#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 57,682

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 210
@musakibwana4596
@musakibwana4596 4 ай бұрын
Umejitahidi sana dadaa, inakaa kama ni muda hujatulia ukasoma lkn utakapotulia In Shaa Allah utasomna kwa ubora zaidi. Tunakuombea ufuate nyayo za Snura na soteni Mola atuongoze.
@rehemasalim2720
@rehemasalim2720 3 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi na wewe my sis Isha inshallah Mungu akuongoze....
@saidmassoud9283
@saidmassoud9283 4 ай бұрын
Sasa mm nauliza ndugu zangu waislam hii qur an Allah katuletea kwa ajili ya kufanya mashindano tu basi? waislam tuamkeni qur an Allah katuleteya ili iwe muongozo ktk maisha yetu. Sio ibakie kushindana tu kwenye maisha yetu zero. Itakuwa lengo bado halijafikiwa
@zainabzain3434
@zainabzain3434 4 ай бұрын
Sahihi
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 4 ай бұрын
Umesema kweli kabisa Allahu baarik
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 4 ай бұрын
Bismillah mashaallah ❤
@ashaali7154
@ashaali7154 4 ай бұрын
Kuhamasisha vijana na watoto kushindana ni jambo zuri kwani inatia nguvu kwa vijana kuijua dini na kuifuata kwa makini. Ni mafunzo kwa njia nyingine. Hakuna kosa kufanya mashindano ya dini yake mtu ndio kuijua kwa undani zaidi na kuifuatilia haitakuwa shida.
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 4 ай бұрын
Umesema kweli MASHINDANO LENGO NINI?NI KUONA MALAYA WANASOMA QURAN.HATUHUKUMU ILA HAO WANAMUZIKI WANACHOCHEA SANA ULEVI,ZINAA,NK LEO STARA IPO WAPI?
@SirajukhalidiMsolokelo-g9p
@SirajukhalidiMsolokelo-g9p Ай бұрын
Mashallah binafsi ninakuombea Kwa Allah akuzidishie
@salhakhalfan6513
@salhakhalfan6513 4 ай бұрын
Mtihan jamani jamani jamani aya zipo hivo kweli,, sura ni alkahf lkn pia kasoma vitu tofauti maskini,, ALLAH akujaalie usome vizuri In Shaa Allah
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 4 ай бұрын
Namimi najua ni surat Kahf
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 4 ай бұрын
Kule alianzia aya ya 7/10 aya ya kumi... sio Iqra na hakuna surat Iqra ila ni Surah Al-Alaq
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 4 ай бұрын
Allah atuongoze sote hakuna mkamilifu Ila Allah
@hanifa9153
@hanifa9153 4 ай бұрын
😢😢😢
@SmilingAlpineVillage-ee7if
@SmilingAlpineVillage-ee7if 4 ай бұрын
Jamani amejitahidi
@OthmanSuleiman-t7t
@OthmanSuleiman-t7t 4 ай бұрын
Mashallah,upo vizuri ktk uelewa wa dini na huwezi kuyumbishwa.
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef 4 ай бұрын
Nawapenda sana waumini wa kiislamu wote duniani mungu awape afya njema awajalie mahikamano wenye kheri na wenye kumfurahisha mola wetu❤❤
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 4 ай бұрын
Mashallah Isha mashauzi yuko vizuri kaongea pont mashallah
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 4 ай бұрын
Mashallah hongera ❤❤❤❤
@SabeehaSaleh-sg8qj
@SabeehaSaleh-sg8qj 4 ай бұрын
Isha hio ni surat lkahf lkn jitahidi umekosea Sana kusoma hakuna mkamilifu lkn napenda uwe ukisoma chukua mas_haf uangalie huruuf vizuri nakupenda kw ajili ya alla
@saidahassan1907
@saidahassan1907 4 ай бұрын
Ni kahf ila ameichanganya na pia amekosea kosea
@rahmahsaidomar9111
@rahmahsaidomar9111 3 ай бұрын
Sura ni Al-Kahf sio Iqra
@rahmahsaidomar9111
@rahmahsaidomar9111 3 ай бұрын
Amekosea sana sana. Allah atuongoze sote.
