FUNZO KWA KIFARANGA CHA HADDADIA ABU LUBABA KWA MANENO YAKE MACHAFU DHIDI YA SHEKHE ABU MUS'AB - (2)

  Рет қаралды 247

Darul Hadith Ununio

Darul Hadith Ununio

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
Halafu nasikia ilipokuja kamati ya Suluhu kwa ajili ya Fitnah ya Morogoro,watu walitamani sana Suluhu ipatikane pia baina ya masalafy na Abuu Musab,lakin Abuu Musab hakuwa tayari...Ni ya kweli hayo????!!!!
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
Halafu Abuu Lubaaba alipokuw anamradd Abuu Musab sikuona akimuita majina ya kejeli...Kwann nyie mnamuita KIFARANGA???!!! Mnataka kutwambia Hata wanazuoni wakiwa wanaraddiana huwa wanaitana majina ya matusi kama hayo???!!!
@nasibuathmani7015
@nasibuathmani7015 2 ай бұрын
Akhy wacha kuongea ujinga, amemwita jaahil, anauani yake kaipa jina jaahil abuu musaab, au hujui kusoma Akhy
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 2 ай бұрын
Wewe huoni au wajitia upofu huyo kijana Hana heshma kwa shekh abuu musab hamfikii kwa umri Wala elimu Katika radd yake ametumia maneno mabaya
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 2 ай бұрын
Au ndio katumwa na mashekh zake nin??
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
@@HassanHamad-rf9tq Mbona hata Abuu Nuaym analugha chafu! Anawaita masalafy kuwa ni majahili katika kufaham aqwaal za maulamaa kwa kuegemeza maneno ya ibn Barjas mahali pasipo pake! Akasema kuwa hawajamakinika katika Elim utafikiri yeye ana Elim kubwa! Sasa kama mnakataa Abuu Lubaaba asimuite Abuu Musab kuwa ni jaahil nyie mbona mnawaita masalafy kuwa ni majahili? Mkumbuke pia hayo maneno ya ibn Barjas hata Barahiyani huwa anayatumia kuwaita nyie Majadida, na nyie ni Majadida pia kwa mujibu wake kwa sabab mnawahizibisha Answar Sunnah! Kwo tukienda hvo hata nyie ni majahili....!!!
@NuryaMusa
@NuryaMusa Ай бұрын
Abuu baaz zungu ni jaaahil murankab 😂😂 walamsipate taabu kumjibu
UHARAMU WA KULA RIBA NA AHKAM ZAKE | MADHAMBI SABA YENYE KUANGAMIZA
39:05
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 38 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 15 МЛН
Kisa cha Binti aliyetenganishwa na Mumewe anaempenda Kwasababu ya Ubaguzi..🎙Sheikh Abu Khawlah...
4:43
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 8 МЛН
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
DHAMBI YA KUUA NAFSI NA HUKUMU ZAKE | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
41:46
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 38 МЛН