ROBOTI EUNICE AWA GUMZO BUNGENI, APOKEA WABUNGE, AMSHTUA WAZIRI ALIVYOTEMBEA

  Рет қаралды 282,325

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 4 ай бұрын
KAMA UMESIKIA ATAKUPA TENA MKONO NA UKAJUA KM LIMESETIWA HIVO KWA UJINGA BASI GONGA LIKE
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Hilo sanamu wanatupumbaza. Mzungu atupe roboti waafrika tokea lini. Hilo Ni sanamu tu Kama sanamu za mashine. Hakuna jipya
@HashimYahya-cl3tx
@HashimYahya-cl3tx 4 ай бұрын
Duuuuuh mungu azidi kumrehem magufuri maana sio kwaa huu ujinga na ukosefu wa maarifa
@AngelBaraka-bo2bl
@AngelBaraka-bo2bl 4 ай бұрын
Yan hii nchi sijawahi ona vituko kama hivi..kama wanataka mapokezi Si Kuna vijana kibao hawana ajira wangewaweka hapo Ili wawapokee..
@festovenas502
@festovenas502 4 ай бұрын
Kwann Lakin mnatufanyie ivi wana nchi MUNGU awape mnacho sitahili😭😭😭😭😭 mnaacha kufanya kaz ya maendelea kwa wana nchi mnafanya ujinga ujinga tu
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 4 ай бұрын
Neno latimia, bi siku za mwisho,bible yasema siku za mwisho maarifa ya wanadamu utazidi kufikia kutengeneza mwanadamu ila walishindwa kutoa punzi,.Tukiona mambo hayo hujui Yesu yukaribu, ilaniwale wenye ufahamu wa bibla
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s 4 ай бұрын
Bora umeruona ilo
@samboreeadam4273
@samboreeadam4273 4 ай бұрын
Kwahy unahisi mwisho wa dunia utakuwa lini man,ili nile vyakwangu mapema😂😂😂
@PericyKiko
@PericyKiko 4 ай бұрын
​@@samboreeadam4273si muda mrefu sababu yaliyonenwa km ndio dalili za kurudi kwa Yesu yametimia kilichobaki ni njaa haijawahi kutokea, watu watakatazwa kumuabudu Mungu wa mbinguni aliyeziumba mbingu na Nchi na kuabudu miungu na dhiki kuu
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 4 ай бұрын
​@@samboreeadam4273😂😂😂😂😂😂Tusivunjane mbavu pumbavu zako 😅😅😅😅😅😅 Wataka umalize kila kitu usiache kitu duniani 😅😅😅
@GodfreyLukoo-c4y
@GodfreyLukoo-c4y 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu atawapa adhabu yenu
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 4 ай бұрын
Upuuzi mtupu Afrika tupo wengi sana hakuna sababu ya kuelekeza pesa za watanzania wanyonge kutengeneza misanamu ya kuwa karibisha hospital madawa hakuna watu wanakufa ya kukosa huduma wazee wanateseka mitaani n.k inatia uchungu sana kuona tunaviongozi wa hovyo namna hii
@BenjaminAyo-p4i
@BenjaminAyo-p4i 4 ай бұрын
Kikokotoo😅😅
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@BenjaminAyo-p4i😢😢😢😢😢😢😢
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 4 ай бұрын
Hiyo inaitwa teknolojia...ndiyo uliyotumia kutuma maneno haya mtanaoni...ndiyo anayotumia mmarekani na mchina kuitawala dunia...ndiyo anayotumia mrusi kumpiga Ukraine, ndiyo anayotumia Iran dhidi ya Israel...na sisi tunawakimbiza...SEMA alaaaaaaaa, kumbe mimi mjinga, sikuwa najuwa umuhimu wa technology!
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 ай бұрын
@@thefinalstand2022 Ukisoma komenti unajua kabisa kama umasikini ni mbaya. Mtu anachukia teknolojia kwa vile yeye hajui. Aisee! Roho mbaya hizi.
@AngelBaraka-bo2bl
@AngelBaraka-bo2bl 4 ай бұрын
Roho mbaya kuliko waajiri vijana hapo Kwa ajili ya mapokezi wanaweka sanamu iwapokee😅😅
@BrunoNjonjo
@BrunoNjonjo 4 ай бұрын
hilo dude sh ngapi
@IbrahimunyandaDanieli
@IbrahimunyandaDanieli 4 ай бұрын
M50
@hadharaally6523
@hadharaally6523 4 ай бұрын
Huu ni mtihan sasa ajira zinaenda Kwa masanamu sasa wakat majumba wasomi wamejaa tele hawana ajira jee kwenye nafasi hii wange waajiri watanazania hata mm naitaka nikaribishe watu na kuwapa mikon ili mwisho wa mwezi nipate chochote 😢😢😢
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 ай бұрын
Kumbe we ushaelewa kama mm.Tunaanza kuzoeshwa mapema.Badae ajira zote zitafanywa na maroboti
@pulikisia7963
@pulikisia7963 4 ай бұрын
Duh!! Ndio unanifungua macho yani Dah!!