@UmulkulthumShabani
@UmulkulthumShabani 4 ай бұрын
Mashallah Allah akuongoze hivyo hivyo ndugu yetu ❤❤🙏🙏
@maulidympembeta6045
@maulidympembeta6045 4 ай бұрын
Maashaallah Dada yetu Allah atuongoze sisi pamoja na wewe umependeza Kwa kwel mavaz ya stara hayajaacha kumpendeza mtu. You look beautiful smart but kwenye Qur'an usingesoma pale muandishi alipo kuhitaj kusoma sabab umesahau mno Yan umeibananga hasa hiyo Qur'an, heruf ulizotamka sizo maneno sio ila saut maashallah. Nataman kama ningepata nafasi ya kukaa na wewe ili tuelekezane katka Hilo
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Ujuwe itakuw kasom zaman ile yakusom bila kuelew zile fatakha qasera hiv iponsiku atasom vizur
@Maerys-xm8xt
@Maerys-xm8xt 4 ай бұрын
Ww unasema qur'an imejaa makosa,uliisoma ww kafiri siyo mambo yako, huwezi kuipenda kamwe.
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 4 ай бұрын
ALLAH AKUONGOZE ATUONGOZE NA SS PIA SOTE AMIIN AMIIN 🤲🏽
@mshambaused3840
@mshambaused3840 4 ай бұрын
Ni surt kahafi
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 4 ай бұрын
سبحان Tuisome dini yetu Qur'an Dada ang Ameisom mimakosa Lkn pia amejitahid Allah amuongize zaid hio ni suratulkahf hakuna surqtul iqraa 😢😘
@AbdallahOmeni
@AbdallahOmeni 4 ай бұрын
Allah akuongoze dada Isha Namibia aniongoze anshaallah
@dashuu2352
@dashuu2352 4 ай бұрын
Kahfi sio kahti Lakn maa Shaa Allah umejitahid
@AliSuleiman-bo5gq
@AliSuleiman-bo5gq 4 ай бұрын
Ddng aisha ramadhan Ali makonga hio ulio soma ni suratul kahf na sio suratul iqra....una sauti nzri mashallah 💖 ila kuma makosa ambayo yanahitaji kurekebishwa
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 4 ай бұрын
Mungu naww akutoe huko uliko akurudishe Kwenye njia nzuri iliyo nyooka Kwa Allah
@aishakea6520
@aishakea6520 4 ай бұрын
Masha Allah umejitaahid ila ni suratul kahfi.....na sio ikrah...Allah atuongoze wanawake wote yaarabih
@hashtagdarling4738
@hashtagdarling4738 4 ай бұрын
Masha Allah
@noormohamed-tt4fg
@noormohamed-tt4fg 4 ай бұрын
Mashallah ila jitahidi usome vzur kuna sehem unakosea matamshi nakubadilisha maana iyo ni surat Kahaf imesuniwa kusomwa kila ijumaa
@HamadFakiOthman
@HamadFakiOthman 4 ай бұрын
Subhallah Bora usingesoma sura iyo ungetafuta sura ya Aya tatu Tu ukasoma duh
@hassandalida7506
@hassandalida7506 4 ай бұрын
Ni Aibu sana kwa umri ulonao ukawa hujuwi kusoma qoroani na kwa kweli muziki unauweza jitahidi na qoroani ujifunze sio kusoma na kugeuza aya za Allah
@Takrimah2024
@Takrimah2024 4 ай бұрын
Qur an si Qoroan
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 ай бұрын
😂tumpemoyo inshaallah mana kama ingekua anaisoma kilasiku ingekua msomi mzuri sana mashaallah
@cheka480
@cheka480 4 ай бұрын
Usiseme hivyo yeye sio mkamilifu, kitu ambacho nimegundua wengi walikosa malezi ya uchamungu kwanzia wadogo so we should not judge them
@susanejd7775
@susanejd7775 4 ай бұрын
Wewe hassan uko wako mzima wanaweza kusoma quraan hata kwa makosa alosoma aisha? Ndugu zangu toeni makosa lkn mumpe moyo pia kwa alichokisoma. Haiwezekani kwenu wote wamehifadhi quran vizuri wacha uhasidi
@susanejd7775
@susanejd7775 4 ай бұрын
​@@cheka480Umenena vyema Allah akuweke
@mrsab303
@mrsab303 4 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@mozaally7643
@mozaally7643 3 ай бұрын
Sub hanallah allah aluongoze dada soma qur-ab
@mwinyihijajumaa3773
@mwinyihijajumaa3773 4 ай бұрын
Mashallah Isha umejitahidi sana
@halimaali3719
@halimaali3719 4 ай бұрын
Amini yarabi mungu atuoze sote asanite dada
