FULL: HANANJA ATEMA CHECHE KIMARO KUSIMAMISHWA,NJAA ZINAWASUMBUA WENGI, KUNA JIPU LITALIPUKA KANISAN

  Рет қаралды 390,618

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 764
@radhiamalla9428
@radhiamalla9428 2 жыл бұрын
Kama umesikiliza na ukamuelewa huyu Mzee na ukajikuta unacheka mpaka machozi ingawa si yakucheka, gonga like 😊😊😊😂😂🙌🙌
@jmvuna2792
@jmvuna2792 2 жыл бұрын
Mzee wa oya oyaaaa! Yupo fire 🔥 kinoma. Huwezi kuchoka kumsikiliza!
@felistermtewele7322
@felistermtewele7322 2 жыл бұрын
Kweli Mzee Hananja una siri sikuwahi kujua kama ulisimamishwa mwaka mzima Mungu akutunze
@godymwokozi3255
@godymwokozi3255 2 жыл бұрын
00
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Ameen
@reramimisanga462
@reramimisanga462 2 жыл бұрын
Napenda Sana huyu Baba 😂😂 ishi miaka kama yote Mzee wangu walio kutesa ndio watakao tangulia Sio wewe in Jesus name 🙌
@jameskileo955
@jameskileo955 2 жыл бұрын
Mch Hananja MUNGU akubariki sanaa ni kweli unayoongea na mtu mjinga hawezi kukuelewa Ubarikiwee Babaa
@Papaahansmo
@Papaahansmo 2 жыл бұрын
KAMA UNAMKUBAL HANANJA NA KIMARO GONGA LIKE👍
@janethtimoth6563
@janethtimoth6563 2 жыл бұрын
Nokweli kabisa WATUMISHI wa Mungu mbadilike Mwenye kazi atawacharaza fimbo msione kanyamaza hamko salama atarejea punfe
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj Жыл бұрын
Sema ukweli maana ukweli ndo unamuweka mtu huru
@annahangaya9862
@annahangaya9862 2 жыл бұрын
Hongera mtumishi unasema ukweli Mungu akutunze tuonyane Kwa upole sisi wote ni baba mmoja kanisa ni la waumini ndio waliojenga kanisa ni vema wasikilizwe.
@thagondale9041
@thagondale9041 2 жыл бұрын
Pastor yuko vizuri sana ... Japo watu watasema skanka 😂😂😂 ila "nyuki hakumbatiwi" Asinitishe mtu... Sijanyonya kanisani.
@piusitarimo9676
@piusitarimo9676 2 жыл бұрын
Sijanyonya kanisa nimecheka xanaa
@LENNY_LEE
@LENNY_LEE 2 жыл бұрын
Rev Hananja, 🤣🤣 Nimecheka Sana eti baba zenu wapigwe mabomu ya machozii mje muwachukueee 🤣🤣🤣. Ila amegusa penyewe hapo ndipo.
@ivethaireneus2333
@ivethaireneus2333 2 жыл бұрын
Hahahahahha Wacha nicheke mieee Mzee ni hatari
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 2 жыл бұрын
Kwani akisifu ni kosa hilo . Aje kanisa la kiroho Arush Kisongo
@janethsinzo
@janethsinzo 2 жыл бұрын
Yani hananja uko wazi saaana babaangu. Mungu akupe maisha marefu saaaana.. wakusikilize basi ili waishi kwa furaha km wewe😀😀😀
@tumainituma7691
@tumainituma7691 2 жыл бұрын
Nampenda Sana huyu mzeee anaongea ukweli
@Mapishinatibatv
@Mapishinatibatv 2 жыл бұрын
😂😂😂😂Nyuki hakumbatiwi mch ,Hananjaaaaa!!!