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 ай бұрын
@@pulikisia7963 Huko tunakoenda ni kubaya zaidi.Mungu atusaidie Watanzania 😪
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Vijana ajira hakuna mnaleta upumbavu huyo kasha beba ajira ya mtu😢😢😢
@NickisonEvarista
@NickisonEvarista 4 ай бұрын
Sasa hiyo roobt ya kaz gan yan watu wasomi kabis lakn akili kam za watu ambao hawajasoma 😢😢
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 4 ай бұрын
Wasomi lakini akili kisoda, watu wanakufa maospila mnaooteza hela kumlipa mzungu kuwatengenezea ufyuz,, Rip jpm😢😢
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 4 ай бұрын
Kweli kabisa maneno yako
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 4 ай бұрын
Utopian conservative theory has to come to an end, you people, you need to understand that everything has two sides negative and positive, the perfect on is ONLY THE ALMIGHTY ALLAH, you need to adjust yourself from anthropological concepy and beliefs, the World is not standing still, it always moves and you have to move on, otherwise you will stand still as you are
@danielishachiluge8301
@danielishachiluge8301 4 ай бұрын
Umesema ukwel
@NassourBimkubwq
@NassourBimkubwq 4 ай бұрын
Inasikitisha kweli Hawa mayahudi tusipokuwa makini watatupoteza
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 4 ай бұрын
@@NassourBimkubwq kabisa Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab
@aziza9093
@aziza9093 4 ай бұрын
Mnaacha kufunya mambo ya wanaichi mnatuletaa upuuzi
@levinaernest4364
@levinaernest4364 4 ай бұрын
😄😄😄😄
@mayaally4068
@mayaally4068 4 ай бұрын
Eunice kavaa nguo za heshima
@doreenmsafari2945
@doreenmsafari2945 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@DevotaMachite-io9nk
@DevotaMachite-io9nk 4 ай бұрын
​@@mayaally4068😂 miguu sasa inabidi avaehivyo
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 4 ай бұрын
Mnapotea njia mkiwa mnaona kabisa mnatuletea aibu
@robikachembeho5284
@robikachembeho5284 4 ай бұрын
Aisee JEHOVAH aturehemu Tanzania tunakoelekea sio sahihi kabisaaa.
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 4 ай бұрын
Mimi n Bwana Mungu wako usiabudu miungu mingine Wala kuitumikia kwakua Mimi Bwana n Mungu mwenye wivu,napatiliza Wana Maovu ya baba zao.tubuni tubuni tubuni Tanzania,msifikiri Mungu amekufa Kama nyie,na mizaha mnayomfanyia hakika mtalipwa,kiburi Cha pesa kisiwadanganye hata shetani alikuaga Lucifer kwaiyo nenda taratiibu Tanzania kubali kuongozwa na Yesu Kristo, Mungu atuhurumie Sana.
@islamyasin7203
@islamyasin7203 4 ай бұрын
Watu ambao tunawategemea nchini hao wametoa pesa mingi Kwa kitu ambacho akina manufa nchini
@carlosmzena548
@carlosmzena548 4 ай бұрын
Nchi ya ovyo sana hii Hawa ndio tunawategemea 😅
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 4 ай бұрын
😂😂😂😂 Yaan
@TatuCharles-f5m
@TatuCharles-f5m 4 ай бұрын
Wengine tumekosa mkopo tunaambiwa hela hamna watu wanakatisha masomo kumbe mnatengeneza robot 😭😭😭😭daah hii nchi ngumu sana
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Na Wewe umesoma Nini Hilo Ni sanamu unaamini Ni roboti😂. Wameuziwa mkenge watupumbaze
@malietamaliet
@malietamaliet 4 ай бұрын
😢😢😢nchi yangu Tz watu wasomi Awana kazi wapo vijijin baada ya kuwasajili mkatengeneza robot aina ata matako
@JosephMroki-gg9nc
@JosephMroki-gg9nc 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Hilo sanamu Ila Kwa kuwa binaadamu mweusi kaanzia kima 😂😂😂, acha tu watupumbaze
@obrigadoofficial1506
@obrigadoofficial1506 4 ай бұрын
Bunge tukufu la Tanzania linaheshimika Sana na Wabunge wamebeba dhamana kubwa sana ya kwenda kuwasemea wananchi wao na kuwaletea maendeleo kwenye miji na mitaa yao swali langu jeee robot hili ni kwaajili ya nini kwenye bunge letu tukufu....? Mungu ibariki Tanzania.
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 4 ай бұрын
Ni ghalama Sana si ajabu
@SaraMathew-xd2vp
@SaraMathew-xd2vp 4 ай бұрын
Ni maajabu san hii nchi imefka hapa sasa inchi inapotea . Hyo ni mbinu ya upelelezi ya wazungu wanataka kuitawala ten Tanzania. Maana mambo yote ya nchi yanayojadiliw bungeni uyo robot atayajua je icho si kifaa cha wazungu. Wanaleta robot alafu wanasema inch aina income. Kwel tutamkumbuka magu
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 4 ай бұрын
Hiyo inaitwa teknolojia...ndiyo uliyotumia kutuma maneno haya mtanaoni...ndiyo anayotumia mmarekani na mchina kuitawala dunia...ndiyo anayotumia mrusi kumpiga Ukraine, ndiyo anayotumia Iran dhidi ya Israel...na sisi tunawakimbiza...SEMA alaaaaaaaa, kumbe mimi mjinga, sikuwa najuwa umuhimu wa technology!
