No video

QADIRIA KATIKA UBORA WAO MAUTI SIRI QASWIDA OFFICIAL VIDEO ILIYOLIZA WATU WENGI

  Рет қаралды 441,612

Future Media

Future Media

Күн бұрын

Пікірлер: 199
@MohamedMadambo
@MohamedMadambo Ай бұрын
Mungu awalipe kher kwa ukumbusho huu hakika mwenye iman ya hofu na Allah hayaish kwake machoz kila anaposikiliza qaswaida hii
@nuriatyhamiss7201
@nuriatyhamiss7201 3 ай бұрын
shukran sana kwa ukumbusho wako Allah akulipe kila lenye kher inshallah 🙏
@amingsutarno6977
@amingsutarno6977 2 жыл бұрын
Masyaa Allah tiada pernah bosan" mendengar kan syair" yg di lantun kan berikan lah Negara kami dan Negara ini Rahmat mu yaa Allah engkau lah yg maha segala - Sega nya.
@ffed1876
@ffed1876 Жыл бұрын
MaashaAllah Shukran kwa ukumbusho Mola atujaalie tuyakumbuke kila mara ili tujizuie na maovu kuyasogelea Amin
@FatumaAthuman-bm2fm
@FatumaAthuman-bm2fm 3 ай бұрын
Mashaallah mungu awajarie kaswida zuri sana
@guyogalora2736
@guyogalora2736 9 ай бұрын
ya rabbi utujalie mwisho mwema
@maryamhamad5158
@maryamhamad5158 3 жыл бұрын
Vigogo wamekutana. 💘Mashaallah
@shebychazy3589
@shebychazy3589 4 жыл бұрын
Yallah tujaghalie mwisho mwema tu nawapongeza pia kwa qaswida nzr san umauti siri ajuae Allah ujumbe mzr inshallah
@nambraknambrak612
@nambraknambrak612 5 жыл бұрын
Mashallah ujumbe mzuri mungu atuongozee sote isilama kwani duniani tunapita inshallah tuwe wenye kufata mema mabaya tuyaepuke
@didaa7009
@didaa7009 2 жыл бұрын
alihamdhulilah kaka ak nikisikiliza uu wasiya ak naona machozi yanindondoka ak bt nikikumbuka wazi wag alihamdhulilah
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 5 жыл бұрын
Maa sha Allah hii Qasida ingependeza zaidi kama mungeitoa vile vile maigizo yake ya kifo kama munaekti hayo mauti kuliko kucheza lkn ujumbe umefika vzuri maa sha Allah
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
In sha Allah
@mahamuduirumba993
@mahamuduirumba993 4 жыл бұрын
mashallah ujumbe mzito kwa tunayojfanya dunian tumefka xo tumche Allah ndugu zangu
@habibahamiss707
@habibahamiss707 5 жыл бұрын
maa shaaa Allah qaswida nzuri sana hakika sisi ni wa Allah na kwake tutalejea
@aminaali8836
@aminaali8836 3 жыл бұрын
Mashaallah umauti siri yake allah allah awabariki sana kwa ukumbusho ,,
@asiaa5196
@asiaa5196 5 жыл бұрын
Mashaallah ujumbe ni mzito ila mlivyokaa kaa tu hata hamjaweka majonz majonzi ndo kwanza mnacheka mmeikosea sana hio kaswida
@abdallakhamis1644
@abdallakhamis1644 9 ай бұрын
Hapana kiukweli hilo ni dufu kucheza lazima hata kama ujumbe ni mzito, hebu kumbukeni dufu asilimia kubwa sana Qaswida zao ni ujumbe je hawachezi
@naimasaid4073
@naimasaid4073 5 жыл бұрын
Uhakikaaaa ...unanikumbusha marehemu baba angu ..mungu akurehemu baba angu kwa rehma njema na mi nipo nyuma yako
@ConfusedCoastalBeach-bk7gc
@ConfusedCoastalBeach-bk7gc 7 ай бұрын
Mashallh kaswida nzur sn ❤
@omarsuleiman2208
@omarsuleiman2208 2 жыл бұрын
Mashallah Allah hongereni sana vigogo
@khadijahasani9900
@khadijahasani9900 2 жыл бұрын
Mashaa Alpha kwakutukumbusha
@wangshuai1408
@wangshuai1408 5 жыл бұрын
Mashaalaha kaswida nzuri sana imenikosha sana tu ila tu mmekosea kucheza juma fakk nakuaminia tutawakaribisha kwetu kondoa asateni
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 11 ай бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah ❤❤❤❤❤
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
awa vijana ni wadogo noma wanastahili kuenziwa masahalah sauti zao zanisisimua walah mashalah duu sasa mwataka walie au wagaregare ujumbe utafika na umefika hata wakicheza
@aliy3303
@aliy3303 5 жыл бұрын
Wallah tulipokua enzi za zamani hapo tumeshinda koz kaswida imesimama lakini Leo nimekua naona hakki haipaswi kucheza hivo hassa huo ni ujumbe mzito
@suhajuma3153
@suhajuma3153 4 жыл бұрын
Best voice ,,, hongereni sana wasomaji kwa nyote zaid na zaidi,,, asanten sana,,,
@kassimaliyy6113
@kassimaliyy6113 5 жыл бұрын
Juma kasida nzurii sana ila mumekharibu Kucheza tu
@rehemaabduli6976
@rehemaabduli6976 3 жыл бұрын
Hongeren Sana kwaukumbusho Allah awajalie Afya njema
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 5 жыл бұрын
Kwakweli juma faki ilikuwa huku kwetu hukubaliki hata kidogo ila ss hiv kila kona unatajwa hongera sna, kiongozi fakk hongera sna naww
@tauhidasheha1118
@tauhidasheha1118 5 жыл бұрын
Kaswida ina ujumbe mzuri lkn mlitakiwa muoneshe huzuni yaani hata kulia mngelia basi ujumbe ndo ungetimia zaidi shukran
@ibrahimkombo7822
@ibrahimkombo7822 5 жыл бұрын
Hamuna baya nyinyi nici
@hamisiramadhan3010
@hamisiramadhan3010 2 жыл бұрын
Barallah lakum
@aliomari5254
@aliomari5254 4 жыл бұрын
Hii nimeikbali mashalla
@FatmaFatma-jr6li
@FatmaFatma-jr6li Жыл бұрын
Ujumbe mzuri Masha Allah Ya Allah tujalie Mwisho
@naimasaid4073
@naimasaid4073 5 жыл бұрын
Mungu akuzishiee fakiyy akupe pumzi utuzidishia kutupa ujumbe wa manufaaa kwetu
@benimkojani3434
@benimkojani3434 5 жыл бұрын
Juma untembea sana Allah Akuongzee in shaa allah
@latfadaud4444
@latfadaud4444 4 жыл бұрын
mashallillah mashallillah jmn me napenda xn
@ameenaalameena4968
@ameenaalameena4968 3 жыл бұрын
mashaallah nawapenda
@bichechehassaniiddisilva3640
@bichechehassaniiddisilva3640 5 жыл бұрын
Mko vizuri kadiria hongereni ujumbe mzuri
@haydarhamad6532
@haydarhamad6532 3 жыл бұрын
Masha'Allah!wakali mmekutana
@AhmedAli-jj2dp
@AhmedAli-jj2dp 2 жыл бұрын
Hakika MashaAllah
@omarkhamis8848
@omarkhamis8848 5 жыл бұрын
Qaswida mzur ila kitu kimoja mulikuwa mueke huzun
@aliarkam1413
@aliarkam1413 5 жыл бұрын
Masha Allah hongeren sana Qaswida mzur yenye ukumbusho .