@erickmakyara880
@erickmakyara880 2 жыл бұрын
Natamani hii video kila mshirika wa KKKT aisikilize ili wajue wanayopitia wachungaji wetu hasa wale wenye maono makubwa. Asante sana Mchungaji Hananja kwa kutujuza
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 жыл бұрын
Ni shida aisee
@thadeusponera5720
@thadeusponera5720 2 жыл бұрын
Love you my fadher
@irenekitaa5845
@irenekitaa5845 2 жыл бұрын
Tumeujua ukweli.
@angelalphonce9368
@angelalphonce9368 2 жыл бұрын
Yaaniii Mungu atuhurumie sijui tunafanyaje kuieleza dunia
@juliussanga3234
@juliussanga3234 2 жыл бұрын
L0
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Pastor nakupenda sana.nilikua bz lakn imebidi niache vyote nitie koment baba.safi sana ukwel mtupu na utuweke huru
@verynicemasaka9222
@verynicemasaka9222 2 жыл бұрын
Nakupenda Sana Mchungaji Ongea Ukweli Ili Uchukiwee Nyuki Hakumbatiwi
@edsonmunuo7112
@edsonmunuo7112 2 жыл бұрын
Ha ha ha dah mchungaji Hananja, Mungu akuweke, ur so genius🙏🙏
@hurumakimaro5762
@hurumakimaro5762 2 жыл бұрын
Sasa ww ndg yangu mtu anaongea pumba unasema ni genius kkkt ni jamii kubwa sn si ya kuibeza hivyo hao waende tuu ss na kkkt yetu watuache sasa mtu km huyo ataweza kukushauri nini ktk swala la familia amkeni wakristo hao wamejulikana via kkkt leo hii wameanza BIASHARA BINAFSI HII NASEMA SI SAWA
@jeremiahakonaay1842
@jeremiahakonaay1842 2 жыл бұрын
@@hurumakimaro5762 wangapi wako KKKT hawajulikani mpaka anastaafu kama KKKT inawafanya watumishi wajulikane si wote wangejulikana waliopo humu! Hiyo Mungu amemwinua mtumishi wake kupitia taasisi hiyo hata angekuwa kwingine angejulikana tu acheni kupuuza uwezo wa watu kutambua wito wao kwa kujinyenyekeza kwa Mungu mwenyewe. Mimi ni na wewe wote tuko KKKT mbona haijatufanya tujulikane???
@josephinejoseph3128
@josephinejoseph3128 2 жыл бұрын
Ila kwenye hii dunia ukiwa na maono inabid uwe shujaa kweli kweli. Much Hananja unaongea tunacheka ila unaongea mambo mazito sana.
@danielmwakalinga6049
@danielmwakalinga6049 2 жыл бұрын
Umeonaaa anachekesha🤣🤣🤣
@stellapanduka9396
@stellapanduka9396 2 жыл бұрын
Hananja unachosema ni kweli sio huko tu hakuna Hofu ya Mungu miaka hii Mungu atutunze
@janethsinzo
@janethsinzo 2 жыл бұрын
Huyu mzee yuko kama babq yangu. Haki ataishi maisha marefu sana tungekuwa na mioyo ya hivi tungeishi kwa rahq sanaaaa
@joeaub2185
@joeaub2185 2 жыл бұрын
anamoyo mweupe sana ukisikia kuokoka ndio huku sio unajifanya mlokole hlf mnafki,roho mbaya na wivu...
@juliasmwambulukutu3461
@juliasmwambulukutu3461 2 жыл бұрын
Hovyooo bangi tupu
@janethsinzo
@janethsinzo 2 жыл бұрын
@@joeaub2185 yuko huru na utumishi wake saana
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa.mwanadamu siyo wa kumtegemea.unatakiwa kumtizama vizuri sana.
@lucymwakitalima8033
@lucymwakitalima8033 2 жыл бұрын
Tunapenda mafundisho ya kubembelezwa pokea magari napokea kukemea dhambi unatengwa Mungu akutunze
@testarguy8609
@testarguy8609 2 жыл бұрын
Kuku wa kienyeji anajipambania mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
@jovinathobias7163
@jovinathobias7163 2 жыл бұрын
Mungu akutunze daima Mchungaji Hananji, wewe ni mtu sahihi
@gabrielmichael3537
@gabrielmichael3537 2 жыл бұрын
Mungu akutunze akupe miaka mingi zaidi.