@SadaCute-g1b
@SadaCute-g1b 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu atuongoze sote kwapamoja na ayarekebishe makosa
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 4 ай бұрын
Isha nimekuskiliza vzuri sana sana ila kama huswali pepo ya Allah s w utaisikia tu
@HusnaMussa-q4m
@HusnaMussa-q4m 4 ай бұрын
Allah akuongoze isha inshallahu
@mshambaused3840
@mshambaused3840 4 ай бұрын
Qur an ni katiba Wa maisha ya viumbe wote
@ammaryabubakari6121
@ammaryabubakari6121 4 ай бұрын
Allah akusamehe na atusamehe
@mzuhatngambwa3497
@mzuhatngambwa3497 4 ай бұрын
Mashallah mungu akuongoe
@shabanindadaye480
@shabanindadaye480 4 ай бұрын
Inshaa Allah Allah akuwongozepia naweye mwenye djinalangu🤝🤲
@surusuru1994
@surusuru1994 4 ай бұрын
❤❤mashaallah❤
@islambinomar8716
@islambinomar8716 4 ай бұрын
Duh mama kakariri hata kasahau ni sura gani pole sana
@RamlaMohamedy-sr1pe
@RamlaMohamedy-sr1pe 4 ай бұрын
Mashalla
@hategekimanaabubakat4236
@hategekimanaabubakat4236 4 ай бұрын
Masha Allah unasoma vizuli
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 4 ай бұрын
AMIN AMIN Amiyn mwenyezimungu atakupa kile chenye kheri na wewe.
@rabiahajjiali1044
@rabiahajjiali1044 4 ай бұрын
Amin
@fahadfahmy
@fahadfahmy 4 ай бұрын
Mimi siokama najua sana ila mtu anapokosea akosolewe,Hapo Sister Aisha umekosea unachanganya aya hiyo ni surah Alkahfy nasio Iqraa'
@zoab2699
@zoab2699 4 ай бұрын
Nakupenda sana dada aisha kwanza samahani hizo tatu plz zifute we ni mwanamke wa ki islaam na nimkubwa haijuzu kujichora tatu nakupenda
@MusaMuhammed-f4l
@MusaMuhammed-f4l 4 ай бұрын
Hiii ni al kahf sio iqra na makosa kibao ila sihaba mungu atuongoze sote
@mwajabually6738
@mwajabually6738 4 ай бұрын
Makosa yapo ni kiasi cha kurudi darasani elimu haina mwisho nakupongeza sana ktk kumpongeza Snura
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 4 ай бұрын
❤❤❤
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 4 ай бұрын
Duh eti surat ikra ao surah al kahfi
@SwalehAbdalla-w2k
@SwalehAbdalla-w2k 4 ай бұрын
Alishasema Allah,atakae yawacha yangu nami nitamsahaulisha yangu
@msabahkhamis9438
@msabahkhamis9438 4 ай бұрын
Innaalillah wainnaa ilaihi raajiuun
@alsam4881
@alsam4881 4 ай бұрын
Huyo Isha mashauzi ni kioo cha jamii lakini matendo yake hayapendezi ktk jamii na wala hayampendezi Allah, kwasababu kwanza anazini na mwanaume ambaye siyo mume wake wa halali na kumuonyesha hawara yake mitandaoni bila ya hofu, na pili ana matatoo kajichora mikono yake yote na pia ni muimbaji wa taarabu huyo, Innalilahi waina ilahi Rajiun.
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 4 ай бұрын
hakuna mkamilifu kweny hii dunia
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 4 ай бұрын
Kweli ila hiyo ni kitu wazi​@@aboudijaaboudija
@aishahamis1609
@aishahamis1609 4 ай бұрын
Muache ahukumiwe na Allah usimuhukumu😢
@sinawsinaw6201
@sinawsinaw6201 4 ай бұрын
Musimuhukumu,mtu,kwa,matendo yake allaah ndio mjuzi kikubwa tuombeane tuh soote tuna makosa
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 4 ай бұрын
@@sinawsinaw6201 ndio maana katika mashindano ya Quraan tukaekewa wenye kuwahukumu wanaosoma kimakosa Aya za mungu
@MozaSuleiman-x8p
@MozaSuleiman-x8p 4 ай бұрын
Dah mtihani kwa kweli sura imejaa makosa kwanza asw-habi l kahfi sio aswhabi l kahati , pia iyo ni suratul kahfi sio suratul ikra, na iyo ikra unayoizungumzia inaitwa suratul kalam
@hasnakid
@hasnakid 4 ай бұрын
Samahan Akhy , Suratul qalam ni nyingine na hii Iqraa inaitwa suratul alaq.
