishe-t3d Күн бұрын
Mungu wetu ni meenye Haki.
@januarysila1569
@januarysila1569 Күн бұрын
dar aiseeeee
@helencyprian8745
@helencyprian8745 23 сағат бұрын
Hatuna mahakama baba
@seluyangogo3965
@seluyangogo3965 15 сағат бұрын
Kinga kwenye uchaguzi wa mitaa wa nini apo watu walishajipanga kufanya madudu kwa makusudi
@johnkaleli
@johnkaleli 19 сағат бұрын
Mbowe ni kiongozi kamili
@matiredms917
@matiredms917 21 сағат бұрын
Mwandishi acha ushabiki ktk kuwasilisha taarifa zako. Siyo suala la kuhisi bali CHADEMA wanadai njama za makusudi kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa. CCM ni mamluki na haini. Lazima waondoke.
@thobiasmarandu214
@thobiasmarandu214 12 сағат бұрын
HAPO UTATOFAUTISHA NANI KIONGOZI NA NANI ANAFIKIRI KWA MDOMO.
@sheikhyahyamsangi2191
@sheikhyahyamsangi2191 21 сағат бұрын
Nyie si mliapa eti ya 2019 hamtaruhusu yatokee tena? Hamna nguvu. BAKWATA usiwasingizie.
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 22 сағат бұрын
Viongozi wa ccm wanatengeneza makosa na kutumga kanuni ya kuwalinda na kujisamehe wenyewe na makosa yao
@petermunuo2239
@petermunuo2239 18 сағат бұрын
Nataka katiba mpya
@NaimaNara
@NaimaNara 15 сағат бұрын
Anaogopa kuingia uwanjani mpira wame weka kwapani haohawana lolote wanajuana wanamchosha wameichoka ccm
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 23 сағат бұрын
MAHAKAMA ZETU ZINAINAJISI DEMOKRASIA TANZANIA....BUNGE NALO LINAINAJISI DEMOKRASIA TANZANIA....TUNAWAAMBIA....WATANZANIA SIO WAJINGA!
@sheikhyahyamsangi2191
@sheikhyahyamsangi2191 21 сағат бұрын
Mtaa wachukue hatua wakati Taifa mumeshindwa? Wee umeshindwa kuwaongoza. Local situation ndio Nini? Ruzuku mchukue nyie wao wapambane Hadi tone la mwisho? Mnawaona wapumbavu sio? Imetoka hiyo. Achia kiti mangi umefeli
@HanifaUrassa
@HanifaUrassa 15 сағат бұрын
Miaka yote ni malalamiko
@marysichinsambwe7708
@marysichinsambwe7708 23 сағат бұрын
Mbowe must go.
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 14 сағат бұрын
Utasubiri sana,ataondoka kwa mujibu wa katiba na si kwa roho mbaya yako.
@PatrickMasawe-p3c
@PatrickMasawe-p3c 23 сағат бұрын
Pmj mr
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t Күн бұрын
AIBU NA FEDHEHA KUBWA SANA KWA WAZIRI MCHENGERWA....AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA MH. RAIS SAMIA BINAFSI....AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA CCM....HAKI HULETA AMANI.
@sheikhyahyamsangi2191
@sheikhyahyamsangi2191 21 сағат бұрын
Sema viongozi wa kikristo. Dini ziko nyingi. Ni wakristo tu ndio mko nao
@siwakwifrancis8332
@siwakwifrancis8332 12 сағат бұрын
hujielewi wewe
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 23 сағат бұрын
Kwahiyo hata kama hawana sifa wapitishwe kwa kuwa ni Wagombeaw wa CĤÀDEMA ???KUNGUNI NŸIE
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 23 сағат бұрын
Ujui usemalo
@PatrickMasawe-p3c
@PatrickMasawe-p3c 23 сағат бұрын
Nisawa na hauja comment kitu tu
@mpendamema3694
@mpendamema3694 23 сағат бұрын
Achanana task force hujui umuhimu wa vyama vingi
@barakabusima
@barakabusima 21 сағат бұрын
🤯
@emmanuelimasele846
@emmanuelimasele846 18 сағат бұрын
ww ni chawa mkubwa na ukiederea hivyo utakuwa kupe
Mustakabali wa taifa: Rais Ruto kutoa hotuba bungeni kesho Alasiri
23:31
Real Man relocate to Remote Controlled Car 👨🏻➡️🚙🕹️ #builderc
00:24
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 9 МЛН
#LIVE: UZINDUZI WA JEZI ZA KIMATAIFA ZA MNYAMA | CAFCC
1:14:27
Simba SC Tanzania
Рет қаралды 32 М.