@rehemayona2223
@rehemayona2223 4 ай бұрын
Alafu wanachekelea to baada ya kuwa saidia wanachi
@nellywizz9631
@nellywizz9631 4 ай бұрын
Dah unaongelea nini?​@@thefinalstand2022
@LouisianaRiri
@LouisianaRiri 4 ай бұрын
Kubababakee iyo ni Copy tu/ iyo robot ya mchongo inachua kingereza tu: inatumia Uwezo wa Google yani apo walichofanya ni kuiwekea Bando tu hamna mtaalam
@fadhilimbotela1049
@fadhilimbotela1049 4 ай бұрын
Tunakoelekea ni kubaya sana watanzania hii bajet ingetumika ata kwenye vituo vya mayatima wakasoma hata kwa kodi zetu kuliko huu upuuzi
@bahatibushiri1610
@bahatibushiri1610 4 ай бұрын
Wajinga sana nyie munajichekesha km mazuri
@MamuMamu-u4c
@MamuMamu-u4c 4 ай бұрын
Ujinga wa mwisho huu robot halifumbuw mdom moja pili hizo pesa mlonunua hilo katuni mgenda kununua dawa mkajaza mahosptali au hizo pesa mgetoa kweny vituo vya watoto yatiam na kina mam waso jiweza ah
@abednegomawalla8747
@abednegomawalla8747 4 ай бұрын
Mungu tusaidie Mambo ya ajabu sana!.Tunaacha kuwajali watu tunaangalia vitu vya ajabu ambavyo naona tu mkono unakwenda na kurudi!.
@FatumaMuya
@FatumaMuya 4 ай бұрын
😂😂😂
@JasmineMasiga
@JasmineMasiga 4 ай бұрын
Adi linatia kichfchfu😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Si tunachezea sanamu 😂, Yaani wazungu washawapumbaza watoto Kwa masanamu Na SASA tunaletewa watu wazima tuchezee sanamu😂😂😂. Huku viongozi WA kupambania nchi wamedanganywa ati ilo ni roboti 😂😂😂. Wabunge Kama mtu Hana master Bora asipewe nafasi maana naona wanatupumbaza Kwa ujinga walio Nao. VIPI SIE KIMA WA AFRICA TUSITAWALIWE?😂😂😂
@MichaelLinda-vd8rx
@MichaelLinda-vd8rx 4 ай бұрын
Hili bunge la mchongo ndo wanavoingiza mabomu ya milipuko nchini
@khamisswalehe
@khamisswalehe 4 ай бұрын
ALLAH NI MKUBWA HAYO MASANAMU HAYAWEZ KUFANANISHWA NA VIUMBE
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 4 ай бұрын
Hiyo inaitwa teknolojia...ndiyo uliyotumia kutuma maneno haya mtanaoni...ndiyo anayotumia mmarekani na mchina kuitawala dunia...ndiyo anayotumia mrusi kumpiga Ukraine, ndiyo anayotumia Iran dhidi ya Israel...na sisi tunawakimbiza...SEMA alaaaaaaaa, kumbe mimi mjinga, sikuwa najuwa umuhimu wa technology!
@kombidin..2583
@kombidin..2583 4 ай бұрын
😂​@@thefinalstand2022
@alexchamy2289
@alexchamy2289 4 ай бұрын
Acha ujinga. Kama Kuna Mungu basi jua Kila anachoweza kufanya mwanadam kakiruhusu. Kuna vitu ambavyo asili hairuhusu mwanadam kuvifanya kama kusafiri kwa Kasi ya mwanga na kujua muustakabali wa chembe ndogo kama electron.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 4 ай бұрын
​@@thefinalstand2022 Elewa mada,hapa kinachojadiliwa ni matumizi bora ya pesa ya walipa kodi,siyo kukataa teknolojia. Hapa tulipo tuna madeni lukuki na tunatakiwa kulipa,halafu hiyo pesa unayokopa unaitumia kwenye vitu ambavyo havitazalisha, hapo hapo tuna uhaba wa ajira,vijana wetu wahitimu ni wengi na kazi hamna halafu unaleta robotic- technology? Hizo nchi zenye kutumia robotic- technology kwenye uzalishaji zimeisha jitosheleza kiajira.Kuweni welewa na muangalie maslahi ya nchi kwanza.
@kuyengamoris4140
@kuyengamoris4140 4 ай бұрын
MAGUFULIIIIIIIIIIIII😢😢😢😢😢😢 WAPI BABA NJOOOO UONE VIJANA ULIYO WACHA WANACHO KIFANYA HAPA DUNIANI
@mwangosikennedy9643
@mwangosikennedy9643 4 ай бұрын
Wanafanya mambo ya kipumbavu sana, ee Mungu tuanagalie sisi waja wako maana hatujui nchi yetu inaelekea wapi... Magufuli baba amka amka amka uone yanayojiri maana hukuacha upumbavu huu uliacha maendeleo ya nchi kwa asilimi kubwa...😢😢😭
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 4 ай бұрын
Kwa nn halijaitwa sami.. na likaitwa Eunice?? Na veep linafaida gani ktk taifa letu?
@nabiilucas8576
@nabiilucas8576 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 4 ай бұрын
@@nabiilucas8576 usicheke maana kuna vitu vinafikirisha sana
@NgukiJulius
@NgukiJulius 4 ай бұрын
Jaman jaman inaniuma Sana, Vijana tunahangaika mtaani hatuna Ajira, halafu kazi ambayo tungefanya sisi wanapewa Robots! How comes? Kuna maana gani ya kusoma ICT ikiwa Kuna Robot wa kufanya kazi hiyo! Mbona inauma Sana jaman Watanzania? Tanzania Ina Watu weng na Wenye Elimu ya kuendesha kazi au mifumo mbalimbali bila kutumia Robots, Nchi za Ulaya Zina watu wachache that's why wanatumia Robots as an alternative way..... Kwa Hali hii ya Robots Hakuna haja ya kuendelea Kuongeza Wasomi wa kada mbalimbali, Tuwe na Wasomi wachache tuu kuliko kuwa na Wasomi Maelfu wanaohangaika mtaani😢😢 Eee Mwenyezi Mungu tusaidie kwa hili🙏🙏, tunakoelekea ni kubaya Sana tena Sana! 😢😢😢 #Nchi yangu Tanzania!
