Nyie watu Mcheni Allah....!!! Abuu Lubaaba nayeye alitoa qawli za ulamaa akasema kuwa Wapo watu ambao wanaweza kubidiishwa hata na awaamunnaas kama sisi, mfano MASUFI,,, Lakini akasema pia wapo ambao sisi hatuwez kuwabidiisha isipokuw watabidiishwa na Wanafunzi Mujitahidoon kwa kutumia Qawli za wazi za maulamaa na akasema pia wapo watu ambao hauruhusiwi mtu yeyote kuwabidiisha isipokuw Maulamaa tuuu...!!! Sasa kama kweli msimamo wenu ndo huo, nimekuulizeni hivi: Kwanini mumewatoa kwenye Sunnah Masalafy na kuanza kuwatia katika Uswaafiqah???!!! Au huko sio kuwabidiisha...???!!! Haya hilo mtajibu! Swali lingine: Kama kweli huo ndo msimamo wenu, kwanini mnaitakidi kuwa Answar Sunnah akina Barahiyani ni Mahizbi,,, au huko sio kuwabidiisha...???!!! Au nyie ni Maulamaa????!!!! Swali lingine: Mtu kama KISHKI na KAKA YAKE wanaojinasibisha na Sunnah, unataka Maulamaa watoke Suudia au yaman au sehem nyingine waje Tanzania kwa ajili ya Kuwabidiisha watu kama hao???!!! Au ni lini mumewapelekea Maulamaa Sifa za hao watu ili wawabidiishe???!!! Sasa watajuaje hali zao hao watu wakati hawakai nao???!!! Abuu Lubaaba alitoa qawli za ulamaa, na kusema kuwa wapo watu ambao uhizbi wao upo wazi na washalinganiwa kwa muda mrefu,, watu kama hao haina haja ya maulamaa kuwabidiisha kwa sabab hata Mujitahidoon wanaweza kutumia qawli za ulamaa kuwabidiisha hao watu kwa sabab wao ndo wanajua hali za hao watu wanaokaa nao kuliko maulamaa ambao wanakaa mbali...!!! WEWE ABUU NUAYM MCHE ALLAH,,, KWANN HUJAZUNGUMZIA DALILI ALIZOSEMA ABUU RUBABA KUHUSU HII QADHIA???!!!
@ABUUBAAZNYUNGU-j4xАй бұрын
Kama swala la kuwabidiisha watu wa Sunnah ni la wanachuoni, nyie mbona mumewatoa kwenye usalafy na kuanza kuwaita Maswaafiqa...??? Au hyo sio Tabdi'i ?