@gabrielmichael3537
@gabrielmichael3537 2 жыл бұрын
Duuu kumbe Kuna mengi ndani ya kanisaletu watu wanaonewa hivyo poleni Sana wachugaji.
@schofieldodhiambo7957
@schofieldodhiambo7957 2 жыл бұрын
Haya mambo ni mazito sana. Ni zaidi ya fikra zetu. God himself will sought them out.
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
“Sort” 😊
@josephkafumu3006
@josephkafumu3006 2 жыл бұрын
Daaaa nimekusikiliza sana mtu mwingine anaweza sema Kama comedy lakin kunahekima kubwa sana
@lupindangala4332
@lupindangala4332 2 жыл бұрын
Yupo vizuri sana huyu baba Mungu amkumbuke katika kazi yake.
@henrymichael4566
@henrymichael4566 2 жыл бұрын
Hatamimi sijapenda hata kidogo mbona kilasiku kkkt kunashida gani?
@quizyzonnique1872
@quizyzonnique1872 2 жыл бұрын
Nakupenda sanaa baba 🙌
@Your-highnessrichard6421
@Your-highnessrichard6421 2 жыл бұрын
Tuogope watu walifunga makanisa miezi sita kwa ajili ya madaraka hapo kazi,Mchg Hananje sema baba
@dodoted5033
@dodoted5033 2 жыл бұрын
I love you Hananja. God bless you❤💕😁
@Lyro6390
@Lyro6390 2 жыл бұрын
Hi
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 2 жыл бұрын
Eti bwana akae nanyi wakati huo mchungaji ana matesoo. Mungu wajua yotee 😂😂😂
@edwardkasubi5135
@edwardkasubi5135 2 жыл бұрын
😂😂😂 umezaa nje Babuuuuu huyu Baba huwa ni zaidi ya Mchungaji kwangu pia amekuwa baraka kwangu toka 2008
@davidmbogela
@davidmbogela 2 жыл бұрын
Haaaaa haaaaa babu umezaaa nje nn ?😁😁😁😁 kweli walikufedhehesha
@mujawabegayvonne9751
@mujawabegayvonne9751 2 жыл бұрын
Dr Kimaro, we love you, we miss you. Together in our prayers.
@sarahitambu5586
@sarahitambu5586 2 жыл бұрын
😂😂😂 Mch. Hananja' unasemaga uwazi na ukweli
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 жыл бұрын
huyu ni wa kanisa gani kwani
@sarahitambu5586
@sarahitambu5586 2 жыл бұрын
@@elizabethmassi7327 Alikuwaga KKKT ila siku hizi anahubiri makanisa ya Assemblies na Pentecoste'
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 жыл бұрын
Sarah asante sana
@fredyfile623
@fredyfile623 2 жыл бұрын
Hizi dini zetu ukizichunguza saaana kwa undani unaweza ukabaki mpagani tu bcz kama taasisi ambayo tungetegemea iwe mfano kwetu sisi waumini inafanya hayo sasa sisi twende wapi au sisi tunapopata migogoro yakifamili tunaweza kweli kwenda wakatuma ufumbuzi. Tungepata viongozi wa dini majasiri kama huyu mzee tungefika mbali sana hongeraa mze wetu hananja. Mm dhehebu lingine bt nakufwatilia sana mafundisho yako.
