Waandaji wakipindi Mungu awape maisha maisha marefu
@EsterBernardoVumo Жыл бұрын
Jina La Bwana YESU Libarikiwe Mungu Wetu Ni Mema
@abdibilali41862 жыл бұрын
Mama pole Sana unaongea huku unatetemeka na pressure just ni jinsi gani umeumia daaaaaa pole Sana mama Mungu atakulipa kwa uliyo yapitia
@nadhifajuma64852 жыл бұрын
Wallah imeniliza mno sina la kusema clouds nawapendaaaa woootee
@auntdorah91412 жыл бұрын
😭😭😭 Mungu ambariki sana huyo mama na watoto wake waliokaa nae baada ya kaka yake kufariki mpk kujifungua.. Ni vgm kukubali kuishi na binti wa watu mjamzito usiyemjua! Nendeni na mama mkamuone ikiwezekana kuonesha japo moyo wa shukrani, na hata huyo mzee Anuari alikutoa pagumu sana. Yote kwa yote ashukuriwe Mungu hukupata wazo la kuitoa mimba, mabinti wengi kwa mapito hayo wangetoa tuu, Anuar mama yako hana makosa ...hakukutupa aliteseka ki mwili na kisaikolojia...utakua umesikiliza upande mmoja, msikilize na mama sasa
@jafarmlawa9627 Жыл бұрын
Asa kumbe ulimtupa!Acha kulia
@latifakalunga Жыл бұрын
Umetuliza kwakweli
@estherokombo10862 жыл бұрын
Daaah hii imenitowa machozi mm jamani🇰🇪
@hadijamshimbula76162 жыл бұрын
Daah leo nimemkumbuka marehemu mamangu. Rip mom
@efrahfarahahmed89602 жыл бұрын
😭😭😭 Mama ni mama tu
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Pole sana
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Hongera pia shangazi kwa kumlea hadi kukua Mungu akubariki ila mawifi daah
@susannesusie32172 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Sad story uyo mtoto amtunze mamaake ampoze machungu mamake Nampenda saana Mama yangu Mungu amtunze Mama yangu ukiangalia video kama hizi inaongeza mapenzi kwa mama
@justicedamaru30162 жыл бұрын
Nyie machozi yananitoka
@yassintaibrahim242 жыл бұрын
Saana Yani
@nicolauswandao89882 жыл бұрын
Shangazi acha chuki maana ww ni baba. Nampenda sana shangazi yangu maana hata mimi nimelelewa na shangazi. MUHIMU "SHANGAZI NI BABA" Msamehe mama anuari
@rwamboking.32532 жыл бұрын
Allah awajaalie kina mama wote wanaotelekezwa na waume zao
@happymau2809 Жыл бұрын
Nafurahi sana kufatilia kipind hiki..shida nazidiwa na machozi jmn naumia
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Pole sana mama, kwnn hy mjomba alikupiga alitakaje sasa na wkt kwk kakufukuza, mama unaongea kwa uchungu hadi unatetemeka
@hassansadiki2172 жыл бұрын
Pole sana, Hilo, janaume halina hofu ya mungu,kwa Lina kataa damu yake,
@margrethrhobi39737 ай бұрын
KUZAA SIO KAZI' KAZI NI KULEA! HONGERA SANA SHANGAZI. HII NDIO MAANA HALISI YA ULE WIMBO KWAMBA NI BORA KUMPENDA MUNGU KULIKO MZAZI! MAANA MAMA ANAWEZA KUKUZAA NA KUKUTUPA!