@AbdallaSultan-pg6pv
@AbdallaSultan-pg6pv 4 ай бұрын
kazi kukufuru tu kur-an yasomwa ivo na iyo si surat ikra
@brutzuberi
@brutzuberi 4 ай бұрын
mashallah
@مريمالبلوشي-ن2ح
@مريمالبلوشي-ن2ح 4 ай бұрын
Mtihani huu
@mwajohari4385
@mwajohari4385 4 ай бұрын
Suratil kahfi,,,Allah atusamehe
@brutzuberi
@brutzuberi 4 ай бұрын
makafiri wanaumia sana
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 4 ай бұрын
Qur an umesoma sivo
@GhaniaSaid-u5k
@GhaniaSaid-u5k 4 ай бұрын
Anaehamasisha kwny wema leo anatumika kuhamasisha kesho kwenye uovu yarabbi wauwe wote huko
@ShabaniKhamis
@ShabaniKhamis 4 ай бұрын
Allah ndiye mjuzi, ndomana Mwenyezi Mungu hatosita kumsamehe mtu mata tu anapomuomba toba na hata baada ya hapo akienda kufanya dhambi tena akiomba toba mtu huyo Alla(s.w) humsamehe, ni vyema kuombeana dua kuliko kuhukumiana na kuangamizana hivyo...
@AishaManamba
@AishaManamba 4 ай бұрын
Mashallah
@mozakhalfansaid7246
@mozakhalfansaid7246 4 ай бұрын
Subhana Allah, yani machozi yamenitoka, Allah atuongoze sote, yani umehifadhi maneno ya ALLAH, alafuu bado unaimba? Allah atuhifadhi sote,😢
@hanifa9153
@hanifa9153 4 ай бұрын
Daah makosa kibao ata sura anayosoma haijui nikama anackilizaga tu qurian juu juu alafu anafatisha kama taarabu Inshaallah Allah amuongoze atuongeze na cc zote mtihan kweli kweli😢
@tygatest525
@tygatest525 4 ай бұрын
Rudi Madrasa
@rehemahussein3319
@rehemahussein3319 4 ай бұрын
Ikra tenaaa?
@Sayfullah-f3j
@Sayfullah-f3j 3 ай бұрын
Assalamu a'laykum warahmatullahi wabarakaatuh tusiifanyie mzaha qur,aan sio ya kuchezea😂 tunamkasirisha allaah atunusuru yaarab tukae darasani tusome na kufanyia kazi
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 ай бұрын
Tuende na nia njema kwa ajili ya Ibada sio kwa nia nyengine
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 4 ай бұрын
Ktk uislam sahihi hata sauti ya mwanamke baleghe inaweza ikawa ni uchi mbele ya wanaume wanaofaa kumuoa, acheni uzushi..Qur an sio kitu cha mchezo. Dini imekamilika hakuna jipya tunaloweza kuongezea kuliko bwana mtume s.a.w.
@farijala1
@farijala1 4 ай бұрын
Kajisomea zake Kimakosa Jmani. Duu Hii Iqra Mpya kabisa. Sema Wanakuwa Busy Kusoma na Kutunga miziki
@أبوشريحابنمهدي
@أبوشريحابنمهدي 4 ай бұрын
Hhhhh😂😂😂
@salhakhalfan6513
@salhakhalfan6513 4 ай бұрын
😂😂
@salhakhalfan6513
@salhakhalfan6513 4 ай бұрын
Mwenyewe anaisema kiujasiri kabisa ikra
@RehemaMandai
@RehemaMandai 4 ай бұрын
Yaan dada isha kaa ukitambua Allah ukimuacha hapungukiwi chchte isipokuwa ww utabaki mwenye hasara, tazama quran ulivyoichanganya.
