FRIJI BOVU : AZIZ KI AFUNGUKA SABABU 5 ZILIZOMFANYA ASAINI MIAKA 2 YANGA | GSM NA KUFURU YA PESA

  Рет қаралды 28,137

Data Sports Tv

Data Sports Tv

19 күн бұрын

Пікірлер: 57
@DenisMsanzya-kc7bv
@DenisMsanzya-kc7bv 17 күн бұрын
hongera sana azizi k kipenzi chetu wana yanga
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 17 күн бұрын
Aziz ki ni Mwamba Sasa tutaonasoka hiii kiboko sana Sasa Tanzania tunaona mpira mkubwa sana
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 17 күн бұрын
Sisi wananchi hatuna jambo dogo! Sasa waambieni pamoja na huyo friji kichaa Azizi Ki miaka 2 !!!!
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 17 күн бұрын
Azizi Ki safi Sana!
@AllyBardan
@AllyBardan 17 күн бұрын
Azizi ki anajua umahiri wake unahitajikuongezeka nalengola azz ki nikucheza ulaya
@sportsdatatv
@sportsdatatv 17 күн бұрын
ooh kabaki kwa sababu ya mapenzi na timu
@musamagulu2023
@musamagulu2023 17 күн бұрын
Mimi ni Yanga lakin kwa umri wake sahivi ulaya haendi bro Umri miaka 28 kwenda ulaya hapana. Pia ukumbuke alikuwa huko na alifel ndo maan akarudi Africa. Hata Pacome alikuwa Sparta Prague huko ndo makuzi yake yalikoanzia so kurud huku ni kwamba hawakufuzu kuendelea huko ulaya.
@musamagulu2023
@musamagulu2023 17 күн бұрын
​@@sportsdatatvhuyo ni mfanya biashara hana mapenzi na timu sema ameangalia project yake na yanga vimeendana ana nafasi ya kucheza zaid miaka mingi yanga kuliko huko uarabuni Na wewe unajua waarabu walivyo kwenye wachezaji wetu weusi huwa hawawapi nafasi so wanawaua viwango vyao
@creedjey
@creedjey 17 күн бұрын
​@@musamagulu2023aende ulaya kufanya nn kama timu zingine za africa zimemtaka kagoma kwenda, kaamua kubaki mwenyewe
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 17 күн бұрын
Friji bovu ,tunajua unaumia sana kwa unachokisema pole sana . Usimalize yote bskizs na kedho siku.
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 17 күн бұрын
Ni mapenzi makubwa mno Kwa K Aziz ni mapenzi ya dhat
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 17 күн бұрын
Azizi Ki kuna kitu anatafuta kupitia Yanga,ameona kuna mission ambayo akiikamilisha Yanga,atakuja kuvuna pesa nyingi zaidi.
@albertvalentino130
@albertvalentino130 17 күн бұрын
Madunduka hawana malengo , wala hawajitambui --- Hawana future '" Wanapenda kudanganyana "
@melysackacademy
@melysackacademy 17 күн бұрын
Wewe jamaa ukiapata nafasi ya uongozi nchi hii utakuwa fisadi mkubwa kuliko walowahi kutokea. Unaweza hata kumuua mama yako mzazi kwa sababu ya pesa wewe. Yani, unathamini pesa kuliko utu na hata kuliko legitimacy katika maisha yako. Pia, unaamini sana katika kushindwa. Hivi Azizi Ki hawez kuwa wa moto katika umri wa Ronaldo, Messi, D. Bekham, Zinedine Zidane, nk. We vipiiiiii
@user-sl8pg1vr3j
@user-sl8pg1vr3j 17 күн бұрын
Frij bovu ACHA uchaga, maisha ni upendo na sio pesa
@gracelema2374
@gracelema2374 16 күн бұрын
Ungetafuta kwanz interview ya mama yake Aziz 2 years ago i think usingekuwa nachakuongea
@creedjey
@creedjey 17 күн бұрын
