Kakwambia nani? roho nzuri Katia wapi wakat ni bingwa wa kufeli...kafeli america ya kusini...kafeli libya... kafeli vietnam.... kafeli syria...kafeli afghanistan...bado ukraine na kwingineko...anatumia wakorea wanakufa kama kuku...alipo mmarekani ogopa sana ndugu...kafeli kuanzia 85 mpk 1991 umoja wa nchi zake ukafeli hata kama alikua hayati henrik Mikhail Gorbachev lakini mbele ya mmarekani yani wewe omba tu yaishe
@LORDRICKNKYA9 күн бұрын
Ww kweli mjinga sana kwahiyo marekani hajafeil 🎉@@neziajoseph9726
@hashimukasimu27168 күн бұрын
@@neziajoseph9726huko kote unako kisema mrusi hajawahi pigana vita sijui hizo taarifa unazitoa wapindugu au ni chuki binafi weka ushahidi hapa kwamba kapigana huko unako kusema ilikuwa ni mwaka gani
@BenjaNetanyahu8 күн бұрын
Iko wapi USSR, yule ni bingwa wa kujalibu, sio kutenda, kuna watu vichaa! Sio wa kuwachokoza na kuwatishia, nguvu ya marekani siyo ya mchezo.
@Kujason128 күн бұрын
Kwaiyo unawasifu wauaji@@BenjaNetanyahu
@abdulally64109 күн бұрын
Congratulations 🎊 dj sma
@ahmadmahmoud61399 күн бұрын
bro umepotea sana
@putilegamagama60498 күн бұрын
Dj smaa MUNGU akulinde na akupe Afya njema kaka ❤❤
@allahisone63865 күн бұрын
🎉
@HusseinAli-g9w9 күн бұрын
Smaa mwenyew uyo👍👍👏
@FilbertRobert-e4u8 күн бұрын
Asante kwa ujumbe mkuu
@popiya23689 күн бұрын
Dha So sad na wamerekani wanaona ninsawa iko siku watawarudi. Dha
@Mahene-w1l9 күн бұрын
Duh Mbona Hii ni Hatari Sana!!
@emmanuelbonifase11149 күн бұрын
DJ sma umetisha sana
@rahmaihucha85779 күн бұрын
Sante kwa taarifa,,ila hawa Israel wana kibur sana,,muda wao utafika tu
@GeraldElias-s7j9 күн бұрын
Nani anawaweza sasa 😂😂😂
@HajiMkomwa7 күн бұрын
@@GeraldElias-s7jKorea mrusi iran
@hanifahassan-sf1gg9 күн бұрын
Jee jeeee jmni 😭😭😭 Gaza washamaliza wamekuja Syria Sasa hii ni freedom gani
@justicebridge8 күн бұрын
You are so good bro,
@salimbakunda2509 күн бұрын
Ndio watajuta kumpindua raisi wao
@jumakassim87188 күн бұрын
Swadakta
@nasibugunda79279 күн бұрын
Tumwachie mungu kama tulivyozoea
@salminisaleh92499 күн бұрын
Hawa Jamaa Vita Ya Tatu Ya Dunia Wanaitafuta Kwa Nguvu Kubwa Sana Wallah Hawa Ni Mashetani
@neziajoseph97269 күн бұрын
Ndio sbb unatakiwa kuwatii kwakuwa hauwez kushindana nao
@salminisaleh92499 күн бұрын
@neziajoseph9726 Yani Mimi Nishindwe Kutii Amri Za Mungu Nitii Amri Ya Marekani We Matako Kweli Hivi Kichwa Chako Kipo Sawa Kweli?