@salmaali7080
@salmaali7080 4 ай бұрын
Surratull kahhff jamani wasoma surra huijui,subhanallah
@HusnaMussa-q4m
@HusnaMussa-q4m 4 ай бұрын
Surratul kahaf na sio ikra
@mohamedasha3130
@mohamedasha3130 4 ай бұрын
Jaman msilizeni vizur kasem ni sura gani au mbwembwe au kasahau kuitaja suart Al kahf yy anasem nisurt ikra
@MymunaUlaya
@MymunaUlaya 4 ай бұрын
Wamoto isha mashallah
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 4 ай бұрын
Astaghfirullah tinafanya mzaha na Aya za Allah linabeluwa kum ayyukum Ahsanu aamala wa inna lajaiiluna 😢😢😢😢😢
@beauty2239
@beauty2239 4 ай бұрын
Saut nzur ya sana mashallah kumbe mnajua kusoma
@GhanimaHamadi
@GhanimaHamadi 4 ай бұрын
Jamani mnatangaza mashindano ya qur,an au mtangaza mawiyo tuambiane apo
@aooshosho4255
@aooshosho4255 4 ай бұрын
Mashallah but jaribu kuifanyia mrajati sana
@umbopaday
@umbopaday 4 ай бұрын
Amekosea aya na ameruka baadhi
@HalimaSalehIssa
@HalimaSalehIssa 4 ай бұрын
Kwanza mwenye kuisoma Quran anatakiwa kuanza kumlaani sheitwani kisha kusoma bismillah rrahmani rrahiim... na unapo soma uwanze mwanzo wa aya... Quran ina heshima zake
@fatmasaid3536
@fatmasaid3536 4 ай бұрын
😅😅😅jamani hii kweli ni iqra? Dada tunafaham jtihada zako za kutudi kwa Allah na inshAllah utafaniliwa maadam una niya ila tu nakuomba usichokijua usi comment ama usijibu hadi upate ilmu vzr ya kutosha. Ni sura ya KAHF wala sio kahT unavoisoma na makosa yamo mengi sana ila kwa uwezo wake Allah utafaulu hongera sana umejitahidi Allah akuhfadhi
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 4 ай бұрын
USOMAJI WAKE UNA MAKOSA MENGI; AMEISI KWA MUDA MWINGI NDO SABABU. PIA SURA SIO IQRA, BALI NI KAHFI MAA SHAA ALLAAH! إِنَّا جَعَلْنَا مَا عَلَى الأَرْضِ زِينَةً لَّهَا لِنَبْلُوَهُمْ أَيُّهُمْ أَحْسَنُ عَمَلا وَإِنَّا لَجَاعِلُونَ مَا عَلَيْهَا صَعِيدًا جُرُزًا أَمْ حَسِبْتَ أَنَّ أَصْحَابَ الْكَهْفِ وَالرَّقِيمِ كَانُوا مِنْ آيَاتِنَا عَجَبًا إِذْ أَوَى الْفِتْيَةُ إِلَى الْكَهْفِ فَقَالُوا رَبَّنَا آتِنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً وَهَيِّئْ لَنَا مِنْ أَمْرِنَا رَشَدًا
@mwanaidkivarutu9315
@mwanaidkivarutu9315 4 ай бұрын
Naam ni surat kahf
@YasminYasmin-vj5ih
@YasminYasmin-vj5ih 4 ай бұрын
Kahfi bwana sio Igraa
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 4 ай бұрын
Hiyo si Qur an alioteremshiwa Muhammad, labda in ile iliotungwa na mayahudi wa America. Chakua moja kat ya mawili, kunyoa au kusuka!!!.
