Kazi nzuriii ....Mungu azidi kuwapa kibari Cha kuvuka mlipo kua katika viwango vya juu But msisahau tupo kipindi Cha kwaresma
@embatidennis61072 жыл бұрын
First to be view, great
@salomemhalule52132 жыл бұрын
Furahi ee Yerusalem. Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri. Ninawapenda Tumsifu Yesu Kristo
@couragetv33142 жыл бұрын
Milele Aminaa
@rjblaudatositv13182 жыл бұрын
Kazi nzr sana hongereni sana hakika ninabarikiwa sana Mungu aendelee kuwatunza ili mmuimbie kwa shangwe amani na ktk roho na kweli
@marygorethshirima75292 жыл бұрын
Kazi nzuri sana.hongereni sana
@philipokoro2772 жыл бұрын
Kazi nzuri mungu bariki kazi yako
@shepherdhermas67632 жыл бұрын
Bravo bravo 🌟💥💝Nawaenzi Sana.
@donchibya20122 жыл бұрын
Vijana mnawakilisha vyema. Safi sana
@catherinecharles87102 жыл бұрын
Mungu bariki kazi nzur, i love you Desipina.
@tetritetrino693 Жыл бұрын
John Mgandu Mungu akubariki sana, yaani nyimbo zako zote ni nzuri tena haswaaaa kwaya yako inaimba roman Catholic inavyopaswa kuimba na kuyumba kwa upole na kwa hisia, siyo kwaya nyingine wanachanganya na mayenu humo humo mdombolo ya solo humo humo hizo nyimbo zao na kucheza kwao siyo roman catholic tunayoijua bhana hongera sana mwalimu John Mgandu mbingu moja kwa moja hiyo
Huu wimbo umetungwa kifuraha ninyi wotemnaouimba wimbo huumnaonyesha mmeufurahia sana maana mnauimba kwa madaha asanteni sana Mungu azidi kuwakirimia neema zake mzidi kushamiri asanteni saaaaaaaaaana!! Mmetia fora.
@clementinemusango24512 жыл бұрын
Nice song, beautiful voices
@despinamdende96512 жыл бұрын
Safi Galaxy Mungu awabariki.
@guygerardmaindo32022 жыл бұрын
La chanson est tellement bonne.J'aime vraiment cette manière de chanter.Depuis Kinshasa république démocratique du Congo.Je vous aime trop.
@OrganistjamesKtZ Жыл бұрын
Very cool my able team,,, kinanda kimetulia 🆒 😎 ipasavyo mkuu Peter Perfect
@peterlugomoka36052 жыл бұрын
Huyo dada anaimba vizuri
@dreusebiusjmikongoti2482 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri mno
@ibrahimmwananjela52162 жыл бұрын
Hongereni Kwa utume mzuri.
@fridaupendomushi1081 Жыл бұрын
Nasikiliza kazi hii kama maandalizi ya Misa ya Dominika ya kesho. Mmetisha sana. Endeleeni kubarikiwa sana
@Kingdon87652 жыл бұрын
Ongereni watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya Utume
@peterodhiambo43902 жыл бұрын
Woow!!!hongera sana dada Despina kwa kipaji chako "furaa..hi..yeru...salemu" Big up to the whole team 💪 🙌 👏 🙏 you are taking us to heaven Be blessed always 🙏 ✨️
@FrankJKyalo2 жыл бұрын
Nice one
@edsonmlyuka10962 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na uinjilishaji wenu wapendwa katika kristo
@Kingdon87652 жыл бұрын
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
@madaikaisi79502 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu abariki kazi yenu na mwisho Wa maisha ya hapa duniani mkaungane na malaika kuimba nyimbo za utukufu mbinguni.
@odethachambi11872 жыл бұрын
Great🤗🙏🌹
@Annet6392 жыл бұрын
Nice song, be blessed 🙏
@albinmassawe40052 жыл бұрын
Mmeimba vizuri. Barikiweni sana
@japhetkyarukambaaristides86982 жыл бұрын
Balancè..😋🥰🤩
@princejosiah8085 Жыл бұрын
Mmetisha sana. Keep it up 👍🏽
@immaculataroeser90942 жыл бұрын
I like your angelic voice dada Desipina ,may God bless you.
@magrethmichael36592 жыл бұрын
Asante kwa sauti nzuri❤️❤️❤️❤️
@joachimbahati27922 жыл бұрын
kazi njema nawakubali sana wakuu wangu Peter umeifanyia makuu hii kinanda🙌
@ireneoduol89422 жыл бұрын
Despina uko wapi nataka niwe katika hicho kikundi nice song
@RaphaëlNgoybukasa3 ай бұрын
Jérusalem Jérusalem Jérusalem kwaya
@RaphaëlNgoybukasa3 ай бұрын
Ongera dada despina
@beatusidama62332 жыл бұрын
Awesomely executed
@cosmasndunda72392 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@dowatebulyar49372 жыл бұрын
Wow!beautiful song
@Kingdon87652 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
@jamesgichuhi42222 жыл бұрын
muy linda cancion y muy lindas voces buen trabajo
@maryngaa51412 жыл бұрын
Kwaya zote John mgandu
@jude21682 жыл бұрын
Blessings blessings blessings.
@paulmunguti69902 жыл бұрын
Oh my wonderful
@augustinowhite14352 жыл бұрын
Good song
@josephmuriithi60672 жыл бұрын
Simply enchanting. Very rich voices. Well done.Keep up the great work of evangelizing. GOD BLESS YOU ALL
@dramajoeonlinetv69792 жыл бұрын
Saf san aseeh
@nathannbanda33452 жыл бұрын
Beautiful song...........
@joachimmallya80792 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@joanwambura2 жыл бұрын
The chants are just enchanting✨
@christineadolf5164 Жыл бұрын
❤ blessed voices 🙏
@djking34182 жыл бұрын
💐💚💞
@jovenarikagemlo45272 жыл бұрын
Nzuri tamu
@Ntanguligwa2 жыл бұрын
Organist safi sanaaa
@Ntanguligwa2 жыл бұрын
Aliyedesign hizi drums na percussions hizo kanikosha sanaaaaaaa
@mrtembakiboboy61452 жыл бұрын
Haya
@guygerardmaindo32022 жыл бұрын
J'entends la voix alto souvent dans vos chants mais je vois qu'une seule qui chante.Je ne sais pas si celle qui fait le soprano fait aussi l'alto.
@newst.augustinechoir-saut36642 жыл бұрын
We appreciate
@lilianalara80072 жыл бұрын
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🎼🎼🎵
@djking34182 жыл бұрын
💝💐💞
@felexmutai38655 ай бұрын
Sauti tamu
@lilianalara80072 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@RosemarymswaziDominic11 ай бұрын
Aiseee wokovu kwa kuimba Nje Nje kabisa.nina pendekezo mu upload mapema kabisa kama jtatu hivi ili isituache wengi wetu inatukuta tumechagua nyimbo zingine ngumu na kuziacha rahisi za kaimbe swahili