@SamsoniRuhasha7
@SamsoniRuhasha7 4 ай бұрын
Robot limetengenezwa VETA 😂😂
@majumaatieno5640
@majumaatieno5640 4 ай бұрын
Si mngenipa iyo kazi..nifanye kazi ya kukaribisha wabunge badala ya kumpa roboti ..hata akiuliza swali zingine hawezi jibu😂😂 swali kama😂😂😂...nasema ..roboti zisivuke mpaka 😂😂
@TwahaKahatan-pt9hg
@TwahaKahatan-pt9hg 4 ай бұрын
Ndo mjuwe yakuwa sio kila anaefunga tai anaakili timamu. Huu ni ugonjwa wa mwisho na WA juu zaid kutokea karne 21 unasalimia SANAMU
@johnsonphilliminus4199
@johnsonphilliminus4199 4 ай бұрын
Wengi naona mnaponda na mna complicate sana. Hii ni technoligia tu na wale waliosoma au wanaotegemea kwenda kusoma Computer Science watakutana na hii course inaitwa *Artificial Intelligence.* Ni kitu cha kawaida kabisa na wala hamkutakiwa kwenda Far na kuona watu kama wanamtukuza robot, wanamkufuru Mungu au wametumia pesa katika vitu visivyofaa. Tufike mahali tuwe wachunguzi wa mambo bila kuropoka na kuongea vitu msivyovijua
@thereziaaloyce3430
@thereziaaloyce3430 4 ай бұрын
Roboti ni mbadala wa mtu, wenzenu wanatengeneza roboti idadi Yao ni ndogo kufanya Kazi , hakuna sababu ya roboti Tanzania, bunini teknolojia kwenye maeneo mengine siyo kuigaiga tu mnasingizia teknolojia. Halina maana Hilo roboti hapoo
@Melchizedek_
@Melchizedek_ 4 ай бұрын
Unatengeneza robot na hakuna hospitali watu wanasafiri umbali mrefu wanafia njiani, hakuna vifaa tiba watu wanafika hospitali na hawapati huduma wanakufa, barabara mbovu ajali kila leo watu wanakufa. Unawekezea kwenye mdoli ambae anasema hajawa trained kwenye kiswahili anaulizwa kwa kiingereza halafu anajibu kwa kiswahili. Hayo mambo unayosema tuchunguze, haina haja ya kuchunguza kama unashindwa kusolve mambo yaliyohadharani, unahangaika na mambo ambayo hatuhitaji.
@annamussa185
@annamussa185 4 ай бұрын
Eunice yuko na English nzuri kawazidi mpaka wakenya na English yao Kama chapooo😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@HappyHiker-nz9vg
@HappyHiker-nz9vg 4 ай бұрын
Wapi.. magufuli mungu akuhifahdi inshallah 😢😢😢😢😢
@dubai8594
@dubai8594 4 ай бұрын
SHETANI NI MBAYA SANA SASA NINI HIKI YAANI NI ZAIDI YA UPUMBAVU
@NdageKitahama
@NdageKitahama 4 ай бұрын
Hivi kweli Hawa ndio wabunge wetu kweli tutamkumbuka magufuli hivi ni vichekesho hivi kweli mnachukua Kodi zetu mnaenda kununua upuuzi hiyo sanamu inasaidia nn hapo bungeni naona hamjui Hali ya watanzania maskini mnashiba Hadi mmejisahau ndio maana mnachukua pesa za watanzania mnaenda kununua huo upuuzi hata mungu kakataa kuabudu sanamu Leo sanamu mnaikeka ndani ya bunge mungu anawaona mwisho wake utafika
@Ejbl3zt
@Ejbl3zt 4 ай бұрын
Technology sawa ila upuuzi badala ya kuwawezesha vijana wa Tz wakaboresha katika ubunifu mpo nmashangaa robot
@Datius-z5o
@Datius-z5o 4 ай бұрын
MTukuzeni Bwana Mungu Wetu kwa uhumbaji wake hacheni kumkosoa hiyo furaha mnayoionyesha kwa huyo sanamu mungekuwa munaionyesha kwa mnaowahudumia Mungebarikiwa sana na Bwana Yesu.
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 4 ай бұрын
Ndugu yangu umenena mambo makubwa sana ubarikiwe, ndio siku za mwisho hizi Biblia haijadanganya
@Datius-z5o
@Datius-z5o 4 ай бұрын
Barikiwa sana Dunia hii hipo ukingoni kabisa lakini bado watu wanakimbizana na ulimwengu Badala ya kumtafuta Bwana Yesu
@SaraMathew-xd2vp
@SaraMathew-xd2vp 4 ай бұрын
Taifa limepata maafa ya mafuriko wananchi awana makazi wanaleta roboti sasa linatusaidia nn . Alafu wanataka kupigiwa kura
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 4 ай бұрын
Hiyo inaitwa teknolojia...ndiyo uliyotumia kutuma maneno haya mtanaoni...ndiyo anayotumia mmarekani na mchina kuitawala dunia...ndiyo anayotumia mrusi kumpiga Ukraine, ndiyo anayotumia Iran dhidi ya Israel...na sisi tunawakimbiza...SEMA alaaaaaaaa, kumbe mimi mjinga, sikuwa najuwa umuhimu wa technology!