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 4 ай бұрын
Kusoma quran sio kufata misingi ya dini aachane na snura aendelee kulea vjana kwanza wala hajalazimishwa kumrudia Mungu Hata wachungaju wajua kusoma quran
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 4 ай бұрын
swali jingine kwa anaejua anifafanulie vzr! hayo mashindano ni ya vijana wadogo au watu wazima waliokwisha balekhe!! na je vp hukmu ya mwanamke aliyekwisha balekhe kuipaza saut yake kwny kadamnas ya wanaume?? sina lengo baya kuuliza hv ila anaefaham vzur anifafanulie
@WARDAKHALID2024
@WARDAKHALID2024 4 ай бұрын
AYA ANAZITAMKA SIVYO NA SURAT SIYO ALIISOMA HATA PUMZI ZA KUSOMA HANA LAKINI NYIMBO ILILANIWA NA ALLAH ANAYOPUMZI MOLA WANGU MREJESHE KATIKA MSATRI KIUMBE CHAKO ANAKOSEA NI SURAT KAHF HATA SURAH HUJUI SURA NGANI UNASOMA TUU VIPI UTAMUONGOA IPTIDAYATY?? ISHA IMEISHA KWELI
@rehemahussein3319
@rehemahussein3319 4 ай бұрын
Duuuuuuh
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 4 ай бұрын
Sio kat mi Qahf hii sio nyimbo ni Quran unaimba au unasoma iyo ni surat al kahf ni sura ya 18
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 4 ай бұрын
Sio rutul ikra ni suratul lkaafi
@halimawahalimawa8956
@halimawahalimawa8956 4 ай бұрын
Hiyo sura sio iQra hiyo suuratul kahafi
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 ай бұрын
Hyo Quran imejaa makosa mengi sana! Achana na mziki umrudie mola wako,una sauti nzuri lakini Kisomo chako kimejaa makosa chungu mzima😢😢😢
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Ndo hiv inshaallah ipo siku atasom vizuri
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 4 ай бұрын
Wee msafi??
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 ай бұрын
@@AbdulhaamidSoud kwani mchafu ndo haruhusiwi kutoa ushauri???? we vp
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 4 ай бұрын
​​@@AbdulhaamidSoud usimtetee amesoma sivyo kabisa, yaani amekosea sana, si kidogo. Na unaposoma Quran sivyo unabadilisha maana yake.
@jokhakassim-nl8hj
@jokhakassim-nl8hj 4 ай бұрын
Amekose sana na ni suratul kahfy ila amevurugavuruga Allah Allah mrudie muumba wako ndugu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
😂😂😂wacha nicheke unasema kuamrisha mema kukataza mabaya wakati ww shetwani no moja unaomba muziki hasa shetwani toka lini akakataza maovu wakati mwenyewe ndo mfanya maovu hii dini watu wanaichukuliaje mbona waichezea sana acha muziki Kisha tubu kwa Allah utaenda kumueleza Nini na miziki uloimba duniani na umepoteza wengi na hao bakwata nao hawaoni watu wa kuwapa nafasi kama hizi.daaah watu wanaichezea dini imekuwa viigizo
@idmhamza4864
@idmhamza4864 4 ай бұрын
Suratul kahaf na sio iqra tubu kwa anllah umri ulio nao sasa ni ishara kuwa mda wowote unarudi kwa mora waako
@MwamvuaSalum-c5t
@MwamvuaSalum-c5t 4 ай бұрын
mbn km anaimba jmn
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 4 ай бұрын
Sasa dada Aisha unakwa.a wapi
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 ай бұрын
ila ameikosea kosea sana Allah atupe elimu
@saidahassan1907
@saidahassan1907 4 ай бұрын
Umebananga ila ajipe muda wa kudurusu ili apate kusoma vizuri
@Mydearyasin
@Mydearyasin 4 ай бұрын
Usomaji wake mpaka raha
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 4 ай бұрын
Mashauzi 😂 Iqraa Allah Akbar ikiwa kweli watoto wako wanasoma madrasa wasomee Aya hizo kisha uwaulize ni sura gani hii
@HamisiMilyango
@HamisiMilyango 4 ай бұрын
Viongozi wa hiyo Jumuiya hv hamfahamu kuwa huyu mliyemwalika si mtu sahihi? Amekiri mwenyewe amejichora mwilini na kama hvyo ndivyo Uislamu unasema nn kuhusiana na hilo.
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 4 ай бұрын
In shaa Allaah tunawaombea muache na miziki haram
@HaririHamisi
@HaririHamisi 4 ай бұрын
tukaujaze uwanjaaa
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 ай бұрын
Sio kujionesha kwa wtu
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [36] SEASON 2
25:50
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 30 М.
Snura afunguka yote kuhusu kashfa za kudamshi na  KIBEN-TEN
19:22
Wanawake Mwalimu wao ni Kipofu
1:13:58
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 9 М.
MUME WA SNURA ALIVYOCHUKUA KABIDHIWA MKE FULL SHANGWE
8:22
Bona Tv
Рет қаралды 154 М.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН