Рет қаралды 477,861
Before the auspicious festivities of Eid passes on, we would like to wish all our fan and Jamii-l-Muumineena, a very Happy Eid. May every blossom in the garden of life brighten our Eid with joy and fill our days with sweet fragrance of happiness all year through.
Kabla ya sikukuu ya Eid haijatupita, Noorzania inapenda kuwatakia washabiki wote na umma wote Eid Njema. Tukianza subira kwa hamu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ijayo, tunaomba Allah ayangarishe maisha yetu kwa amani na kuyajaza harufu nzuri ya furaha. Atuweke kwa afya mpaka sikukuu ya mwakani.
Listen to it at all Music Stores; follow the link below:
smarturl.it/Li...