@kwangahudispensary7238
@kwangahudispensary7238 4 ай бұрын
​@@thefinalstand2022akili za hovyo sana hizi,,,je umepata vyote vya muhimu hd kufika huko?
@Sebastianmichael-v9x
@Sebastianmichael-v9x 4 ай бұрын
Hapa Nala Kuna Viwanja Zaidi ya 5000 vimepimwa Toka 2018 Hadi Leo 2024 Kwamtazamo ukipaangalia kama hapajapimwa kisa barabara hazijachongwa Tukiuliza Tunaambiwa Mashine Zipo HAZINA MAFUTA Sisi Wanachi tuchange Hera ya Mafuta tuchongewe hizo barabar Swali Je Huyu Roboti Amegarimu Bei gani? Kwann hio hera Tusichongewe Barabara za mitaa???
@marychuwa8159
@marychuwa8159 4 ай бұрын
Yaani wanapigia makofi kweli kazi tunayo
@remmysbrand
@remmysbrand 2 ай бұрын
Kweli nchi inaongoza na watu wenye akili nyingi..... Do you speak English??? Hilo ni livuvuzela la kitangaza mitumba limerekodiwa likavalishwa kinyago! Hii creativity iliyojaa ubabaishaji imetoka Kwa Nani?? Limegharamiwa bilioni ngapi Hilo?😅😅😅
@josephjamesdagharo
@josephjamesdagharo 4 ай бұрын
Binafsi sijaelewa bunge tukufu ni jengo au wabunge ndiyo wamejipa utukufu? Badala ya MUNGU kwa anayefahamu vzr
@michaelhancy6759
@michaelhancy6759 4 ай бұрын
Kasome historia ya mapunduz ya ulaya ndio utaelewa aya mambo
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 ай бұрын
​@@michaelhancy6759non sense!
@michaelhancy6759
@michaelhancy6759 4 ай бұрын
History aidanganyi mna akuna jipya dunian
@yusuphmalonja
@yusuphmalonja 4 ай бұрын
Mnapoelekea itabidi wabunge wachaguliwe wengine maana sidhani kama kuna kitu cha umuhimu hapo zaidi ya kuchezea pesa za Watanzania wanaoteseka nyie mnanunua toy ambalo halina mchango wowote katika maendeleo
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 4 ай бұрын
Wabunge ni wapumbavu kama wapumbavu wengine tu ....na mnaingizwa kwenye kundi la hao walioingilia kazi Allah katika uumbaji kufuru imepewa jina zuri kwamba ni teknolojia ila teknolo kiama itafika ... ALAAH ATUONGOZE KATIKA KUTENDA MEMA NA ATUJAALIE KUWA NA MWISHO MWEMA
@piusmapunda5900
@piusmapunda5900 4 ай бұрын
ZABURI 1:1 - 2 1 Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. 2 Bali sharia ya BWANA ndiyo impende zayo, na sheria yake huitafakari mchana na usiku. MINAZI 1:7 7 Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 4 ай бұрын
Kama mungu aliwaazibu wanadamu kwakuaabudu Masanamu vipikuhusuhuu ujingatuno ushadadia ndiomaa mwakahuuMajanga nimengi Tusamehemungu usituazibu kwaujingawawatuwachache
@ChristinaGomisi
@ChristinaGomisi 4 ай бұрын
Kabisaa yani wamethamini marobotii kulikoo watu Magu wetu wetu aamkee aonee nchii ilivyotekwaa uwiiiii
@Prosperkisama
@Prosperkisama 4 ай бұрын
Sina la kuandika ila Kwa atakaye soma hii post na kuangalia video hii ajue kuwa Dunia sio salama na hiyo ndio mifumo ambayo Kwa Sasa watu wanacheka bila kujua madhara yake na wapi inapeleka Dunia. LENGO NI KUJA KWA MAMLAKA YA KUMPINGA KRISTO.
@jazilambaji2789
@jazilambaji2789 4 ай бұрын
Limeukizwa how are u?nalo linasema habar ya asubuh mheshimiwa mbunge,,upuuz mtupu lime karirishwa kwenye hizo spika
@Theo-r4l
@Theo-r4l 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@Teddy-z4i
@Teddy-z4i 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@HashimYahya-cl3tx
@HashimYahya-cl3tx 4 ай бұрын
😂😂😂😂 Kweli kabisa yani ni ujinga usio na kifani
@lmpinga
@lmpinga 4 ай бұрын
Acheni kupoteza pesa za walipa kodi KUNA MAMBO MENGI YA KUFANYA KWA AJILI YA MAENDELEO YA WANANCHI MASIKINI
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or 4 ай бұрын
Mbona mbaya na kichwa chake kama gongonada
@mariammulumba2489
@mariammulumba2489 4 ай бұрын
😅😅😅😅
@icclcharters3389
@icclcharters3389 4 ай бұрын
Euinice anazingua,Lipo programmed sio kama marobot ya wenzetu,Mi nadhani tuendelee na SUALA LA NYUSI,Nani aliedesign mbona kama hana uhalisia wa kitanzania?Na mbaya zaidi bado kanajifunza kiswahili na akiongeleshwa english anajichetua kwenye bajeti😂
@DhulkifliMkiji
@DhulkifliMkiji 4 ай бұрын
Uongozi sio vyeti tu hekma pia iwepo
@noninmaduhu3476
@noninmaduhu3476 4 ай бұрын
Ila hawa wabunge wanatuona wananchi ni mazwazwa haswaaa eee
@ChristinaGomisi
@ChristinaGomisi 4 ай бұрын
😢😢😢
@leejems142
@leejems142 4 ай бұрын
Vijana mtaan hatun kaz mnafany mamb yas na maan mnazib rizk za wat mungeniwek mm je ap ingekuaj
