Kaka friji bov uko sawa kabisa wachezaji wanaleta upuuz wanatukwaza saana siyo powa ziwekwe kanuni na Sheria za kuwabana wafate utaratibu wa kishelia.
@faustinombilinyi9809Ай бұрын
Zipo sheria na kanuni zipo mfano ulimwona fei Toto bila mama rais wa nchi kuingilia lile swala aiseee lingemsumbua sn fei Sasa sahiz kibu atanyooshwa hawez kucheza popote DUNIANI bila Simba kutoa release letter
@MeshackMlyanginuАй бұрын
Welcome Elie mpanzu, simba nguvu moja, ubaya ubwela
@user-rq4fq4pw4yАй бұрын
Kaka uko vizuri sana keep on educating the community brother!!!
@user-dh5lm9qt8vАй бұрын
Karibu San simba Elia mpanzu
@KhalidIsacka-i2k23 күн бұрын
Vp kuusu mpanzuuuuuuuuuuuu❤❤❤❤
@NestoryHenlicoАй бұрын
Ni kweli au uongo tu simba nguvu moja ❤❤❤
@InnocentNyangaАй бұрын
Jamaa nimekuelewa na naendelea kukuelewa, tusilete siasa kwenye mpira wa miguu, ilianzia kwa Fei Toto na Leo ndo Iko kwa Kibu Mzee.
@Filbert-i4mАй бұрын
Nawapenda sn hawa ma c.o Babra pamoja na huyu amani kajula aliyetuletea simba kuwa na platform nyingi🙏🙏🙏
@ShambunatGhullamАй бұрын
Aje ata asaivi tunamuhitaji sana sana saaana ubaya ubwela
@SamwelOtieno-ky3nhАй бұрын
Vipi mpanzu dili done au vip
@KulwaMartineАй бұрын
Karibu elia mpanzu
@ramseyking7694Ай бұрын
Nakukubali Frijibovu huna baya mwanangu!
@Filbert-i4mАй бұрын
Kaka uko vzr Mungu akubariki 🙏🙏🙏
@iddiramadhanАй бұрын
Karibu Msimbazi mchezaji we2 🦁💪
@francisjuly5761Ай бұрын
Deal limefelii aisee daah 😢😢😢 Haji tena
@user-uf6wv7nm3oАй бұрын
mchambuzi wang pendwa❤❤❤
@ZainaYusuph-ix7vlАй бұрын
Welcome simba broo ❤❤❤
@FredrickShanguyaАй бұрын
Karibu Elie Mpanzu Unyamani
@SAIDSALUM1981Ай бұрын
Upo vizuri sana friji bovu kwa uchambuzi mzuri sana
@ImranSalumАй бұрын
Unachambuwa vizuri lakini acha nokupe mauwa yk.Ubaya ubwela.
@israelmunuo7938Ай бұрын
Friji bovu wewe ni mwamba kweli kweli mkuu na nimejenga Imani kwako na hujawahi kutuangusha 👊
@NestoryHenlicoАй бұрын
Ni kweli au uongo tu simba nguvu moja ❤❤❤ 😅😢😮❤
@JamesSweetbartАй бұрын
Bro uko vizuri
@JoseHaule-tx7luАй бұрын
Boss ni kweli mpanzu atatua unyamaniiiiiii
@BallohoVicentАй бұрын
Usajili bora sana aixee
@LaiteteiSagaraiАй бұрын
Jamaaa uko vizuri ubashiri wako huwa unaleta maana sana uko guuuuuuuud niite losieki memirieki
@SalumWazillyАй бұрын
Ivi jamni kweli au mana mnatuumiza moyo 😊
@modestusndunguru7183Ай бұрын
Nakubali unaongea point 👉😮
@KulwaMartineАй бұрын
Tunakuamini kaka kwa taarifa zako
@user-md7sd3hk6lАй бұрын
tuna mtaka ata kesho mpanzu ubaya ubwela paka ubingwa
@sirajubwangoАй бұрын
Good kabsa
@igweemsuto6141Ай бұрын
Unaakili nyingi sana brother unaongea vitu vyenye kueleweka na umesema ukweli simba huongozi auna meno upo sahihi
@halimalachpat1927Ай бұрын
Frige bovu wewe ni zaidi ya zaidi ❤❤🎉🎉
@zahranyasa9351Ай бұрын
Sisi tunaamini uongo wake we hujalazimishwa kuamini
@user-yc7bx8ff9iАй бұрын
Nakupata
@castroydaimon3107Ай бұрын
Litakuwa jambo zuri likikamilika
@BakariHamisi-ke6zvАй бұрын
Yani kiukweli broo unaongeaga ukweli sana mana hili dili nilakweli
@jaydenbedas5729Ай бұрын
Habari za mpanzu ni kweliiii msimbaziiii
@papaanel8160Ай бұрын
Nakukubali bro!
