Rais wetu unawatia moyo sana wachezaji wetu. Hongera kwa ilo pia tunashukuru kwa matokeo haya ya leo, naimani mwenyezi mungu atatuonyesha njia🙏
@muddymuzungu435712 сағат бұрын
I told you sarah God is good
@fatmaomar833513 сағат бұрын
Tumshukuru Allah kwa kupata sare daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚
@MpoleJuta5812 сағат бұрын
Alhamdulillah tunashukuru mungu kwa kutupatie point mchezo waleo naiman ndio mwanzo mzur kwajilo ya kesho yetu Amiin
@DanielBenard-c5m13 сағат бұрын
Maturity of yanga fans God bless them
@pacomezouzoua917513 сағат бұрын
BBD the shark dickson job mungu akutunze mwanangu
@jackmabirangacharles939813 сағат бұрын
Asante Sana Kwa kazi mliofanya wanajeshi wetu
@rehemamahendeka-rm2ek11 сағат бұрын
Ni burudani tosha napo kuomba neema ni njm tu,Mungu ibariki Yanga yetu zaidi zaidi zaidi na zaidi.Asante Dube na wachezaji nyoooote !👏👏👏👏
@roudhamahmoud76312 сағат бұрын
Alhamdulilah tunashukuru mola kwa kutupatiya hicho kidogo leo mola muweza inshaalla tutasonga mbele kwa uwezo wa mungu wenye chuki nq yanga mola atawashinda
@MosesWilliam-oh8tt13 сағат бұрын
Mungu atatusaidia tutavuka salama hiki kipindi kigumu
@CafelinLawrence13 сағат бұрын
Na tutavuka kipenzi emu imgne tungeshinda vibe la hap🎉🎉
@NaomiJoseph-c9p13 сағат бұрын
Amina tutavuka salama
@GraceMarine-vo9hu13 сағат бұрын
Sio kipindi kigumu tu tunavuka robo fainal
@mohamedmagongo934811 сағат бұрын
AMIIN!
@josephatmwasanga114011 сағат бұрын
Labda kuvuka daraja tatizo mnajisahau kuwa Mc Alga na Ali Hilary ndio miamba yenye point za juu,all in all Yanga na Tp mzembe ndio miseleleko aka Mikia
@radhiamussa162913 сағат бұрын
Yaani Allah ni mkubwa anajua kukupa unachostahili kwa wakati sahihi
@pacomezouzoua917513 сағат бұрын
Tunaomba clement mzize awe anaanza jamaa anajua mpira aisee anafanya mpira kuwa mwepesi na unakuwa mwepesi kweli he is a high quality player aiseee🙌🙌 Uyu dogo namuona mbali sana Na kuna hiii pimbi inaitwa kibabage kwa kweli viongozi mnatukosea sana cjui nani alimleta pale yanga uyu kibabage
@twahaanyoni912011 сағат бұрын
Sabu sio mbaya kawasumbua sana mzize kiukweli yuko vzr
@ChenchiKing5 сағат бұрын
Hapa Rais Tunaye Kbs Mungu Amzidishiy Miaka Ya Kuhishiii✅✊✅✊
@fatmasuleiman388510 сағат бұрын
Allahamdulillah leo mwenyezimungu katupa mwanga ndio safari yetu imeanza In sha Allah
@KimomoRaston11 сағат бұрын
Leo usingizi unakuja muruaaaa kbs....viva Yanga🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@ElizabethNavuri13 сағат бұрын
Asante Mungu Leo Dube kafunguliwa na wengine wanafuata
@zawadizagota990911 сағат бұрын
Tuwe na subra inshaallah tutafika mbali 💛💛💚💚
@TatuMzuzuli13 сағат бұрын
I love my team young African daima mbele nyuma mwiko tusikate tamaa tuwape moyo wachezaji wetu
@godsonndamgoba805313 сағат бұрын
Ninachokiona hao wapenzi waloifuata timu Conco ndio washindi hasa,iliitaji uwe na moto wa kifuu ili uende ,hongereni.