@OmariChanja9 күн бұрын
@@salminisaleh9249 na usipotii cha moto utakiona
@hashimukasimu27168 күн бұрын
@@salminisaleh9249eti jamani huyu jamaa mpumbavu sana mungu pekee Ndio wakumtii
@modekaijames8 күн бұрын
@@salminisaleh9249matusi yanini mkuu
@HalimaGalgalo-d1g9 күн бұрын
Hizi vita si nzuri kwa dunia
@Mumewangu9 күн бұрын
Na IRAN silaha ya nyuklia anayo lakin haongei mrusi wasimjaribu
@hanifahassan-sf1gg9 күн бұрын
Nawajaribu waone kama kutakua na jina israel
@husseinc9 күн бұрын
Iran hawana, ila ni vema akatengeneza haraka sana
@barakamwimbi9 күн бұрын
@@hanifahassan-sf1ggGaidi tulie kila kona mnapigwa 😂
@emmadora78489 күн бұрын
Irani Hana kikubwa Cha kuwafanya hao ,kile kitendo tu Cha kumuua Haniye ndani ya Irani kilikuwa kitendo kikubwa sana ,kama wanaubavu wangetoa adhabu Kali but what they do 😢
@BenjaNetanyahu8 күн бұрын
Aa!! Na wajinga kama wewe wamekupa like za kutosha, hata darasani,,wenye A ni 3 kati ya 230😂
@shukranmsukwa9 күн бұрын
Mmmh,kazi ipo😢
@Mpapyrizy9 күн бұрын
1.What is the FUTURE .....? About AFRICA ....?🙏🏾 Naiona Nouma M/Mungu Atulinde Hii Kitu Ni Hakika Vita Vya Tatu Na Lazima Mwishoni AFRICA TUGUSWE M/mungu Atujalie Amani Hii Nouma Kwa Raia Husika😥😢🙏🏾
@MikelSitoe9 күн бұрын
Huyu alie mpiduwa Bashar Assad ni mtumwa wa Netanyau huyu ni Mossad, wa Síria wamejiuza kwa bei ya samaki😂😂😂😂😂😂
@mutaji54549 күн бұрын
😂😂 au jogoo
@jumakassim87188 күн бұрын
Swadakta
@MPATANIMZEE8 күн бұрын
Tunacconect dots ❤ facts and logics❤
@joshuakasemelo16758 күн бұрын
Uchambuzi wako hauna radha yoyote maana umjaa ushaki wa kidini acha wa gongwe waliyataka wewenyewe
@Veryfunny817 күн бұрын
Hakika mkuu jamaa ana udin mwingi na chuki za kifala 😂😂
@joshuakasemelo16756 күн бұрын
@Veryfunny81 huwa anaongea kwa paniki kwelikweli aachie wachambuzi huru akajiunge na magaidi wenzake
@MichaelKavavila9 күн бұрын
Wengine wangesema katumia bomo lenye uwezo wà kutengeneza mawimbi ya mitetemo ya mitetemo ya ardhi inasemekana ni bomu jipya lipo kwenye majaribio....lenye miundo wa tetemeko la ardhi
@obby_damage9 күн бұрын
BUNDALA ana kazi ya ziada ya kuhakikisha FUSE hailalii upande mmoja,la sivyo itakua ni kama site ya wateteaji wa mlengo fulani haswa katila siasa za mashariki ya kati...dj sma you need to be level at this.
@jumajames17679 күн бұрын
Ukitaka habari za Israel zitakazo kukufurahisha nenda CNN na dw
@jumajames17679 күн бұрын
Sisi wenye tunafurahia fuse tumeridhika na dj wetu atuchambulie vitu ambayo c rahisi kutangazwa huko
@obby_damage8 күн бұрын
@@jumajames1767 inaweza kudhihirisha uvivu wa kuspeculate mambo,then HAKUNA TAARIFA ambayo fuse inaweza kuwa nayo alaf katika international source zisiwepo,kama taarifa hizo zipo bas sio taarifa bali ni mawazo binafsi... kama una azam tv kesha ukiangalia bbc news na aljazeera atleast ndo utajua discusion zote zilizopo hapa ni translation ya discusion za maprofesa na watu mashughuri kwenye siasa za dunia... ni vizuri anachokifanya,except kuonyesha mlengo wa kihisia katika uchambuzi haioneshi ukomavu wa kisiasa.. Pia kama mmeridhika bas nisiwaingilie katika hilo hongereni tu😅
@amanimapunda95428 күн бұрын
Toa ujinga wako kwani cnn na bbc huzioni
@joshuakasemelo16758 күн бұрын
Dj smaa ameathilika kisaikojjia anahitaji msaada
@alfredjackson17329 күн бұрын
Nyakati za mwisho
@SAYMOEKARIM8 күн бұрын
Dj smaa 🐐🐐
@denisrenatus49359 күн бұрын
Taifa la Mungu linauwa watu
@barakamwimbi9 күн бұрын
Taifa la Magaidi wao hawasababishi vifoo?
