Hongera sana JKT....hiyo ni akili ya hali ya juu....inafanya kazi sawa na mwili wa binadamu ndio maana tunatoka jasho ili kujipooza. Na wao wanamwagilia kwenye mkaa ili yale maji yanyonye joto la ndani kisha yawe mvuke na kuondoka na joto lote. Tunahitaji sana ubunifu wa hivi Tanzania.....asante JKT kwa kutuonesha mfano na Ayo TV kwa kutuhabarisha !
@jacobmakono3895 жыл бұрын
Wazri kilimo,science.. hivi mnaona haya yote?mnachukua hatua zipi kuwawezesha vijana hao?
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mashaallah hilo nitawaonyesha wauzao vbada vjjini kwetu kenya wakatowa mboga sokoni ongereni bana tz vjana mnajikamuwa
@basilmhumba87325 жыл бұрын
Classmate juma Mohammed from mtwara big up sana umeiprove sanaa
@bintiiddy70435 жыл бұрын
Masha Allah hongeren sana vijana
@KhalidKhan-ud9cz3 ай бұрын
Mzuri Sana kweli 💖
@amenyekibona87305 жыл бұрын
amazing sana mkuu,, way back Devi enzi za kituro fm
@laurahomine7145 жыл бұрын
Hongera sana kijana,ayo tv hongera sana mnajitahidi Kufika sehemu nyingi basi mjitahidi hizi clip mzifikishe kwa wahusika ili vijana wapate kujikwamua kiuchumi.
@leonardmrope95285 жыл бұрын
Safi sana jkt
@jacobmakono3895 жыл бұрын
Watz salute sana!
@rasihamsangi80845 жыл бұрын
Mungu wetu aendelee kutujuza yaliyo mema kwa watu na viumbe vyote kwa ujumla
@ritchiexanti95875 жыл бұрын
cooler sio refridgerator but good idea tho.
@yohanalaiser26674 жыл бұрын
Ritchie Xanti uko makini sana 👍🏽👍🏽
@tanzcanmediatv44732 ай бұрын
Sio cooler in cold room
@samuelypaulo79815 жыл бұрын
Big up jkt 💪💪💪👍
@sharifaabdullah68255 жыл бұрын
Hongera vijana wetu kubuni
@tunumbamange25165 жыл бұрын
Pia ni kivutio cha utalii
@selemanivanmkungu46374 жыл бұрын
MKAA, MIANZI, MBAO, NA NYASI. TUPO KWENYE HARAKA ZA KUDHIBITI MATUMIZI YA MKAA ILI KUZUIA DEFORESTATION SO HAPO KIDOGO TUBADILI GIA
@hildaayoo68533 жыл бұрын
Hata hamuonyeshi ilivyo
@ussikhamisussi48825 жыл бұрын
Hebu tafutieni vijana ajira au nyinyi vijana tafuteni ajira mujiajiri wenyewe, hizo ideas nyengine application zake kwenye uhalisia wa maisha huko mtaani ni ndogo sana hasa kwa ulimwengu huu-hapo ni kupoteza muda tu kwa minor ideas with big thinking profit making but nothing in reality through our community.
@danidanieli26305 жыл бұрын
ni kwel kwa dunia ya sasa vitu kama hv ni ngum kupaform but kwa nch zinazoendelea hususan tanzania vijiji vng bado havina umeme so kwa kitu kama hiki bado ni kizur kama kikipewa thamani....!
@yohanalaiser26674 жыл бұрын
Kwa wakulima hii ni idea nzuri sana kwan uharibifu wa mazao ni changamoto.....lakini pia kwa sisi vijana tukijifunza teknolojia kama hizi tunaweza kujiajiri kwasababu, sio kila mtu anaweza kutengeza cooler kama hii....wewe ukijua unaweza kufanya kazi ya kuwatengenezea watu na ukapata kipato.....kuwa tu na akili ya kijasiria mali
@ussikhamisussi48824 жыл бұрын
Yohana Laiser; Kwa ulimwengu huu hakuna msukumo mkubwa kwenye hizo.