@RevinaVedasto4 ай бұрын
Hongela sana kijana kutafuta mama vijana niwachache
@swaiseif29892 жыл бұрын
Khaa nimelia Sana wallahi 🙌 mpka macho kuvimba 😭😭😭😭
@roseodipo9868 Жыл бұрын
Bwanaeee mama ni mama tu ata iweje.❤❤
@rehemakanyere41887 ай бұрын
Kbsaaaa
@sifangwira902 жыл бұрын
Nimelia sana hii story imenikumbusha mbali sana,haya yalinitokea nikamwacha mtoto wa miezi 7,ila mungu alinifungulia milango nikamchukua mwanangu baada ya mwaka,namuomba Anwar amsikilize mama yake shida hua zinatenganisha watu,huyu mama alimuacha mtoto Ili akue labda angekaa nae kwa magumu angekufa
@gulfomanbb21192 жыл бұрын
2napitia magum sana wkt mwingin ata unaona bola uishi mwenywe2 mm pia nimekosana nae lkn nashukulu nilienda muachia mama yngu kamlea kwa shd mpk ss nipo nnchi za kiarabu wana2umiza mno wanaume
@sabraabdilnasir88262 жыл бұрын
Sasa watuwengine hawajui maisha tunayopitia wao alhamdulilah hawajapata changamoto washukuru ila hakuna mama anaetaka kukaa mbali na mwanawe ila ugumu wa maisha jamani wazee wanyonge hawana uwezo unamtowa mwanao kwa uchungu huku ukilia
@shifaaal-baity45038 ай бұрын
@@gulfomanbb2119 baadhi ya wanaume wabaya mno na wanawake wengine pia wabaya sana
@gracemgeni7217 ай бұрын
Huyu mama naye.....
@agnesisimon31542 жыл бұрын
Pole nimelia Sana pole mwanamke mwenzangu
@JerusaMkuyu-pw1zo Жыл бұрын
Anuary Mungu akuongezeee
@khadijakhalfan29222 жыл бұрын
Mashaalah ❤️🙏 mungu Ni mwema
@paulabelleghe4512 ай бұрын
POope sana dada yani mitihani duniani haiepukiki kushkuru Mungu tuvuke salama wakatimwingine watu wanajiua ama kudhuru wengine vyanzo nimatukio yanayoumiza nakutesa mioyo yetu
@roseodipo9868 Жыл бұрын
Pole shangazi umefanya sehemu yako. Imetosha
@wemakalama64582 жыл бұрын
Jamani nimelia mwenyeezi mungu awatangulie kwa kweli
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Jamani mungu hashindwi da geya na jopu lako lote mungu awabariki
@happyngonyani70652 жыл бұрын
Hongera kwa kumpata mama ila usimsahau Aunt
@dkmhamilawa7 ай бұрын
Shangazi ulijitahidi kumsitiri kakavyako lakini usimlaumu wf yako mwamke menzako. Hongera ka malezi. Anuar wewe ni mwanaume chunga matendo kama ya babako. Utamuumiza mzazi mwenzio
@dorahmwambemba90322 жыл бұрын
Jamani msituuimize tunawaumiza watoto😭😭😭 wifi Kwa mdomo huo mama asingefiti kwenu
@mrsferuzi74432 жыл бұрын
Wallah nimelia 😭😭😭
@HalimaHalima-id2cb2 жыл бұрын
Clouds hongereni sana nawapenda 😭😭😭
@abdibilali41862 жыл бұрын
Kila sifa njema ni za Mwenyeezi Mungu Alie wapa afya na maarifa ya kuwakutanisha watu na hi yote ni mipango yako Allah Aqbar Mungu ni Mkubwa , hakuna atakae kufa mpaka mapenzi ya Mungu yatimie.
@feykimaro46152 жыл бұрын
Uwiiiiiiiiii 😭😭😭😭😭 inatia uchungu jamaniii 😭😭😭😭😭
@janemsamati67002 жыл бұрын
Kwa kweli clouds ni Radio ya watu Hongereni sana Leo tena kwa ubunifu wetu Mungu awabariki sana
@robbyman62132 жыл бұрын
Mungu Awatie Nguvu
@zakiaferuz45612 жыл бұрын
Alhamdulillah 🤲 mwenyeezi mungu mwema hakika machozi yamenitoka jamani😭
@legarecephas59352 жыл бұрын
Umuunganishe na ndugu gani wakati walikataa kukusaidia kulea
@evainnocent95202 жыл бұрын
Daaaa! Nimelia mnoo ila Baba ndio aliesababisha hayo uyo shangaz nae anaongea tu ila kosa la kaka yake
@aminaam2812 жыл бұрын
Kabisa my
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Anamtetea udugu wake
@zuenasaidy79162 жыл бұрын
Hongereni kipindi kizuri
@dafrosamsonge20072 жыл бұрын
Raha Sana kukutana na mama nmelia Kwa furaha
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Subuhanallah polesana mama inauma jamani basitu
@bintmrisho3526 Жыл бұрын
Uyu shangazi lengo lake anuari amkatae mama ake au 😢mi sijamuelewa
@dicksonkilupa22585 ай бұрын
SHANGAZI ACHA LAWAMA KAKA YAKO NDO ALISABABISA HAYO MADHIRA.