@michaellutonjagospelsinger6611
@michaellutonjagospelsinger6611 2 жыл бұрын
Sasa kama mchungaji kaajitiwa tena kumbe wito wakiMungu Hana itakuwaje, bas nitakuwa nasali getoni
@seciliaeugen202
@seciliaeugen202 2 жыл бұрын
Kabsaaaa yaaaaan daaaah
@janethsinzo
@janethsinzo 2 жыл бұрын
Kwenye haya maisha ndg yangu mim nilishajifunzq kumtafta Mungu tuuu mim na Mungu wangu wanadamu wako wameumbiwa kubadilika automatically. Tuutafte sana uso wa Mungu
@siakiwoli5140
@siakiwoli5140 2 жыл бұрын
@@janethsinzo MCH HANANJA ULINDWE NA MUNGU WABAYA WASIKUONE TENA NAPENDA SANA UJASIRI WAKO BABA HAWAKUWEZI MAANA NENO LIMEKUJAA MOYONI
@afiamsangi3717
@afiamsangi3717 2 жыл бұрын
mmmh
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 2 жыл бұрын
Hawa watumishi wanaonewa sana na wakubwa,,,,Mungu tu awatetee.
@vwctvtanzania
@vwctvtanzania 2 жыл бұрын
Tatizo nikuto kuelewa kuwa uchungaji hausomewi darasani uchungaji niwito, nawengi walio somea uchungaji lazima walipwe ,wanaitwa wachungaji wa mshahara hata Yesu aliwaongelea hao,wito nakusomea ni viwili tofauti Sana Sana kuna haha watu wafundishwe wito na kusomea uchungaji waelewe vizuri
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 2 жыл бұрын
Kweli mtumishi, Sana ya ukombozi ni sasa. Watu hatutakii kusahihishwa, watu wanaumia Sana. Asante Mchungaji.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Ameen
@aulamongi2020
@aulamongi2020 2 жыл бұрын
Christianity is not just about Church affairs. It is about living the life of Christ everywhere! The Church is not necessarily where you go, It is who you are! The church is mobile, not static. Anywhere you go, the church goes. Manifest Jesus. Make Him known. That is Church! Love from Dad.
@yonathanmbedule492
@yonathanmbedule492 2 жыл бұрын
I approve
@ichicarodan6931
@ichicarodan6931 2 жыл бұрын
Wooooow 😇😇😇
@florencemsuya7569
@florencemsuya7569 2 жыл бұрын
Fact🤝
@nuruosward8161
@nuruosward8161 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka mpaka machoz dah Mungu akubariki
@marthabenson1112
@marthabenson1112 2 жыл бұрын
Daah jaman kunawatu wamepewa Domo la kusema ukweli kama ndo hali halisi Kwa wachungaji ilivo mmh Mtegeen Mungu kumtegemea mwanadam ndo maana yambele hamyajui yakija mnapata mishtuko. Hongera hananja Kwa kujitafuta na kujipata
@eliasakoti3413
@eliasakoti3413 2 жыл бұрын
Dr hananja wapi kitabu Cha umri na tabia ,pongezi kwa kusimama na neno la mungu
@summanelson5523
@summanelson5523 2 жыл бұрын
Masikini kumbe Mch. Hananja alisimamishwa mwaka mzima!!!!! Ana hekima sana hakusema kabisa!!!!. Kumbe tatizo Mch. E. K katangaza! Angetumia jekima atoe sababu yoyote au angeondoka kimya kimya. Alitakiwa akae kimya.
