RADDI KWA KIFARANGA CHA HADDADIA ABU LUBABA KUTOKANA NA MANENO MACHAFU DHIDI YA SHEKHE ABU MUS'AB

  Рет қаралды 193

Darul Hadith Ununio

Darul Hadith Ununio

Күн бұрын

Пікірлер: 9
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
Abuu Nuaym ungeenda kumalizia masomo yako kwanza mana misingi ya Dawatusalafiyyah bado hujaijua koz Ruduud zako zimejaa matusi na Kejeli kwa wenzako... mm hata Sikukubali wala nn, Bora hata Abuu Zaghar kdg anajibu kwa upole na nidhamu ila wewe unacharukacharuka sana 😢😢😢
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 2 ай бұрын
Sio lazima wewe umpende hara Rasuulu llaah hakupendwa na wengi seuze wewe. Sisi tunampenda
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
@@nsabimanasuleyman2008 Sijasema lazima nimpende mimi...!!! Wewe mpende tu kwa ajili ya Allah na mm nsipompenda kwa ajili ya Allah sote tutapata thawabu in shaa Allah!
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
Unadharau sana wee Abuu Nuaym utafikiri wewe ndo una Elim kuuuuuubwa....yani unasema hawa Masalafy wa Tanzania ambao wewe unawaita maswaafiqa kuwa hawajamakinika katika Elim,Wewe wangapi wamekuzidi Elim miongon mwao? Em kasome kwanza bana acha kutafuta uSheikh kabla Allah hajamsheikhesha kama alivyofanya Bachu,utakuja kuumbuka,shauri yako,ohoooo!
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
Mnatumia nguvu sana kwakweli ili mueleweke lakin waaap! 😂😂😂 Abuu Lubaba katoa zaid ya Clips 10 kama sijasahau na ametoa ruduud hzo kwa hoja na adilla na nyie mnakuja kujibu ka clip kamoja tu! Jibuni Kwa Steps kuanzia Jinai ya kwanza hadi ya mwisho na mujibu maswali aliyoyauliza mule ndani acheni KURUKARUKA...!!! Eti mnamuita KIFARANGA ili akate tamaa, Ng'oo hakati tamaa In shaa Allah na ataendelea kuwaradd 😂😂😂😂
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 2 ай бұрын
Hakuna nguvu yoyote anatumia ispokuwa anaifikisha Haqi na kuweka mambo nafasi yake wewe unachukia Nini ???
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
@@nsabimanasuleyman2008 I hate nothing, lakin kwann asijibu jinai zote? Kwan yote aliyoyazungumza Abuu Lubaba kwenye zile jinai yote ni ya Baatwil? Hakuna Haqqi aliyoongea? Mbona sasa mnamdogosha kanakwamba kila alichozungumza mule kakosea! Nasisi tuna akili bana, mule kweny zile jinai kuna mengi tu kayazungumza ya haqqi dhidi ya Abuu Musab na lau nyie mngekuw waadilifu mngelibainisha hilo watu wakajua! Au huyo Abuu Musab ndo yeye hakosei?
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
​​@@nsabimanasuleyman2008 Nyie mnawapinga Answar Sunnah akina Barahiyani sio? Na wao wanatumia pia maneno ya Ibn Barjas kuwaita wale wanaowabidiisha kuwa hawafahamu ibara za maulamaa! Kwo kama sisi hatujui ibara za maulamaa basi na nyie hamzijui according to Answar Sunnah akina Barahiyani! Ukikaa ukafikiria utagundua kuwa hayo ni maneno ya mkosaji... kama nyie mnaamin kuwa mmedhulumiwa kutolewa kwenye usalafy, hali yakuwa mnajua kuwa nyie ni masalafy kwann mnatumia nguvu sana kujitetea? Kipi kinawauma? Kwan wao wakisema nyie so masalafy ndo mtakuwa hvo? Sasa mwalialia nini? Yani nyie na Answar Sunnah siku hzi ni kama hamna tofaut... yan mmewanyamazia mahizbi utafikiri uhizbi hapa TZ haupo Yan! Hata Siku moja sijawah kumuona miongon mwenu akiitahadharisha manhaj ya Bachu, mmebaki kusema kwa kinywa tu kuwa Bachu sio mwenzenu wakat kiuhalisia mnaunga mkono Da'awah yake na nyie ndo mnakoelekea huko msipojiangalia!
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 7 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 38 МЛН
KLIPU ZA MADA • Sio Sahihi Kusema Zinaa ni Deni • Skh. Abu Umeyr Twahir
4:34
Sheikh Abu Umeyr Ammar Twahir (Shekuwe)
Рет қаралды 4,2 М.
UHATARI WA MAULID NA BAATIL ZAKE | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZANIY
37:15
Darul Hadith Ununio
Рет қаралды 66
DHAMBI YA KUUA NAFSI NA HUKUMU ZAKE | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
41:46
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 7 МЛН