@emmadora78489 күн бұрын
Mungu mwenyewe inapofika mahali huelewi anakupiga cha moto Sasa wao ni nani?
@OmerSuley-gl7go8 күн бұрын
@@emmadora7848Waisrael ni kizazi cha liana tu
@Kujason128 күн бұрын
Wabovu wa Akili ndo wanaliitaga taifa la Mungu
@barakamwimbi8 күн бұрын
@@Kujason12 🤣🤣🤣Magaidi bwana
@tedngowa25598 күн бұрын
Nyunyi watanzania hamjui kitu kweli,huo mlipuko mkubwa hivyo ulitokana na secondary explosion,inaama kulikua na mambomu yenye nguvu kwenye sehemu ilio lengwa na ndio hayo yalio sababisha mlipuko huo.
@valentinesyekeye68468 күн бұрын
Mbona hiyo ni kweli.
@dandy_unique9 күн бұрын
dah Kwan ..Syria wamewakosea nn jamni
@ce-089 күн бұрын
Walianzisha wenyewe kumkataa rais wao wageni wakaja kuwasaidia kumtoa acha wavune walchopanda
@hashimukasimu27168 күн бұрын
@@ce-08kabisa
@salumucharles96558 күн бұрын
Daaa Huwa Nashaanga sana kwenye Maisha Yangu Nikimuona Mtu Ana Ipende israel Yani daaa @@ce-08
@Mahene-w1l9 күн бұрын
Hii Inatisha Sana 🙄
@KwendaKwenda-e9z9 күн бұрын
Uede shule kwanza dj
@SalumMzee-cw8do9 күн бұрын
Ndio Dunia iko njian hio kuwa kiama
@JeannetteManirambona-o6m9 күн бұрын
Hakika
@Awatee9 күн бұрын
ALLAH anasema ktk surat banii Israel wana wa Israel watafanya ufisadi mara 2 ktk dunia
@abdulsaid45798 күн бұрын
waafrika tuanze kutengeneza spaceships ili kwenda safari ya Mars kabl vita ya tatu y dunia hiajaanza. tunaambiwa itakuwa Armageddon y kisawasawa.😇
@vibetz99918 күн бұрын
Dah tushafika Huku?😢
@OmerSuley-gl7go8 күн бұрын
Watajua wenyew yaan kumkaribisha Marekani ni kukaribisha machafuko
@ELIFASMADEBHO8 күн бұрын
Musiwe munaegemea upande please
@StevenTaylorx9 күн бұрын
Noma
@msukumamnywamaziwa27859 күн бұрын
😮Safi ,PUTIN naye akiwaxhe huko Ukraine
@fabicshofficial4 күн бұрын
na wewe ufaidikaje
@gayanimwansasu3 күн бұрын
Mpaka nimeona hofu kwenye uwepo wa mikono
@UzalendoAsili-g8s6 күн бұрын
They are coming to us
@Is-hakaAbdallah7 күн бұрын
Leo nime amini kikulacho nijirani Yako aduwi hatoki mbali
@HappinessJoachim-k4p6 күн бұрын
Yote tisa kumi DJ Sma ana madini sana, huyu mtu apewe ulinzi Jamani
@marcongeleja94509 күн бұрын
Sasa mrusi nae attest kwa Ukrein
@hamidamussa-sy4fm6 күн бұрын
Huyu toka mda ana chuki na marekani na washirika wake
@AFRICA_D6699 күн бұрын
Mbona hii dunia siielewi ,watu wa mungu wanafanya matendo ya shetani..na wafuasi wa shetani ndo wanafanya matendo ya mema .!