@sarahitambu5586
@sarahitambu5586 2 жыл бұрын
😭 Upo
@oscargmosha3108
@oscargmosha3108 2 жыл бұрын
Wala hakukua na sababu ya kunyamaza ukionewa lazima upaze sauti uchungu utoke ndani
@irenegoodluck2274
@irenegoodluck2274 2 жыл бұрын
Ametangaza kwasababu alikua kwenye semina sasa asingeaga semina ingeendeshwa nanani
@miriamalute1540
@miriamalute1540 2 жыл бұрын
Sasa angenyamazaje na wakati alikua anafundisha semina Halafu sio mara ya kwanzaa
@barmwa
@barmwa 2 жыл бұрын
@@miriamalute1540 kuna wakati watu huwa hatupendi kuwaza. Mazingira hayafanani hivyo EK alikuwa sahihi kabisaaa
@evamhufu7698
@evamhufu7698 2 жыл бұрын
Bora unajua hilo UNAFIKI MKUBWA KWA WAKRISTO. Asante
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 жыл бұрын
Aisee Leo ndo nimejua kwann uliamua kustaafu! Aisee , Mungu hamtupi mja wake
@jeremiahluki7896
@jeremiahluki7896 2 жыл бұрын
Ahaaaaa daaa Mchungaji mwenzangu umetishaa
@abdallahhamisiiddi4513
@abdallahhamisiiddi4513 2 жыл бұрын
Mimi ni muislamu, lakini huwa nakukubali sana mzee ,we mkweli sana
@margarethmwaibasa3697
@margarethmwaibasa3697 2 жыл бұрын
Uko vizuri mtumishi wape habari zao ni kweli unaofiki upo sana mtumushi ukiwa muwazi unatupwa nje Kimaro angetetea uovu angeachwa.
@kokudo8389
@kokudo8389 2 жыл бұрын
Nimewafollow sababu ya huyu mzee hongereni kwa interview
@angelerick8668
@angelerick8668 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa saaaana na Maneno mazuri ya Mtumishi hananja nimejengwa pia da!! Mungu atusaidie
@apostleelisha2994
@apostleelisha2994 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee hananja naona hekima na faraja duuu!!!!!!
@bropasco1127
@bropasco1127 2 жыл бұрын
Hahaha huyu mchungaji maneno yake niyakuyashika sana siyo ya kuyaacha
@janethjohnmrsjoseph2171
@janethjohnmrsjoseph2171 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣baba Mungu akuweke tuzidi kufurahia uwepo wako
@ashamdemeka
@ashamdemeka 2 жыл бұрын
Mfano sisi katoriki ni kimya kimya ata ukijua ni kwa Siri Sana . Kuweka hadharani unajenga picha mbaya kwa waamini unaweza leta mpasuko ndani ya kanisani
@Revo_silayo
@Revo_silayo 2 жыл бұрын
Bora wazi wazi hiyo kufichaficha ndio inaharibu kanisa,na kanisa halipo kwaajili ya kumpendeza mwanadamu Bali kumpendeza Bwana Yesu Boss wa kanisa.
@wilsonemanuel9915
@wilsonemanuel9915 2 жыл бұрын
Mzee nimekukubali sana mungu yupo na wew
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 2 жыл бұрын
Hahaha 😂😂😁😁 huyu mchungaji Jamani nimecheka kiukweli
@officialnalapa1527
@officialnalapa1527 2 жыл бұрын
Ila uyu mm nampenda anaongea ukwel sana aisee 😁😁
@dodoted5033
@dodoted5033 2 жыл бұрын
Kuna mambo ya siri Hananja,toboaa. Kimaro anaharibu kazi za giza na mafisi hawafurahii. Long live Kimaro!
@evelynejuvenary2631
@evelynejuvenary2631 2 жыл бұрын
Duh Mungu sikiliza haya maombi ya watumishi wako🙏
@neemadiliwa7586
@neemadiliwa7586 2 жыл бұрын
Well said
@heavenlovemusic
@heavenlovemusic 2 жыл бұрын
Ukijiingiza tu, we ndio dalali mwenyewe
@issakawaya8315
@issakawaya8315 2 жыл бұрын
Sisi waislamu twa fwata kitabu cha Mungu na sheria zake huongozi ni dhamana kila kitu kitapita Ila Mungu atabiki kuwa Mungu
@tabithajeremiah4589
@tabithajeremiah4589 2 жыл бұрын
Kuna mambo huwa yanatokea wakati MUNGU anataka kukupeleka viwango vingine.Huyu mtumishi yuko na neema kubwa sana Mungu atajitwalia utukufu soon.