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 4 ай бұрын
Yaan dunia ndio inaenda huko wewe kama huna kazi pambana
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 4 ай бұрын
Inasaidia Nini Kwa mfano au ndio maendeleo ya Tanzania Kwasasa waziri mzima na akili zako duuu aibu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Hapo lishachukua ajira ya mtu 😢😢😢😢😢😢😢
@HidayaHamisi-q4l
@HidayaHamisi-q4l 4 ай бұрын
Upuuzi mtupu 😢yaani akili zao ziko ovyo kabsa kama wehu
@chidi_don
@chidi_don 4 ай бұрын
Dah sio poa kabisa yani sio poa 💯
@MosesLubely
@MosesLubely 4 ай бұрын
Wabunge wetu.mna PhD ila akili 0 mh masikini nch yetu
@avocadomatala2883
@avocadomatala2883 4 ай бұрын
Wabunge wanaongea na maroboti ndio maana hata bungeni wanaongea upuuzi kumbe Wana akili ya kiroboti robot tu Mungu tusamehe sana
@MonaLis418
@MonaLis418 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
Yaani upuuzi kweli 😂😂😂
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 4 ай бұрын
Mtu Uliesoma Na Kupata Cheo Cha Kutumikia Watu Na Watu Wanaitaji Elimu Yako Itumike Kwao Kama Azina Kwao Leo Hi Wanatoka Wazungu Na Kuleta Ujinga Kama Uo Nanyi Mnajaa Apo Wasomi Wakati Mambo Kama Ayo Yapelekwe Kwa Watoto Wacheze Nayo Midoli Iyo Hi Hatar
@hoseakavubu2844
@hoseakavubu2844 4 ай бұрын
Nafikiri kuna shida sehem
@jacobezekielhoya1626
@jacobezekielhoya1626 4 ай бұрын
SHIDA SIO NDOGO,, NI KUBWA
@jacksonmtazama2821
@jacksonmtazama2821 4 ай бұрын
Mlifikili tutawasifia mnapoteza ela kwa mambo ya hovyo robot hamjampa tention yoyot hapo maneno yanapishan anafikilia san hzo pesa simngepeleka shulen kuwatunza watoto wakike kwakuwa stili na peds......Yani daah RIP JPM
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 4 ай бұрын
Upuuzi mtupu hakuna la maana
@jimmypicks9248
@jimmypicks9248 4 ай бұрын
So sad, mbona typical machine, atleast ingekuwa human bodied kama za Elon musk ningesema kitu nice, but what is this? Kwan hatujui hiz machine jmn? EEH! EEH !
@aliissahaji33
@aliissahaji33 4 ай бұрын
Yaani watu wanakuga njaa huku mitaani, haya Mungu anaona yote hayo.
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 4 ай бұрын
Unataka tukuletee chakula au pambana
@ChristinaGomisi
@ChristinaGomisi 4 ай бұрын
Wanatutozaa Kodi kibaoo umeme hakuna mara maji hakuna vijijini watu wanakunywa maji pamojaa na ngo,mbe na fisi mara wawafutiee wanchuo bumu afuu ujingaa ndo huoo afuu mtegemee watu waajiliwee heeeeeh heeeh
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 4 ай бұрын
HUKO WENZENU WALISHA HAMA SIKU NYINGI. JITAHIDINI KUBUNI VYA KWENU KULIKO KUIGA IGA. FUFUENI KILIMO NA VIWANDA VIDOGO VIDOGO, PANUENI ELIMU YA MAFUNZO STADI ( VETA) KULIKO KUHANGAIKA NA SOFISCATED TECHNOLOGY. TANZANIA HATUJA FIKA HUKO. JAMII YETU 90% NI MASKINI.
@avituskatunzi1180
@avituskatunzi1180 4 ай бұрын
Yaan baada ya kufanya mambo ya maendeleo mnadili na Midori tupeni faida ya iyo lobot😢😢
@FahymaIsmail-m4q
@FahymaIsmail-m4q 4 ай бұрын
Litakuwa linafanya operation eti mloganzila😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@FahymaIsmail-m4qwewe acha utani bac😢😢😢😢😢😢
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
U​@@FahymaIsmail-m4qhuu upuuzi mtupu hii ni kucheza pesa
@thereziaaloyce3430
@thereziaaloyce3430 4 ай бұрын
Wenzenu wanatumia robotii kwa sababu idadi yao ni ndogo kazi nyingi. Mnaiga mambo ya maroboti huko ni kupoteza muda na pesa zetu wananchi. Kwani mmekosa mtu wa kuajili mpaka mnajiundia masanamu na kuyapigia makofi, wakati watu halisia hamwapongezi hata kwa kidogo wanachofanya ila dude la kutengeneza binadamu mnalishangilia. Endeleeni kushangilia kila kitu mnacholetewa hadi siku mkinyanyuliwa kwenye viti vyenu myaache maroboti yaendeshe vikao ndo mtajitafakari upya. Mnachokishangilia ni cha maana au siyo. Stop imitating each and everything. Hiyo teknolojia yenu ileteni kwenye shughuli halisi za mtanzania hasa mkulima apate unafuu wa kulima. Na siyo kutengeneza madudu ya kuwapokea hapo
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 4 ай бұрын
Kuanzia leo nimewashusha daraja mnazingua mnatumia vibaya kodi zawatanzania
@christinamgeni9228
@christinamgeni9228 4 ай бұрын