@andrewIzdory-sk4cu9 күн бұрын
Kakwambia nani Israel ya netanyahu ni taifa la Mungu. Wanaoishi ardhi Ile c taifa la Mungu
@omondiowino78759 күн бұрын
@@andrewIzdory-sk4cuAcha uongo... Israel ni moja tu... hakuna Israel nyengine...hizo ni propaganda za kijinga
@AFRICA_D6699 күн бұрын
@andrewIzdory-sk4cu naelewa kila kitu kaka ila nyiw wakirsto ndo mnailisha matango dunia et israel yamungu.kaiteuwa
@omondiowino78759 күн бұрын
@AFRICA_D669 Israel ni taifa la Mungu na hakuna wakubisha
@nasseralhatmi17629 күн бұрын
@@AFRICA_D669maneno Yako ya kweli kabisa
@MbarakSoud9 күн бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah Israel na marekani ni gaidi mkubwa sana na alkaida mkubwa huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn haoooo wauwaji makatili wakubwa ndomana wazungu nato wako kimyaaaa ndiyo wao nato naooo wako pamoja na Israel na marekani
@GeraldElias-s7j9 күн бұрын
Njia ya kweli ni Yesu kristo pekee
@nanyangahustler43058 күн бұрын
Hakuna njia iliyonyooka Wote waongo tuuu.
@YUSTOMWAKIFWAMBA7 күн бұрын
tumeanza na wapumbavu wenzio waarabu tunafuataa waislamu wote wa bongoo so be carefully
@mussamaarufu54657 күн бұрын
@@YUSTOMWAKIFWAMBAnyokooo tutawaua wote mbwa nyinyi mnaliwa sadaka tu
@Kulindwa9 күн бұрын
Kama Israel imetumia nuklia alama zitanena baada ya shambulia, lakini hapa inaweza kuwa ni hesabu za kufitinisha mwarabu dhidi ya Israel ili utulivu wa Syria usifikiwe; ila vyovyote vile Israel inachofanya ni kuvunja mikono yote ya Iran ishindikane kupeleka silaha kwa Lebanon na Yemen. Middle East inakwenda kutulia maana waarabu wamechoka kuumizana bila tuja
@IsharaDavid-n1k5 күн бұрын
Wewe muwongo sana tena sana
@AloyceMahundi5 күн бұрын
Sana tu muislamu mwongo huyu.
@hassangaddafi23479 күн бұрын
Kitawaramba wa syria na bado 😂😂😂😂
@jeremialyati60926 күн бұрын
Jackie wa usa?
@issazalala49078 күн бұрын
Sijui kwanini mungu bado ana mueka huyu nyau Dunia inakosa amani kwa sababu yake eemungu mchukue uyu nyau
@nanyangahustler43058 күн бұрын
Mungu gani unamzungumzia? Allah,yesu,yaweh,au yehova????
@AFRICA_D6699 күн бұрын
Allah akbar
@MasterVoltron-i7o9 күн бұрын
😢😢😢😢hio ni Nyuklia kabisa
@JoesMike-i3e9 күн бұрын
Umaiona??? Au Ndio hivyo tena !! 😃😃😃
@kofagalgalo40695 күн бұрын
naomba link ya whatsapp
@Naomiwilliamu9 күн бұрын
Mtu na mshikaji wake 😂😂😂🤣🤣
@ZainabLol-wx7xf9 күн бұрын
HAYA YOTE TULIYAONA TOKA 2008 NA GADAFI WA LIBYA KWNEYE MKUTANO Wa NCHI ZA KIARABU,WATASHANGAA WASIOJUA KAMA YALISHATABIRIWA
@iam_maglan1019 күн бұрын
Sasa WA Syria wamejua Assad alikuwa na msaada gani
@Golanh47868 күн бұрын
kama alivyosema dj smaa wasirya watajuta mapema mazidi kuliko libya .
@BenPeter-vp2cy9 күн бұрын
Nimeshtushwa
@KaijageKaishozi9 күн бұрын
Mchambuzi tusaidie ambao hatuna taarifa nzuri., ilo bomu limepiga raia au limelipua maghala ya silaha
@DicksonMsuva8 күн бұрын
Mmmh! Huyu DJ Smaa ni mwongo sana. Kama vipi aende akawasaidie ndugu zake kuwapa taarifa za kijasusi ili wasipigwe hovyo.
@modekaijames7 күн бұрын
@@DicksonMsuva umeona eeeh jama muongo sana
@abdulrazack95779 күн бұрын
Mmmmh😢😢😢😢
@Abdul_wahidMohamed-g5l9 күн бұрын
Ongea uweleke broo wach majivun
@DominickDavid-n3v9 күн бұрын
Acha figisufigisu
@RajaaRajaa-id5wx9 күн бұрын
Alisema kwamba walijarb kumpindua khaminei Waka shindwa ss nataft mbinu ila watazaririka
@ellynkwama86038 күн бұрын
Usitangaze kitu ambacho huna uhakika nacho,vinginevyo utakuwa kichekesho.
