#clamvevo KIJANA WAHOVYO ENJOY GOOD DAY INSTAGRAM: 👉🏽 clamcris_?igshi... TIKTOK: 👉🏽 www.tiktok.com/@clam_cris?_t=... FACEBOOK : 👉🏽 profile.php?... 🧑🏽💻BUSINESS = utopolovevo@gmail.com
Пікірлер: 368
@rexkimanzi1739 Жыл бұрын
mkenya hapa...lakini nakutambua sana clam,,,,,,,,kazi swafi kweli fumbo hili😄😄😄😄
@deborahkabulo826 Жыл бұрын
J'ai oublié de vous je ei pour mom OKuz vous êtes bien arrivés
@rexkimanzi1739 Жыл бұрын
really?? @@deborahkabulo826
@user-bg9cr4pn2p9 ай бұрын
Tukopamoja mimimkenya
@Ramah1627 Жыл бұрын
Nipeni za wakenya Leo nami mkininyima ntakua cjapenda😂
@christonchristian7448 Жыл бұрын
sitapentaaaaaa😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@richvannyrichie Жыл бұрын
Mi najitwa Richvanny mdau mmoja shabiki wa clam vinoma yaani ...wanangu tukisema waigizaji clam vevo number one Africa wapi love ya clam wadau tuziwekeni hapa kuwakilishaaa
@rashidkupete3611 Жыл бұрын
Clam kila la kherii nakubaliii Sanaa kazi zakooo sikupingiii
@edwinjohn6334 Жыл бұрын
Tunao kubali talent ya clam vevo tupige like hapa 🔥🔥
@thomaskarama3521 Жыл бұрын
Hii ni fumbo kweli mtu humujui huwezi mupeleka nyumbani🙌👏👍🇨🇩🇨🇩
@user-gv3si2mv3l10 ай бұрын
Yeah i once helped a tz boy alikuja. Kwa kibandani yangu ya chips akiwa njaa hana pesa nampea akaomba maji kuenda nunua akaiba pesa zangu NA simu yangu😭
@richvannyrichie Жыл бұрын
Narudia tena clam unawaza sanaaaaa unyama mwingiiii🎉🎉🔔🔉🔉
@selekingstar Жыл бұрын
Clam the best comedy African
@emmanuelgongoro1014 Жыл бұрын
Hii story kali sana...wananikumbusha enzi za kanumba hawa waigizaji❤❤❤❤
@jacklineshayo3962 Жыл бұрын
jaman leo nmechelewa dakka nane ty naomben likes zenu apa kwa clam
@ShawnLexonke_ Жыл бұрын
Keep them coming 🔥🔥🔥
@dzimonbrownofficial6225 Жыл бұрын
Napenda kazi zako zote kaka Nakufananisha na Kanumba big up 💪
@Painkiller50689 ай бұрын
Nakukubali clam vevo na kama mimi nataka kujiunga na wewe na niko Kenya inakuwaje
@Director_junjo Жыл бұрын
Mbwa clam unanimalizia bando langu Kila siku 😂😂😂😂😂😂😂, story Kali sana big up brother
@tomsonsalita6329 Жыл бұрын
Clam we ni balaa. Congo 🇨🇩 tuna kupenda
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
Dah! Clam umetuandalia nn maana FUMBO lizadi kua FUMBO kweli
@messaabbas739 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤,, waaah,,ila kweli hili fumbo 🙆🤣🤣🤣🤣mimba ya mchongo 🙄 Alaah 🤔
@abdulmiyugi Жыл бұрын
My nomber one😂😂😂
@shamsahasan2748 Жыл бұрын
😢 jamani kumbe sio mimba hili kweli fumbo
@dismasobiero5903 Жыл бұрын
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💯muotooooooooooo in kenyaa
@tualibomomademomade5794 Жыл бұрын
Mozambique 🇲🇿. Nakupenda sana clam, wene namba moja
@alqaismwambala4629 Жыл бұрын
Wau! Goma limekawia mtu wangu , twaliitaji tin taa
@KelvinElisha Жыл бұрын
Idea ya fumbo ni kali san🔥
@gamerstech5689 Жыл бұрын
nomaaa sanaaaa 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@nicholausstephano-5298 Жыл бұрын
Nampenda Sana Dada Sala
@DaynaNassibu-de4hb Жыл бұрын
