Mama yake anaheshiimika sana lakini mtoto wake sijui kawa kichaa au kuripuka, sijui mavazi yake yakoje huo sio ubunifu ni ujinga mtupu
@KamandaBee8 ай бұрын
Nachekaga tu😂😂😂😂
@nindymuruga47988 ай бұрын
Wamemuonea bwana. ...mbona siku hizi watu wana vaa vichupi na wanatembea bila shida yoyote...
@trystanbertand1603Ай бұрын
Basata yenu inachekesha! walimwita Barnaba ,Mbosso hakuitwa? Kwahuyo wimbo nanini al8kuwa kinyume n'a maadili.
@Mohaa43098 ай бұрын
Ushamba tz,kwan pic zina nn
@iam_sami8 ай бұрын
Wamfungie abby Chams bac wanamuonea bure yammy
@ummySheikh728 ай бұрын
Barnaba au Mohammed yeye na Yammi wamekosea kabisaa kimaadili na Dini na kama Mume wa mtu pia. Wako wrong💯
@mrsinia30648 ай бұрын
Hawa basata wanayumba mbona platnumz yeye anatukana kila siku na kupiga picha mbali mbali na videmu lakin ajawahi kuitwa ili wamshauri
@OnlyRuky8 ай бұрын
BASATA kila anayetoka huko anakuwa chawa wao yaani cha kwanza ni kuwapamba sijui huwaga wanafinywa humo ndani na kupewa masharti ya kuwasifia😂😂😂Mixxsss
@frankmichael19688 ай бұрын
Yani natamani siku moja nikutane na dada frida nina mengi sana ya kuongea nae... by the way mungu akubariki sana
@aishambagi73718 ай бұрын
Phina jee
@lelaiddy68568 ай бұрын
Kwani wao wa kwanza
@Shadia5448 ай бұрын
Kwa kweli kile kichupi sio sawa mchupi uleee nyiee amuoni kama alikuwa uchi laana ya mke jamaniii 😢😢😢
@salmajuma11218 ай бұрын
Shadia upo kila sehem chukua maua yako🎉🎉🎉
@Shadia5448 ай бұрын
@@salmajuma1121 🤣🤣🤣asante kipenzi wi-fi ya waarabu ndiyo maana natamba humu YOU TUBE KIPENZI 😅😅
@MiriamAbdallah8 ай бұрын
@@Shadia544unatisha❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BlackKing89-l1u8 ай бұрын
Kwahiyo sasa hivi BASATA ma producer wa picha pia😂
@PrincessHellen-pg1oy8 ай бұрын
Sisi kama mashabiki hatujaona kosa mbona wasanii ni wengi tu wanakosea na hawaulizwi waache ubaguzi sasa mfano mashabiki tunavaa magunia na wasanii nao wavae magunia sasa unafikiri kuna mtu anakaekuja kumshangaa kwamba yoo huyu ni msanii hakuna kitu kama hicho maana tutajiona wote tuko sawa. So tungeomba kua wasanii wafanye kitu ambao kina utofauti na sisi so tusiwaumize sana wasanii wetu wawe na ka uhuru fulani bhana
@omranalbarwani71908 ай бұрын
Hivi jamani hawa wasanii kuwa Uchida ndio kuuza nyimbo?? Vitovu nje chupi nje nyie basata hamuoni? Kioo gani hicho cha Jamie?? Mbona zamani haikuwa hivyo?
@dreamfightertv-qj4zh8 ай бұрын
Frida we mwana chease eeee
@roccafella98738 ай бұрын
Nitatizo Farida km ni mtoto kw kisalim sio
@svt38 ай бұрын
Waislam wenyewe wengejuwa wqo mi waislamu wala wasinge kuwa wasanii sio wa filamu sio wa muziki wangibaki huko madrasa ila waislamu ndio wanaongoza kwenye sanaa ya filamu na mziki tz ndio kusema wao wanaongoza kwa kuvaa uchi na ukosefu wa maadili, mujuwe dini hizi zililerwa na wageni acheni watoto wapige kazi