Apa Tff inabidi waweke waamuzi wazuri na viwanja viboreshwe kabla ligi haijaanza
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 15 күн бұрын
Ni upuuzi mnachojadili eti friji bovu eti kaka yake feisal pumbavu tu.
@vaxminja9053
@vaxminja9053 17 күн бұрын
Mbona mlikuwa mnasema ataondoka mmeanza kujikomba
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 17 күн бұрын
wee aziz bado sana wee acha zako dogo ana utajiri ata wakala wake anatambua ilo na msije mroga shenzi zenu
@alexandernkwamah5905
@alexandernkwamah5905 17 күн бұрын
Si kweli kuwa hataki pesa. Aziz anazo. Anajua kwingineko atakuwaje. Hakubaki kwa ajili ya mapenzi peke yake. Anawazia project, umaarufu wa makombe na uwezo wake anaona ni karibu itatokea Yanga. Friji bovu unaogopa hicho kikitokea mtaaibika wengi. Hersi anapiga hesabu.
@user-wt8nt7pb2y
@user-wt8nt7pb2y 17 күн бұрын
😂😂😂 ebu soma ulicho andika kwanza
@sadickjuma7264
@sadickjuma7264 17 күн бұрын
Kwahio hapa yanga halipwi hela anapewa mawe kachambe huko
@dullamuso6955
@dullamuso6955 17 күн бұрын
Wewe friji Bovu pewa haina kikomo na pesa kila siku ni tamu, Azizi K karidhika na kiasi anachopata Hana tamaaa hizo unazofosi
@ErickJeremiah-ww3ez
@ErickJeremiah-ww3ez 17 күн бұрын
Daaaah yani tulishaanza kufurahi ila awa jamaa awawezi kutuacha tukae na furaha sku mbili walau 😢
@user-vc8rk4qn5z
@user-vc8rk4qn5z 17 күн бұрын
Acha ushamba uchambuIgani huo acha kumpandikiIa aziI ujingo
@seifmohammed9167
@seifmohammed9167 17 күн бұрын
Kusema Azizi Amekosea Hapo umec hemka kwani Angeenda Huko unapofikoria kumhemgonga Atanyeje? Bora kubaki uoma Mayele lengo Ni kufuja Sio kutaka mchezaji
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 17 күн бұрын
Tunanua ulitamani sana aondoke Shindwa kwa wizu wako.
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 17 күн бұрын
Hayo ya simba ni maumivu natamaa kama usemavyo. Huo tunauita umakolo.
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 17 күн бұрын
Si kumkubali tu! Huyu kavamia fani?
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 17 күн бұрын
Wewe friji kichaa ulikuwepo na ukaona hizo milioni 35?
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 17 күн бұрын
Tujifunze ,wanavyo wachukua wzchexaji toka kwetu sio kwa nia njema ila ni kutusngusha tuu. Niyupi alie chukuliwa akenda aendako akafanikiwa ? Wanatunyanganya ili tu watushide nao wazidi kuwa wafalme wa afrika. Tushtukie hii tamaa ya kuuza tuu.
@user-vc8rk4qn5z
@user-vc8rk4qn5z 17 күн бұрын
Kwaniumeeona Hana Hela?
@jimmymhina1264
@jimmymhina1264 17 күн бұрын
Huyo ni copy ya Ngasa tu ,sasa hivi Ngasa hakuna anaye mtambua
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 17 күн бұрын
Pasco kolo 100%
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 17 күн бұрын
Firiji bovu nimekukubali
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 17 күн бұрын
Mikisone kachagua maisha na hey foot ball ikapoteae😅😅😅
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 17 күн бұрын
Mikisone kachagua maisha na pesa nyingi zaidi yupo wapi kapotea😊😊