@paulomasesa178510 сағат бұрын
Naomba nisikilizwe sana Yanga wakijifanya kichwa maji kuwaweka diara mwamyeto na kibabage. Mtataigarimu timu pia kimbuka mtumishi aliyemwombea dube twende timu zima tuvuke salama MUNGU wambinguni atubariki sana Amen
@shaameshaame283710 сағат бұрын
Mambo ya imani kila mtu kivyake kumbuka hii ni timu co familia ya mtu kwamba baba anatoa amri kesho watu wote tutaenda shamba.
@GraceSamwel-y6y13 сағат бұрын
Mungu ni mwema tutavuka tu kwa uweza wake.
@NeemaDaniel-j3g12 сағат бұрын
Mungu tunakushukuru na tunaomba uzidi kutuinua zaidi na zaidi waliosubiri kushindwa kwetu wakashindwe wao.
@seciliamchalo562713 сағат бұрын
Asante kwa hiki tulichokipata mashabiki tuwe wavumilivu mazur yaja haya ni mapito tu 🙏
@AzizaEliya11 сағат бұрын
Kweli dear
@hafia.05611 сағат бұрын
Sisi wanaYanga tuko imara and we don't have any worries about that. Youngs Africans 🇹🇿 we just congratulate our Team yanga Africans oyeee always the biggest club in Africans. Youngs Africans 🇹🇿 sugar sugar muwaa cream diffuser Taaamu jaamanni 😅😅😅😅😅yellow and Green vipi apo Aaaa swaffy sana eee
@yusrairakoze396613 сағат бұрын
Mungu ataweka wepesi inshallah kwakila hatuwa ni duwa🎉🎉🎉🎉🎉
@AminoKhalif13 сағат бұрын
Jeshi letu kazi inshallah hongerani❤❤❤
@alishaplate629013 сағат бұрын
Hakika mungu ni mwema kwa hiki tulichokipaya 🙏🤲
@claratango92622 сағат бұрын
Mungu awapiganie wanajeshi wetu'bado tuna Imani tutavuka,🙏🙏🙏
@RosaKaovela10 сағат бұрын
Kuna mda nakuwa na hasira adi naongea vibaya ee mungu nisameh mm na asante kwa hiki kidogo ulichotupatia🙏🙏
@Ashush-qm6lk11 сағат бұрын
Kwa uwezo wa mungu kila alokuwa na jeraha mungu atamponya kwa uwezo wake
@elizabethkalinga08229 сағат бұрын
Hongera sana sana Wachezaji Wetunjwa ku kufungua Pazia 💚💛💚💛💚💛💚
@KhairatiSulemani-t6d12 сағат бұрын
Alhamdulillah tuna shukuru bd hatuja kata tamaa I love you yanga ❤❤❤❤
@SussankhanKhan12 сағат бұрын
Mungu nimwema azidi kutupambania daima mbele nyuma mwiko
@denisdamian119011 сағат бұрын
Hongera saana rais wa yanga
@romualdlazaromwesiga963812 сағат бұрын
Hongera sana sana WANANCHI, tuendelee kutiana moyo!. More commitment to players more winning!
@GodlistenKamnde11 сағат бұрын
Tunapaswa kumshukuru Mungu kama leo ambavyo kila baada ya maneno MAWILI ametajwa Mungu na sio kujigamba kama tuliyokuwa tukifanya huko nyuma
@MarryJanuary-h5e11 сағат бұрын
Umoja ni nguvu mungu ibariki yanga yetu pamoja na bench la ufund
@innocentmmandago302913 сағат бұрын
Yes, we did it...let's go Wananchi!!