@hassinaalharthi59842 жыл бұрын
Pole saana mama mungu akusaidie
@roseodipo9868 Жыл бұрын
Anuary kijana muelewa sana❤❤
@sunnamickdady53832 жыл бұрын
Miezi3🙌🙌🙌🙌
@rebeccarebeccachristine31822 жыл бұрын
Maskini wa maman tuheshimike 😭😭😭
@zulfasaeed74452 жыл бұрын
Nimelia sana daaah😭😭😭😭😭
@missmoona44972 жыл бұрын
Shangaz ana sumu kwa mtt sijapenda yaliopita si ndwere
@hadijahadija61292 жыл бұрын
Wallahi nimelia sanaaa😭😭😭
@yassintaibrahim242 жыл бұрын
Yani Acha Tuu 🤔🤔🤔😭😭😭
@ashurabihongo14982 жыл бұрын
Allah awalipe inshaallah nimelia sana
@mamertarweyemamu3438 Жыл бұрын
Pole sana
@giftpamelagiftpamela44942 жыл бұрын
Mungu wambinguni amubariki sana 🙏🏼🙏🏼
@LearnwithMadamnaomi2 жыл бұрын
Uyu shangaz mbaya namuona kabisa ilA uyu dada alikua anawakati mgumu sana, wanaume sijui mnani nini ehe
@dkmhamilawa7 ай бұрын
Clouds mbarikiwe
@enockmaige89367 ай бұрын
Leo nimemkumbuka marehemu mwl Agatha Shigongo mama yangu mzazi rest in peace my mom😢😢😢😢
@roseshonyera992911 ай бұрын
Hongera Shangazi japo unadukuduku ila kaka yako ndo chanzo
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Ukiangalia huyo shangazi alivyo tuu mama kapitia magumu kwa hyo familia ya mume3
@angle36007 ай бұрын
Haya yote kasababisha babake,ila kijana ushauri wangu walee wote,mama na shangazi
@hamidsoud24362 жыл бұрын
Mashaalah kaka mwijaku leo amepoa
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Pole sana mama
@Niabebewamor4137 ай бұрын
Hakuna mzazi anaependa kuacha mtotot wake Jamani ni maisha tu 😢😢😢😢😢
@aishaally66022 жыл бұрын
Poleni na watangazaji naona mko katika hali ngumu inauma sana
@halimakimis27312 жыл бұрын
Jaman😭😭😭😭😭😭
@ayshasaid15477 ай бұрын
😭😭😭😭😭daa
@mdzainb37222 жыл бұрын
Wanawake tunapitia magumu sana imeniuma sana😭😭😭
@angelankya51637 ай бұрын
Uyu shangaz ana mdomo sana
@lizelizabeth64672 жыл бұрын
Dear God mkumbuke kila mama apitiaye magumu I can't hold my tears 😭 😭 😭 😭 😭 😭
@jafarmlawa9627 Жыл бұрын
Hamja mtendea haki shangzi jamani!
@yascodesimple2 жыл бұрын
CLOUDS MEDIA GROUP LEO TENA JOSEPH KUSAGA💪🏾💪🏾
@rehemaothman22002 жыл бұрын
Nimejikuta nalia 😭😭😭😭😭
@ndeshukurwamoses20777 ай бұрын
Mungu awape maisha marefu Clouds, nimelia hadi kichwa kinauma.