@esterndambo3391
@esterndambo3391 2 жыл бұрын
Hakika
@bulabilliontz
@bulabilliontz 2 жыл бұрын
Soon
@zulfaomari2045
@zulfaomari2045 2 жыл бұрын
Jamani nampenda huyu baba anaogea vizuri sana kwakweli
@emanuelmsigwa1927
@emanuelmsigwa1927 2 жыл бұрын
Nimekuelewa mchungaji Mungu msaidie Mch.Kimaro mtumishi wako amemtumia amekuja hadi kufundisha mikutano ya Karismatic Katholic tunampenda
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 2 жыл бұрын
Mimi mkatoliki nampenda sana Dr Kimaro Yesu aonekane katika hili. Amen
@frankmandanda3015
@frankmandanda3015 2 жыл бұрын
Mch. Richard Hananja na Mch. Daniel Mgogo Big Up
@mengibusiness9632
@mengibusiness9632 2 жыл бұрын
Mzee mkweli Sana asie kwelewa wewe atakuwa na shida Mungu akubariki Sana Mungu akupe maisha marefu
@ruthjames2735
@ruthjames2735 2 жыл бұрын
Amen mtumishi ukwer ndo huo wape ukwer wao ukimy unatuua krohoo
@jantawakitaatv4534
@jantawakitaatv4534 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 movie ya kihindi mch hananja anavitu hadimu ,dah mzee huyu ndo mchungaji wa kweli anaongea ukweli sana na unaweza kuokoka mapema
@episonfelician7670
@episonfelician7670 2 жыл бұрын
Umeona e👍
@jephasonmbise9618
@jephasonmbise9618 2 жыл бұрын
@@episonfelician7670 karibu Kazi yangu
@elidarweyemamu5144
@elidarweyemamu5144 2 жыл бұрын
Msema ukweli ni mpenzi wa MUNGU,Baba ubarikiwe,mwanadamu unitishi.
@thadeusponera5720
@thadeusponera5720 2 жыл бұрын
Nakipenda sana baba angu unaongeaga ukeeli
@rehemamusa6623
@rehemamusa6623 2 жыл бұрын
Watafukuza na sauti ya Mungu maana Mungu anapitia madhabahu hizi hizi
@almarichard4941
@almarichard4941 2 жыл бұрын
Ila Hananja jaman eti karibu kwa tuliotengwa
@irenemchaki1293
@irenemchaki1293 2 жыл бұрын
Kweli baba mungu akubariki sana na ukweli
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 2 жыл бұрын
Daima ukiwa mkweli kwenye maovu unaonekana mbaya mifano ipo mingi tu.. kwenye familia,jamii,taasisi Na vitu vingine so kwa hili Mungu atafunua Kila kitu kilichojificha hakuna kuogopana Sasa ... Mungu peke yake ndio wa kumuogopa
@davidbahati3748
@davidbahati3748 2 жыл бұрын
Namba moja on trending, ama kwel we mzee Hananja una madini ya kutosha ambayo mtu wa Dini yoyote hawez choka kukusikiliza
@eltonngenda
@eltonngenda 2 жыл бұрын
Ila huyu mzee😂😂😂🙌🏽🙌🏽
@theopistaemanuel338
@theopistaemanuel338 2 жыл бұрын
Nmeipenda interview
@suzanjacob251
@suzanjacob251 2 жыл бұрын
Kumbe Huyu baba alisimamishwa 😔😔😔😔😔
@jtheophil5499
@jtheophil5499 2 жыл бұрын
Ha ha ha ha nimecheka sana.Eti baada ya week wanakuacha na Zengwe lako.
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 жыл бұрын
Safi sana, Kkkt wanaharibu sana
@veronicamwenda7449
@veronicamwenda7449 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣👊 Hananja weeee!! Eti kwani kanisa ataendanalo wapi Haina maana kung'ang'ania ndini kwani dini kitugani!!huo ni ubaguzi na udini tu. Asonge mbele Kimaro mwanaume anainamisha kichwa chini akiinuka amepata jibu.