@makamekhamis-cu6qcАй бұрын
Mimi japokiwa atanidanganya firiji bovu Lakin wakati inanitajia Simba inanikosha Sanaa
@bahatimshali2731Ай бұрын
😂
@ramadhankilango9088Ай бұрын
Kibu sio wa sifa ya Simba tunayo ihitaji, ana sifa Moja tu ya kupambana Hana tageti Wala kontroo ya kutosha
@YunusuYekoniaАй бұрын
Tukimuon mpanzu apo rutakua na aman na tm yetu brother
@allyhuyu1892Ай бұрын
Wee jamaa unatamanisha Yani mpaka unatamani ngao ya jamii iwe kesho
@user-ny3uy5jc8tАй бұрын
Tunata simba mpya❤
@AbuumagelaАй бұрын
Dili bado mpanzu anaenda Genk
@samwelygilyaofficial7160Ай бұрын
Upo dunia gani wewe genk ni lameki lawi
@gervaskashegu1940Ай бұрын
Nakukubali mwamba
@GulackSotelaАй бұрын
Dili la mpanzu kuja simba nigumu mno kwani anahitajika na team ya ubelgiji
@Filbert-i4mАй бұрын
Wambie kbs Nabi n kocha yule ni mwl kwl
@user-pg5sq6qp7vАй бұрын
Ndio mana mm kibu sijawah kumkubari Kwanza amekaa mshamba mshamba alaf anatamaa muonekano wake tuu unaongea mm kibu sijawah kumkubari, anatumia mingivu nguvu tuu akili ya Mpira Hana,, kudribo Mpira kwake n kaz kama robot aaah aende tuu
@gastorsapula2583Ай бұрын
Bro Mimi nakukubali Sana unaongeaga vitu vya akili Sana Mzee baba
@joelmichael9752Ай бұрын
Frito bonus umechemsha,Elie ametangazwa huko Belgium,unaongea saaana lakini huna jipya..
@JoseHaule-tx7luАй бұрын
Kaka unatema madiniiiiiii vibaya munoo
@bobsaid4324Ай бұрын
Bado dili la mpanzu halijakamilika
@user-rw3df1cr7lАй бұрын
Nakukubari unajua
@SifaKayayaАй бұрын
mambo sindo hayaa??