@panchovalentino35767 сағат бұрын
Pamoj sana 🫂 WANANCHI
@ShaibuhHamis-e8l11 сағат бұрын
❤ nalipenda chama langu YANGA
@aminasogo578011 сағат бұрын
Asante mungu kwa kumfungua dube
@OlivaMHANDO10 сағат бұрын
Da, Asante Baba mwenyezi kwa yote aminaaaaaaaaa
@ZuhuraAwadhiСағат бұрын
Heris ana norej kubwa sana amewaacha mbali sana marais wa vilabu vyengine barani afrika waliomchagua kuwa rais wa vilabu balani afrika wanaujua ukubwa wa akili yake ishaallah kwa uwezo wa Mwenyezi mungu tutavuka nyakati hizi ngumu
@kidawajuma95978 сағат бұрын
Alhamdulilah tutavuka salama in shaa allah 🙏
@EvodiaRwetwa13 сағат бұрын
ata tukishia makundi tutakubaliana na hali kwa sababu mazur tulipata ivo na mabaya tusiyakatae jamani na raisi wetu hers said katupa furaha sana ivo atuwezi kufurai kila sku kumbukeni na kuanguka kidogo maana ipo sku ttakaa sawa
@thabithamagnus63812 сағат бұрын
Hongereni wachezaji wetu,msikate tamaa!nasi wananchi tunaendelea kuwaombea na kuombea club yetu isonge MBELE
@hamisishabani407213 сағат бұрын
ASANTE SANA WANAJESHI WETU.MMEONYESHA UKUBWA WETU!! VYOVYOTE ITAKAVYO KUWA TUKO PAMOJA!!! HII NDIO TIMU YA WANANCHI,HAISHI MPAKA IISHE!!!
@norahhamisi142012 сағат бұрын
Mungu niwema kila wakati na hamtupi mja wake YANGA mwanzo mzuri
@MrMelody64713 сағат бұрын
Tim apewe uyo kocha alie toka kmc
@Happynesi-d4k12 сағат бұрын
Mungu ni mwema sana jamani mungu azidi kuwapigania
@SaddhBrand10 сағат бұрын
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚 💚 💚 💚
@MubarakaNassoro13 сағат бұрын
Tupambane hvohvo tutakaaa saw ten tutakiwa zaidi ya mwanzo hiki NI kipndi cha kifupi cha mapito
@muddymuzungu435712 сағат бұрын
Aziz ameanza kutulia naomba apewe muda! Alhamdulillah
@FatumaAlly-z4s13 сағат бұрын
Amina innshallah❤❤❤
@ElihurumaQaymo10 сағат бұрын
Mwenyezi mungu atutangulie
@NEEMAMGONA8 сағат бұрын
Hakika mme pamban nilikua naplesha mimi kama shabiki kabl ya mchezo tulivo fungwa plesha ikashuk je najiulize nyie wna jesh wetunao sukuma guludum huwa inakuaje pole san na hongera pia nitakua mwanadamu wamwisho kuamin kwamba hatuta shinda tuna wapenda na tunawaombea mzid kupambana❤
@devothaignatius525610 сағат бұрын
Tnamshukru mungu sanaaaa
@ElitrudaMsaki8 сағат бұрын
Mungu hafanya njia pasipo na njia napale binadamu anapokata tamaa ndopo Mungu huonesha Ukuu wake .Asante Mungu kwa kumtumia mtumishi wako kumtoa kifungo mtoto wa watu (Dube).Nakuomba Mungu ukafanye vivyo hivyo kwa Aziz K maana huyu sio yule Aziz tuliyemzoea
@OfficialKajenga11 сағат бұрын
Hers anaupendo na wachezaji wake
@filemonkwaja618110 сағат бұрын
Yanga bingwa
@hassanchapa770911 сағат бұрын
Kazi nzuri
@bensongodfrey13 сағат бұрын
Mungu ni mwma jamani 😅😅😅
@PiusMalifedha11 сағат бұрын
Yanga keep going msikate tamaa. Sisi tunawashabikia Kwa kila khali
@thabithamagnus63812 сағат бұрын
Kweli kabisa na nimegundua kulia machozi kunaruhusiwa,ila kukata tamaa hapana,maana machozi ni ishara ya kumsogeza mtu mbele kwa mafanikio
@hafia.05611 сағат бұрын
One billions supporters allover the world 🌎 we support Youngs Africans vipi apo lakini sugar muwaa 😅😅😅😅😅
@robbyman621311 сағат бұрын
Amen
@MuslihiShafii9 сағат бұрын
Shukurani nyingi kwa allah
@kahamashinyanga13 сағат бұрын
Mzize katuokoa bila mzize ata dube asinge funga goli
@KidumeRashid13 сағат бұрын
Leo kidogo nimepumua kwa hiki kidogo tulichokipata wachezaji wetu fungueni mioyo yenu faraja irudi kwetu kwani huku kwenye nbc refa mmoja amepewa mcheto za yanga kwahiyo kazi kwenu
Hii timu ni Aucho, Pacome, Max, Mzize Job sasa sijui huyu kocha anafeli wapi
@muddymuzungu435712 сағат бұрын
Na kwa nn kocha anamtoa Max?
