FRIJI BOVU : MISSION COMPLETE MPANZU KUTUA SIMBA NI 100% | TRY AGAIN NA BARBRA KUTIA NGUVU

  Рет қаралды 52,183

Data Sports Tv

Data Sports Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@IsaacParuz
@IsaacParuz Ай бұрын
We muongo ulidanganya ukasema Azam atamuachia Simba ili Azam aende shirikisho na Simba aende club bingwa
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 Ай бұрын
Friji bovu una wafuasi wengi so hii habari iwe ya kweli siyo kudanganya harafu upoteze mashabiki zako
@RichardSeleman
@RichardSeleman Ай бұрын
Huyu jamaa ni muongo sanaa
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
Huyu jamaa mwongo sana, mchambuzi mbovu
@WistonAlex-o7q
@WistonAlex-o7q Ай бұрын
Huyu naye niwamchongo
@charleslinhege690
@charleslinhege690 Ай бұрын
Huyo Onana hata second division hafai. Simba hamuoni. Mwacheni kramo ataiokoa simba
@WistonAlex-o7q
@WistonAlex-o7q Ай бұрын
Tangu utudanganye kwa Elia mpanzu nimda mlefu sasa
@IsaacParuz
@IsaacParuz Ай бұрын
Kama utadanganya na hii kiukweli utapoteza Imani kwa watu maana wewe ni mchambuzi mzuri na mwenye mvuto wake kwenye uchambuzi
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
chama na Engeneer wana umri sawa
@NestoSimon
@NestoSimon Ай бұрын
Safu ya mbele inakuwa vzr nyuma sasa
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 Ай бұрын
Hamna kitu hapo, Mpanzu ni Mchezaji wa Vita club na hakuna Mpango wowote kwa Sasa wa kumshawishi kuja Simba Kwa kuwa ana MKATABA na timu yake na suala la kuvunja MKATABA limeshindikana.
@malickomary5687
@malickomary5687 Ай бұрын
Napenda habari zenu lakini naona sauti ndogo.plees fanyeni kuweka sound vizur..otherwise...big up💥💥💥💥
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l Ай бұрын
fliji bovu au naga baya nakula kwa kushiba au niangu shagi
@michaelamos3164
@michaelamos3164 Ай бұрын
Sijawahi kukukubali frij
@JumaMasalu-dm5nu
@JumaMasalu-dm5nu Ай бұрын
😂😂😂😂hili jamaa liongo filiji bovu
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
UPO SAHIHI SANA FRIJI BOVU
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Ай бұрын
Yaani nyie wana habari bwana kwa kudanganya
@ericsallu3237
@ericsallu3237 Ай бұрын
Kumbe wewe ni Fridge Bovu kweli huna data unatudanganya.
@selemonsalvatory4414
@selemonsalvatory4414 Ай бұрын
Huyu jamaa anajitahid kujipa moyo lkn dah simba itakuua yaan unataman useme Ronaldo anakuja simba 😂😂😂😂😂
@patrickkilongo3214
@patrickkilongo3214 Ай бұрын
Ww friji bovu labda nkwambie ukweli simba wameshindwa kuli dola 250k kwa mpanzu , wamekubali kumuacha CRAMO na wamempigia simu onana kesho asubuhi anatua bongo kujiandaa kwenda EGYPT 🇪🇬,,,,, SIMBA ALIE IROGA MWANAUME KWELI 😂😂😂😂😂😂😂
@adammwandambo4143
@adammwandambo4143 Ай бұрын
Kwan wew ndo wanakuombaga ushaur Simba au baba ako ndio mwenye Simba kwamba unajua kilakitu kutoka simba
@EmanuelJackson-v6b
@EmanuelJackson-v6b Ай бұрын
Kramo cio Cramo
@allybadimzava
@allybadimzava Ай бұрын
Asee kama wanamrudisha onana tumelogwa sana tena sana
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l Ай бұрын
kwaiyo tuku saidie nini pambana na wazee wako aucho pacome chama azizi
@mussalimbe6673
@mussalimbe6673 Ай бұрын
Onana hajaitwa uongo wako ACHA wewe
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s Ай бұрын
simbaa 😢😮
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Ай бұрын
Nilikuwa naliamini sana Fridge bovu lakini sasahivi siliamini tena. Mlikosea kwa Chama akaenda yanga wakati mlisema anabaki Simba. Na msipoangalia hili la Mpanzu tena mtakosea. Unajua kufanya kosa si kosa kurudia kosa ndiyo kosa. Sasa mnapotuaminisha Mpanzu anakuja asipokuja nitapoteza imani ni Fridge bovu. Itabidi tulipige mnada.😂
@neelamnick2899
@neelamnick2899 Ай бұрын
Sipendag michaneli mingine inatoa taarifa yauongo uongo yaan taarfa ambayo haina uhakika wanabuni buni tu hawana vyanzo vya habar vnavyoeleweka hata bora hv vchanel vngekuwa vnafungiwa tu bhana vnatumalizia tu mb aisee vnaboa sana kwakwel
@kkhalifairumba2932
@kkhalifairumba2932 Ай бұрын
Acheni uwongo nyie kuongea ujinga tu manone meengi ya kipuuzi tu
@rashidiiddi2433
@rashidiiddi2433 Ай бұрын
Usajili wote ule cjamwona mchezaji mwenye uzoefu wamichuano ya cuf champions
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
kama unataka wazoefu na wakongwe nenda mazoezi ya uto cc kwetu ni vijana tuu sawa?
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Ай бұрын
Acha mboyoyo Subiri wacheze ndio utawaona
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Ай бұрын
Onana sio mchezaji wa kuchezea Simba Tubaki na Cramo jamani tumerogwa na nani? Mbona mnataka kurudia makosa yaleyale? Onana ni bishoo sana
@patrickkilongo3214
@patrickkilongo3214 Ай бұрын
Kumbe ndio maana dili la mpazu limefeli kumbe kaenda mangungu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
INTERVIEW mnaichukuliaje? JE KUNA KUWA NA MAANDALIZI AU MNAAMUA TU?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
Hivi chama na Ali kamwe ni Nani Mkubwa?
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Hana mashabiki huyo, achana hiyo issue ya uchambuzi.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 40 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 24 МЛН
Так мяч еще не отбивали
0:18
Новостной Гусь
Рет қаралды 2,1 МЛН
who wins the extreme tire roll balloon pop challenge ?
0:41
OSS Entertainment Team
Рет қаралды 17 МЛН
On the goal post! She really did that! #cheer #cheerleading #cheerstunts
0:13
Havertz VS Neymar VS Salah VS IShowspeed VS Ronaldo Cold Challenge🥶
0:26
Так мяч еще не отбивали
0:18
Новостной Гусь
Рет қаралды 2,1 МЛН
Players Take A Knee + Russia 🥶
0:18
Fearron
Рет қаралды 7 МЛН