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 2 жыл бұрын
Daaaah hiii inahitaji ujasiri kuiongelea hadharan
@fawzialmaashari9857
@fawzialmaashari9857 2 жыл бұрын
Naomba namba za mchungaji Hananja tafadhali
@gatimarwa7525
@gatimarwa7525 2 жыл бұрын
Nmecheka kwangu eti Kwan mm nmenyonya kanisani ...daahh we Mzee umeongeza siku zangu za kuishi Leo🤣🤣🤣
@deborakasambula7431
@deborakasambula7431 2 жыл бұрын
Mungu akubariki baba umeongea ukweli
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904 2 жыл бұрын
Kila laheri Baba Hananj kwa ufafanuzi mzuri,napenda Sana ukweli wako,hapo nami pia nimepata somo
@graceanalukinga7551
@graceanalukinga7551 2 жыл бұрын
Mungu asimame mwenyewe
@cadiaonesmo9660
@cadiaonesmo9660 2 жыл бұрын
Mungu sikia kilio cha Watumishi wako wanapitia Mambo magumu sana Mungu wasaidie
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 жыл бұрын
Hili Ni fundisho kwa wachungaji kuwa upatapo mafanikio usijiinue kwa kuwa Yuko mwenye kustahili kuinuliwa ambaye Ni Mungu.
@jescarlema8098
@jescarlema8098 2 жыл бұрын
Mzee anaongea point sana me ni muhanga sana wa hili
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 8 ай бұрын
Mweee Mtumishi Ubarikiweee
@hollyanne3993
@hollyanne3993 2 жыл бұрын
Mungu aingilie kati
@boniphacemmassy4554
@boniphacemmassy4554 2 жыл бұрын
HAKUNA DINI YENYE UNAFIKI DUNIANI KAMA UKRISTO.... . SIJUI NIMEMSIKIA MIMI TUU... . Aliyemsikia kama mm weka Like hapa..!!
@ankotemba7369
@ankotemba7369 2 жыл бұрын
Yupo sahihi
@remmysbrand
@remmysbrand 2 жыл бұрын
Mchungaji Hananja umewafunua wengi Sana! Ukweli ni kwamba Sasa hivi makanisa yamekuwa kama majukwaa ya siasa! Yani hakuna solidarity hakuna Faith,hakuna Love hakuna peace! Majungu kibao
@brendahngowa
@brendahngowa 2 жыл бұрын
Boss ni nani mbele za mungu acheni kumwabudu mwanadamu.kimaro mwangaliye mungu aliye kuitiya mwito ole ni kwa mafarisayo na masudukayo wanao Kaa mabarazani na kushutumu watu
@princebon1841
@princebon1841 2 жыл бұрын
Mungu akubariki msema kweli kuna wakati najiuliza hivi haya makanisa ni viongozi wake wanaongozwa na Mungu kweli?siku zimekwisha Yesu anakuja kuchukua kanisa acheni chuki
@Esthermushi5804
@Esthermushi5804 2 жыл бұрын
Mie Nathan viongozi wengi wa kkkt hawapo kiroho kbs kbs na hapa hii ishu kuna kitu Mungu atafanya tu kwa hili kanisa sasahv
@fredichaki3497
@fredichaki3497 2 жыл бұрын
Huyu Mzee ni mkweli na muazi sana
@greenermichael2057
@greenermichael2057 2 жыл бұрын
Hananja mie nakupenda huna unafiki kabisa
@kajugaa4537
@kajugaa4537 2 жыл бұрын
😅😀😀😀😀😀😀 daaah nimecheka Sana Ila huyu mzee anaongea ukweli na si muoga
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Kumbe hata Kwenye Makanisa kuna Unafiki Mwingi..eeeh..!?
@allthings1302
@allthings1302 2 жыл бұрын
Aisee kumbe kuna makubwa hivi?