@MubarakaNassoro13 сағат бұрын
❤❤
@oswardlonginoosward983213 сағат бұрын
Amina
@terrence947713 сағат бұрын
Umoja kwenye klabu engineer tunakuomba,unganisha makundi yenye ukakasi. Hao akina magoma namanara angalieni namna ya kuwa-accommodate. Kukiwa na umoja tutashinda,utengano ni udhaifu.
@aminaomari231212 сағат бұрын
Ni kweli
@SalumMusa-f5l12 сағат бұрын
Umeongea ukweli together we can
@wizboyfriend8 сағат бұрын
Sema huyu rais anapenda sana kiki.. Hilo si tawi Lao lipo lubumbashi kawalipia tiketi wamshangilie sasa kwa matokeo gani hapo mnashika mkiaa na kipoint chenu kimoja AMPHIBIA 😂😂
@SalimuMuhamedi-p4r13 сағат бұрын
Kabisa yan huyu dube namkubal sana ajab kua hatakiw
@AishaNgoyi-vi2ku13 сағат бұрын
Acha uongo na ww
@hk_ballers8 сағат бұрын
We love this club
@AnnaMzava-o2j13 сағат бұрын
Asnt Mung
@Platymoh177 сағат бұрын
Congratulations🎉
@Ba6382812 сағат бұрын
Si haba pamoja sana wachezaji safari njema kurudi home
@EnockJilius11 сағат бұрын
Ni kweli tuwe na subila tu wanayanga tuwape sapoti wachezaji wetu kwamatokeo ya Leo
@Tassyomy13 сағат бұрын
Nani Kawaona Makolo Wakiimba GSM..😂
@naimasbuguza239511 сағат бұрын
Hii inaweza kuwa Turing point... Ila kocha cjamuelewa
@EstherJoseph-o8l12 сағат бұрын
Kwao kama kwetu tu 😊😊😊
@ellsonmkonyi131911 сағат бұрын
Hilo vibe n la sare😂😅
@yohanasiminzile209611 сағат бұрын
Nauona upendo mkubwa wa Agape tuendelee kuwaombea wote wafanye vizuri mpaka fainari
@NasraAbdalla-nl3jf9 сағат бұрын
Wananchi daima mbele
@ElitumainiGodwin13 сағат бұрын
Moral imerud kuna mtu atachezea nying
@AsanikibuyuAsanikibuyu12 сағат бұрын
Lakini mashabiki wenzangu sisi wote tunaitakia yanga ushindi tusitoe tena maneno malaika waje tusikufuru jaman tumuombe msamaa mungu tusirudie tena
@frankevaristo69188 сағат бұрын
Yanga timu yangu Kwa Hali yoyotesita isaliti
@AishaNgoyi-vi2ku13 сағат бұрын
Nice
@HusnaSaid-t6y11 сағат бұрын
Mungu atawalida mbeleni tunaombea
@AbdallahFidel12 сағат бұрын
Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu tutafuzu
@songombingo10812 сағат бұрын
Ukweli tumepata point moja lakini timu imeshuka sana kiwango
@ameirzapy131812 сағат бұрын
Haikuhusu 😂
@MohammedAbdallah-db6ed11 сағат бұрын
Huku ndo sehemu ya kubadilishia nguo sio powa
@Zpauljr99412 сағат бұрын
Tuna mechi 4 za ligi kuu kabla ya mazembe hizo ndo zitakazorudisha utimamu wetu