@naimamohammed3243
@naimamohammed3243 5 жыл бұрын
Mashaallah aqaz qaswida nzuri, but mmejaribu kucheza. Walio swafu ya nyuma, huo ndio utaratibu wa qaswida huo.
@aishahusen161
@aishahusen161 3 жыл бұрын
Kwakweli. Mm naipenda kadiria dam dam😍😍😍😍😍
@khairunnanji599
@khairunnanji599 4 жыл бұрын
Masha Allah unatishaaa sanaaa
@hatibuhassani9854
@hatibuhassani9854 3 жыл бұрын
Mashaallah nawakubal sana
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 4 жыл бұрын
Good job
@rashidyomary8355
@rashidyomary8355 5 жыл бұрын
mtihan mkubwa sana watu mauty yanaelezewa sisi tunacheza baada ya kulia tukaomba maghfira ka ALLAH by sh mpury
@ismailselemani3239
@ismailselemani3239 4 жыл бұрын
Swadsktah
@yumnamohamed6652
@yumnamohamed6652 4 жыл бұрын
Mashala
@brother_asam7323
@brother_asam7323 4 жыл бұрын
ujumbe umefika kw jamii 😢😢
@zawijiaomary1057
@zawijiaomary1057 4 жыл бұрын
Mashallwah💞💞
@zulekhanassor8063
@zulekhanassor8063 5 жыл бұрын
Mashaaallah baraka allah
@hajiwakil2138
@hajiwakil2138 5 жыл бұрын
Wapo sawa namaanisha mahodari sana juu ya kazi wanayoifanya ya kufikisha ujumbe
@rizikisuleima2929
@rizikisuleima2929 5 жыл бұрын
ahlu madina
@jayratumaulid582
@jayratumaulid582 5 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah #AQAZ
@ismailselemani3239
@ismailselemani3239 4 жыл бұрын
Qaswaida na mwonekano haviendani
@ashamrutu7217
@ashamrutu7217 5 жыл бұрын
Mashaallah ujumbe mzuri sana
@user-ed4ct4nq8n
@user-ed4ct4nq8n 5 ай бұрын
@mazinyodeluca1373
@mazinyodeluca1373 5 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii kasda yenu
@aliy3303
@aliy3303 5 жыл бұрын
Vp brothers hapo hakutaki kucheza fujo
@aminahalifa827
@aminahalifa827 5 жыл бұрын
Safi sana
@ghabdulyfatah6201
@ghabdulyfatah6201 5 жыл бұрын
Mashaallah hakika nawapenda maustadh wang
@mwanaishasuwes348
@mwanaishasuwes348 4 жыл бұрын
MashaAllah,hamjawahi toa kaswida ikachusha hongereni kwa kazi nzuri
@shakilaseif3510
@shakilaseif3510 5 жыл бұрын
Masha Allah mmeipangilia vizur kwa saut ya huzun Juma and fak nice
@samiaramadhan7009
@samiaramadhan7009 4 жыл бұрын
Mashaallha
@mrlaiza8082
@mrlaiza8082 3 жыл бұрын
Nice
@jumaking8385
@jumaking8385 3 жыл бұрын
Mashaallah
@mamuhamad2959
@mamuhamad2959 4 жыл бұрын
Safi kabisa .huwa nakaa naskiliza hii qasda
@shabanihussen7449
@shabanihussen7449 4 жыл бұрын
Mashallah sheikh wng
@khamismsham5084
@khamismsham5084 5 жыл бұрын
Hongereni sana wana aqaz
@khamismsham5084
@khamismsham5084 5 жыл бұрын
Hongera Shee fakky na shee juma kwa kughani
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 2 жыл бұрын
Wasomaji ya rasuli munayataka ?? Ubishi munao nyinyi kwa kuwa hamtaki kuacha ujinga huu na kufuata SUNNA
@hameedkilala1299
@hameedkilala1299 5 жыл бұрын
nawapenda mpk bc nzuri sanaa
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 Жыл бұрын
Mauti ni siri ilowekwa na allah pia kwake tutarejea na hakuna kitakacho baki ila lillah peke yake.