@EzekieliAndrewАй бұрын
kibu sio kakimbia huko akajuwa ataikomoa simba kajikomoa mwenyewe
@ChristinaLazaro-oy4kbАй бұрын
Kibu asepe
@ramadhanmlaly4049Ай бұрын
Hili jamaaa linajua mpira
@jumakiduka4625Ай бұрын
Kibu ameji dhalilisha , Bado ni mchezaji wetu na turanfungia miaka 2
@komboarts7110Ай бұрын
Namkubari sana friji bovu kwa uchambuzi
@KhalidIsacka-i2k23 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@PiusJordanАй бұрын
Kaka we mwamba
@saidymbagalla6622Ай бұрын
Leo frij limekufa kabisa mana umeongea utumbo utumbooo.....hasa kwenye swala Ceo wa Simba...yani ww umekariri kua ili mtu afanye vzr lazma atoke timu kubwa hapo umekunya
@israelmunuo7938Ай бұрын
Huo ndiyo ukweli mkuu! Simba viongozi wamekosa MENO mkuu kuwabana wachezaji kisheria , (utovu wa nidhamu)
@GeofreyLaulianiАй бұрын
Nipo na ww braza
@juliussteven3440Ай бұрын
Huuu sio uongo kweli
@gasparyeugene4855Ай бұрын
mtaua jaman
@adamlubawa1281Ай бұрын
Friji bovu muongo mpanzu haji simba Anaenda Yanga Vyanzo vyako ni vya uongo
@bahatimshali2731Ай бұрын
Hongereni, maana, kila mchezaji ni Yanga. Hata Kinzumbi mlisema anakuja kwenu. Msemaji wenu amesema rasta pia anakuja kwenu
@PaschalChigwiyeАй бұрын
Mwamba unajua
@davidgodfrey2510Ай бұрын
Mpanzu anaend Genk tuachie uongo
@user-sd7ho5sm8qАй бұрын
Huyu jamaa ni mnafiki simba wamesema saa ngapi ndio maana ukaitw friji bovu si
@FanuelyChaulaАй бұрын
IME hiyo
@saidsalum6101Ай бұрын
Kweli umeongea kitaalam sana mkuu safi
@josiacharles2778Ай бұрын
Kibu ni mchezaji mzawa, uyu mpanzu ni wakigeni, vipi atatoka badala yake?
@HARUNSIMON-hj6upАй бұрын
Simba pana tatizo masiku mengi imekuwa ikihsishwa na wachezaji wakbwa wazuri mwshowe inabaki speculation, bado nataka kuona timu inapata kocha atakaeinua vipaj vya wachezaj wa kitanzania ni kpnd tunatakiwa tjfnze kwa yanga wachezaji wa 3 pale nyuma ni wabongo, kwa nn tunawachia hawa makocha bila ya kutuimarishia wabongo
@jilalamaligisa4854Ай бұрын
Huyu jamaa mbona anajua sana
@homeafricaoneАй бұрын
Liongo hili jamaa
@makinyamigeto7621Ай бұрын
VP Kaka Simba ndo mech moja Tu pre season?
@makinyamigeto7621Ай бұрын
Pi kaka friji bovu unajua Kaka Simba watakup maua yako😅😂
@NestoryHenlicoАй бұрын
6:32
@SalmaChamy-tg4boАй бұрын
Vita ya panzi imani ya kunguru kwa hiyo sisi kama simba tumevuna faida kubwa sana I say
@athumanidilunga7770Ай бұрын
Kibu anajiteke ya mwenyewe
@user-pz3dv1pv6eАй бұрын
Uongo Si mzuri, Wala wanasimba hawajaamini taarifa zako, binafsi sikupongezi kwa huongo wako. Hakikisheni mnatoa taarifa za ukweli na ss tunatumia pesa kama mnavyotafuta nanyie
@romanambelle6356Ай бұрын
Mbona Kama unaumia kimya kimya
@hockingsshangali1747Ай бұрын
friji bovu ni mbovu kweli. unaonyesha upande wako. jitahidi basi uwe msemaji na sio mchambuzi .usije kalia.
@user-wn9bp5cl1jАй бұрын
Ubaya ubwelaaaa
@DrNangwaIP_internationalАй бұрын
Mpanzu katua kweli?
@piusalex6589Ай бұрын
Uongo mtupu jamaa mpanzu kaenda GENK
@HamisiRashidi-h5tАй бұрын
Mmmmhhhhh
@renatusblandes1131Ай бұрын
Hivi huyu huwa mnamwelewa?
@nyanzaonlinetv2762Ай бұрын
Tank limejaa mafuta...dribing je
@HamisiRashidi-h5tАй бұрын
Mmmhh
@OliverMalindiАй бұрын
Mnh m napita tuuu
@MichaelCharles-uo6rwАй бұрын
Uongooi
@SaidBudi-u9vАй бұрын
Namba 6 atakua nani ?
@FadhiliKatoАй бұрын
Blog za kisenge kama hiz haziwez kufika mbali mbwa nyie😅