Wa kwanza kukomenti kutoka Tanzania
@KelvinElisha Жыл бұрын
gonga like kwangu😂kam n shabiki wa clam
@shatrah Жыл бұрын
From Uganda wapi likes zangu 🙉🙉🙉🙉
@mercymwaniki-ot5be Жыл бұрын
Love it ❤❤watching from kenya🇰🇪
@hemedabry6626 Жыл бұрын
Nakubali san kazi yako bro 👊
@kiplimo411 Жыл бұрын
This duo "clam+ kim" is perfect kama unakubali piga like twende
@AndreLumu-jr1hd3 ай бұрын
Napenda sana vitu vyako kaka aaah we miali saaaanaaa yani wakuache tu unajuwa zaidi kiasi
@felistawakoni6713 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana clam🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@Mwene_Jery Жыл бұрын
Wakwanza kutoka congo kama unampenda clam vevo weka like basi
@Amikeyplayan Жыл бұрын
🥰🥰🙏nakubali sana kk iyo kali kuliko zote naipenda nasa kk ❤❤❤
@isango_Online Жыл бұрын
Congrats much to you young money keep fight again and again may God bless you man
@moisecishahayo Жыл бұрын
Nakupenda San Clam from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
UNAPAMBANA VIZURI BEST YANGU CLAM 👏👏👏👏👏👏
@khamiswapemba9019 Жыл бұрын
Kazi mzuri Clam tunaomba hii movie iendelee
@thadeombani7869 Жыл бұрын
Clam kama unanisikia nasema hivi nakuomba utengeneze seasons inayohusu kitu chochote,ila hii FUMBO kama ingekuwa season ingekaa poa sana kaka#clam Vevo#kim#Bhairam,Bhairam unajua sn broo
@DjBensoni Жыл бұрын
😂😂😂😂 ila Kim wewe yaani mpaka nimejikuta nacheka hapa 👉🏾 4:05 ila hongera sana
@Kfonline935 Жыл бұрын
Namkubali clam sana
@suleOficialtz8451 Жыл бұрын
Wakwanza leo nipeni like zangu kam mnamkubali clam
@arunaalbashiryusufu3235 Жыл бұрын
Wa kwanza leo
@FEiSAL_Tech Жыл бұрын
Wakwanza jamani Wapi Likes Za Clam Vevo ❤️ 👇
@user-wo1ck4rg8p Жыл бұрын
Tunapenda sana Kazi Yako kaka etu kipenzi 🥰🥰
@shabanjuma7102 Жыл бұрын
Muvie nzuri sana, ila mnachelewesha sana
@yusuphmwashinani5125 Жыл бұрын
Hiyo sound track ni nomaaaaa
@kassimdadi5406 Жыл бұрын
Kali sana
@badboyjephanie-uh3mz Жыл бұрын
Nawapenda sana 💓💓💓
@KarimMakotwa-kj6bs Жыл бұрын
Jamn mwendelezo isichelewe 🔥🔥🔥
@makondeshortFilme3 Жыл бұрын
😂😂😂😂❤❤ Saluty sana kaka CLAM VEVO 🎉🎉📺🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@gnondoofficial Жыл бұрын
Nakukubali kaka
@kennyprince4268 Жыл бұрын
IPO sawa🎉
@josephatpatrick3940 Жыл бұрын
Wakwanza leo mm hard rock nipeni like zangu muuni
@danielchai2640 Жыл бұрын
This is a serious story not a comedy but I love it ..much love from Kenya
@directorballo9598 Жыл бұрын
Clam binafsi nimechelewa kukuelewa sana... Mpangilio wa hii stroy ninyoko alooo
@official_fabio Жыл бұрын
Love it ❤️
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Watu mda wote mpo you tube jmn ...hampoi😄
@joyyjoyy5474 Жыл бұрын
😂😂😂 mie mwenyewe nimeona nimerauka kumbe Kuna wengine wamekesha 😆
@elinapetro7136 Жыл бұрын
Watu weusi saingine siowakuwaamini sana kazi kwako clam
@user-dw1su7zm5x5 ай бұрын
Clam upo vizuri sana
@Simbamossonngorongoro3739 Жыл бұрын
Dah kweli clam vevo ni mchekeshaji nzuri sana Africa