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 2 жыл бұрын
Tungempata Askofu kama huyu kıla mtu angeıpenda kz.Bıg up Hananja
@adelacosmas
@adelacosmas 2 жыл бұрын
Hovyooooooooo, kiukweli Kimaro kakosea sana, we Hananja kumbe some time yes some time no bangi mbaya sana.
@omaryhawam386
@omaryhawam386 2 жыл бұрын
Kumbe kanisa linajuwa kama unakulaga mmea🤣🤣🤣
@Jesusisable-t7q
@Jesusisable-t7q 2 жыл бұрын
"Unahisi mvua inanyesha kumbe mate yangu"
@fredrickmlyuka5989
@fredrickmlyuka5989 2 жыл бұрын
Komedian Sana huyu😂😂😂😂!!!
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 2 жыл бұрын
Hahahaha 😂🤣
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" mimi wakati nikiwa sunday school,mwinjilisti wangu alikuwa anavuta sigara na bado anahudumia kanisa kabisa,sasa nilikuwa mdogo kweli lakini najiuliza mbona sunday school tunaambiwa sigara dhambi,pombe dhambi,lakini mwinjilist wangu alikuwa anavuta sigara kabisa!!!. Kuna watu wazito kkkt matajiri wanamiliki bar wanauza pombe za jumla na rejareja na ndio huwa wanafanya vitu kanisani kama viti jengo vyombo udhamini. Kwahyo kimaro katiba ya kkkt inambana sana hawezi kufanya makubwa kkkt
@Marsemosays
@Marsemosays 2 жыл бұрын
Kweli watumishi wanapitia mazito, mwenyezi Mungu awalinde na alinde roho zenu
@annambezi6226
@annambezi6226 2 жыл бұрын
Pastor ubarikiwe sanaaa
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣💛 semaaa tu baba angu kweli kabisaa ni unafk sanaa hii diniii
@munirakabullu1049
@munirakabullu1049 2 жыл бұрын
😂😂big up Mchungaji
@mangapastortee3038
@mangapastortee3038 2 жыл бұрын
Nijiite mjinga unikamate😂😂😂🤭huyu Babu hatari
@elenzianjk5543
@elenzianjk5543 2 жыл бұрын
Hahah
@nellymapesa
@nellymapesa 2 жыл бұрын
Huyu Mzee watu wanamchukulia Poa ila anongea point sana 🙏🙏🙏 hananja
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 жыл бұрын
Praise the Lord
@elizaberthpius4511
@elizaberthpius4511 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwapa kibali wachungaji wetu hasa nyie msioogopa kusema ukwel 🔥,, mmebaki wachache Kwa kwel
@mcqueenbethdaffi5656
@mcqueenbethdaffi5656 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Mch Hananja Mungu zaidi kukutunza
@dorakiyao4509
@dorakiyao4509 2 жыл бұрын
Amina baba,Susa kumzika marehemu unukiwe
@tigridamassawe6067
@tigridamassawe6067 2 жыл бұрын
Khaaa fungueni makanisa bhana kwani lazima muwe kwenye taasisi,,mchungaji wangu alifukuzwa kanisan na boss wake akafungua kanisa leo ni askofu ana makanisa mengi,,ukiitwa na Mungu umeitwa acha muda uongeee
MCHUNGAJI HANANJA ATOA TAMKO
13:46
JN Media
Рет қаралды 238 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Mchungaji Hananja akiwa na Vijana-Morogoro
45:25
KKKT-DAYOSISI YA MOROGORO
Рет қаралды 822
2 SAID MWAIPOPO    KWANINI NILIACHA UKRISTO 2/4
1:00:34
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 688 М.
MCHUNGAJI HANANJA: HAKUNA MTU ALIYEANZA NA MWANAMKE MMOJA HUYO MUONGO LAZIMA UNAPAPASAPAPASA KWANZA
59:37
Mchezakwao “mchezakwaoshow” Startv
Рет қаралды 137 М.