@mwinyiothman51068 күн бұрын
Nakupa vizury bro ila kama Israel kafanya jaribio la nuclear kwa lengo la kumwambia Iran 🇮🇷 kuwa tuna uwezo wakukushambulia kwako na yeye Israel ajiangalie hiyo aliyokuwepo uwezo nayeye Iran anao
@evelynemugeni23698 күн бұрын
Kabila lililochaguliwa na Mungu 😂😂mbona linamwaga damu 😢
@gigoyrn43947 күн бұрын
Samia yeye katoa msimamo gani
@braystuskibassa38429 күн бұрын
Japo Turkey ni wanafiki lakini kwasasa anataka nae kufumua mizinga ili wakijaribu kuingia awazingile awamalize wote
@hajjiomary23839 күн бұрын
Anaweka mkwara katika open garden .bado awajalibu iran wanasubiri
@pharesdismas88769 күн бұрын
800 km wamelisikia?means ngoma inapigwa dar mpk mbeya linasikika...these guys aint playing vita vya tatu vya dunia vipo karibu mno
@BabuDikwela9 күн бұрын
Tupo katika vita ya 3 Mzee kitambo tu
@rogerabdallah4398 күн бұрын
Poa tu vije tunavisubili
@RashidBusanya8 күн бұрын
Sasa hapa ndio Dunia umeanza kufika pamoto Sasa panachangamka sana
@JeannetteManirambona-o6m9 күн бұрын
Naona hali ya hew uko mbele itachafuka😢
@catherinecostantino20348 күн бұрын
Kuna wasiria walisema wanarud kwao baada ya kumpindua asad, sasa sijui wanarudije na hayo manyuklia
@clevermwalongo8 күн бұрын
Hapa umetupiga za uso
@JumaMwanga-xd9gy9 күн бұрын
Why mshambuliz Wakat hasad... Wameshamtoa?
@nyawawawanyawawa9358 күн бұрын
Waraabu wana mapungufu ya kutojifunza kwa Libya, Iraq,... etc. Walishangilia sana kuondoka kwa Asaad. Ona Nchi yao inavyo geuzwa kwa majaribio ya siraha
@bryanzeconfesor54767 күн бұрын
Israel anawezaje kupigana na nchi tano kwa wakati mmoja na anashinda kote?
@zainulabidiendhulfikar73989 күн бұрын
Mawahab wa siria kaz kwenu u jinga san arab
@MaurusMpinga9 күн бұрын
Kwaiyo ilo bomu limetumika kua watu au kushambulia silaa mbona unachuki na wasiokuchukia
@Awatee9 күн бұрын
Chuki gani sasa mazayuni yanafanya nini siriya?
@hamiszubeir2429 күн бұрын
Bibilia imeshaandika kua taifa ilo ni la mungu hamtuambii chochote waache wafanye wanachojiskia huwenda mungu kawatuma
@Awatee8 күн бұрын
@hamiszubeir242 🤣🤣🤣🤣biblia ilio andikwa na wazungu wamejaza uongo kuliko ukweli wenyewe
@MaurusMpinga8 күн бұрын
@Awatee kweli mwarabu mweusi
@Awatee8 күн бұрын
@MaurusMpinga juu yako izo sio Shida zangu
@hamismasoud83068 күн бұрын
Kwa mrusi huyo ni mchumba tu
@simbaedouardo84999 күн бұрын
Ila utakuja kusikiya eti ooohh Putin ni mtumbaya ooh ni dicteter soo hao ni akina nani
@AbdallahSumbinyo-ln9qi9 күн бұрын
Ndo hapo Sasa Yani nchi za magharibi bhana😅😅😅
@uwimana65339 күн бұрын
Urusi nitaifa teule siomagaidi kama wao 😂😂
@hanifahassan-sf1gg9 күн бұрын
Leo hapa Lebanon ndege Yao toke saa tatu ndege Yao yazunguka Hadi saa kumi jioni Mungu atulinde na shetani huyu
@IslamKhatibSanze9 күн бұрын
Poleni sana
@IslamKhatibSanze9 күн бұрын
ALLAH awafanyie wepesi