@guyomy7711
@guyomy7711 5 жыл бұрын
Qaswida nzuri na kali sio siri lkn mumeiharibu kucheza to unaezaje kzngmzia mauti halafu unacheza inamana mauti yanafurahisha or vp?
@shuuhassan7873
@shuuhassan7873 5 жыл бұрын
Kwel wamekosea
@aliy3303
@aliy3303 5 жыл бұрын
Kweli Broo. Hakika hata minanda ipungue na kucheza kupungue.
@busnaoman9981
@busnaoman9981 4 жыл бұрын
Wapunguze waongeze lkn kifo kikopalepale hivy bas waache wachez kwaman hainjins
@mamuhamad2959
@mamuhamad2959 4 жыл бұрын
Io ni kwasababu watutoe machungu watizamaji
@firdausmariri3506
@firdausmariri3506 4 жыл бұрын
Naam kweli kabisaa
@tauhidaalikhamis871
@tauhidaalikhamis871 4 жыл бұрын
Mashaallah kheryy
@muhammedomar3169
@muhammedomar3169 5 жыл бұрын
mnatakiwa.mutofautishe.kaswida.za.kucheza.na.huzuni
@hamadsuleimaan8232
@hamadsuleimaan8232 5 жыл бұрын
NAAMINI HAPO NI MPENDAE KTK MAULID YA AHIMT, PAMOJA SANA AQAZ
@AbdulHakim-fd5ui
@AbdulHakim-fd5ui 5 жыл бұрын
Safi aqaz
@hamisibahati7840
@hamisibahati7840 2 жыл бұрын
HAMISI. BAHATi
@yahayaomar585
@yahayaomar585 5 жыл бұрын
Mlitakiwa kuonesha huzunika na sio kucheza.. hongereni ujumbe umefuka
@AbdulHakim-fd5ui
@AbdulHakim-fd5ui 5 жыл бұрын
Masha Allah Aqaz
@fatimakassimkasifa9265
@fatimakassimkasifa9265 4 жыл бұрын
Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarengea
@bintichausa4744
@bintichausa4744 5 жыл бұрын
InshaaAllah Allah atujalie mwisho mwema.
@mwanaidabdala748
@mwanaidabdala748 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah taqbiiiiiiirr nimeipend sana hiii qaswida
@mtotowapemba5223
@mtotowapemba5223 3 жыл бұрын
Ahsant kwa ujumbe mzr Mashallah
@jumaking8385
@jumaking8385 3 жыл бұрын
Mashaallh.qaswida.nizur
@munfatchichi2874
@munfatchichi2874 5 жыл бұрын
Mashaalkah kaka napend kaswida zako ni nzyr san
@Shasha12345-Xu
@Shasha12345-Xu 5 жыл бұрын
asante kwa qaswida nzuri hongereni kwa hilo
@wardakanyinyi4609
@wardakanyinyi4609 4 жыл бұрын
Ujumbe mwema mashaallah
@salhasaid9667
@salhasaid9667 4 жыл бұрын
Ma sha Allah...
@mwanahamisjuma3361
@mwanahamisjuma3361 5 жыл бұрын
Kasida nzur
@wadmohd7231
@wadmohd7231 5 жыл бұрын
Ujumbe ni sahihi kabisa hongereni sana
@mohammedali1645
@mohammedali1645 5 жыл бұрын
Jamani dini na bongo man haifai.Kaswida imekosa mahali pake.Mbona hi tabia yakuigiza manaswara tuacheni.Vibaya hivyo.