Baadae mnasema tunaongea mambo ya ajabu balabala hazitengenezwi mnaleta midoli na nyie mnafurahi kweli MUNGU ANAWAONAA Sema baba yangu hayupo bungeni
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 4 ай бұрын
Mnacha mambo ya msingi mnatumalizia Kodi zetu kwenye ujingaaa
@Magdalene-er2ur
@Magdalene-er2ur 4 ай бұрын
Kwa hiyo mmetuletea robot na mnamchekelea wananchi wakiendelea kuteseka nyie mnanunua robot anayewakaribisha kwenye hutuba zenu.yaani sijui nisemeje niridhike.sisi wengine hata barabara hazipitiki watu wanachekelea robot eti teknojia.magufuli amka ujioneerobot😢😂
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 4 ай бұрын
Yaaaani ina faida gani sasa me sijaelewa na haijavutia
@nkelyasahani5090
@nkelyasahani5090 4 ай бұрын
😊😊8i😊😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 4 ай бұрын
Hebu Naomba Waziri atwambie kazi kubwa atakayokuwa anafanya huyo roboti maana mpaka sasa hatujaambiwa Alafu hiyo fedha iliyotumika kununua hiyo robori zingetumika kuwajengea uwezo vijana wetu wawezekutengeneza hizo roboti.ili tuweze kujivunia wenyenywe badala yakununua
@christomlyezia
@christomlyezia 4 ай бұрын
Millard Ayo,,,Nitafurahi Sana ukizionesha hizi Comment kwa Baadhi ya mitandao.🤣🤣🤣
@EbiaElton
@EbiaElton 4 ай бұрын
Haieleweki kabisa ni ujingaaa huuu
@leonardyona1462
@leonardyona1462 4 ай бұрын
Robot uchwara, hili ni roboti la miaka ya 90 limetupwa huko baada ya kumaliza research tumeletewa bungeni, kweli kaazi kweli kwel..
@PauloLeonard-ol5oo
@PauloLeonard-ol5oo 4 ай бұрын
What is the reason for this robot to be at the Parliament? Hakuna vitu vyakufanya sikuizi wakati wa magufuli mawazili na wabunge walikua bize xana sio sikuizi wanapata muda wakupiga picha na robot.
@lucymtui8680
@lucymtui8680 4 ай бұрын
Ndo matumizi ya Kodi zetu😢😢
@RamadhaniOmary-z3p
@RamadhaniOmary-z3p 4 ай бұрын
Hahahahaha
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 4 ай бұрын
Watu wazima ovyo ndio iyo
@isayashayo4777
@isayashayo4777 4 ай бұрын
😂😂😂 waheshimiwa wanashangaa kitu kilichojengwa na mwanafunzi alieishia la tatu 😂😂😂😂
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 4 ай бұрын
Kwenye milioni 50 hapo ndo panapo niumiza Tanzania tutaendelea lini? Mbona tunaiibia sana nchi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 ай бұрын
Soon hii nchi itakuwa skeleton 😢😢
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 4 ай бұрын
Na ukute ni mihela mingi imetumika !!!!!
@hassanadam2708
@hassanadam2708 4 ай бұрын
Subiri kwanza tuje kutega sikio kwa CAG
@christianchando7041
@christianchando7041 4 ай бұрын
Wenzenu wanawatumia hao robot viwandani kwaajili za kuzalisha mali. Nyie mnanunua roboti kwa gharama kubwa kwaajili ya maonyesho tu?? Nape unafeli wapi?
@samiusiraj4587
@samiusiraj4587 4 ай бұрын
Naona bunge limegeuzwa sehem ya ,kulelea wa toto sasa maana uyo mdori siyo mchezo 😂😂duuh!😂 Basi na sisi watuletee makatuni tukachezenayo😂 maan wakuu kama wameanza tuletewa midori nasisi tujiandae kupokea makatun🤣🤣😂🫡
@PendoPogwa
@PendoPogwa 4 ай бұрын
Hii nchi kwakwel Sasa watu tunasoma ili iweje? Na Mungu alipoumba watu aliamin tunaweza kla ktu jaman ktk yeye atutiae nguvu.wenzetu wanafanya hayo kwa sababu wameshajipata jaman tujihurumie mda mwingine
@EnockAdam-h1l
@EnockAdam-h1l 4 ай бұрын
Wabunge hivi kweri mnahakili Mungu ichukue tu tz hata utuwe wote tu...mm naumia malipa kod halafu upuuzi kama huu ndio hununuliwa then mwaka huu first year tumepewa asilimia 18 za ada hivi hii pesa si bora watuongezee
@fadhilisule
@fadhilisule 4 ай бұрын
sasa robot anajifunza kiswahili kha!! katokea wapi kwani uyo ,havichelewagi ivo kitageuka kijini kianze sumbua watoto wetu mkifungie na minyororo kisituletee balaa sisis
@MaheHema-cr9px
@MaheHema-cr9px 4 ай бұрын
Changamkeni ×4wakristo na wananchi maana taifa laenda kuanguka maana maovu yetu yamefika mavhoni pa mungu,tuwaomnee wasimamizi wetu rehema maana hatujui wanakotupeleka,mungu turehemu,tusaidie
@MaheHema-cr9px
@MaheHema-cr9px 4 ай бұрын
Changamkeni ×4wakristo na wananchi maana taifa laenda kuanguka maana maovu yetu yamefika mavhoni pa mungu,tuwaomnee wasimamizi wetu rehema maana hatujui wanakotupeleka,mungu turehemu,tusaidie
@diamondplatnumz5598
@diamondplatnumz5598 4 ай бұрын