@GeraldElias-s7j9 күн бұрын
Tatizo mnawachokoza wenyewe na kupigana naye hamuwezi ila polen
@emmadora78489 күн бұрын
Wale makamanda wenu wako wapi si waidungue tu😂😂
@IsayaMngaza8 күн бұрын
Nyie Israel mnajichanganya kweli, mnamtisha Russia baada ya kumuua kamanda wao,
@JerrySmartfarm8 күн бұрын
Unatuongopea sasa
@mosescharles19218 күн бұрын
Bara la asia wanaroho mbaya wasije afica
@AmirIddi-y6e8 күн бұрын
Dj sma
@XaveryBillings-w1t8 күн бұрын
acha uongo hizo taarifa hata Pentagon hawana umeonesha udhaifu mkubwa wa kutafta taarifa
@emmanuelShayo-dk6vf9 күн бұрын
Duhhh huyu jamaa hafai aise
@Isack-b9k9 күн бұрын
Up hafai
@SM-fu1yv9 күн бұрын
Ndio maana mimi sio shabiki wa marekani si wapendi
@HerryMwampashi9 күн бұрын
Umekuwa pesa Ili uwapende
@pabloLOOKMAN-m4j9 күн бұрын
mwaka unaoanza hali itakua mbaya zaidi
@donizzo95709 күн бұрын
Sasa Urussi anatishiwa nyau kweli😂😂😂😂 au wanajitisha wenyewe eroshinic ikifungwa nuclear haina muda wakupoteza wala kusafirishwa na ndege...
@braystuskibassa38429 күн бұрын
Nadhani ndo maana Urusi amepeleka wataalamu wa nyukilia kule Iran haraka ili kusoma zaidi kupitia vifaa mbalimbali ili wajibu kabla Israel hawafanya uharibifu mkubwa ndani ya Iran
@T_Darius9 күн бұрын
Unavyoelezea utadhani upo kwenye kamati ya ulinzi na usalama🤣🤣🤣
@imanuelnguya92779 күн бұрын
😂😂😂@@T_Darius
@jumamnumbwa94839 күн бұрын
Muiran alivotest yake ardhini ilitetema pia,hivo kwa muirani atapoteza
@gregorynkunda50299 күн бұрын
😂😂😂😂
@ce-089 күн бұрын
@@jumamnumbwa9483 Iran anapgwa tu magharibi wapo tayar kuitoa sadaka Israel lakin utawala wa Iran uanguke
@salumucharles96558 күн бұрын
WaIslare Kwao Yesu Ni Mtu Marufuu Tuuu Hawapendii Chochote Kuhusu Yesu Crestor jamani Tuwe Tufatilia .
@mapundarajabu54169 күн бұрын
ivi kweli ili ni taifa lamungu au ni taifa shetani
@nunumrisho65489 күн бұрын
Laana ya Mwenyezimungu inawatafuna
@omondiowino78759 күн бұрын
Laana gani😂
@rayasuleiman51149 күн бұрын
😂😂😂😂 Laana? Kwani laana ni nini?
@nasseralhatmi17629 күн бұрын
@@omondiowino7875LAANA ya kuwafira Nyie Manyani Meusi yanayoishi Tanzania MAKAFIRI hayooooo 🦍🦍🦍🦍
@Awatee9 күн бұрын
@@rayasuleiman5114Laana ni kosa Rehma za Mwenyezi Mungu na kukuweka mbali na yeye
@GeraldElias-s7j9 күн бұрын
Wakina nani sasa wenye laana
@kajembeathman9 күн бұрын
Wasiria watajuta kama walibia
@anny199889 күн бұрын
Nimeona habari kwamba radiation levels zimeongezeka huko Syria aisee kumbe hii ndo sababu😢😢😢
@eliaszacharia-ne6yw9 күн бұрын
Kama F35 Iliyobeba nuclue ilitunguliwa na urusi ikafunikwa Mbona hatukusikia effect zake maana nuclear ikilipuliwa lazima ionesh madhara
@jonasmrema85509 күн бұрын
Unaongea nini
@nellymans-f1v9 күн бұрын
Unajua umbali wa anga kwanza??
@SuleimanKilua9 күн бұрын
kweli nagasaki kulitokea asri kubwa tunadanganywa propa Ganda za watu wa magharibi Wana tengeneza maneno😂😂😂