@hamzakhamis4418
@hamzakhamis4418 3 жыл бұрын
Wenzetu walikuw wakitajiwa mauti inakuwa nimazingatio sisi twacheza yakowapi mazingatio ALLAH tuongoe inshaallah
@maryamhamad5158
@maryamhamad5158 3 жыл бұрын
Tunatoa mawazo
@nuurhassan8447
@nuurhassan8447 5 жыл бұрын
Mashalla.kaswida.zikosawa.tatizo.punguzeni.kukatavi.uno
@busnaoman9981
@busnaoman9981 4 жыл бұрын
Ikovizur ht kam wanacheza kisa ujumbe lkn kifokiko plpl kwahio waachen wachex t mn hainajinsi ht wasingecheza kufa nifaradh lzm 😰😥😢
@hajiwakil2138
@hajiwakil2138 5 жыл бұрын
Mashallah hongereni kwa ukumbusho tuko pamoja
@yahayawajide4475
@yahayawajide4475 5 жыл бұрын
Jaman kaswida nommmma
@seiffjuma1122
@seiffjuma1122 5 жыл бұрын
Maxhallah
@omarameir2966
@omarameir2966 2 жыл бұрын
Mashallah
@salehkhamis9978
@salehkhamis9978 5 жыл бұрын
kweli hiyo qaswida msinge cheza mnaonekana kama mnafanya mzaha na kifo
@aliy3303
@aliy3303 5 жыл бұрын
Yaani hakika
@aliomari5254
@aliomari5254 4 жыл бұрын
Mashairi mazuri mashalla
@mrchakaboycosma7047
@mrchakaboycosma7047 5 жыл бұрын
mashaallaha nawakubali sana
@rashidaliy472
@rashidaliy472 5 жыл бұрын
qaswida nzuri mashaallaha! lkn ilikuwa musicheze km hivyo inaujumbe mzito na wa huzuni!
@busnaoman9981
@busnaoman9981 4 жыл бұрын
Ndug hat wasipochez umaut upo acha t wacheze mn hainajins
@Armsdady
@Armsdady 3 жыл бұрын
Mashaallah
@muniradaudi440
@muniradaudi440 5 жыл бұрын
Laila hailaullah
@fatmashariff2518
@fatmashariff2518 2 жыл бұрын
Hiyo ndo kasida, Ile mengine ni migoma tu.
@futuremediatz
@futuremediatz 2 жыл бұрын
Kweli
@rinaenemo6266
@rinaenemo6266 4 жыл бұрын
Mashlaaa
@zubeirahmad219
@zubeirahmad219 5 жыл бұрын
Assalaamu alaikum. Ndugu Aqaz,ushauri wangu ni kwamba angalieni vizuuri ni Kasida gani ambazo inaweza kukufanyeni kucheza na ipi hamutakiwi kucheza. Kwa mfano kama hiyo,mulitakiwamutulie kabisaaa,nyengine ileee ya Yatima aliyoimba ustadh Juma. Ile kasida binafsi ninapoiangalia na kuisikiliza macho yangu hayawezi kustahamili ni lazima nilie tuu
@selemanimwafongo68
@selemanimwafongo68 5 жыл бұрын
Jaman qaswd imeniliz iwej nyie mfurh hvy
@athumanihussein8205
@athumanihussein8205 4 жыл бұрын
Mashalll Juma nawapenda sana
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 55 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 54 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 676 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 34 МЛН
Aqaz
16:16
Sayd Mohd
Рет қаралды 188 М.
QASWIDA : KIFO CHA MTUME /KASWIDA NZURI SANA HII
16:23
Qaswida Murua
Рет қаралды 69 М.
qaswida ya harusi qadiria amani
18:18
Juma Habib
Рет қаралды 1,5 МЛН
QADIRIYA-MwembeMakumbi
8:47
Haji Haji
Рет қаралды 1,8 МЛН
MAharusi Wema
8:51
MADRASA SHOP TV ONLINE
Рет қаралды 208 М.
UKHTY DIDA NI NOMA  ANGALIA BALAA ALILOFANYA MAULIDINI KWAO #newzealand
7:47
QASWIDA MPYA QADIRIA
12:40
next online tv
Рет қаралды 165 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 55 МЛН