@upendoomary1921
@upendoomary1921 17 күн бұрын
Kwaiyo ushauli wako ni nini
@deokibona2835
@deokibona2835 17 күн бұрын
Aziz ki usimlinganishe na wachezaji wengine, yeye ameshacheza hata huko Ulaya,. Kwahiyo ana exposure kubwa inapokuja suala la mafanikio. Haangalii hela tu kama unavyoangalia wewe friji bovu.
@Jarden-Mills
@Jarden-Mills 17 күн бұрын
Malengo yake unayajua ww acha kuingilia plan za mtu
@halidijuma1884
@halidijuma1884 17 күн бұрын
Kwani AZIIZ KI AMESAINI LEO ??
@ARFHONSIMGIMBA
@ARFHONSIMGIMBA 17 күн бұрын
AZIZI KI BADO YUPO SANA
@user-jx3yi9ci7g
@user-jx3yi9ci7g 17 күн бұрын
Kwa hio hela aliopewa yanga ni ndg?
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 17 күн бұрын
Nilijua hutaweza kumaliza bila kumzungumzia cha. Hayo ndo mapenzi. Hayo ya offer yanakuhusu wewe. Huo sio uchambuzi ni unazi na ushabiki wa simba.
@monicaMihangwa
@monicaMihangwa 17 күн бұрын
Makolo wanaumia cn
@omarmakore6919
@omarmakore6919 17 күн бұрын
Wachambizi. Wa. Bongo nyinyi niwanafuki Sana kumbuka wewe firiji bovu kumbuka ulichokisema Jana munajisemea hamuna akiri kabisa
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 17 күн бұрын
Hakupata ofa kama hiyo ni uongo tu huo mapenzi gani hayo kwan akishuka kiwango yanga watampenda? Achen uongo wenu
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 17 күн бұрын
Aseme ni timu Gani ilimtaka Aziz kakataa huyu jamaa muongo sana
@musamusa6213
@musamusa6213 17 күн бұрын
Jamaa ww ni chizi kima ww Azizi anaakili kuliko ww mayele mwenyewe hana raha kwahiyo unataka na Azizi wakamfuje ridhika na kidogo kama kinatosha shukulu mungu.pesahazitosh
@user-hl9xu4vo1q
@user-hl9xu4vo1q 17 күн бұрын
Pesa bila si chochote
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 17 күн бұрын
Sikuwambia Hilo zuzu! Pumba zake mnazisikia!
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 17 күн бұрын
Huyu jamaa sijawahi mkubali , ameumia sana kuona Aziz kabaki , maana juzi TU alikuwa anasema anaenda Simba
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 17 күн бұрын
Nilijua hutaweza kumaliza bila kumzungumzia cha. Hayo ndo mapenzi. Hayo ya offer yanakuhusu wewe. Huo sio uchambuzi ni unazi na ushabiki wa simba.
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 17 күн бұрын
Jaman siku akiondoka Injinia hers ndio itakua kushuka Kwa Yanga Afrika
@user-fg9nk5cn1g
@user-fg9nk5cn1g 16 күн бұрын
We fala sanatenasan mshenzi wee.
ELIE MPANZU ATANGAZWA RASMI SIMBA | HUYU NI MASHINE YA MASHINE
29:58
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,1 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 7 МЛН
KIKOSI CHA MAANGAMIZI TAREHE 08 ,SIMBA&YANGA NANI KATISHA
2:23
Suda yanga
Рет қаралды 22 М.
MZEE SAID: WACHEZAJI WALINDWE | MSIMU UJAO VIKOMBE | AZIZ KI KABAKI?
24:46
Ronaldo or Messi, who deserves to be GOAT !
0:26
Football Cartoon
Рет қаралды 2 МЛН
МОЛОДОЙ КАЗАХ ПОДАРИЛ СУЛЬЯНОВУ ШАПКУ
0:49
Елдос жылап тұр: Эмоцияға толы марапаттау сәті
8:45
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 57 М.