hilo robot linaongozwa na mtu kwa sim yupo hayo maeneo yan ameconnect kama bluetooth haraf anatype maneno kwenye sim huku linatoa saut tu daaaah tumepigwa paakubwa😂😂😂😂😂😂
@ValerianaKilumile
@ValerianaKilumile 4 ай бұрын
Wapumbavu wakubwa mutatuingiza kwenye mikataba ya kishetani hivi hivi naserikari ndiyo malimbukeni wa kilakitu lakini sishangai kwasababu yametabiliwa serikali mtakuwa namba Moja kutuingiza kwenye freemason
@edithminja4282
@edithminja4282 4 ай бұрын
Hivi na shida zoooote, na vijana wengi wasiokuwa na ajira, wananunua robot badala ya kutoa ajira. Viongozi acheni kufurahia ujinga! Ooooh! Tanzania yetu
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 4 ай бұрын
Wacha tuwangalie wasomi wetu manako tupeleka lakini nchi hii tunashida nyingi kuliko sijui Kama iki kipao mbele kinamsaidia mwananchi mwenye shida Zaid yafulaa kwawenye nacho mungu ibaliki Tanzania rakini twaomba fikra zakusadia wasio jiweza nawenye shida mbalimbali wapate kutatuliwa haja zao
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 4 ай бұрын
Msijasahaulishe thamani ya robot haiwezi fikia thamani ya binadamu maana naona mnalisalimia kwa heshima na kutitisha tuone ni kitu cha ajabu,robot lenyewe ni kazi ya mikono ya mwanadamu MUNGU aendelee kuheshimiwa
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 4 ай бұрын
Hawa ndo wasomi wetu, tutafanyeje sasa, robor linaongelea mbavuni, kwa wenzetu linaongelea mdomoni, wallah mambo mengine ni aibu kumanina
@rithaurassa
@rithaurassa 4 ай бұрын
Mtukuzeni muumba wenu achen kabisa.Afrika sasa tunaelekea mwishowakupoteza maadili yetu kabisaaa.Na ndio kitu kilichotokea hapo.
@TulamonaMbutwa-xk2yr
@TulamonaMbutwa-xk2yr 4 ай бұрын
Mtuajili watanzania wote ndio muanze kuleta hayo....tupo mtaani miaka nenda rudi leo muanze kuleta robot aje afanye kazi ya mtu ambaye hana kazi tena....basi mtuonee huruma nimechoka kutembea na bahasha waleta robot
@bushbabytz
@bushbabytz 4 ай бұрын
UPUUZI KABISA MIBUNGE MIJINGA INAONGEA NA MDOLI HAKUNA KITU CHOCHOTE HAPO UJINGA KABISA LI ROBOTI LENYEWE NINACHAPIA LIMEJAZWA UJINGA TU HAKUNA KITU HAPO
@PeterJohn-sg4oe
@PeterJohn-sg4oe 4 ай бұрын
Wajinga wengi hapa wanakosoa, eti siku za mwisho, kila kitu siku za mwisho, Acha ujinga unaposema siku za mwisho wenzako wanakimbia katika maendeleo na mafanikio, wewe utaanza kutumia technology wakati wenzako wako mbali sana
@saracosmas2548
@saracosmas2548 4 ай бұрын
😂😂😂kwahiyo hii ndo kazi ya kura za wananchi jmni. Hiyo hela ya kuleta hiyo roboti mngekarabati hata barabara za Singida jamni. Mwakani mtalia na kusaga meno mkiwa mnatafuta kura kwa wananchi🤣🤣🤣
@zondomartine
@zondomartine 4 ай бұрын
ifike muda tujue kutofautisha roboti na Mdoli,huu ni ujinga Mwingine,Vijana ajira Hakuna mtaani mahangaiko pesa mnanunulia Makorokoro.
@humphreykiwia9814
@humphreykiwia9814 4 ай бұрын
Mi naomba kujuzwa,hilo roboti limenunuliwaaaa au ni mmoja wa mtanzania kalitengeneza?kama limenunuliwa je nilakazi gani?mmmm kweli kuchamba sana mwisho.....😢
@madaniel9290
@madaniel9290 4 ай бұрын
Hizo pesa zingepelekwa Hosp kuokoa maisha ya watu walio letwa na MUNGU watu na akili zao timamu wanashabikia huo upuzi tukazane kuzaa inch yetu isitawaliwe na maroboti
@victormbagga1821
@victormbagga1821 4 ай бұрын
LinLipwa mshahara au ndio mshahara wa mtu likanunuliwa likae jaman mtanzania mmoja ana uwezo wa kuongea ayo iweje...mi naona fikirin zaid kwanini wenzet wanalo na sababu ni nini. Japo ni technolojia...ila imemnyima mtu fursa ya ajira hapo .halikai bure hapo
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 4 ай бұрын
yaani rais wa hovyo huyu hajawahi tokea dunian kote wananchi wamemaliza vyuo kazi hawana unaenda poteza matillion kwa ajili ya kumkufuru Mungu kwa lisanam jamani angetoa hizo pesa wajengewe nyumba waathirika wa mvua na vyakula na dawa mahospitalin nasio kuchezea pesa za watanzania hivi 😢😢😢
ROBOTI KUBWA LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G
9:54
Wasafi Media
Рет қаралды 393 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 11 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 54 МЛН
129th IOC Session - Keynote speech by Professor Muhammad Yunus
1:26:36
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,4 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 11 МЛН