@bahatihthoya802810 ай бұрын
So touching😭😭😭😭😭
@surusuru19942 жыл бұрын
Baba ndo chazo walla sio mam shangazi tulia
@mimahtv29747 ай бұрын
Jamani nimelia sana😭😭😭
@raphaelsikumbi55172 жыл бұрын
Nimejisikia vibaya sana kutokana na hii story na nimejifunza vitu vingi sana ki ukweli sisi wanaume tunawakosea sana wanawake nimeumia sana nawapongeza sana ninyi watangazaji hii ni elimu kubwa sana kwetu
@hopesesilius61042 жыл бұрын
Ur right kk
@yassintaibrahim242 жыл бұрын
Uko Sahihi Kabisa Kakaangu Yani Kuna Muda Tunaumizwa Saana Na Baadhi Ya Wanaume Na Waotaabika Ni Watoto😭😭😭
@mgoledaudi60512 жыл бұрын
Jamani 😭😭😭😭😭😭
@aisharamadhani19482 жыл бұрын
Dahhh imeniliza mno ,,, anuary anajitambua mungu awape umri mrefu na awape afya njema dahhhhhh,,,, ni wangapi wametelekezwa km anuary
@enockmaige89367 ай бұрын
Umeiona huyo mama anavoongea kwa uchungu had anatetemeka, uwe unasikiliza story kuanzia mwanzo had mwisho😢😢😢😢
@omanoman2044 Жыл бұрын
Nikweli kabsa hakumuacha kwa ubaya alimuacha kufatan na changamota za maisha
@fatmaallyabdul17327 ай бұрын
Kuna mahali ukiwaza unapitia magumu lakini ukisikiliza ya wengine utaona afadhali ya kwako....😢😮
@monicakayombo4770 Жыл бұрын
Daaah nimelia
@siwemaayubu-cg8rn7 ай бұрын
Aki nimelia Mimi daah😭
@MarthaEmmanuel-n6b7 ай бұрын
Shangazi hayaoni Makosa ya kaka yake😢
@achouraachoura57637 ай бұрын
Nimelia wallah 😭😭
@khneesajumaa20522 жыл бұрын
Mmmm nani kama mama😢😢😢😢😢😢😢
@ramlaamiri56012 жыл бұрын
Hongereni wana leo tena na jopo zima la clouds
@yilikantahigiye76782 жыл бұрын
Hakika Mungu yupo
@chellynpanja39702 жыл бұрын
Hata Baadhi ya wanawake ni wakatili sana mimi wangu kaniachia watoto wawili..mmoja anayenipenda sana kaondoka nae... Sometimes nalia sometimes najipamoyo watakua..na tutaonana..
@beathaeustace26382 жыл бұрын
Usijal tunza watoto watakufaa baadae
@chellynpanja39702 жыл бұрын
Ni kati ya baraka nayo ipenda sana toka kwa Mungu..naamini wananifaa hata sasa
Lailahailallah mohamad rasuli llah pole mom anuari
@AgnessAlly-tx2yx7 ай бұрын
Mm mwenyewe nilifukuzwa na Sina wazazi Wote wawili na nnawatoto naumia sana
@MargaretManyanda7 ай бұрын
Zimeni muziki uliopo background unasumbua
@enockmaige89367 ай бұрын
Shangazi ana gubu😢😢😢😢😢
@joycemageta48762 жыл бұрын
Shangaz anakilanga sana
@mamajaphety16242 жыл бұрын
Nampenda sana mwanangu jamani tena sana sintamwacha kamwe labda nife jamani
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Kweli kbs my
@kiri58072 жыл бұрын
Huyu kijana katiwa sumu kwao anaamini km mamaake kamtupa tu hajui kuwa alikuwa na sababu yakumsave yeye uhai wake .
@nadinnmugisha51682 жыл бұрын
Naliya sana namaneno kijana anamwambiya mamayake 😭😭😭😭😭from 🇧🇮🇧🇮
@Sensiahairgrowthsolution2 жыл бұрын
Bora kaongea hajawa mnafki
@MahmoudNgosha Жыл бұрын
ndioooo duh nimelia dah bc tyu😢😢😢
@aminaabdalla99497 ай бұрын
dahnimelia sana
@abubakarsuleman19832 жыл бұрын
Mtihani sana nimelia na nimezinduka, kuna mtoto mama yake ameniambia ni wakwangu bado ni mchanga na sijawahi kutoa huduma ila kesho inshaallah nitamtafuta na kumpokea rasmi mwanangu, nimejifunza kupitia hili. Wala sitorudi nyuma tena.
@habbibtymonah69122 жыл бұрын
😥😥😥😥
@zubedaiddy23252 жыл бұрын
Hongera kwa kuzinduoa ALLAH akufanyie wepesi
@ciarmnyone7382 жыл бұрын
Unafikii tu huna lolote
@ciarmnyone7382 жыл бұрын
Ety ndo nimezindukaaa bangi hizoo
@abubakarsuleman19832 жыл бұрын
@@ciarmnyone738 sijui nengezaa na wewe ingekuaje? Ila niliezaa nae kanipokea wewe ata ukinita unga haisubui
@cauthargodbless3617 Жыл бұрын
Daaah jmn yan naangalia t hiki kipindi ila machoz yananitoka jmn wanawake wanapitia mambo magumu xana daaah